MJADALA KATI YA MCH NDACHA NA MCH MWAKEMWA TANZANIA

Ойындар

Пікірлер: 318

  • @mathieuombeni4643
    @mathieuombeni464317 күн бұрын

    From DR Congo 🇨🇩 Barikiwa Sana mtumishi wa Mungu Mwalimu Ndacha 💐💐💐💐💐💐

  • @daudmtoba191
    @daudmtoba19117 күн бұрын

    Mwalimu ndacha ubalikiwe mno😂😂 nafurah sana sana Kwa mafundisho yako mazuri 🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷❤️❤️🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @mathieuombeni4643
    @mathieuombeni464317 күн бұрын

    From DR Congo 🇨🇩/Mwalimu 👉🏼 Mwankemwa, leo ameingia shuleni

  • @ChrispinOriama
    @ChrispinOriama17 күн бұрын

    Siku hakuna siku maskio itazidi kichwa vivyo hivyo hakuna siku uongo itazidi ukweli, hawa wamekataa amri za Mungu wakakumbatia mapokeo ya mnyama. Ni sawa lkn Mwalimu Ndacha Mungu azidi kukutia nguvu uzidi kufunua ukweli wake.

  • @moshantoj

    @moshantoj

    16 күн бұрын

    La kushangaza ni kwamba hata hajui maana ya mnyama na ni wachungaji 😂😂

  • @petromachanga5538

    @petromachanga5538

    14 күн бұрын

    Soma Marko 12:28, , _34 kunasabato hap?

  • @Kanyawela

    @Kanyawela

    13 күн бұрын

    Ibada ni kila siku ni kila siku

  • @mwoso
    @mwoso14 күн бұрын

    Yesu alitii sabato na hata wakristo na mitume waliendelea kuitii. Soma Mathew 24:20, Luke 4:16, acts 13:14, acts 13:42-44, acts 16:13, acts18:4. Lakini hakuna andiko ambalo linasema yesu alikana sabato. Amri 10 za Mungu haziwazi kuvunjwa wala kubadilishwa na binadamu.

  • @MajiiIfande
    @MajiiIfande17 күн бұрын

    Daa, Mwankemwa umebabaika sana. Unatumia nguvu nyingi sana kupotosha watu.

  • @Nolithajack12
    @Nolithajack1217 күн бұрын

    Ndacha nimwarimu ❤ nimukweri Mungu arakuripa

  • @michaelkishosha2391
    @michaelkishosha23913 күн бұрын

    Mch Ndacha Mungu akubariki uendelee kufanyka Nuru Kwa wengi,nna hakika wale Mungu aliokusudia wataongolewa.

  • @AMKENIKWAYAGospelmusic
    @AMKENIKWAYAGospelmusic13 күн бұрын

    Katika amri kumi hakuna ibada inazungumuzwa,Mungu alisema Nisiku ya mapumuziko Ibada inafanyika Kira siku MATENDO YAMITUME 2:46. Soma Hapo na pumziko ,Kupumzika kwa Mukrito anapumzikia ndani ya Kristo Asante mbarikiwe Amen 🙏🏻

  • @Thruthministry
    @Thruthministry17 күн бұрын

    Kazi inazidi kusonga zaidi maana itamaalizwa na wachachee tuu ,, ndacha BWANA akubariki

  • @gastokonzo9798
    @gastokonzo979817 күн бұрын

    Daniel oja ZAKO dhaifu

  • @didasmajor9288
    @didasmajor92883 күн бұрын

    Nimependa sana mdahalo huu, barikiweni nyote kwa elimu nzuri

  • @user-ls1ix4rd8i
    @user-ls1ix4rd8i17 күн бұрын

    Mtumishi Ndacha Barikiwa sana

  • @MUSSAMSAFIRI-cj9nz
    @MUSSAMSAFIRI-cj9nz12 күн бұрын

    Ndacha yuko vizuri sana tatizo lake c mwislam tu ila ukweli anaujua sana

  • @ismailmasoud6001

    @ismailmasoud6001

    9 күн бұрын

    Huyu muda c mrefu anasilimu, maana mahubiri yake ya Sasa anahubiri MUNGU ni Mmoja , sio watatu..! Lkn hapo ndacha anamuuliza mwenzie atoe andiko kati ya MUNGU au Yesu ni nani alibadilisha sabato, yaani ameshajua Kuna MUNGU halafu Kuna Yesu, 🤣🤣🤣.

  • @GodfreyErene
    @GodfreyErene10 күн бұрын

    Hao wasabato ukiondoa kurud kwa yesu mara ya pili na mambo ya unabii hawana mafundisho tuzidi kuwaombea maana wanaabudu siku badala ya kumwabudu mwenye siku. mch daniel barikiwa sana kwa kuwafundisha washika siku.

  • @GodfreyErene

    @GodfreyErene

    10 күн бұрын

    😂😅😂yaani ndacha nilikua namuamini sana ila kwenye kutetea sabato kachemka vibaya sana, ukweli ni kwamba hata wanao shika sabato Bado wanashindwa kwani wengi wao tunawaona wakipika,wakisafiri, wakibeba mizigo na hata wengine kuwapa watu mifugo Yao kuwachungia siku ya sabato.kinyume na sabato inavotaka

  • @user-md7ug5dd9r
    @user-md7ug5dd9r11 күн бұрын

    Sabato na Ukristo ni vitu viwili tofauti . Yesu mwenyewe hakwenda kuabudi ktk sinagogi balialienda kuwafundisha habar za ufalme wa mbinguni ,na baada hapo alikwenda kuomba ktk mlima wa mizeituni .

  • @japhetndoro6533
    @japhetndoro653317 күн бұрын

    Hii mada ukimwangalia huyu mtanzania nikama anakataa sabato ndacha barikiwa sana

  • @francisjoseph1074

    @francisjoseph1074

    16 күн бұрын

    Sabato NI kwa wayahudi sasa nyie wabantu na sabato wapi na wapi , myahudi akisali siku ya sabato NI Sawa , na kunasababu

  • @sutnasndiku
    @sutnasndiku17 күн бұрын

    Ndacha niombee nipate pesa ni support hii kazi nzuri ya Mungu

  • @rkellyrkelly1424

    @rkellyrkelly1424

    17 күн бұрын

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂, aki hii dunia😂😂😂😂

  • @Robert_787

    @Robert_787

    17 күн бұрын

    Ujui kuomba mwenyewe?

  • @sutnasndiku

    @sutnasndiku

    17 күн бұрын

    @@Robert_787 wewe ni Ndacha?

  • @sutnasndiku

    @sutnasndiku

    17 күн бұрын

    @@rkellyrkelly1424 Just imagine 🤔🤔🤔🤔

  • @macdonaldotieno5010

    @macdonaldotieno5010

    17 күн бұрын

    Mungu hatakusaidie

  • @moshantoj
    @moshantoj16 күн бұрын

    La kushangaza ni kwamba hata hawajui maana ya mnyama na ni wachungaji 😂😂

  • @AnitaJuma-eb4jn
    @AnitaJuma-eb4jn11 күн бұрын

    mwalimu Ndacha nemekuelewa may God guide many years and prosperity

  • @tsumamartin6878
    @tsumamartin687817 күн бұрын

    Leo kinyanganyiro

  • @isayaogola8733
    @isayaogola873317 күн бұрын

    mchungaji Ndacha Mungu akubatiki

  • @user-vl1gn6xh5n
    @user-vl1gn6xh5n16 күн бұрын

    Mchungaji Mwakemwa uwe una jibu hoja kwa Vifungu sio kwakusematu. Iliwasikilizaji wa sibitishe

  • @fredykiluka6606
    @fredykiluka660616 күн бұрын

    Yan saiz bando langu aliendi bure .....ndacha mungu kakufungua

  • @albertvalentino130
    @albertvalentino13013 күн бұрын

    Wasabato mnatia huruma linapokuja suala la kuitafsiri Torati kwa muktadha wake ---- mnafanya vizuri mnapoutetea ukristo dhidi ya imani nyingine zisizo za kikristo,lakini nadhani mnahitaji kunyenyekea na kukubali kufundishwa ili muweze kujua nini muktadha na makusudi ya sheria ( Torati ) juu ya mwanadamu,ikiwemo hiyo amri ya Sabato,ukizingatia na hitaji la msingi la mwanadamu la kuokolewa kutoka dhambini.

  • @elizabethnzula6704
    @elizabethnzula670415 күн бұрын

    Mwalimu dacha ako right kabisa pasha sauti dacha dunia ipone tumechoka kundanganya na hawa wachungaji bubu wanaofanyia kazi chakula cha tumbo na kusahahu hukumu iliyo mbele yao chakuhuzunisha ni kwamba humo kanisani wanaofundisha upotovu huu kuna watu hawajui kujisomea maandiko hivyo huwa vile wakisomewa wanaamini ni hivyo .kuna hatari kubwa wachungaji ambao wanapindisha maandiko na kupoteza watu ambao wanampenda MUNGU SANA.....NASEMA HIVI AMRI ZA MUNGU NI ZA MILELE....Mwalimu dacha MUNGU akubariki sana kea ukweli huh.

  • @sirpleasureb
    @sirpleasureb16 күн бұрын

    SABATO YANGU YA KWANZA KWA MAPENZI YA MUNGU TANGIA NIZALIWE ITAKUA JUMAMOSI IJAYO 22:6;24 NIOMBEENI WATUMISHI.SHALOM

  • @JosephMpangala-wd5mp

    @JosephMpangala-wd5mp

    14 күн бұрын

    Àmina, Mungu akubariki sana kwamaamuzi sahihi, umechagua fungu jema, ninakuombea.

  • @sirpleasureb

    @sirpleasureb

    14 күн бұрын

    @@JosephMpangala-wd5mp amina.tuombeane.

  • @dancanomwenga6955

    @dancanomwenga6955

    11 күн бұрын

    Amina, Mungu akulinde na akujengee Imani thabiti

  • @Motheking-ps2tl

    @Motheking-ps2tl

    11 күн бұрын

    Nipe maandiko jumamosi ndio siku ya ibada

  • @sirpleasureb

    @sirpleasureb

    10 күн бұрын

    @@Motheking-ps2tl luka 24:53-56 then luka 24:1-2.

  • @EdsonDaud-rg5jk
    @EdsonDaud-rg5jk16 күн бұрын

    Mwalimu ndacha ubarikiwe sana ushuuda umeutoa kweli u sahii

  • @mj.tv.forpeople992
    @mj.tv.forpeople99217 күн бұрын

    Yeremia 31 31 Angalia, siku zinakuja, asema Bwana, nitakapofanya agano jipya na nyumba ya Israeli, na nyumba ya Yuda. 32 Si kwa mfano wa agano lile nililolifanya na baba zao, katika siku ile nilipowashika mkono, ili kuwatoa katika nchi ya Misri; ambalo agano langu hilo walilivunja, ingawa nalikuwa mume kwao, asema Bwana. 33 Bali agano hili ndilo nitakalofanya na nyumba ya Israeli, baada ya siku zile, asema Bwana; Nitatia sheria yangu ndani yao, na katika mioyo yao nitaiandika; nami nitakuwa Mungu wao, nao watakuwa watu wangu.

  • @EmmanuelMoses-pb1zh
    @EmmanuelMoses-pb1zh17 күн бұрын

    Nimejaribu kumsikiliza mwankemwa lakin ata sielewi kabcaa

  • @DanielErnest-nn2zj

    @DanielErnest-nn2zj

    17 күн бұрын

    Na hauwezi kumuelewa maana anapinga amri za Mungu

  • @JafethOdhiambo

    @JafethOdhiambo

    13 күн бұрын

    Hana jibu la point

  • @marrygicho4050
    @marrygicho405015 күн бұрын

    Kuna watu wako kwenye giza sana kuyaelewa maadiko' kama amrita kumi za MUNGU hazijabadiriswa bona mtu azibadirishe? Mtakuja mwambiaje YESU arudipo.

  • @mozesdaniel7484
    @mozesdaniel74845 күн бұрын

    Ndacha Is fine thanks nimeelewa vzr naachana na Waprotestanti.. Hatakm ni chungu but nikweli isiyo na konakona

  • @EzekielBrown-yq9ui
    @EzekielBrown-yq9ui8 күн бұрын

    Usikwepe ndacha zile siku za kumega mkate katika kitabu Cha kutoka ziliitwaje kama ni sabato ni nani

  • @bonifasiemanueli21
    @bonifasiemanueli2114 күн бұрын

    Ndacha ni Msabato hawezi tetea ijumaa pili

  • @user-wg2gd2nl6c
    @user-wg2gd2nl6c16 күн бұрын

    Mwlm danieli unakosea Sana biblia Iko wazi siku ya Bwana nimojatu. Kama hyo jumapili kwanini isiitwe sku ya bwana?hebu msiwachanganye watu. Jumapili nisku yakwanza.

  • @mwoso
    @mwoso13 күн бұрын

    Kumega mkate haikua dhibitisho ya kuabudu siku ya jumapili. Pia yesu kufufuka siku ya tatu haikumanisha watu waanze kufanya ibada jumapili.

  • @stevesostenes1389
    @stevesostenes138911 күн бұрын

    Mwl Mwankemwa pole, huyo Ndacha ni fundi sana aisee.

  • @edwardmugendi-hb1tj
    @edwardmugendi-hb1tj17 күн бұрын

    hapana hawa watu wanashetani kichwani siyo kawaida asee, maana kitabu cha danieli kiko hai na kimeenza kufanya kazi mpaka sasa lakini haya majamaa hayana habari yanazani bado, najisikia vibaya mimi siyo sili😢😢

  • @user-md7ug5dd9r
    @user-md7ug5dd9r11 күн бұрын

    Kweli nimeamini kwamba Mungu anaweza kukupa vitu vingi sana lkn lipo moja aweza kukuficha usioelewe kabisa. Ndacha Mungu kakupa vingi lkn hili moja bado hajakufunulia . Nina imani kama ukiamua kuomba ktk Roho na kweli Mungu atakufunulia hili . Kuhusu siku sio jumamosi bali .ni Kila siku ❤ .Baki kwenye sheria utaachwa mbali

  • @NicholausNkumira-ue8fe
    @NicholausNkumira-ue8fe13 күн бұрын

    Mwankemwa umeshinda, Roho mt. alishuka Jumapili, Bwana Yesu alifufuka Jpili na aliendelea kuwatokea Wanafunzi Jpili Wanafunzi wakawa wanakutana Siku ya Kwanza ya Juma. Acheni hiyo mijadala wakristo Kwa wakristo. Bwana Yesu alibadilisha Kwa kuanzisha Agano jipya.

  • @bonifasiemanueli21
    @bonifasiemanueli2114 күн бұрын

    Mwankemwa hamuwezi Ndacha kwa Neno,ni hatari hata waislam wanamuogopa😢

  • @ismailmasoud6001
    @ismailmasoud60019 күн бұрын

    Ndacha anamuuliza mwankemwa atoe andiko ni nani alibadilisha sabato ni MUNGU au Yesu.? , 🤣🤣🤣....kumbe anajua kuna MUNGU na kuna Yesu 🤣🤣🤣

  • @issakisu4869

    @issakisu4869

    5 күн бұрын

    Hahahaha 🤣🤣🤣

  • @POVELSPORTS
    @POVELSPORTS17 күн бұрын

    Mbn kipande Cha mwl mwankimwe hakuna watumish

  • @tobiaswabwoba3805
    @tobiaswabwoba380516 күн бұрын

    Huyu jamaa haelewi maandiko kabisa

  • @dismasndaro
    @dismasndaro14 күн бұрын

    Wao wamepigwa upofu juu ya siku izi sabato ni amri ya mungu na pumziko la mungu mwenyewe mbona mmekuwa vipofu wa kiroho jamani

  • @Nolithajack12
    @Nolithajack1217 күн бұрын

    Daniel hana hoja❤

  • @AnitaJuma-eb4jn
    @AnitaJuma-eb4jn11 күн бұрын

    Ooh lord guide us and show us your way 🙏🙏🙏

  • @aliyyuhibu3561
    @aliyyuhibu356113 күн бұрын

    Daniel yuko vizuri ndacha chagua moja kumfata paulo au manabii

  • @msemakweli243
    @msemakweli24316 күн бұрын

    Mwankemwa hapo umechemka umeshindwa kudhibitisha lini siku ya kusali ni lini?

  • @tsumamartin6878
    @tsumamartin687817 күн бұрын

    Ulipotuma video ndacha akiwa Bukavu congo,nilikuomba mpatane Leo Daniel pata dozi yako

  • @christophersimwinga6689
    @christophersimwinga668915 күн бұрын

    Amri na Sheria hazikusaidia kuleta ukombozi zilishindwa na badala yake ikaja neema Kwa kifo Cha BWANA Yesu kristo .ndio mana Agano la kale likaitwa Agano chakavu Kwanini tuendelee na Agano chakavu . Mi naona hili Mmekosa kazi

  • @filexbenefits5612

    @filexbenefits5612

    14 күн бұрын

    Wacha watu wakose kazi ww uliyenayo ifanye, hata nashaka waijua kazi yako gani na wala kwa namna io huwezijua

  • @Shomariamuri1

    @Shomariamuri1

    11 күн бұрын

    Umeptea wewe ndugu yangu. Hakuna sheria ya Mungu ambayo mtu yeyote anafaa kuvunja.

  • @christophersimwinga6689

    @christophersimwinga6689

    3 күн бұрын

    Kuendelea kushika amri na Sheria ni kukataa ukombozi ulioletwa kwa njia ya yesu kufa msalabani. . Sheria amri Torati na sadaka vilishindwa kuleta ukombozi ndipo yesu akafa msalabani kwa ajili ya kuleta ukombozi

  • @sylvestersamwel8210
    @sylvestersamwel821015 күн бұрын

    YESU alikufa kwa ajili ya ondoleo la dhambi siyo kwa ajili ya kubadisha Amri za Mungu.

  • @christophersimwinga6689

    @christophersimwinga6689

    13 күн бұрын

    Ondoleo la dhambi likiwapo Sheria inakosa kazi .

  • @sylvestersamwel8210

    @sylvestersamwel8210

    13 күн бұрын

    @@christophersimwinga6689 Basi zikose kazi zote sio ya nne tu, kama ni kuzini, kuiba,kuwaheshimu wazazi na nyingene zote tuzivunje!!

  • @sylvestersamwel8210

    @sylvestersamwel8210

    13 күн бұрын

    @@christophersimwinga6689 Basi isiwe kwa amri ya nne tu, kuzini, kuiba, kuwaheshimu baba na mama na nyingine zote tuvunje!! Sheria za Mungu ni kioo( dira) ya maisha ya Ukristo.

  • @christophersimwinga6689

    @christophersimwinga6689

    3 күн бұрын

    Haya mengine yanatimizwa kwasabbu Yameelekezwa kufuatwa katka Agano jipya. Hakuna aliye sema tushike sabato katka Agano jipya.

  • @UswegeJohn-ov3ym
    @UswegeJohn-ov3ym15 күн бұрын

    Daniel ni Mwalimu professional kabisa ingawa watu wa mwilini hawakuelewi.

  • @estakenia

    @estakenia

    14 күн бұрын

    😂 alie wa mwilini ni wewe

  • @Shomariamuri1

    @Shomariamuri1

    11 күн бұрын

    Ni mwalimu kweli, lakini mafundisho yake sio ya Biblia bali ni Theologia ya ki catholic 😂

  • @benardmwamboneke9612
    @benardmwamboneke961212 күн бұрын

    Ndacha❤

  • @JafethOdhiambo
    @JafethOdhiambo13 күн бұрын

    Hapo hakuna mjadala Yesu ni mshindi siku zote Amina

  • @filexbenefits5612
    @filexbenefits561216 күн бұрын

    Hama siku ya kwanza ya juma, konfiushoni, results of being in Babylon

  • @albertvalentino130
    @albertvalentino13013 күн бұрын

    Kwa mkristo anayeujua ukristo wake vizuri,kila siku na muda wote ni muda wa ibada --- ibada inapaswa kuwa ni sehemu ya maisha ya kila siku na muda wote.

  • @alzawahirabdallah2299

    @alzawahirabdallah2299

    13 күн бұрын

    Hakuna kanisa la kwenda kila siku utakuwa maskini na ndio maana ukawekewa kwa wiki mara moja upate kutowa fungu la kumi vizuri

  • @BonifaceIrungu-fv9pf
    @BonifaceIrungu-fv9pf12 күн бұрын

    Jumatatu, jumapili, jumamosi, na zinginezo ,ni majina ya siku kulingana na mwanadamu. Katika uumbaji Mungu hakuzitumia bali alizitaja siku kwa hesabu yaani siku ya kwanza , ya pili hadi ya saba kwa hio bado sijaelewa chochote juu umetoa andiko kwa bibilia ambayo inaitwa HABARI NJEMA na hizo ni bibilia zilizoandikwa juzi. Bibilia takatifu na zinginezo zilizokuwepo mwanzo, hakuna jumapili,jumatatu , wala ijumaa zimawahi kutajwa.

  • @bethaniahemalautukufu-np3so
    @bethaniahemalautukufu-np3soКүн бұрын

    Sabato ni ibada siyo siku ibada yoyote ya mungu wa mbinguni ni sabato

  • @MushTazan-vf6ld
    @MushTazan-vf6ld12 күн бұрын

    Ndacha wa kaushe ao

  • @DanielErnest-nn2zj
    @DanielErnest-nn2zj17 күн бұрын

    Mwankemwa hana hoja kabisa, na keaho ndio kitaumana yaani. Ndacha watibu maana wanaumwa ni wagonjwa

  • @EmmanuelMoses-pb1zh
    @EmmanuelMoses-pb1zh17 күн бұрын

    Ila siku hizi hamtutendei haki watu tunaowafatilia you tube maana video zinaganda ganda afu fupi fupi

  • @JosephMpangala-wd5mp
    @JosephMpangala-wd5mp14 күн бұрын

    Ukweli utabaki kuwakweli,nauongo utabaki kuwaongo,mwanadamu amepewa uchaguzi wa kuamua anasimama upande upi,mwisho nihukumu.Mathayo7:24-26.

  • @albertvalentino130
    @albertvalentino13013 күн бұрын

    NDACHA kwenye huo mfululizo wa amri,ipo pia amri inayosema " USITAMANI " yaani,usitamani kufanya dhambi --- Yaani kwa Mungu,ni dhambi kwa mwanadamu kutamani kufanya dhambi --- Je,wewe Ndacha hujawahi kufanya dhambi? --- Neno la Mungu linasema kwao wanaotaka kuokolewa kwa njia ya sheria " Imewapasa kuitimiza Torati yote " hakuna mwanadamu atakayehesabiwa haki kwa matendo ya sheria.

  • @hassanimouigni6648
    @hassanimouigni664814 күн бұрын

    Kumbe ndacha unajua mungu ni moja halaf unatafuta vigezo ku wadanganya wenzako

  • @abdallahdataguy

    @abdallahdataguy

    12 күн бұрын

    wajinga ndiyo waliwao. Mungu anasema ni mmoja mara baba na mwana. Hovyo kabisa

  • @user-tg5vq3zf1f
    @user-tg5vq3zf1f8 сағат бұрын

    Nakuliza ndacha kuna dhambi kusali ijuma ine au ijuma tano ? nipo moçambiqwe

  • @EfraimNjole
    @EfraimNjole9 күн бұрын

    Nimekukubari

  • @bonifasiemanueli21
    @bonifasiemanueli2114 күн бұрын

    Pengine Mwankemwa yuko sawa

  • @Shomariamuri1

    @Shomariamuri1

    11 күн бұрын

    Hakuna siku Mwankemwa atakua sawa

  • @user-df1wz5xu2i
    @user-df1wz5xu2i10 күн бұрын

    Ndugu zangu nawaambieni tuu kitu kimoja huyu mkenya tuache unafiki huyu jamaa ni mwalimu mimi nimekubali

  • @JosephDadu-bj2ck
    @JosephDadu-bj2ck17 күн бұрын

    mbona akuna Manali pa download apa

  • @renatuskweyamba6460

    @renatuskweyamba6460

    17 күн бұрын

    Mwenyewe napatafta sipapati jamaniiii

  • @onkombageoffrey5226

    @onkombageoffrey5226

    16 күн бұрын

    Hipo download ukipeleka kushoto hapo pa share

  • @user-nw9ds9qe5i

    @user-nw9ds9qe5i

    15 күн бұрын

    Ndacha vs mwankemwa wote ni walimu wazuri Sana nimewapenda Sana nawote mpo sawa jumamosi jumapili zote ni Safi kwa MUNGU nawote tuna mwamini YESU KRISTO kuwa mwana wa MUNGU na alikufa na kufufuka kikubwa tusitende dhambi. Jumamosi haita kusaidia ukiwa mtenda dhambi. Jumapili haita kusaidia ukiwa mtenda dhambi. Sisi sote ni wa Baba yetu mmoja. Mbarikiwe Sana walimu wangu 🙏

  • @stephenogachi2205

    @stephenogachi2205

    15 күн бұрын

    ​@@user-nw9ds9qe5imada sio ni siku gani itakusaidia, madi ni sabbath ya biblia ni siku gani? Ili watu wawe huru na uongo WA bishops na pope

  • @NicholausNkumira-ue8fe
    @NicholausNkumira-ue8fe13 күн бұрын

    Yesu hakutii sabato alikuja kutimiliza torati. Alisema amri kuu 2, kumpenda Mungu na jirani. Alisema Jumamosi hata Mungu anafanya kazi. Na washika Jumamosi walitangaza Yesu ameivunja sabato, na NI KWELI aliivunja maana aliwafanyisha watu KAZI Mfano kubeba godoro, kuvunja masuke shambani n.k. Jumamosi ilikufa na agano la kale. SASA tuna agano jipya. Kufundisha neno la Mungu SIYO KUSALI, tunaposali tunamega mkate.

  • @JafethOdhiambo

    @JafethOdhiambo

    13 күн бұрын

    Marko 2:27-29

  • @christophersimwinga6689

    @christophersimwinga6689

    3 күн бұрын

    Ni kweli kabisa yesu alivunja sabato tena kwa vitendo sio kwa maneno tu hata alipoulizwa alisema Mungu anafanya kazi hata Leo jumamoisi .

  • @dennisezakiel3380
    @dennisezakiel33808 күн бұрын

    Mimi nilijua mwakemwa ni msabato kumbe sio , Amri 10 ndo muhuri wa Mungu

  • @catherinenyokabi5746
    @catherinenyokabi574616 күн бұрын

    Bii diyo injili mwalimu Ndacha MUNGU akumbariki sana

  • @alzawahirabdallah2299
    @alzawahirabdallah229913 күн бұрын

    Mungu alishasema atawafarakanisha wenyewe kwa wenyewe

  • @cosmassisa5256
    @cosmassisa525615 күн бұрын

    Haha 51:50 huyu Daniel mpotoshaji sana kwani hajui kwamba Paulo anaposema aliwaudhi Wayahudi ni kwamba alikuwa akiwaua Wayahudi. Kabla ya Paulo kuwa mtumi, alkuwa akiitwa Sauli na aliwaua Wayahudi wengi sana. Baada ya Yesu kumtokea ndipo alikuwa mtume. Sasa Daniel anakuja kusema kwamba kisa alikuwa Msabato😂😂

  • @NicholausNkumira-ue8fe
    @NicholausNkumira-ue8fe13 күн бұрын

    Kabla ya Konstantino Jumapili ilikuwepo na mitume walikuwa wanasali na kukutana kuumega mkate ambayo NI Siku ya Kwanza ya Juma iliyoanzishwa na Kristo Kwa kufufuka kwake Siku hiyo ya Ukombozi.

  • @Shomariamuri1

    @Shomariamuri1

    11 күн бұрын

    Mmepote nyie mnaovunja sharia za Mungu 😂

  • @dullahfar7775
    @dullahfar777513 күн бұрын

    Ndacha kasema siku inaanzia jioni kama sisi waislam na siku ya saba ni ijumaa anzia na mosi,pili,tatu,nne,tano.......

  • @Neemaamani-dj5dg
    @Neemaamani-dj5dg8 күн бұрын

    Ndacha 🙏🙏

  • @JosephNyaberi-sb1rf
    @JosephNyaberi-sb1rf10 күн бұрын

    Jinga hii ni ya wapi?

  • @tsumamartin6878
    @tsumamartin687817 күн бұрын

    Watandike viboko vya neno ndacha hoyeeee

  • @DanielErnest-nn2zj

    @DanielErnest-nn2zj

    17 күн бұрын

    Kabisa yaani😂😂😂😂

  • @aliabdallah8456
    @aliabdallah845610 күн бұрын

    Tatizo la wakristo mnafuata mambo ya Roma Marekani Ujerumani hayo ndiyo mataifa yaliyoanzisha ukristo lakini Israel hakuna ukristo

  • @EzekielBrown-yq9ui
    @EzekielBrown-yq9ui8 күн бұрын

    Ndacha unajua sana maandiko ila unakwepa

  • @themessage3508
    @themessage350817 күн бұрын

    😂 mwalim danieli hana hoja kabisa amejaa maneno ya siasa

  • @BAYYINATDMTV

    @BAYYINATDMTV

    17 күн бұрын

    Mbona wametoa maelezo yangu ya mwanzo? Unajua nilisoma maandiko gani huko?

  • @themessage3508

    @themessage3508

    17 күн бұрын

    Keaho Simama utuambie amrikumi za Mungu zili futika lini😂

  • @Thruthministry

    @Thruthministry

    17 күн бұрын

    Huna ukweli unajuaa ndio sababu unaamini pasipo kujua ,, YESU kamwe hawawezi kupingina na BABA,, Mathew 5:17,, wacha kutafuta jina kwa kazi ya MUNGU ya kusaidia watu waokolewe

  • @jonathanmusyoka3143
    @jonathanmusyoka314317 күн бұрын

    Mwakemwa hoja dhaifu zako zinataka chai ya asubuhi nikikunywa zip moja chai kabla slaizi ya mkate una hoja ni akili zako tutao akili zako tuwekee kanisa isome shida ya ulokole mwingi

  • @dismasndaro
    @dismasndaro14 күн бұрын

    Wewe mwakimwa una elimu kabisaaa tofati na ubishi alafu unajibu maswali tofauti kabisaaa

  • @cosmassisa5256
    @cosmassisa525615 күн бұрын

    Hahaha hili somo la unabii la kitabu cha Daniel halieleweki kwa watu wa Jumapili kabisa.

  • @HamisRashid-xl4mn
    @HamisRashid-xl4mn3 күн бұрын

    Mkali wanini rumbaneni wenyewe uisilamu umenjooka hana lolote huyo

  • @ackimackim1880
    @ackimackim188015 күн бұрын

    SABATO NI SIKU YA SABA,JUMAMOSI-JUMAMOSI NI SIKU SABA NA JUMAPILI -JUMAPILI NI SIKU SABA,KESI IKO WAPI WATUMISHI,SIKU ZOTE NI ZA BWANA.

  • @Motheking-ps2tl
    @Motheking-ps2tl11 күн бұрын

    Ukiwawekea shehe apo anawasambaratisha wote.

  • @user-sb5qe8yy3q
    @user-sb5qe8yy3q17 күн бұрын

    Hoja za maneno mengi zinaharibu wasikilizaji

  • @gastokonzo9798
    @gastokonzo979817 күн бұрын

    Juma pili ni mapokeo huo ndio ukweli

  • @BAYYINATDMTV

    @BAYYINATDMTV

    17 күн бұрын

    Gasto siku zote wewe huwa unajifanya huyasikii maandiko yakitolewa. Pole sana

  • @themessage3508

    @themessage3508

    17 күн бұрын

    Tatizo danieli unejaa maneno

  • @mathieuombeni4643

    @mathieuombeni4643

    17 күн бұрын

    ​​@@BAYYINATDMTVBila shaka Mwalimu Ndacha amemfundisha kweli kabisa/ Mwankemwa Acha kupotosha maandiko matakatifu 👉🏽 Ufunuo 12:17/ Ufunuo 14:12/ Warumi 10:17/ Warumi 3:31/ 1 Yohana 5:3/ Mathayo 5:17-18/ Yohana 12:47-48-49-50/ Mwalimu Mwankemwa, huoni kwamba Maandiko yamekupiga chenga , Umezidi kupotosha tu Maandiko Matakatifu, hatari sana kabisa

  • @gastokonzo9798

    @gastokonzo9798

    16 күн бұрын

    Maandiko hayo yanatoa maana tofauti na wewe hayalingani na we we unavyoelezea ​@@BAYYINATDMTV

  • @opujejoshmahjoshmah1432

    @opujejoshmahjoshmah1432

    16 күн бұрын

    Yer31:31-34​@@BAYYINATDMTV hata Yusufu alijuwa Amri ya Mungu akiwa Misiri usizini,mbona Nne ni shida...kuto20:8 utaelewa tu

  • @DerickMotondi-cr7fq
    @DerickMotondi-cr7fq14 күн бұрын

    Watu watapigania siku mbaka Mungu arudi . Na siku haipeleki mtu mbinguni

  • @isaiahonyapidi5662
    @isaiahonyapidi566217 күн бұрын

    Ati siku ya nane😅

  • @DanielErnest-nn2zj

    @DanielErnest-nn2zj

    17 күн бұрын

    😂😂😂😂😂

  • @opujejoshmahjoshmah1432
    @opujejoshmahjoshmah143216 күн бұрын

    Yani hata kwao Unabii ni ushetani...walimu hawa kwa kweli watajuta huko mbeleni

  • @tsumamartin6878
    @tsumamartin687817 күн бұрын

    Mwamkemwa Leo anatolewa jashoooo

  • @BAYYINATDMTV

    @BAYYINATDMTV

    17 күн бұрын

    Kwenye nini?

  • @opujejoshmahjoshmah1432

    @opujejoshmahjoshmah1432

    16 күн бұрын

    Mwal kwakweli bila kutetea tumbo...kwa manabii na Mitume taja moja kaenda Ibaada siku ya kwanza ya Jumaa​@@BAYYINATDMTV Yani Dan7:25 usipoelewa tafuta kujifunza siri kuu iko hapo Ata Yesu Alirudisha wanafunzi kujuwa hilo Mthw24:14-15

  • @machairtv2528
    @machairtv252812 күн бұрын

    Naitaji mdawakiere mmi na ndacha live kuusu ijumapi na ijuma mosi

  • @sefaniaslyvestertv1498
    @sefaniaslyvestertv149814 күн бұрын

    Mbona maneno ya @danie umeyakata inaonekana alikuwa na hoja motomoto

  • @MahmoudKhamis-cv9pi
    @MahmoudKhamis-cv9pi8 күн бұрын

    Ndacha yupo Sawa Kwa hoja amemshinda jamaa

  • @saitotisapiyo5997
    @saitotisapiyo599716 күн бұрын

    Ndiyo maana huyu mwakemwa sikuhizi aliishà juu mwongo na mwongo uwisha

  • @shyneafya2468
    @shyneafya24685 күн бұрын

    Mwankemwa Kwan unasema et wale wanafunzi wa Paulo aliwakuta wakisoma torat ya Musa ni sawa na Yesu alisoma kitabu Cha Isaya Kwa kusoma ivo Kwa nn Yesu alikuwa nae amekosea ilitakiwa asome Injili? Kipindo vitabu bilivokuwepo ilikuwa agano la kale wote walisema ivo

Келесі