HISTORIA YA MGOMBEA URAIS ZANZIBAR DKT.HUSSEIN MWINYI|KUZALIWA,ELIMU,UONGOZI Part 1

Fuatilia habari na matukio mbalimbali kwa saa 24 kupitia tovuti yetu, www.tbc.go.tz au App yetu ya “TBC Live” inayopatikana
Play Store (Android): bit.ly/3kYnnsr
App Store (iOS): apple.co/31Yxjta
Tufuatilie pia kwenye kurasa zetu za mitandao ya kijamii;
Twitter: / tbconlinetz
Instagram: / tbconlinetz
Facebook: / tbconlinetz

Пікірлер: 9

  • @bakarbaabuubestforyou1165
    @bakarbaabuubestforyou11653 жыл бұрын

    Maashaallah. Mungu amzidishie elimu itakayomletea manufaa hapa duniani na pia kesho akhira inshaa Allah.

  • @fakihdarusi4385
    @fakihdarusi43852 жыл бұрын

    Dr by Professional

  • @MohdAli-cx7bc
    @MohdAli-cx7bc Жыл бұрын

    Sasa uyo mzee vipi😂

  • @abdlhaleem8380
    @abdlhaleem83802 жыл бұрын

    Udactari.. kuongoza 🤔 what's purpose

  • @abubakarmuhammadsaid3244
    @abubakarmuhammadsaid32443 жыл бұрын

    ndio maana wakatuletea mtu kutoka Mkuranga ili aje kututawala kwa mkono wa chuma, halafu aikabidhishe rasmi Zanzibar iwe chini ya Mtawala Tanganyika kwa makubaliano ya kutiliana saini, hapo iwe ndio mwisho wa SMZ, mwisho wa Zanzibar.

  • @millowamilonga

    @millowamilonga

    Жыл бұрын

    Kwani wazenji ni nani? Ndiyo hao hao kimahesabu wametokea bara tu hata mnyanye nini, Karume mwenyewe mmalawi, Nasoro Moyo mngoni, Hamadi Masauni kutoka Kilwa, Natepe mmatumbi akina Hamdan Muhidin ni Kilwa, Isack Sepetu mnyaturu na wengine wengi tu. Mix ya muomani na wahindi waliokuja kujenga reli enzi za itawala wa British, ndio maana Zanzibar haina makabila rasmi. Utasikia mdonge, mtumbatu, mmakunduchi n.k.

  • @khamisjuma2947

    @khamisjuma2947

    4 ай бұрын

    Huyu mtu safi sana kuliko nyie watu wa unguja hamna ila ujinga na choyo akitoka huyu tunaleta john kutoka bara kabisa

  • @abubakarmuhammadsaid3244

    @abubakarmuhammadsaid3244

    4 ай бұрын

    @@khamisjuma2947 Zanzibar ni ya Wazanzibari

  • @amosmoses7800
    @amosmoses78003 жыл бұрын

    MuHiMu ni UonGoZi wA BuSaLA . UonGoZi wA kusimAmiA haKi Na usAwA biLa yA chuKi Na uoNeVu. NA KuteKeLeZa MaJukuMu NA AHaDi .

Келесі