IJUE BENKI KUU YA TANZANIA - DHAMANA ZA SERIKALI

Mchambuzi wa Masuala ya Fedha BoT, Bw. Fidelis Mkatte, akitoa ufafanuzi kuhusu maana na namna ya kushiriki kwenye mnada wa dhamana za serikali za muda mrefu(Treasury Bonds) na muda mfupi (Treasury Bills)

Пікірлер: 12

  • @emilianbusara2264
    @emilianbusara22643 жыл бұрын

    BoT and presenter Mr. Mkate, well done. One of the best presentation on tresury bills and bonds with simplicity and clarity. Congratulations. Nawapongeza Benki Kuu ya Tanzania na mwasilishaji wa mada Bwana Mkate kwa uwasilishaji wa mada kuhusu hatifungani (treasury bonds) na dhamana za serikali za muda mfupi (treasury bills) kwa umahiri, wepesi na urahisi. Hongera.

  • @mohammedrashid2906

    @mohammedrashid2906

    2 жыл бұрын

    Ok

  • @mohammedrashid2906
    @mohammedrashid29062 жыл бұрын

    Safi

  • @benetiusbulime6768
    @benetiusbulime67682 жыл бұрын

    Great presentation.

  • @praygodshayo6324
    @praygodshayo6324 Жыл бұрын

    Asante nimepata wazo naweza wekeza kwa miaka ishirini alafu kila mwaka nikapata hela ya kulipia ada ya watoto kwa miaka ishirini na watoto watakuwa wamemaliza masomo

  • @editatairo9667
    @editatairo96672 жыл бұрын

    Excellent explanation

  • @mwamibukulu7745
    @mwamibukulu77453 жыл бұрын

    GOOOOD

  • @julientelya5896
    @julientelya58963 жыл бұрын

    Great

  • @furahakimaro3932
    @furahakimaro39322 жыл бұрын

    This is good investment

  • @ahadimwakaniemba8401
    @ahadimwakaniemba84012 жыл бұрын

    Nikitaka kuwekeza naenda wapi? Je ni tawi lolote la bank kuu au?

  • @christinandetaulwa4039
    @christinandetaulwa40392 жыл бұрын

    Very Sorry. I missed such a good knowledge and ended in investing in commercial banks. Mtanisaidiaje nitoe fedha yangu huko nije kwenye hii risk free investment

  • @seafaringlifeatsea9241
    @seafaringlifeatsea9241 Жыл бұрын

    Mbona kila mwaka kiwango cha riba kina pungua?