Makutano Show: Muungano UmeKufa - Tundu Lissu

Mbunge wa Singida Mashariki akiongea kwa nini anaamini Muungano wa Tanzania umekufa alipokuwa katika kipindi cha Makutano Magic FM kinachoendeshwa na Fina Mango.

Пікірлер: 25

  • @utaani1
    @utaani19 жыл бұрын

    Wazanzibar hatutaki muungano na tanganyika

  • @YohanaNkhambi
    @YohanaNkhambiАй бұрын

    Factly memorial

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything5 ай бұрын

    👍✌️👊.

  • @williamkirway5074
    @williamkirway50743 жыл бұрын

    Hisia za LISSU,tutafakari.5-12-2020

  • @hundamaniamania872
    @hundamaniamania8725 жыл бұрын

    Kweli huyu amesima dah😑🤙🤙Jah bless

  • @alihijiiddi8977
    @alihijiiddi89772 жыл бұрын

    SAWA SAWA RAISI HERO TUNDULISU UPUMBAVU WA CCM AU MCC HAWAJUWI WAKIFANYACHO WIZI TUVWA PESA ZA ZNZ NA KUTUUWA KWA KULERA WABURUNDO WATUUWE 🇹🇿🇮🇱😇🌎👹🇹🇿🇮🇱🌎😇👹🇹🇿🇮🇱🌎😇👹🇹🇿👿🌎😇👹

  • @kamesk73
    @kamesk7311 жыл бұрын

    jamaa anaongea points sio hao wazembe wengine.

  • @adorakisamo8071

    @adorakisamo8071

    3 жыл бұрын

    Yaani lisu Yuko vizuri sana

  • @andrewsadiki9914
    @andrewsadiki991411 жыл бұрын

    Baraka hujui kitu ndiyo maana unaongea tu kama mtoto.katiba ya zenji wenye mamlaka ya nchi ni raia wa zenji sio ccm au watanganyika na hatushangai ndio maana mnajazana mji mmoja dar cos huko kwengine balaa tupu.kita eleweka tu kama maneno baba yenu nyerere laana ya mungu iwe juu yake kaongea sana lakini yeye kaondoka na zenji iko pale pale na hao wengine wasiotaka mabadiliko wakati utawabadilisha.

  • @rukiamuwango5409
    @rukiamuwango540910 жыл бұрын

    Mhhhi mombasa sio kisiwa. Nenda kwenye ramani sio kila kitu ni politic tu.

  • @oopsm3574

    @oopsm3574

    3 жыл бұрын

    NI asili yake ni kisiwa

  • @petersilas4234
    @petersilas42343 жыл бұрын

    Jaribu kufikiri zaidi kidogo, muungano haulazimishwi, ila kutokuwa na muungano ndio unalazimishwa. Population ni factor kubwa sana ambayo watu wa mawazo mafupi hawayaoni. Watu wenye mawazo mapana wasiofungwa na madhaifu ya kibinadamu hupenda umoja.

  • @othumanbakari1404
    @othumanbakari140411 жыл бұрын

    Tunasema kwamba hivi muungano niwanchi mbili kwanini inufaike moja moja iwe inabanwa hivi tuangalie z.bar haiwezi kutoa akawa wa muungano wapi na lini rais ametoka z,bar twataka nchiyetu z,bar kwanza

  • @harithmohd6318
    @harithmohd63182 ай бұрын

    Mjmb uko sahihi serekali tatu ndio muhimu au kila mtu kwako watanganyika mubaki kweli na sisi wanzanzibar tubaki kweli hatuon samah ya muungano nauchukia huu munganooo wa kiharamu Inshaallah ipo siku zanzibar yetu itakuwa huru

  • @ClemoohPeter
    @ClemoohPeterАй бұрын

    Sisi watanganyika hatutaki muungano tumechoka kero za wazanzibari hatutaki

  • @anwaritesal4695
    @anwaritesal46953 жыл бұрын

    Tuvuruge kisha urudi kwako ubeligiji na unatuvuruga kweri wewe.

  • @lindambilinyi6253

    @lindambilinyi6253

    3 жыл бұрын

    Atakuvuluga baba ako na mama ako

  • @kassim1262

    @kassim1262

    2 ай бұрын

    Utavurugwa tu manaake hujatumwa ue mjinga 😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @mgallason...5686
    @mgallason...56863 жыл бұрын

    Hakika we ni kipele kabisa