Sikiliza VIMBWANGA Vifupi vya Kamanda Lissu Tanganyika na Zanzibar

Sikiliza VIMBWANGA Vifupi vya Kamanda Lissu Tanganyika na Zanzibar
Sikiliza VIMBWANGA Vifupi vya Kamanda Lissu Tanganyika na Zanzibar ilivyochakachuliwa...!!!
Dodoma/Dar. Mjumbe wa Bunge la Katiba, Tundu Lissu amesema Tanganyika ilikufa kwa amri iliyotolewa na Mwalimu Julius Nyerere na siyo kwa makubaliano katika hati ya Muungano.
Huku akinukuu maneno yaliyopo katika vitabu vilivyoandikwa na Profesa Issa Shivji na Makamu Mwenyekiti mstaafu wa CCM, Pius Msekwa, Lissu alisema Jamhuri ya Muungano ilizaliwa bila uhalali wa kisheria kwa kuwa hayakuwapo makubaliano ya kila upande wa Muungano.
Alisema Aprili 26, 1964 (Siku ya Muungano), Mwalimu Nyerere alitoa amri ya masharti ya mpito ya mwaka 1964 ambayo pamoja na mambo mengine iliifuta Tanganyika. Akichambua kitabu cha '50 Years of Independence: A Concise Political History of Tanzania' (Miaka 50 ya Uhuru: Historia fupi ya Tanzania), kilichoandikwa na Msekwa na kuchapishwa Januari mwaka huu, Lissu alisema:
"Msekwa anasema katika kitabu hicho kuwa amri hiyo ilichapishwa katika Gazeti la Serikali la siku hiyo. Kwanza, iliwabadilisha waliokuwa watumishi wa Serikali ya Jamhuri ya Tanganyika kuwa watumishi wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano."
Soma Zaidi: swahilivilla.blogspot.com/2014...

Пікірлер: 21

  • @KhaleedHamad-vl7lz
    @KhaleedHamad-vl7lz4 ай бұрын

    M mungu akuweke mh lissu

  • @alimuhamed1830
    @alimuhamed18303 жыл бұрын

    Iposiku hakiyetu itarudi inshllah ZANZIBAR

  • @vicentimakori1770
    @vicentimakori17706 жыл бұрын

    Jamani ndo muone huyu ni mtu mhimu sana ktk nchi yetu

  • @mzuvendi
    @mzuvendi3 жыл бұрын

    Haki ya mungu Tundu Lissu ni Shoka! CCM wanamuogopa ndio maana walitaka kumuuwa! Lakini mungu hasahau atawaumbua kupitia mtu kama wao kutokana na wao! Na haki iliyo fichwa itadhihirika kweupee mchana! Na mwisho wa siku Tanganyika wataitapika Zanzibar.

  • @eddieeddie2755
    @eddieeddie27555 жыл бұрын

    Mh! Lisu uko sahihi, msema kweli siku zote ni adui

  • @selemanlukinga2974
    @selemanlukinga29743 жыл бұрын

    Hiyo ndio tofauti kati ya kusoma na kuingia darasani

  • @allyabeid4188
    @allyabeid41885 жыл бұрын

    Nyerere asipochomwa motoni basi Hakuna kiumbe kitakachochomwa

  • @saidseleman6004

    @saidseleman6004

    5 жыл бұрын

    Nikimukuta peponi natoka.

  • @alimuhamed1830

    @alimuhamed1830

    3 жыл бұрын

    Lanatullah kafanya maishayetu nishida

  • @ibnually7648

    @ibnually7648

    3 жыл бұрын

    Ongeeni vitu kwa elimu musiropokwe

  • @modimplez

    @modimplez

    3 жыл бұрын

    Ibnu Ally pangua kwa elimu basi ili sisi tusio na elimu tujifunze.

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything4 ай бұрын

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌.

  • @oriokijeni3812
    @oriokijeni38123 жыл бұрын

    Asanteeeee

  • @ibrahimbakar622
    @ibrahimbakar6224 жыл бұрын

    Jembe Binafsi yangu nahitaji uwe raisi wa Zanzibar

  • @gracrandrew3370
    @gracrandrew33705 жыл бұрын

    jembeeeee

  • @ABSTemu
    @ABSTemu3 жыл бұрын

    Tanganyika ilioundwa kwa viboko vya Mjerumani na Mikataba Bandia ya Karl Peters 1885 ndio inafaa kuliko JM ya Tanzania ya Waafrika Nyeree na Karume? Hilo ndilo swali.

  • @shayopaterini8678
    @shayopaterini86785 жыл бұрын

    Duuuuuuuuuuuuuu

  • @fakihdarusi4385
    @fakihdarusi43852 жыл бұрын

    UKIGUSA MUUNGANO UNAEEZA KUPOTEA

  • @edwardmseti4869
    @edwardmseti48696 жыл бұрын

    ww ni jembe le2

Келесі