NJIA ANAZO ZITUMIA SHETANI KUTEKA NAFSI YA MTU |NABII ESTHER MASANJA

Ойын-сауық

BADO KUNA USHINDI TV NI TV YA MTANDAONI INAYOJIHUSISHA NA MAMBO YENYE KUJENGA NA KUINUA IMANI YA KIKRISTO KUHUSU MUNGU WA KWELI YEHOVA. INARUSHA SEMINA, MIKUTANO YA INJILI, SHUHUDA ZENYE KUJENGA NA SIMULIZI MBALIMBALI ZA MAISHA YA MASHUJAA WA IMANI.
UNGANA NASI KWA KU-SUBSCRIBE, KU-SHARE NA ILI KUBORESHA HUDUMA HII UNAWEZA KUCHANGIA AU KUTUMA SADAKA YAKO. KWA NAMBA +255 718 600 557, + 255 629 920 640. PIA NAMBA HIZI UNAWEZA KUZITUMIA KWA MAWASILIANO. JINA LITAKALO TOKEA UKITUMA SADAKA YAKO NI DANIEL ANTHONY KITUA. UBARIKIWE

Пікірлер: 25

  • @emmanuelsunday8325
    @emmanuelsunday83256 күн бұрын

    Amina

  • @GressLaizer
    @GressLaizer4 күн бұрын

    Mungu akubariki mtumishi kwa kutuhubirikia mahisha ya mbingu

  • @hasanygodda9242
    @hasanygodda92424 күн бұрын

    Amen mtumishi

  • @beatricemwamini2044
    @beatricemwamini20444 күн бұрын

    Amen.

  • @MabelKaaya-hl2je
    @MabelKaaya-hl2je10 күн бұрын

    Nafuatilia. Mbarikiwa sana Kwa ajili ya huduma NJEMA KATIKA YESU Kristo.

  • @user-wr4rs6ul3r
    @user-wr4rs6ul3r7 күн бұрын

    Maman mungu awa bariki mimi ni Gamaliel mwema apa Congo naitadji maombi mungu afungue nafusi yangu

  • @maryke5498
    @maryke54983 күн бұрын

    Amen 🎉🎉🎉🎉 more grace of God my sister 💝😘💝💕🥰.more inspiring 💝

  • @AnnaLimbe
    @AnnaLimbe7 күн бұрын

    Ubarikiwe sana mama nataman ata kukuona

  • @DominickJohaness
    @DominickJohaness7 күн бұрын

    Ubarikiwe sana

  • @abiampangile
    @abiampangile7 күн бұрын

    Ibarikiwe sana mtumishi wa Mungu nimebarikiwa sana na mafundisho Ila ninaomba namba yako ya simu

  • @jenipharobert9694
    @jenipharobert96947 күн бұрын

    Haleluyaa nasikia bubujiko Mungu akuinue mtumishi wa Mungu binafsi umenibariki na nimepata kitu kikubwa mnoo Yesu Kristo akutunze mtumishi wa Mungu

  • @zainaluoga1666
    @zainaluoga166610 күн бұрын

    nakupenda mama

  • @JudithModestus
    @JudithModestus10 күн бұрын

    Amen amen

  • @elizaberthleonard4362
    @elizaberthleonard436210 күн бұрын

    Ubarikiwe sana mtumishi wa Bwana

  • @pastoreliya663
    @pastoreliya6639 күн бұрын

    Bwana Yesu asifiwe Mwana Wa Mungu ,Nabarikiwa Sana ,Nakupenda Sana

  • @badokunaushindi2153

    @badokunaushindi2153

    9 күн бұрын

    KRISTO AZIDI KUKUBARIKI

  • @user-tg5vq3zf1f
    @user-tg5vq3zf1f10 күн бұрын

    Ubarikiwe dada nipo Moçambique nakufuatilia nabarikiwa pia. Mungu akutiye nguvu zaidi

  • @badokunaushindi2153

    @badokunaushindi2153

    10 күн бұрын

    amen kristo akubariki sana kutoka hapo

  • @nancynjoki2966
    @nancynjoki29668 күн бұрын

    Amina, ujumbe wakubariki sana 🙏🏽.

  • @badokunaushindi2153

    @badokunaushindi2153

    8 күн бұрын

    AMEN

  • @paulampwenku4241
    @paulampwenku424110 күн бұрын

    Nduguzangu katika YESU KRISTO, tunashukuru kwa kipindi hiki kinatusaidia sana.

  • @badokunaushindi2153

    @badokunaushindi2153

    10 күн бұрын

    amen share link kadri uwezavyo

  • @PendoPogwa
    @PendoPogwa8 күн бұрын

    Alafu wanaume wa siku hizi sio wanaoweza kubeba majukum kama baba au mume hana logic ukiwa kama mke unahtaji kusikia kauli nzto kutoka kwa baba sasa anawaza mpira tu mara madem wakali utakuwa kam ungekuwa mwanamke kwa mtu wa hvyo??

  • @joseph-masija
    @joseph-masija6 күн бұрын

    Mama yangu hili andiko unalielewa? 1 Timotheo 2: 11. Mwanamke na ajifunze katika utulivu, akitii kwa kila namna. 12. Simpi mwanamke ruhusa ya kufundisha, wala kumtawala mwanamume, bali awe katika utulivu.

  • @EZEKIAMGWILANGA-hj4hj

    @EZEKIAMGWILANGA-hj4hj

    5 күн бұрын

    Ameeni, it's true

Келесі