A window view of Dar es salaam City on Tanzania first Electric Train from Pugu to Tanzanite Station

Пікірлер: 14

  • @zawadix9574
    @zawadix957416 күн бұрын

    I hope they keep it clean and working

  • @AmannLesion
    @AmannLesion15 күн бұрын

    Hizo nyumba bana

  • @MusirAdam-gt3vd
    @MusirAdam-gt3vd15 күн бұрын

    pamoja sana kaka Godlove m

  • @modenasayi
    @modenasayi16 күн бұрын

    When is EMU and double decker trains start the operations ?

  • @mduda_i

    @mduda_i

    14 күн бұрын

    25th july

  • @modenasayi

    @modenasayi

    14 күн бұрын

    @@mduda_i okay baby

  • @omega-gl9wt
    @omega-gl9wt16 күн бұрын

    Maisha halisi ya mtanzania unaonyesha kila kitu hata usipoonyesha wanaotaka kufahamu Tanzania wana google na wanapata kila kitu

  • @bekabakari7394
    @bekabakari739416 күн бұрын

    Mambo yote yawe ya digital Sio kila siku kutangazia watu Mambo hayo yamepitwa na wakati Pia control ticket kuwe kwa digital Kwenyesimu hata mtu akiwa na ticket paper akaguliwe under machine control

  • @ibbyikh1788
    @ibbyikh178815 күн бұрын

    Ni vizuri kuonesha maisha harisi ya Watanzania sio waoneshe gorofa moja zuri pale mjini tuh wengi wetu atuishi ktk magorofa don’t be shame kwa hayo mapagare

  • @ruhindacostantine2092
    @ruhindacostantine209215 күн бұрын

    Kwani wewe ukienda nchi za watu wanaongea kiswahili.

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw16 күн бұрын

    Hivi mnaona sifa kuonyesha hayo mapagala vijumba utadhani sio watu wanaishi sio kila kitu kuonyesha akili gani hiyo

  • @lelekilele2

    @lelekilele2

    11 күн бұрын

    Bora tuone wapi panavuja tuparekebishe hamna aibu yoyote ni uhalisia maskini wapo hata ulaya

  • @omega-gl9wt
    @omega-gl9wt16 күн бұрын

    Wafanyakazi wa SGR waongee kiswahili na kiingereza kwani inawezekana wasafiri wengine hawajui kiswahili

  • @kanoleausi4204

    @kanoleausi4204

    16 күн бұрын

    ukiwa kwenye train ya uingereza au ufaransa wanaongea kiswahili?