KIJANA WA SHAKAHOLA AJITOKEZA KWENYE DAWAH

Please consider subscribing to our channel
‪@StraightPathDawah‬

Пікірлер: 45

  • @rizikiali328
    @rizikiali328Ай бұрын

    Sheikh Ramadhan na yusuf hapo kuna mtihani hapa niwakati wa masheikh kutoka miskitini kufanya daawa kwa wasio waislamu hongereni masheikh kwa kazi mnaofanya

  • @user-sq1ol2fb3i
    @user-sq1ol2fb3iАй бұрын

    Subuhana Allah Polen sana huko Kuna machaola

  • @isahbarasa
    @isahbarasaАй бұрын

    Asalam aleikum waramtulah wabarakatu leo nikawa wa kwnza

  • @StraightPathDawah

    @StraightPathDawah

    Ай бұрын

    Mashallah tabarak Allah

  • @isahbarasa

    @isahbarasa

    Ай бұрын

    @@StraightPathDawah Amin

  • @andallaathman3856

    @andallaathman3856

    Ай бұрын

    ​@@StraightPathDawahkwani sheikh mpeks vipi mbona vedeo moja tuu ?

  • @Noorein-ws8wk

    @Noorein-ws8wk

    Ай бұрын

    Wsalaam warahmatullahi ta'ala wabarakaatuh

  • @Kitwitwi
    @KitwitwiАй бұрын

    Asante ndugu Ramadhan ! Jaza ya Mungu kwako. Kujibu yule kijana habari ya elimu : Elimu ni muhimu kwa kila bin Adamu - anatakiwa aifuate elimu ili apate maisha mema katika dunia - lakini vile vile asisahau elimu ya kuweza kumfikisha njia ya haqi yakumuinigiza kwenye pepo ya Mwenyezimngu na kumuepusha na moto wa jahanam! Kwa hivyo inamlazimu bina adamu kuwa na elimu zote mbili kwa Usawa ! Muhimu ni ku hakikisha kuwa elimu ya dunia isikupoteze ikakuelekeza kinyume na Dini inavyo kuelekeza !

  • @user-fh7wu8vx1y
    @user-fh7wu8vx1yАй бұрын

    Ma shaallah allah awahifadhi mashekh wetu

  • @user-rc7oi2hp8l
    @user-rc7oi2hp8lАй бұрын

    Ma sha Allah tabaraka Rahman

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847Ай бұрын

    Masha Allah 💖💖💖

  • @ashrafissa778
    @ashrafissa778Ай бұрын

    Walekm salam warahmtullah wabarakatuh

  • @fatumahassan8438
    @fatumahassan8438Ай бұрын

    Mashaallah Allah awape subra nyingi katika hii kazi ya daawa

  • @fatimaummar6723
    @fatimaummar6723Ай бұрын

    Mashaa Allah ❤

  • @aburaasmedia3682
    @aburaasmedia3682Ай бұрын

    Ma sha Allah

  • @zainabhussain4114
    @zainabhussain4114Ай бұрын

    MashaaAllah

  • @user-du2fy5sd5u
    @user-du2fy5sd5uАй бұрын

    MashaAllah Tabarakah Rahman

  • @user-rc7oi2hp8l
    @user-rc7oi2hp8lАй бұрын

    Kazi nzr walim wangu.Allah amtagulie Kila cku

  • @user-kf2mg8xo7w
    @user-kf2mg8xo7wАй бұрын

    Assallamu Alleikum, hongera kwa kazi nzuri ningependa mfike malindi kisumu ndogo

  • @MohammediSemndili
    @MohammediSemndiliАй бұрын

    Insha allah mungu awazidishie

  • @user-iz1er8vg7u
    @user-iz1er8vg7uАй бұрын

    Mashallah KAZI zuri Allah atawalipa

  • @josemu870
    @josemu870Ай бұрын

    Barikiweni sana sana

  • @malikdodo5190
    @malikdodo5190Ай бұрын

    Walaikum salaam warahmatu-llahi wabarakatuh

  • @Lambor-qq4gv
    @Lambor-qq4gvАй бұрын

    ALLAHU AKBAR kazi mzuri shekh mungu awazidishie kheri

  • @JamalMwalimu-od9ci
    @JamalMwalimu-od9ciАй бұрын

    Jameni karibuni na shakahola

  • @rizikiali328
    @rizikiali328Ай бұрын

    karibu ni kilifi huko ni karibu nakwetu Allah awahifadhi na awalipe kila kheri

  • @AngoSheriff-be5mq
    @AngoSheriff-be5mqАй бұрын

    Kazi safi

  • @kennodhiambo
    @kennodhiamboАй бұрын

    Hakika Uislamu ni njia na ndiyo imeelezewa hapa katika aya hii, "Iko njia ionekanayo kuwa sawa machoni pa mtu, Lakini mwisho wake ni njia za mauti (Mithali 14:12)

  • @Fumokale
    @FumokaleАй бұрын

    Katana amesema kweli ....kwenye debate huwa ni vigumu kuelewa dini ya haki kwa sababu kuna ushabiki mwingi...kwa Allah awawezeshe mashaikh wetu watoke na kuieneza na kuieleza dini ya uislamu na Allah awape uwezo na IKHLAS....aaaaminaaaa

  • @mohagurey2214
    @mohagurey2214Ай бұрын

    Huyo mtanzania ako na point ustadh, matwari na nyimbo kelele za kila aina ziko ndani ya msikiti especially wakati wa maulidi na haifai hata kidogo

  • @Ozihamza
    @OzihamzaАй бұрын

    Shakahola us real

  • @FauziahNambaka-bn2ln
    @FauziahNambaka-bn2lnАй бұрын

    Huyo jamaa aliandikiwa na pasta wao ambaye anataka kuwapotosha

  • @harrisoncharo-qz3vz
    @harrisoncharo-qz3vzАй бұрын

    😂😂😂😂😂huyo jama nimkali😅😅😅

  • @Shillingi
    @ShillingiАй бұрын

    Huyuu kijana amepotea sana naona uko na ukosefu wakuelewa

  • @muhinabakali7377
    @muhinabakali7377Ай бұрын

    Xhehe kulia muje tanza nia bwana maana tanzania maxhehe wame lala kabixa

  • @Lambor-qq4gv
    @Lambor-qq4gvАй бұрын

    Ukipata muda njooni huku kakamega sehmu ya Luanda shop naona hio inafaa mana kuna mtihani

  • @hythamhashiem4458
    @hythamhashiem4458Ай бұрын

    Huyo jamaa anae kataa elimu! sasa aisoma vipi bibilia kama hatokwenda shule kusoma elimu ya dunia?

  • @mohagurey2214
    @mohagurey2214Ай бұрын

    Hawa ni wakiristo wa jina tu

  • @oopsm3574
    @oopsm3574Ай бұрын

    Huyu kijana bangi inamsumbuwa

  • @molee2339
    @molee2339Ай бұрын

    Ai, hapa ni kwa Wa SHAKA HOLA! WaGiriama wame potezwa na WaZungu na StoryBook chao cha BIBLIA ! TabarakAllah Team kwaku fika hapa. WaIslamu, changiyeni hii Dawah Channel ili ipate Nguvu yaku fika kila Mahali!

  • @user-ng1po1dh4z
    @user-ng1po1dh4z20 күн бұрын

    Huyo kijana, asiyependa Shule huwenda ni Tahira. ACHANA NAE HUYO, ANAPOTEZA MUDA. Mjinga na mjinga tu.

  • @aburaasmedia3682
    @aburaasmedia3682Ай бұрын

    huyu kijana wa shakahola maandiko anatafuta ni waraka wa pili ya John 15-17 na sio waraka ya kwanza alivyosema 15 Msiipende dunia, wala mambo yaliyomo katika dunia. Mtu akiipenda dunia, kumpenda Baba hakumo ndani yake. 16 Maana kila kilichomo duniani, yaani, tamaa ya mwili, na tamaa ya macho, na kiburi cha uzima, havitokani na Baba, bali vyatokana na dunia. 17 Na dunia inapita, pamoja na tamaa zake, bali yeye afanyaye mapenzi ya Mungu adumu hata milele.

Келесі