LioNs FooD FiGht in KoGateNDe SeReNGeti

Lions are social cats, meaning they live in groups called Prides, it has many benefits including success in hunting especially when they hunt a huge Prey which will suffice every member of the Pride, but still even then when eating, every Lion is competing for a spot to eat, because it means survival.
In this case here, Lions have hunted down a young Warthog, which may be 15 kilos, which for 7 hungry Lions is less than a bite, and that's why they are going crazy fighting for every scrap they can get here.
Simba ni Paka waishio kwenye Makundi na ina faida nyingi Kama Vile kuwinda mnyama mkubwa atakayetosha kila Simba Kwenye kundi, Na Hata watakapofanikiwa kumwinda huyo mnyama bado watashindana wenyewe kwa wenyewe ndani ya familia na kugombania nafasi wakati wa kula maana bila chakula hakuna kuishi na hakipatikani kirahisi.
Kwenye hii video hapa walimwinda Ngiri kijana mwenye Kama Kilo 15 ambaye kwa Simba 7 wenye njaa ni sawa na kijitafunio kidogo sana na ndio maana wanagombana hapa mbaya kabisa ila hawana uadui ni wanafamilia tuu kwenye msosi.
📽 @chabaporini #Chabaporini #Lions #AfricanLions #Serengeti #SerengetiLions @serengeti_national_park
#Kogatende #NorthernSerengeti #Warthogs #Tanzania #Africa

Пікірлер: 4

  • @DrTubeman
    @DrTubeman4 күн бұрын

    Awesome reel Chaba, cripes you wouldn't want to get in the way of their teeth or claws, great table manners lol, cheers for sharing...

  • @Montecristo1805
    @Montecristo18053 ай бұрын

    A veritable food fight. Great closeup camera work, Chaba.

  • @paulofernandes1151
    @paulofernandes11512 ай бұрын

    Ignorância ao extremo!!!

  • @RafaelSantos-wz8zf
    @RafaelSantos-wz8zf3 ай бұрын

    They’ll soon kiss and make up.