MAZINGE ATAKA MAJIBU YA MASWALI HAYA KWA WAKRISTO

SHEIKH MAZINGE AWEKA HOJA KWA MASWALI HAYA ILI KUUFAHAMISHA UMMA NA KUUWEKA WAZI UMMA KUUJUA UKWELI

Пікірлер: 100

  • @guyogalora-gl2lu
    @guyogalora-gl2luАй бұрын

    mashaallah..barak Allahu feek sheikh masinge

  • @libanduddeh5595
    @libanduddeh559521 күн бұрын

    Mazinge allah akupe maisha marefu yenye kheri njema

  • @welldingsikonge7442
    @welldingsikonge7442 Жыл бұрын

    Shekhe Mimi nakukubali Sana

  • @user-gy6xz5xh3f
    @user-gy6xz5xh3f Жыл бұрын

    Ww Shekhe Mazinge MASHA ALLAH Ni Profesa Kweli ALLAH Akuzidishie Elimu Na Akupe Umri Mrefu Na Afya Njema Amin Amin Amin

  • @user-gy6xz5xh3f
    @user-gy6xz5xh3f Жыл бұрын

    Sote Tuna Kupenda Shekhe Mazinge

  • @husseinhusein-zj7ez
    @husseinhusein-zj7ez Жыл бұрын

    asante sheikh wang mungu akup mwisho mwem katik hi dunia

  • @tozzaalexandar4905
    @tozzaalexandar4905 Жыл бұрын

    Isha Allah ya sheikh muhadhill Habib mazinge

  • @user-sm9qi6pk6k
    @user-sm9qi6pk6kАй бұрын

    Inshalha shekh Mazinge

  • @desiremlavumba7361
    @desiremlavumba7361 Жыл бұрын

    Allah akutie nguvu uzid kutoa dawa Kwa makafiri ,, mazinge ishi miaka mingi tu

  • @didamalkia657
    @didamalkia657 Жыл бұрын

    Mashaallah shekh mazinge ALLAH akubariki sana

  • @AnchaAlide
    @AnchaAlideАй бұрын

    Mungu akupe uzima mazinge

  • @Laizer3
    @Laizer32 ай бұрын

    Mimi ni mkristo lakini ninachokipenda kwa waislamu ni nidhamu kwenye dini,sisi wakristo wanawake wanavaa uchi kanisani , kuna makanisa ya mashoga ,mnatetea israeli akati wanauwa watu

  • @Makevo08

    @Makevo08

    2 ай бұрын

    Wewe sio mkristo.....mahogany wengi wako miji ya pwani na wakzi wao ni wengi waislamu so....fatilia vzr vita hivyo vya israel...jiulizee kwanini saudi arabia ni mwarabu lakn sasa anassuport Israel....soma fatilia kbla ujaasi Mungu wet Yesu kristo.

  • @yusufuheri6524

    @yusufuheri6524

    Ай бұрын

    ​@@Makevo08We jidanganye utafikiri kwa mungu ni picnic

  • @mapromovichege6997

    @mapromovichege6997

    Ай бұрын

    Musigombane hao mayahudi huyo yesu wenu wanasema ni mtoto wa zinna kwanza pili ni marufuku izrael kumtaja yessu

  • @heriabudu3207

    @heriabudu3207

    Ай бұрын

    Wacha kumpoteza Kwa kusingizia Islam​@@Makevo08

  • @zulfawaithera5479
    @zulfawaithera5479 Жыл бұрын

    Maa shaa Allah Alfmara Allah akufanyie wepesi palipo uzito kwenye kazi hii ya daawa kwa mandungu zetu wasio Kua waisilamu

  • @user-ys2gn1nd4q

    @user-ys2gn1nd4q

    2 ай бұрын

    Kwenda falaww makfr wakubwanyny

  • @KhalimaSaid-hx4tc
    @KhalimaSaid-hx4tcАй бұрын

    Sounds good ❤

  • @kassimjuma6151
    @kassimjuma6151Ай бұрын

    Sheikh Mazinge fanya utaratibu mufanye debate na Mwamposa pamoja Jedeva anae jita nabii mkuu

  • @farmah9685
    @farmah9685 Жыл бұрын

    Kama yesu ni mungu nani anae endesha dunia sasa hivi

  • @hadijawara1403

    @hadijawara1403

    3 ай бұрын

    Wewe una kichaa sasa kama yesu ni mungu, na huyo mungu utamuweka wapi

  • @EgideNkeshimana-xl2of
    @EgideNkeshimana-xl2of2 ай бұрын

    🙏🙏🙏

  • @farmah9685
    @farmah9685 Жыл бұрын

    Maswali mazuri lakini hawaelewi mpaka mungu atake washawekwa masikio vizibo hawasikii hawaoni hayo maandiko

  • @jumaruhinda9987
    @jumaruhinda9987Ай бұрын

    Wengine. tujjaribu kuskiliza vizuri kiswahili jamani ili tuelewe kinacho zungumzwa

  • @ignasmalema8354
    @ignasmalema8354 Жыл бұрын

    Umemkejeli sana Yesu kristo ,basi ndugu inatosha omba toba akusamehe, acha hizo drama zitakupeleka motoni, MUNGU anakuhitaji,

  • @farmah9685
    @farmah9685 Жыл бұрын

    Wanaitwa kwenye haki maskiin wanabembelezwa lakini bado wameganda kwenye upotevu hawataki kuelewa

  • @isaaabdala7016
    @isaaabdala70162 ай бұрын

    Nyinyi ndio kuni za.moto wa jahanam wakristo polenisana

  • @user-ht2dl4ft6n
    @user-ht2dl4ft6n2 ай бұрын

    Haaaaaa Yani mashwali yenu mepesi sana sana Nikama kusukuma mlevi, Sasa yesu kuitwa ilo jina kwanza ujuwe jina ya Mungu nisifa ya Mungu wetu sisi Mungu wetu anajina anaitwa Johova tena anaitwa yahawe Sasa mazinge Niku ulize wapi kwenye yesu Ali itwa yohova AO yahawe akuna ila kuitwa Mungu ilo nisifa ya Mungu wetu mwenye anaitwa Johova, yesu katika mathayo ameitwa Mungu na uyo MTU akumukataza Sasa mze Kwanini yesu anaitwa ilo jina kwanza wakati unaposoma Katika mathayo 3:15 kuendeleya inasema nawakati yesu alibadizwa mbingu zikafunguka natazama ikatokeya sauti ya Mungu baba inasema uyu nimwanangu mupendwa wangu ninaye pendezwa naye musikilizeni yeye nakisema kama yesu alituma kwa waisraeli ilo siyo kweli yesu alituma kwaulimwengu nzima kwani wewe auko kwenye ulimwengu huu nani mambo yakuongeya nimengi sana ila ayo nimadogo tu

  • @JosetadeuChikota-kd7ms
    @JosetadeuChikota-kd7msАй бұрын

    Wewe mazinge tangaza dini yako, sema maneno kwa dini yako, 😊

  • @Clamvevo-dx3fk

    @Clamvevo-dx3fk

    Ай бұрын

    Unaumia nini sasa

  • @chikuiddy9946

    @chikuiddy9946

    Ай бұрын

    Limekugusa

  • @user-xr8dq3sp9e
    @user-xr8dq3sp9eАй бұрын

    Mmmm yaani yiyiwakirst kazi kutukana tu didiyenu div inav wafudish yaani akili zenu zinamafuta ya gulue tu diomana mmatukana

  • @farmah9685
    @farmah9685 Жыл бұрын

    Kweli akili ni mali

  • @saiddgsmg
    @saiddgsmg2 ай бұрын

    bonge la swali tarehe 25 mungu yesu kazaliwa je.tarehe 24 watu walikuwepo je hao watu waliumbwa na nani?!😅😅😅😅😅😅

  • @clecam1
    @clecam12 ай бұрын

    Nipo buzy nawafuatilia Arab ex- muslims wana madini balaa! Mazinge na waganga wenzie tutakurudia baadae.

  • @user-ys2gn1nd4q
    @user-ys2gn1nd4q2 ай бұрын

    kwanza ww umalizi mistar yabiblia waishia katkat falaww ndacha kakushind utaongea nn

  • @JosetadeuChikota-kd7ms
    @JosetadeuChikota-kd7msАй бұрын

    Wewe mazinge tangaza dini yako, sema maneno kwa dini yako,

  • @mobutu3884
    @mobutu3884 Жыл бұрын

    waislam mlishaambiwa na quran ikiwa kuna sehemu hamuelewi waulizeni wenye elimu kabla yenu yani wakristo, sasa badala ya kuwauliza mnataka kupingana nao mtawdza elewa kweli? kuweni wapole Yesu mnaemfahamu nyie ni Yesu baada ya kuzaliwa na Mariamu ila kabla hajazaliwa na Mariam (kabl ya kufanyika mwili) hamumjui na hamtamjua sababu hamuongozwi na roho mtakatifu. Tulieni hivohivo

  • @MhashaMussa-bl1ls

    @MhashaMussa-bl1ls

    2 ай бұрын

    Pumbavu huna akl' MUNGU hana sifa ya kubadilika badilika ww, yan nyuma awe MUNGU alaf badae aje kuwa YESU , hizi akil mnazitoa wapi nyie axe?? jufunze kwa waislamu upate kupona,

  • @mobutu3884

    @mobutu3884

    2 ай бұрын

    @@MhashaMussa-bl1ls sasa unalilia nini au ndio kupaniki, tulia dawa ikuingie 🤣🤣🤣

  • @user-rc7oi2hp8l

    @user-rc7oi2hp8l

    2 ай бұрын

    Mungu si mtu Wala hakuzaliwa Wala hakuzaa n yesu n Mtume wa Mungu.ushahidi kw kitabu chako

  • @mobutu3884

    @mobutu3884

    2 ай бұрын

    @@user-rc7oi2hp8l Sasa nitakupingaje na ndio uwezo wako wa kuelewa ulipoishia 😀

  • @mobutu3884

    @mobutu3884

    2 ай бұрын

    @@MhashaMussa-bl1ls kama Mungu wenu hana uwezo wa kubadilika basi poleni sana 😀

  • @favoritebrayo
    @favoritebrayoАй бұрын

    akili yako kumbe ndogo na unajiitanga profesar

  • @nestarnestar4520
    @nestarnestar45203 ай бұрын

    We mazinge hunaga akili, koroani yako 3:55 MUNGU anaesma atamuua YESU KRISTO na atamfufua lkn ww unapinga, amakweli ugari huu ni mtamu sana komaa lizee la ovyo

  • @marobaraka
    @marobaraka2 ай бұрын

    Kunakauli tata katika Quran. Sikuwaumba wanadamu na majini. Hakuna Mungu ila Allah.

  • @jabirkasunzu6841

    @jabirkasunzu6841

    2 ай бұрын

    Sio tata, uliza ufahamishwe, upewe elimu, ujinga ukutoke. Hiyo kauli inasisitiza tuu, Wanadamu na majini wote ni viumbe wa Mungu, tunatakiwa tumuabudu mwenyezimungu. Hata wanyama ni viumbe wa Mungu ila Mungu hakuwapa akili na utashi ndio maana Mungu hajawataja. Pia, Mungu ana majina mengi 99 likiwemo la Allah, na ndilo tukufu zaidi. Kwahiyo, ukijibunia Mungu au Miungu wako mingi wako ambao si mwenye jina la Allah, utapotea. Kwa mfano sisi wote ni binadamu lakini wewe una jina lako la Baraka. Wajuu wabaya sana watakuambia huwezi kuelewa bila ya roho makatifu ili uendelee kutoa sadaka, waendeshe maisha yao...sisi wachini ndio tuambiane ukweli, tushitukue ndugu yangu.

  • @marobaraka

    @marobaraka

    2 ай бұрын

    @@jabirkasunzu6841 sikuwaumba wanadamu na majini wapate kuniabudu. Sikuwaumba lakn ni kwel mungu wa Quran sio muumbaji. Lakini pia shahada inaanza kwa kusema hakuna Mungu. Hahahahahaha

  • @fatimajumaa2867

    @fatimajumaa2867

    2 ай бұрын

    @@marobaraka Hakuna Mungu isipo kuwa Allah kwa sababu miungu ni mingi Ndio mana akasema hakuna Yani hao miungu mingine ni ya uongo umeelewa

  • @fatimajumaa2867

    @fatimajumaa2867

    2 ай бұрын

    sikuwaumba binaadam na majini ila kuniabudu hivi hujaelewa nini hapo lengo la kuumba watu na majini ni kumuabudu MUNGU sijui umeelewa

  • @marobaraka

    @marobaraka

    2 ай бұрын

    @@fatimajumaa2867 sikuwaumba wanadamu imekaaje

  • @user-ht2dl4ft6n
    @user-ht2dl4ft6n2 ай бұрын

    Kwanza Sisi atumujuwi mtume wenu kwasababu ajatabiriwa na yesu n'a ajatajwa atakwenye bibilia mahali popote ajatajwa njo mana Sisi atumuamini na dini yenye alileta atuwezi tukaiyamini ju kwanza ata kwenye qu'aran Mungu wenu ajamutaja kama amemutuma Mungu ajasema

  • @chullymastertv5778

    @chullymastertv5778

    2 ай бұрын

    Umeisoma kweli Qur'ani ndug yang soma kwanza alafu ndio utoe comment

  • @user-tm7qy2fl1t

    @user-tm7qy2fl1t

    2 ай бұрын

    bibilia yenyewe haijui ataweza kujua kur-an

  • @user-tm7qy2fl1t

    @user-tm7qy2fl1t

    2 ай бұрын

    Soma bibilia yohana 16 mtari 7 halafu kasome. Na KUR-AN sura ya 61 suratu swaffi aya 6

  • @chikuiddy9946

    @chikuiddy9946

    Ай бұрын

    Biblia yenyew husomi mpaka ukahubiriwe kanisani

  • @Laizer3
    @Laizer32 ай бұрын

    Sisi wakristo watu tunakwenda kanisani kwaajili ya kuringisha nguo na kama muumini hana nguo hataenda kanisani maana ataonekana wa ajabu lakini waislamu kanzu tu inatosha

  • @user-ys2gn1nd4q

    @user-ys2gn1nd4q

    2 ай бұрын

    labda niwewe namamaako ndomwaend ringisha nguo wevp

  • @Laizer3

    @Laizer3

    2 ай бұрын

    Mamaako ndo anarngisha hadi bikini church

  • @user-ys2gn1nd4q
    @user-ys2gn1nd4q2 ай бұрын

    kwend yesu ndonabb wamwisho alisema yeye ndio alfa naomega nawtatokea manabii wauongo wevp

  • @shabanimtulya4718

    @shabanimtulya4718

    Ай бұрын

    Kasome vizur. Yusu anawaambia Wana wa Israel. Tuambie wewe baada ya yesu nabii gani alikuja kwa Wana wa Israel.

  • @FrankAloyce-ic6rq
    @FrankAloyce-ic6rq2 ай бұрын

    Hamna kitu ww ndacha kakugaalagaza

  • @user-ip4me1zl5k

    @user-ip4me1zl5k

    Ай бұрын

    Ndacha ni muongo afu ss hazungumzi kitu kipo anapamba pamba na kuufny uongo kua ukwel kwa masiray ya wat furni na shida yenu msahzaliwa ivo na mtaki kusoma mnasbri msomewe

  • @marobaraka
    @marobaraka2 ай бұрын

    Mungu wa waislam anajua utapata kibano kutoka kwa Mungu wa kweli wa Biblia. Ndio anasema sikuwaumba wanadamu. 😂😂😂

  • @fatimajumaa2867

    @fatimajumaa2867

    2 ай бұрын

    sikuwaumba ila kuniabudu mbona unaishia nusu si umalizie kijana na miungu yenu mitatu aloiteua mfalme costantino biblia kaamua yeye iweje nasio Mungu kaweka upagani kibao ndani ya biblia nandio mana wachungaji hawakiogopi wala kukiheshim kitabu hicho mana wanaujua ukweli ni kitabu kina mambo mengi ya upagani

  • @marobaraka

    @marobaraka

    2 ай бұрын

    @@fatimajumaa2867 wewe hahahha hyo ni biblia? Ushawahi kuisoma??

  • @marobaraka

    @marobaraka

    2 ай бұрын

    @@fatimajumaa2867 unahadithiwa aujawah kusoma na unakipondea kinoma hahahah Soma kwanza ndio useme utakavyo

  • @joycerichard9274
    @joycerichard92742 ай бұрын

    Mbona kipindi Cha magufuli hupayukipayuki

  • @josephwilliam5813
    @josephwilliam5813 Жыл бұрын

    Ayo majibu anayotaka aende kwa Muhammad Makkah akamjibu wakristo hatuna huo Mda mchafu

  • @farhatothman5329

    @farhatothman5329

    Жыл бұрын

    Innalillah wainnailaih rajiun

  • @josephwilliam5813

    @josephwilliam5813

    Жыл бұрын

    @@farhatothman5329 kama anajifunza kutoka kwa Muhammad ndio kwa umbea huo? Ku deal na ukristo? Halafu ndio wa kwanza kusema hawatakua radhi mayahudi na manasala mpaka mfuate Mila zao,,uyu mzee anachokomoa hajibiwe,,,aende Makkah akamfufue Muhammad amjibu wakristo YESU wetu Yu hai,,,ndio ushindi wetu na sio umbea wenu

  • @saidsuleiman9018

    @saidsuleiman9018

    Жыл бұрын

    Ndio nyie wapinga kiristo

  • @josephwilliam5813

    @josephwilliam5813

    Жыл бұрын

    @@saidsuleiman9018 sio wapinga Mudi😁😁

  • @juvenalymwanalyela202

    @juvenalymwanalyela202

    2 ай бұрын

    wewe mchawi unajuwa kilichomuu muhammad nakwanini alilogwa kama alikuwa ni mtumewa mungu kuna nabii gani alixhawahi kulogwa na kupasuliwa na kifuwa mala saba

  • @JosetadeuChikota-kd7ms
    @JosetadeuChikota-kd7msАй бұрын

    Dr, Sule na Ndacha, wanatoa elimu, ila wewe mazinge ni mzigo tu.

Келесі