MWIGULU AKUTANA NA KICHWA KIBOVU, SIKUOGOPI, LEO NAKUCHANA

Пікірлер: 220

  • @danielmollel8225
    @danielmollel8225 Жыл бұрын

    Daah!! Mh. Waziri mkuu Mungu akupe nguvu uendelee kupata maoni ya makundi mbalimbali nchini!! Naomba pia urudi kwenye kero inaowakabili wafanyakazi nchini

  • @elibarikimacha5534
    @elibarikimacha5534 Жыл бұрын

    Nilikosaga imani na mama alipomchagua Mwigulu waziri.

  • @Mobmob2013

    @Mobmob2013

    Жыл бұрын

    Mimi niliwaza mambo mengi sana alipomchagua mwigulu. Hafai kuwa waziri angeenda kuwa balozi huko Zimbabwe Kama kubebana ndo sababu

  • @JustineMathias-wj7bd

    @JustineMathias-wj7bd

    Жыл бұрын

    ​@@Mobmob2013 au akawe balozi afghanistan ingependeza😅

  • @hamiduhamisi2371

    @hamiduhamisi2371

    Жыл бұрын

    @@JustineMathias-wj7bd 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @jareengeorge5478
    @jareengeorge5478 Жыл бұрын

    Napenda waziri mkuu aje kua Raisi.namuombea kwa Mungu.

  • @marandoruzali1946
    @marandoruzali1946 Жыл бұрын

    Basi huyo kajidhihirisha moja kwa moja hafai akiendelea kuwepo wakati raia hawamtaki itakuwa kuna sehemu inampa jeuri

  • @basilisamsaka8469
    @basilisamsaka8469 Жыл бұрын

    Yaani wananchi wanamawazo mazuri sana

  • @TrezooDeo

    @TrezooDeo

    Жыл бұрын

    Mam

  • @tonyi6807
    @tonyi6807 Жыл бұрын

    mandevu umeongea kama Mjomba WA taifa ....

  • @tegoswadakta8996
    @tegoswadakta8996 Жыл бұрын

    Hongera bro umeongea kaka, mashuka Uganda nafuu kuliko kwenye bahari

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle Жыл бұрын

    Mheshimiwa waziri mkuu pole Kwa usumbufu unaopata kupitia uzembe wa watu walioko chini yako.Ila kama mtanzania nachukizwa sana na wizi unaofanywa na viongozi wetu wasiyotutakia mema watanzania wenzao hata siye tunapenda kutembelea hayo magari mazuri.Mtupende watanzania kama mzipendavyo familia zenu Asante baba angu mungu akupe afya njema

  • @gorgonusshayo920

    @gorgonusshayo920

    Жыл бұрын

    Majaliwa hana shida . mdomo unaruhusu saut kutoka baada ya ulimi kutamka maneno. 🙏😎

  • @gorgonusshayo920

    @gorgonusshayo920

    Жыл бұрын

    Ila majaliwa anapaswa kuwa raisi maana hana uongozi wa picha ila anauongoz uliotukuka, NAMMPNDA SANA SEMA WAPO WANAOMZUIA . NAPENDEKEZA AWE RAIS KTK AWAM IJAYO🥰🥰🥰😘😘😘😘😘😘😘

  • @simonndunguru1629
    @simonndunguru1629 Жыл бұрын

    Mwigulu kutunza Heshima yake ajiudhuru. Hata Raia hawamtaki Wabunge wanamsema Sasa ni Heshima kweli?

  • @w4058
    @w4058 Жыл бұрын

    Mwigulu kama muuangwana ajiuzulu

  • @emmanuelmkamba1964
    @emmanuelmkamba1964 Жыл бұрын

    Mwiguru hafai kabisa hata majibu yake bungeni machafu sana

  • @meshacknyandongo577
    @meshacknyandongo577 Жыл бұрын

    Mwiguru avue hio scafu ya Tanzania anajidai ni mzalendo kumbe Hana uzalendo wowote

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 Жыл бұрын

    WAZIRI MKUU SAFI SANA VIONGOZI WAKIAMBIWA UKWELI WANACHUKIA.

  • @HeriethJoram-rb7ce
    @HeriethJoram-rb7ce Жыл бұрын

    Kuna watu sio viongoz ila ni vichwaaa

  • @luisojr3480

    @luisojr3480

    Жыл бұрын

    Sana kuna watu mwenyezi Mungu kawapa tu kipawa.

  • @user-rd6mo1zb6g
    @user-rd6mo1zb6g Жыл бұрын

    Anabembelezwa na mamaake ngoja akutakane na vichwa vibovu..Magufuli angekuepo uyo mwingulu angekua keshakosa kaz

  • @mumukinga8327

    @mumukinga8327

    Жыл бұрын

    si aliondolewa mama kamrudisha hafai hata kuweka bondi

  • @NicolausBundala-kb8hx

    @NicolausBundala-kb8hx

    Жыл бұрын

    Kwanza alishamtemaga kitambo kwenye uongiz wake

  • @komumbughuni8301
    @komumbughuni8301 Жыл бұрын

    Ni kweli tatizo sio sheria ni kanuni zinazotungwa na wahusika kwa faida yao zaidi, hivi risit ya sh 2000 kosa lake ni ml 4 hapo kuna uhalisia, kwa nini isiwe 20% ya hiyo

  • @michaelmtale-fi9ze
    @michaelmtale-fi9ze Жыл бұрын

    Wafanya biashara wapo vzr sana waziri kuu wasaidie hawa wafanyabiashara

  • @jeremiahmakoye6340
    @jeremiahmakoye6340 Жыл бұрын

    Mhe. Waziri mkuu Majaliwa, nakuombea afya njema na uongozi uliotukuka. Ipo siku yes nakuombea uwe kiongozi mkuu wa inchi yangu Tanzani. Unacho kitu kikubwa kwa ajili ya Tanzania.

  • @maneuverseniorkgbbrothers1217
    @maneuverseniorkgbbrothers1217 Жыл бұрын

    madevu akili kubwa sana yani anawachana huku anawaita ndugu mh!na ukweli mtupu wao wakipewa biashara haichukui round!

  • @radiusrutta7804
    @radiusrutta7804 Жыл бұрын

    Mmetuwakilisha vyema mungu awasaide

  • @salinjabalele-er8vr
    @salinjabalele-er8vr Жыл бұрын

    😂😂😂kiukwel Banda halina hadhi ya kukaa waziri kabisa jamaa hajakosea

  • @jacobmaganga3354
    @jacobmaganga3354 Жыл бұрын

    waziri anayesikiliza wanyonge...❤️

  • @user-pk1vw8ny4g
    @user-pk1vw8ny4g Жыл бұрын

    Brother Bernard kamaliza kila kitu😅😅

  • @user-ic6js4sc8u
    @user-ic6js4sc8u Жыл бұрын

    Daaaah huyu Kaka kibokooo🙏✋

  • @isaacphilemon5599
    @isaacphilemon5599 Жыл бұрын

    Waziri mkuu anatamani kutoa maamuzi magumu kama ya JPM ya papo kwa papo lakini anakumbuka ambaye yupo juu yake kwa sasa siyo sawa Magu,anaamua kukaa kimya na kuumia na kulilia moyoni,😭😭

  • @hellenprosper4738

    @hellenprosper4738

    Жыл бұрын

    Kabisa yaani hadi amebadilika usoni alivyokasirika

  • @user-dk7kt4mz3w

    @user-dk7kt4mz3w

    Жыл бұрын

    Hakika

  • @danielmollel8225
    @danielmollel8225 Жыл бұрын

    Ila Mungu akupe maisha marefu na ikiwezekana uje kuwa raisi wa nchi hii, kwa hekima yako naamini mambo mengi yatakwenda vizuri

  • @malkavoice2570

    @malkavoice2570

    Жыл бұрын

    We unadhani atatekeleza hata kimoja hapo basi. Hapo anawapoza akisha wapa kisogo imeisha hyo na watu biashara wataendelea nazo hivyo hivyo we subiria utaona.

  • @nunikayuni3945

    @nunikayuni3945

    Жыл бұрын

    Watu wajinga kweli wazili mkuu nikiongozi mnashinda munampongeza kwalipi achukuwemamzi ndiyo mpongeze mnapongeza sauti siyo vitendo

  • @juliussilvestar8988

    @juliussilvestar8988

    Жыл бұрын

    Mal ka voice majaliwa yupo serious hasaaaa na mambo ya msingi

  • @rosemarysulle9288
    @rosemarysulle9288 Жыл бұрын

    Ila mwiguli ni shida

  • @bwilumarigo
    @bwilumarigo Жыл бұрын

    Mwambie mwiguru bila kumumunya maneno arisha zoea wizi

  • @LekokoLaisa
    @LekokoLaisa Жыл бұрын

    Ala kk we salamu kuwagu we nime furahia sana lakini viongozi hawa hawapo maswali ambayo ww unasema enda taratibu usije kuwa anakulaumu iii chama chadema awesekani useme ukweli ukisema lakini nifisuri sana ukisema kwamba sirikali anamana asante sana

  • @jeangodelo5349
    @jeangodelo5349 Жыл бұрын

    🙌🙌🙌🙌nimekupenda bure kaka umeongea point ❤️❤️

  • @NellyWaKidato
    @NellyWaKidato Жыл бұрын

    Aisee Yaani Itafika Muda Hii Nchi Viongozi Watakuja Kupigwa Kama Mbuzi We Subiri tu

  • @hidayaswai3119
    @hidayaswai3119 Жыл бұрын

    Duuh Majaliwa tunategemea utusaidie sisi viumbe wa Mungu. Tumekua km popo ndani ya nchi yetu jmn. Mungu mtie nguvu huyu baba atuhurumie waja wako atufanyie wepesi wa kuacha kufanya kazi bure

  • @salahsalahallympika679
    @salahsalahallympika679 Жыл бұрын

    Safi sana mwambie uyo 😂😂😂😂😂

  • @kabulukimati

    @kabulukimati

    Жыл бұрын

    T.r.a.ifunje.yote.na.isukwe.upya

  • @vwctvtanzania
    @vwctvtanzania Жыл бұрын

    Mwigulu tumia hekima ondokatu baki na ubunge watu hatuna Imani nawewe hata kidogo,

  • @pastorb.alaurent1006
    @pastorb.alaurent1006 Жыл бұрын

    @Kweli kiongozi ni jalala Mwingulu aspo elewa bc tena

  • @januarymbunda8472
    @januarymbunda8472 Жыл бұрын

    Wasemaji wote nimewapata vzry hongereni sanaa

  • @BarakaJoseph-by9di
    @BarakaJoseph-by9di Жыл бұрын

    Hii nchi kwa sasa ivi hatuna wabunge matatizo yote hayo ilitakiwa wabunge wafikishe coz kwa sababu hatuna wabunge tufikishe wenyewe

  • @msafiriomary893
    @msafiriomary893 Жыл бұрын

    TRA HUWA WANAKUWA NA WIVU akiangaria mafanikio yako HUWA hawapendi sababu yeye Hana,

  • @melkizedeckmushi5433
    @melkizedeckmushi5433 Жыл бұрын

    Watu wana akili sana wanaamua tu kukaa kimya

  • @vwctvtanzania
    @vwctvtanzania Жыл бұрын

    Hapo wakurugenzi wafanyiwe marekebisho haraka,

  • @ngasikajoel9576
    @ngasikajoel9576 Жыл бұрын

    People got knowledge but they are despised...God help this country

  • @naomisanga6980
    @naomisanga6980 Жыл бұрын

    Kuna watu niwafanya biashara na wana akili balaa yani kweli kabisa kaka kila mtu anasema mimi nasomesha mtoto ili awe Tra maana wana kula hela za bule

  • @valenakomba9218
    @valenakomba9218 Жыл бұрын

    ASANTEEE, KAKA KWA KUSEMA UKWELI. MSEMA KWELI NI MENZI WA MINGUU.

  • @aliyageorge6794

    @aliyageorge6794

    Жыл бұрын

    Msema kweli ni mpenzi wa mungu kweli kabisa!

  • @masturasudi7394
    @masturasudi7394 Жыл бұрын

    Safi sana

  • @mohamedngotwike7969
    @mohamedngotwike7969 Жыл бұрын

    Iv mh rais alitumia kigezo gn kumpa uwazir uyu mwigulu au vibendera vya inch anavyo vaa

  • @martinmsigwa9066
    @martinmsigwa9066 Жыл бұрын

    Mungu atusaidie sana 🥹

  • @salcle9702
    @salcle9702 Жыл бұрын

    Eric shigongo awe waziri wa fedha.mwigulu hafai kazi kucheka cheka

  • @habibumussa7712
    @habibumussa7712 Жыл бұрын

    Wambie brother nikweli

  • @user-cx2qx5fc3w
    @user-cx2qx5fc3w Жыл бұрын

    Waziri mkuu wabane hao majizi wanakula jasho la wanyonge

  • @JuliusMathew-df7ct
    @JuliusMathew-df7ct Жыл бұрын

    Hiyo wizara haiwezi bora atafutwe mtu mwenye vision kubwa kuweza kuondoa sheria zinazokandamiza wafanyabiashara.

  • @princekarani7836
    @princekarani7836 Жыл бұрын

    Mmemsikia jamaa uyo,hana mpango wakumrithisha mwanae biashara tena ila anamsomesha ili aingie T.R.A ili achote izo pesa au kama akijaaliwa akapata cheo kikubwa basi asaidie kubadirisha sheria zenye kuleta kero kwa wafanyabiashara

  • @samwelimwalindu3735
    @samwelimwalindu3735 Жыл бұрын

    Uko sahihi biashala ukiimulika Sana nitatizo kitu lisiti umekuwa miladi yawatu

  • @GeorgeBenard-ue2gh
    @GeorgeBenard-ue2gh Жыл бұрын

    Point kubwa

  • @gabonmaseru2686
    @gabonmaseru2686 Жыл бұрын

    Waziri Mkuu ni kiongozi wa wanyonye na mpenda haki , Natamani awe mkuu wa nchi ili maumivu yapungue kwa raia wanyonge

  • @vaxminja9053
    @vaxminja9053 Жыл бұрын

    Eti kengere 😂 mtangaji jitahidi kujifunza matamshi

  • @frankmwafifi6712
    @frankmwafifi6712 Жыл бұрын

    Fact tupu

  • @user-yq4uh7gv7f
    @user-yq4uh7gv7f9 ай бұрын

    Wajichunguze

  • @JustineMathias-wj7bd
    @JustineMathias-wj7bd Жыл бұрын

    kama wez wanachomwa moto kumbuken na kuchoma akina mwiguru

  • @valenakomba9218
    @valenakomba9218 Жыл бұрын

    KWENDA SHULE MBALI, NA AKILI YA UNUNIFU MBALI.

  • @neziajoseph9726
    @neziajoseph9726 Жыл бұрын

    Tena kwa huyo anaejiita kajenjere huyo kaka kanifurahisha sana, wanajikuta sijui Nani wakija kudai ela ya takataka ,yani wanataka ulipe ela kubwa wakati huzalishi takataka zinazolingana na ela wanayodai wakati biashara yenyew wakati mwingine huuzi wao wakija wanataka ela kubwa na taka huzalishi mfano mm nauza mitungi ya gesi tu haya hiyo mitungi inazalisha takataka gani

  • @jonamnyone8014
    @jonamnyone8014 Жыл бұрын

    Mbona wakati wa mzee baba hawa TRA, NIDA, MUNICIPAL walikuwa wamenyooka. Waziri mkuu ongeza ukali

  • @faustinombilinyi9809

    @faustinombilinyi9809

    Жыл бұрын

    Wale NI wateule warais hawez kufanya chochote pale wakurugenz wote mawaziri wote niwateule wa rais hawez kuwa mkali ndugu yangu Ila angekuwa rais angewanyoosha vizuri an

  • @w4058
    @w4058 Жыл бұрын

    Kusema Kweli mnanyanyasika sana na mtanyanyanyasika zaid ondoweni CCM madarakani hawakujalini kabisa nyie mtapiga kelele usiku na mchana 2025 badilikeni na wapinzani nao wakizinguwa wapakane

  • @suzanamwangingo2995
    @suzanamwangingo2995 Жыл бұрын

    Wazili mkuu anamoyo sana naatawasadia tu wafanyabiashala

  • @ramak.9587
    @ramak.9587 Жыл бұрын

    Acheni kulia lia endeleeni kuja kenya ndio china yenu

  • @mussakiziyzi408
    @mussakiziyzi408 Жыл бұрын

    Mnapomlaum wazir wa fedha mnakosea sana Kodi na korokoro nyenqine zote ni mfumo na matakwa ya serikali Ila kidaqaa tu ndio kinamshukia mchemba

  • @SilvesterRaphael-xb6it
    @SilvesterRaphael-xb6it Жыл бұрын

    Mwigulu ni kipenz cha wazur hawafi mnampigia kiziwi kengere jamaa hatoki pale mpaka awamu ya mama iishe niko pale mtaniambia

  • @petertabitha287

    @petertabitha287

    Жыл бұрын

    😅😅😅😅

  • @nyasijoseph-bt7xw
    @nyasijoseph-bt7xw Жыл бұрын

    Kwanini TRA tuu jmn...Duuuh wabadilike sisi wote wa TZ

  • @mako331
    @mako331 Жыл бұрын

    Hii nchi watu wanahasira sana na serikali, na sababu kubwa ni viongozi wapiga dili kila kona, tusipoangalia itakuja kulipuka siku moja, na serikali haitaweza kuzuia hasira hii

  • @yovithaobed9954

    @yovithaobed9954

    Жыл бұрын

    Hiyo siku unakuja watu wanazidi kuwa majasiri Kama huyo brother hapa...bila shaka wanavyizidi kuwakanfamiza wananchi Basi ipo siku watawasha Moto na hakutakuwa mtu wa kuuzima Mana wakati utakuwa umefika Tena watu hawataigipa kifo tena. Mungu ibariki Tanzania, Mungu wabariki viongozi wote, Mungu uwabariki wananchi wote. Amina

  • @ibrahimshilinde6129
    @ibrahimshilinde6129 Жыл бұрын

    Dua la kuku halimpati Mwewe

  • @senyagwadickson9084
    @senyagwadickson9084 Жыл бұрын

    Hilo tatizo la mgomo wa kaliakoo angekuwepo mwamba JPM hao wote wanalalamikia siku hiyo hiyo wangefikuzwa hasa huyo Mwizi mwigulu na huyo mkuu wa TRA na huyo mama waziri wa biashara yupo hapo kama picha tu ( team Msoga hiyo ndiyo inayowatesa watanzania )

  • @bahatituyayine5037
    @bahatituyayine5037 Жыл бұрын

    Sawa kabisa

  • @arthalesha5825
    @arthalesha5825 Жыл бұрын

    Madevu ana akili sana

  • @patrickjustus6930

    @patrickjustus6930

    Жыл бұрын

    Jamaa safi sana

  • @mzanjenoreen399

    @mzanjenoreen399

    Жыл бұрын

    Kinyama

  • @yusuphswai6851
    @yusuphswai6851 Жыл бұрын

    Mambo nimazur san yanayoongelew lakin akuna ata moja linalofanyiw kazi

  • @mjunicharles1198
    @mjunicharles1198 Жыл бұрын

    Huyi ndo mume Sasa 🤣🤣🤣

  • @w4058
    @w4058 Жыл бұрын

    MMungu akusaidieni

  • @Salvador-mj8rk
    @Salvador-mj8rk Жыл бұрын

    Indeed

  • @NyandaYohana
    @NyandaYohana Жыл бұрын

    Angalia Banda walilo kaliaaa

  • @SimonBundala-ul3mb
    @SimonBundala-ul3mb Жыл бұрын

    Safisana kwakuwasilisha hojo hii mausus .huo niukweli mtupu

  • @user-cj6fd9cw4i
    @user-cj6fd9cw4i Жыл бұрын

  • @user-yp7nv3mg4b
    @user-yp7nv3mg4b Жыл бұрын

    Watanzania wamefunguka

  • @rayanndizeyes3161
    @rayanndizeyes3161 Жыл бұрын

    asha wenye pesa zao waongeye ukweli bila aho izo sheria zitatungwa wapi??munapo watesa ivyo😈😈😈mashetani

  • @abbubakarmfinanga57
    @abbubakarmfinanga57 Жыл бұрын

    Msipo Kua makin opo Siku wa tz 2tachefukwa

  • @daudkhatib-qn5tr
    @daudkhatib-qn5tr Жыл бұрын

    Dahhh. Hapo. Umesema. Ukwelii. Sannaaa. Maaana. Serekali. Hii. Instunana. Sanna

  • @user-ov3pk3wv1s
    @user-ov3pk3wv1s5 ай бұрын

    Madevu kaongea vizurii😂

  • @MlengajiOg-cr8nn
    @MlengajiOg-cr8nn Жыл бұрын

    Kweli kabisa

  • @saidimohamedimgotomgoto979
    @saidimohamedimgotomgoto979 Жыл бұрын

    Mwenye sura ya herahera kazi hunayo

  • @nairobitv6161
    @nairobitv6161 Жыл бұрын

    Fukuzeni huyo mtuuu jamani nchi inazingua sana...

  • @imelidamfikwa7954
    @imelidamfikwa7954 Жыл бұрын

    Jamaa kavunja 4 hana shida.

  • @wilfredmmbando689
    @wilfredmmbando689 Жыл бұрын

    😊

  • @niahpike8593
    @niahpike8593 Жыл бұрын

    Ccm ilishashindwa kazi iyo iko wazi lakini kuitoa madarakani ni ngumu sababu wazee na akina mama ni kama wamelogezeaa hiki chama ata usemee mpompompoo hawaelewi!

  • @vanessajames2192
    @vanessajames2192 Жыл бұрын

    Hatakiwi kua Waziri huyu Mwigulu kwasabab anaowatumikia hawamtaki yupo hapo kwaajili ya nani?

  • @malembobulongo3856
    @malembobulongo38569 ай бұрын

    Hatuna waziri WA fedha hapo

  • @Wanaharakati
    @Wanaharakati Жыл бұрын

    Mhhhhhhhhhhh

  • @emanuelsamson-hq2jv
    @emanuelsamson-hq2jv Жыл бұрын

    Tenahao watu ND niwapumbavu san yan😢😢😢

  • @lukaszakaria8404
    @lukaszakaria8404 Жыл бұрын

    Kwann,mwiguru atutese hivyo samia tumbua huyo

  • @DavidMbwilo-qk1bz
    @DavidMbwilo-qk1bz Жыл бұрын

    Mh Rais tuondolee mwigulu atufai

  • @mercypeter162
    @mercypeter162 Жыл бұрын

    Muigulu mwenyewe anadharau anacheka tu yaani kilio hichi cha wananchi kwajili ya mwigulu alitapita bure kamwe.

  • @Focusm-se2sd
    @Focusm-se2sd Жыл бұрын

    Kweli kabisa siku zinakuja

  • @bubulini645
    @bubulini645 Жыл бұрын

    Muwambiwe, muwambie

  • @athumanihassani7208
    @athumanihassani7208 Жыл бұрын

    Saway kabissaaa❤

  • @athumanihassani7208

    @athumanihassani7208

    Жыл бұрын

    Waziri mkuu uko vizuri saana

Келесі