BILA WOGA MUHA AMTAJA POLISI ANAYEWASUMBUA MBELE YA WAZIRI MKUU "ANAITWA MPEMMBA"

Ойын-сауық

Bongo5 is a dedicated to creating the best content for you, our audience!
We hope you enjoyed this video, and ask you to please like & subscribe to our channel if you haven't yet. Have you had a great experience with our channel? Let us know in the comments below!
#entertainment #news #music #funny

Пікірлер: 27

  • @bonifasiemanueli21
    @bonifasiemanueli21 Жыл бұрын

    Mungu Yuko upande wetu,Waziri Mkuu ni Tunda la Inchi yetu Mungu ambaliki sana,

  • @gtgmediaproduction764
    @gtgmediaproduction764 Жыл бұрын

    Nilikuwa tu mha lazima akichafue tu good job

  • @mcbartonkesh3664
    @mcbartonkesh3664 Жыл бұрын

    Kweli huyu Muha

  • @rahimukayela297
    @rahimukayela297 Жыл бұрын

    Brother K

  • @ndolepeter2770
    @ndolepeter277013 күн бұрын

    mmh jaman Tanzania tunaishi kama wakimbiz,sababu tu viongozi wetu wanasbili kupelekewa taarifa ofisin cc wananch wanyonge tunaumia wengine wamefilisika sababu ya viongozi wetu

  • @gadielshedaffa3333
    @gadielshedaffa3333 Жыл бұрын

    Sijui watu wanenda kusomea nini na kazi wanazofanya! Nchi hii inamhitaji Raisi mkali!!

  • @nzitogondwe9976
    @nzitogondwe9976 Жыл бұрын

    Tanzania Toka umeondoka baba magu wengne nchi imewashinda msimpake mafuta mama haya yote hayakuepo kipindi Cha uhai wake

  • @safinahanga476
    @safinahanga476 Жыл бұрын

    Asante chambu..pambana🙏🙏😂

  • @PatricePaskalia-iw9zu
    @PatricePaskalia-iw9zu Жыл бұрын

    Inafika wakati hata police wenyewe wanataka rushwa kwa nguvu wakidai hawajala Toka Jana sijui serekali inajadili vipi swala hili kwamaana kama uchimi wa nchi hukuzwa na biashara afu police wanataka wale wao je Kuna kukua kiuchumi?

  • @keithapeter7854
    @keithapeter7854 Жыл бұрын

    Huko poa sana mzee

  • @dicksonjailos670
    @dicksonjailos670 Жыл бұрын

    Nimekukubali hasa kigoma serikari iende kukagua reli zetu usafirishaji mbovu

  • @thomastemu3332
    @thomastemu333210 ай бұрын

    Safi sana 😂😂😂😂

  • @africandarling6925
    @africandarling6925 Жыл бұрын

    Yani nimecheka 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣utazani mazuri Aahhh

  • @martinsokoi397
    @martinsokoi3979 ай бұрын

    Heshima kwa watumishi wa uma wizara zote imeishiya kama magufuli alipoishia mbinguni wana kiburi ,magari ya stm stj su yamegeuka kuwa magari ya kuendea toroka uje ,shivas, hawatoi huduma bila kitu kidogo,Ili wapate Hela ya kwenda toroka uje,

  • @rajabmadebo5570
    @rajabmadebo5570 Жыл бұрын

    Mwaga mafuta mzee baba umetisha mbaya mbaya

  • @AbdalahMtambuka-rh1dp
    @AbdalahMtambuka-rh1dp Жыл бұрын

    kazi yaselikali asilimia 70 .wizimtupu 1 ospitali lushua.2 maakamani lushua.3 ..trufk.lushua. selikali zakijiji lushua.maliasili ndousiseme.wizi mtupu.tekibaya zaidi maliasili.awana mashamba yakupanda miti..kiongoz.waselikali kuupata ufalume wambingu.eli yangamia .kupita katka .tundu yasindano.

  • @peterkissiry6432
    @peterkissiry6432 Жыл бұрын

    Kiukwel sema ukwel ngoja tuone

  • @Manyara-Jr
    @Manyara-Jr Жыл бұрын

    KUNA WATU WAMEPEWA DHAMANA NA WANATUMIA VIBAYA DHAMANA ZAO MAMA ANAONEKA MMBAYA. INAUMIZA SANA. MAMA PITISHA PANGA HUKO TRA

  • @PriscusiAugustino

    @PriscusiAugustino

    Жыл бұрын

    Tajiri wa kigoma

  • @jumamayonga8914
    @jumamayonga8914 Жыл бұрын

    Hapo nyuma kulikuwa na utaratibu wa viongozi kwenda kwa wananchi ili kusikiliza kero zao lkn sasa hivi utaratibu huo haupo (mfn mzuri ni huu ambao waziri mkuu umejionea hapo kariakoo. Lkn haya mambo yapo nchi nzima.

  • @andrewlimbe-vo8tg
    @andrewlimbe-vo8tg Жыл бұрын

    Mtam miss sana magufuli

  • @rajabmadebo5570
    @rajabmadebo5570 Жыл бұрын

    Sureeeeeee

  • @amanimlengwa9202
    @amanimlengwa9202 Жыл бұрын

    Kwani mha anapaswa kuwa muoga, hafai kuwa muwazi?

  • @timotheomwamahonje-kb2tq
    @timotheomwamahonje-kb2tq Жыл бұрын

    Kunawatu mpaka wanauza magali kisa tialaie

  • @adolphriwa3857
    @adolphriwa3857 Жыл бұрын

    Brother k

  • @OscarBosco-up5td
    @OscarBosco-up5td Жыл бұрын

    Mmmmm

  • @nzitogondwe9976
    @nzitogondwe9976 Жыл бұрын

    A

Келесі