BBC News Swahili

“Nilikuwa naambiwa waziwazi, msichana gani huyu? atashindana na serikali? Jamii imekaa na ndoa za utotoni muda wote huo, wewe ndiye utabadilisha? Nani atamuoa binti huyu”
-
Rebeca Gyumi @rebecagyumi ni mwanzilishi na Mkurugenzi Mtendaji katika taasisi ya @msichanainitiative, aliteka vyombo vya habari mwaka 2016 baada ya kufungua kesi dhidi ya serikali ya Tanzania akipinga sheria ya ndoa inavyoruhusu mtoto wa kike kuolewa akiwa na umri wa miaka 14.
#bbcswahili #waridiwabbc #tanzania
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili / @bbcnewsswahili

Пікірлер: 3

  • @Hussein-gx4qu
    @Hussein-gx4qu23 күн бұрын

    Mnapinga ndoa. Hakunaga ndoa ya utotoni acheni upimbi

  • @basharahamtzhalisi6871
    @basharahamtzhalisi687124 күн бұрын

    Ujinga tu. Mnapinga ndoa za utotoni kisha mnaikubali zinaa. Ndiyo sababu leo mimba kwa wanafunzi zimekuwa gumzo duniani. Mtoto mdogo unakuta amevishwa mavazi yasiyo ya heshima. Sasa ina maana gani zaidi ya kuwa watwanga maji kwenye kinu. Aaagh!