#LIVE

#islaamic #drsulle #tanzania #live

Пікірлер: 94

  • @claverirambona6068
    @claverirambona6068Ай бұрын

    Ndacha Mungu akubaliki

  • @user-mf7mt9zq6c
    @user-mf7mt9zq6c2 ай бұрын

    Baba Sule unajitahifi sana kueleza vzr!ila tatizo Ndacha haelewinamna ya kujibu kwa ufasaha

  • @zenaahmedi8857
    @zenaahmedi88572 ай бұрын

    Masha Allah Dr Sule

  • @MohamedMeja
    @MohamedMeja2 ай бұрын

    Mashallah mastadhi wangu

  • @MohamedHalake-cy8bh
    @MohamedHalake-cy8bh2 ай бұрын

    Hongera sana dr

  • @richardchimba3800

    @richardchimba3800

    2 ай бұрын

    Sule ameshindwa waziwazi

  • @BaruMasimango-zo2se
    @BaruMasimango-zo2se2 ай бұрын

    Wislam nuru kabisa Kutoka congo kalemie

  • @ggohf7004
    @ggohf70042 ай бұрын

    Allah azidi kuleta kher mashaa llah

  • @nomar3708

    @nomar3708

    2 ай бұрын

    Ameen yaraab

  • @user-jf3db7kq6p
    @user-jf3db7kq6p2 ай бұрын

    wakirsto ndio wapofu bc wanaita yesu mungu na pia yesu akona mungu

  • @HansiKatumbi
    @HansiKatumbi2 ай бұрын

    Big up tu be Muslim

  • @christophermotonyi2547
    @christophermotonyi25472 ай бұрын

    I don't understand where this name Dr sule come from

  • @hurrychris2647

    @hurrychris2647

    2 ай бұрын

    Me too

  • @user-df8fn8sz7o
    @user-df8fn8sz7o2 ай бұрын

    Qoran aiwezi ongoza mwanadam abaki salama

  • @claverirambona6068
    @claverirambona6068Ай бұрын

    SULE AMESHINDWA HOJA

  • @Sofymushi
    @Sofymushi14 сағат бұрын

    Naomba Mlete mdahalo wa Je ISSA BIN MARIAMU NDIO YESU?waseme huyo wao ambae hajafa na Kristo aliyekufa [Mungu katika Roho na mwanadamj katika mwili)

  • @wananchilab1899
    @wananchilab18992 ай бұрын

    QURAN 5:117

  • @zachariamichael8871
    @zachariamichael8871Ай бұрын

    mbona mmeikata kata mnaogopa ianzie mwanzo

  • @AbdulrahmanHussein-tr4dn
    @AbdulrahmanHussein-tr4dn2 ай бұрын

    Wakristo hawana akili kabisaa na wala hawaoni😂

  • @richardchimba3800

    @richardchimba3800

    2 ай бұрын

    Mbona Sule ameshindwa 😂😂😂😂

  • @nomar3708

    @nomar3708

    2 ай бұрын

    Wakristo dini yao inaqababaisha. Waungu wao watatu na wanababaisha babyish tu. Wazungu wenzao wameshawacha hiyo dini zamani. Wanaingia uislamu kwa makundi

  • @edwinmahonga4063
    @edwinmahonga4063Ай бұрын

    Arguing with none witnesses, when was the. Islam formed

  • @nomar3708
    @nomar37082 ай бұрын

    Huyo ndacha hajibu maswali anapoteza watu tu. Mungu gani anakufa. Anakula anaenda chooni. Mungu wa kikristo vichekesho😂🤣

  • @manfredherman2898

    @manfredherman2898

    Ай бұрын

    Yesu aliuvaa uwanadam ivyo lazima aish kama mwanadamu

  • @ElijaMwasi
    @ElijaMwasi2 ай бұрын

    Dr Sule hongera sanaa na ustadh mbogo Allah awajaalie baraka yele am ptoud to be a Muslim nishasilimisha wawili na huu ni mwanzo tuu inshAllah my target 100 inshAllah

  • @richardchimba3800

    @richardchimba3800

    2 ай бұрын

    Walikuwa wote wa uislamu wameshindwa na ndacha 😂😂😂

  • @nomar3708

    @nomar3708

    2 ай бұрын

    ​@@richardchimba3800hiyo biblia yemyewe unajua kama imeandikwa na binadamu anaitwa Paul baada ya kifo cha yesu kwa miaka 500? Imebadilishwa badilishwa na zipo 63 na tofauti tofauti. Quran moja peke yake. Mqnyezi mungu kasema ataihifadhi Quran na imebakia hivo hivo na imehifadhiwa na millions ya waislamu. Nyie leo biblia ikitupwa kwenye bahari dini yenu imepotea. Sisi mpaka watoto wa miaka 15 wameihifadhi yote neno kwa neno herufi kwa herufi.

  • @heavens9451
    @heavens94512 ай бұрын

    SULE UNATIA HURUMA. umeshindwa na hoja peupe... Maswal hujui kujibu..

  • @nomar3708
    @nomar37082 ай бұрын

    Kama yesu mungu mbona hakujua kama ule mti aliokuwa anaufata alivyokuwa na njaa hauna matunda?? Jamani wakristo mbona mnamdhihaki mungu

  • @Juniorjacob-le1rr

    @Juniorjacob-le1rr

    14 күн бұрын

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @themessage3508
    @themessage35082 ай бұрын

    WAISLAM HAWANA HOJA KABISA NI USHABIKI TU KAMA MPIRA

  • @MuhammadMakame-bx4nq

    @MuhammadMakame-bx4nq

    2 ай бұрын

    Wewe fanya dhambi yesu ameshabeba hiyo ndiyo hoja

  • @Sofymushi
    @Sofymushi5 күн бұрын

    Sure anakichwa kigumu,mwache akomaze shingo hatimae ivunjike.

  • @nextonetv.7672
    @nextonetv.76722 ай бұрын

    Where said juma kinyogori is?

  • @innocentndikumana8928
    @innocentndikumana89282 ай бұрын

    mashallah Dr sule uwislam nuru 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿

  • @ZubeidaAbdallah-pd7lf
    @ZubeidaAbdallah-pd7lf2 ай бұрын

    Ashakubali kama hajafa meambie atakufa kin

  • @SummaryBahamwiti
    @SummaryBahamwitiАй бұрын

    We sule achakupoteza watu, mungu gani afe kama binaadam wake

  • @user-jf3db7kq6p
    @user-jf3db7kq6p2 ай бұрын

    Dacha unaongojewa na moto ya jahanam una daganya watu

  • @manfredherman2898
    @manfredherman2898Ай бұрын

    Ni waz dr sule ameshindwa kabisa

  • @user-gm8xx9vn1g
    @user-gm8xx9vn1gАй бұрын

    Dokta sule nakoombea kwamungu ukapate pepo yapamoja na masohaba wamtume mohaamadi

  • @abdullahimohamudosman3695
    @abdullahimohamudosman3695Ай бұрын

    Huyu anasema yesu kafa siku ya kwanza alisema yesu ni mungu na siku ya pili anasema yesu kafa na huyo ndo wanamtakidi kuwa mungu na mungu hafi, wakristo wanakubali mungu wao kafa Sasa nani anawasimamia?

  • @AyoubJuma-wd2cm
    @AyoubJuma-wd2cm2 ай бұрын

    Leo hii ipo live

  • @user-df8fn8sz7o
    @user-df8fn8sz7o2 ай бұрын

    Amekirimiwa jina lipitalo kila jina hili kwajina kila koti lpikwe

  • @SummaryBahamwiti
    @SummaryBahamwitiАй бұрын

    Huyo wakuuliza swali mbanahaeleweki kiakili kamaamepungukiwa

  • @khamisjuma7616
    @khamisjuma76162 ай бұрын

    yani sisi wakiristo tunawaita machizi maarifa yan8 kama wanazo lkn hamna kitu

  • @rammeysrambo887
    @rammeysrambo8872 ай бұрын

    Mm ningekua muislam leo ningeachana na uislam na kufuata ukristo ndini ya kwel na uzima

  • @sadiqkivunjor5698

    @sadiqkivunjor5698

    2 ай бұрын

    Ukristo ni ukafiri

  • @bukhariznz

    @bukhariznz

    2 ай бұрын

    yani ni sawa na kusema engelikuw wew ni mstaarabu wenge achana nao kisha ukaenda kufuata usiokuwa ustaarabu

  • @Juniorjacob-le1rr

    @Juniorjacob-le1rr

    14 күн бұрын

    ​@@sadiqkivunjor5698uislam ndio ukafiri wa wazi

  • @ismailkasim9060
    @ismailkasim90602 ай бұрын

    Acha uongo eti nguo 1 Ina rangi mbalimbali😅😅😅😅

  • @user-ve3wu5jn1l
    @user-ve3wu5jn1lАй бұрын

    Huyo ndacha mbona anawapotezea tu mda yaan haelewi hata anajibu Nini na ameulizwa Nini .

  • @nomar3708
    @nomar37082 ай бұрын

    Yesu kiumbe jamani wakristo. Yeye mwwnyewe kamsujudia mola. Acheni huo ukafiri

  • @shepherd1x84

    @shepherd1x84

    Ай бұрын

    Wewe unaabudu na mashetani msikitini uko salama kweli.

  • @Juniorjacob-le1rr

    @Juniorjacob-le1rr

    14 күн бұрын

    Ukafiri mnao nyinyi waislam wote

  • @zachariamichael8871
    @zachariamichael8871Ай бұрын

    Mbona mmeikata mnaogopa kuweka yote

  • @kebasonyotham1111
    @kebasonyotham1111Ай бұрын

    Sule hapo umegonga mwamba huyo ndio Ndacha

  • @yohana1242
    @yohana12422 ай бұрын

    Wakristo wana masikio lkn hawasikii wana macho lkn hawaoni ila mungu humuongoa amtakae yule ambae atakae kujifunza

  • @nomar3708

    @nomar3708

    2 ай бұрын

    Wanamuabudu kiumbe sijui akili zao ziko wapi😂😂

  • @issakongolo2832
    @issakongolo2832Ай бұрын

    Dr sule muongo kabisa😂😂😂

  • @Juniorjacob-le1rr

    @Juniorjacob-le1rr

    14 күн бұрын

    Kweli kabisa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @christophermotonyi2547
    @christophermotonyi25472 ай бұрын

    Ukweli mkiristo amemlemea muislam kabisa wacha kudanganya watu na uongo wewe sule hata wewe unajua na kama hujui basi wewe mbali na ujinga na Dr bado huelewi

  • @manfredherman2898
    @manfredherman2898Ай бұрын

    Ni waz dr sule ameishiwa sasa swala la nguo na kufa kwa yesu wap na wap mbona swal lake ni nje ya mada

  • @nassormohd3206
    @nassormohd32062 ай бұрын

    Nguvu ya pete 😂

  • @bustedislam3578
    @bustedislam35782 ай бұрын

    Majini ya Sule hazimsaidie hata kidogo. Hoja zimemshinda kabisa. Hata pete haimsaidie. Jahazi la uislamu umezama kabisa.

  • @mudiali4506

    @mudiali4506

    2 ай бұрын

    Wew Si ujitokeze utoe mdahalo wako wakujuwe

  • @bustedislam3578

    @bustedislam3578

    2 ай бұрын

    @@mudiali4506 Siyo ahabaha yangu. Mwenye nahubiri ni Yesu kristo aliye hai anayetupatiya uzima wa milele kupitiya kifo na ufufuko wake tukimuamini kama bwana na mwokozi wetu

  • @JumaAthumani-vb8us

    @JumaAthumani-vb8us

    2 ай бұрын

    Kama Mungu wako ni yesu aliye surubiwa sawa sasa lakini alipo zaliwa na udogo ule dunia ilikua nani?na alipo kufa zile siku tatu akiwa mauti je dunia na vilivyomo ndani yake vliongozwa na nani?

  • @bustedislam3578

    @bustedislam3578

    2 ай бұрын

    @@JumaAthumani-vb8us Yesu kristo ni mwana wa Mungu. Asili yake ni ya Mungu. Alitumwa na baba yake kama mwanawe. Alikufa yeye aliye mwana kondoo wa Mungu na alifufuka yuko hai. Alikuja kwa jina ya baba yake, Mungu. Kwahiyo anahaki ya kuitwa Mungu.

  • @richardchimba3800

    @richardchimba3800

    2 ай бұрын

    Kwa haki kabisa Sule ameshindwa wazi wazi sema ndacha ni mstaraabu tu

  • @mrx8608
    @mrx86082 ай бұрын

    User tulia ikuiingie soma vitabu vyako acha tegemea lucifer

  • @jpmanotaofficial639
    @jpmanotaofficial6392 ай бұрын

    Hongera sana mchungaji ndacha waislamu vipofu wanaona majini kwenye Vitabu😂

  • @mudiali4506

    @mudiali4506

    2 ай бұрын

    Kipofu ni wew usiojua bibliyaa yako. Vip vitabu vya mungu viwe 70. Allah hana mpango w vitabu 70 hlaf vije viandikwe n binadamu. Kueni wasomi. Ondoa ushabiki. Yanga, simba ndionafas, yako wewe

  • @nomar3708

    @nomar3708

    2 ай бұрын

    ​@@mudiali4506 hawa wakristo biblia yao imeandikwa baada ya miaka 500 baada ya yesu kufa. Imeandikwa na Paul ambae hata hajakutana na yesu wala hamjui. Halafu huyo Paul hawamjui hata jina la baba yake, hawamjui huyu mtu ni nani hasa.. ndio maana biblia haiaminiki. Na zipo nyingi na zina utafauti. kuna contradictions kwenye hizo Biblia, vipi utaamini ni uongo tu wa huyo Paul

  • @johnpetro378
    @johnpetro378Ай бұрын

    Hoja za sulle, ni weak, so weak

  • @user-oe2ty7ds4g
    @user-oe2ty7ds4g2 ай бұрын

    Wakiristo hamna lolote,mara yesu MUNGU mara mtoto wa MUNGU mara mtu.

  • @mobutu3884

    @mobutu3884

    2 ай бұрын

    Wewe husikilizi kwa kuelewa na kama una sikiliza na hauelewi basi kaombewe jini karini akutoke kwanza ufunguke ubongo😂

  • @nomar3708

    @nomar3708

    2 ай бұрын

    ​@@mobutu3884 wakati yesu hajui vitu anaonesha udhaifu miasma mtoto wa mungu mkishakwama. Mkisahau munamupa uungu. Acheni kuabudu kiumbe cha mungu.

  • @TangaMashewa-qe8kk

    @TangaMashewa-qe8kk

    2 ай бұрын

    ​@@mobutu3884 wew ndo ukaombewe na waislam usamehehe dhamb zako maan mungu mnamfananisha na aliemtuma

  • @edwinmahonga4063
    @edwinmahonga4063Ай бұрын

    This is a man arguing with the Holy spirit but the other is being guided by demons,,demons dd not witness the death since they could not stand the presence of the Holy spirit in intense glory,,,thus why Islamist are lost coz are lead by demons

  • @user-jf3db7kq6p
    @user-jf3db7kq6p2 ай бұрын

    Dacha unaongojewa na moto ya jahanam una daganya watu

  • @nomar3708

    @nomar3708

    2 ай бұрын

    Anawapoteza wenzake huyu ndacha. Moto unamsubiri

Келесі