Zuchu na Tanasha walivyo mshambulia Diamond bila woga mbele ya mashabiki

Please subscribe now on Our KZread channel To be the first to hear about the latest news and updates on Time.

Пікірлер: 136

  • @nadzzero7185
    @nadzzero71853 жыл бұрын

    Umeweza Zuchu napenda sana ngoma zako

  • @dawasaidavinja572
    @dawasaidavinja5723 жыл бұрын

    I love zuchu you the best 💯💯💯💯💥

  • @flyboy8913
    @flyboy89133 жыл бұрын

    Zuchu ilove you nakukubali

  • @dianajavana9435
    @dianajavana94353 жыл бұрын

    Wanaompend zuchu kama mm like hapo jmn

  • @joyhylton7901
    @joyhylton79012 ай бұрын

    ❤❤❤❤❤Zuchu

  • @user-xx1gq3wm8z
    @user-xx1gq3wm8z4 ай бұрын

    Am happy with simba & mama nj🔥💘🤲

  • @harmonicanegra9963
    @harmonicanegra99633 жыл бұрын

    Tunafaa tuwe na kolabo ya Zuchu ft. Tanisha Donna ft.Diamondplatinum😜

  • @saradubai6974

    @saradubai6974

    3 жыл бұрын

    Umemsahau Hamisa Mobeto

  • @harmonicanegra9963

    @harmonicanegra9963

    3 жыл бұрын

    @@saradubai6974Tanasha featuring Diamond ft hamisa ft zuchu

  • @saradubai6974

    @saradubai6974

    3 жыл бұрын

    @@harmonicanegra9963 yeah let us say in shaa Allah 🤣🤣🤣

  • @aamyaamy8504

    @aamyaamy8504

    3 жыл бұрын

    Ijapo kitambo lkn pia zari alikua msanii pia hamisa usisahau

  • @faithde5077
    @faithde50773 жыл бұрын

    Mambo ya watu wenye wamefunikana blageti moja tuwache mambo yao

  • @blessednyajoseph3920

    @blessednyajoseph3920

    3 жыл бұрын

    😂😂

  • @MohammedMohammed-uo5sk
    @MohammedMohammed-uo5sk3 жыл бұрын

    Ilove ur show Tanasha ur fantastic ithink bado master in music na uwatupe mbali sana

  • @nellyflo9736
    @nellyflo97363 жыл бұрын

    Zuchu...😍😍😍

  • @johnamosi367
    @johnamosi3673 жыл бұрын

    Tumemchoka namatukio ya kipumbavu amsaidie kwanza baba yake mzazi au ataawe baba mlezi poa ampe eshima yake baba mlezi

  • @kimsamespa8490

    @kimsamespa8490

    3 жыл бұрын

    Na huyo mamake raia kutoka kuzimu

  • @mussamayele3134

    @mussamayele3134

    3 жыл бұрын

    John Amosi.umemchoka mondi unamaliza MB zako kisa chibu

  • @texastexas2545

    @texastexas2545

    3 жыл бұрын

    Sijui kwa Nini hii inchi watu wanao imba upumbavu Kama Hawa ndo wanafanikiwa😎

  • @shambiraghasi2777

    @shambiraghasi2777

    3 жыл бұрын

    John Amos umechoka pekeyako maisha yawatu achana nayo,so wewe umusaidie babake

  • @salumulongwa9461
    @salumulongwa94613 жыл бұрын

    Zuchu 💥💥💥🔥

  • @runsdn8949
    @runsdn8949 Жыл бұрын

    tanasha uko sawa😍😍😍😍😍😍

  • @omarhamid3932
    @omarhamid39323 жыл бұрын

    Diamond and Tanasha do love each other, Zuchu is being used to keep Tanasha on her toes, that's exactly what JZ did, he created Rihanna out of nowhere just to keep Beyonce in her toes. Diamond and Tanasha belong to each other.

  • @namusaok1479

    @namusaok1479

    Жыл бұрын

    Just read this comment now and am like 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 tables turned

  • @josephinemwamirindi6171
    @josephinemwamirindi61713 жыл бұрын

    ❤️❤️❤️❤️ sukari nampatiya

  • @user-xi1pi4zr3b
    @user-xi1pi4zr3b3 жыл бұрын

    Hapo tushasaulishwa sakata la famili ya nyange, Na yatakuja mengine pia tutasahau..Mondi anavyojua kuwachezea watu akili acha aitwe baba Lao

  • @desmaambiche1679
    @desmaambiche16792 жыл бұрын

    sasa huyu ndo mnalinganisha na zuchu..zuchu wangu Ako hot

  • @SefuSefuDjumaSelemani
    @SefuSefuDjumaSelemani5 ай бұрын

    Waouh

  • @ramseychacha6827
    @ramseychacha68273 жыл бұрын

    This charm is beautiful

  • @selemanially6994

    @selemanially6994

    3 жыл бұрын

    Zuchhu

  • @MarikoOmondi
    @MarikoOmondiАй бұрын

    I like whe diamond were suts he looks god not rags or baggy trousers

  • @joycelagat509
    @joycelagat5093 жыл бұрын

    For example,,,,,, naseeb was tanasha afikishe 30yrs then mamake aseme mondi sio babake

  • @stalliontz4219
    @stalliontz42193 жыл бұрын

    Noma sana

  • @princessalisi3346
    @princessalisi33463 жыл бұрын

    🔥🔥🔥🔥🔥💥💥

  • @mamymamy4623
    @mamymamy46233 жыл бұрын

    Ushoti mtupu uyo monde kayika kama shoti ao watoto anaozaa ndo watamlipiza kisasi kuusu anao mfanyia baba yake akili ana mimi mwanamke namshinda akili

  • @tinangowi9989
    @tinangowi99893 жыл бұрын

    Mungu wangu morning hatari😎😎😎

  • @valaryawour6016
    @valaryawour60163 жыл бұрын

    Oooooh my God

  • @magrethdominic3864

    @magrethdominic3864

    3 жыл бұрын

    aa

  • @kingboy7086
    @kingboy70863 жыл бұрын

    Hy am back n hii n 2021so tuwachane n mabo yalio pita n wapenda saana

  • @anamariavizitiu4063
    @anamariavizitiu40632 жыл бұрын

    Va iubesc sa fiți uniți în familie cu căldură sufletească în familie

  • @edinakiula6149
    @edinakiula61493 жыл бұрын

    Guda👏👏👏

  • @brightontbalyagati9488
    @brightontbalyagati94883 жыл бұрын

    Mambo ndi haya sasa kwa Sisi wazanzibar

  • @honeyboyhussy114
    @honeyboyhussy1143 жыл бұрын

    Maria by Honeyboy Hussy

  • @sarahduop6088
    @sarahduop6088 Жыл бұрын

    wow wow wow

  • @fatumahassan8834
    @fatumahassan88343 жыл бұрын

    Daymod natanasha nikibo hata mm nawA penda bure mm kama mzazi

  • @etiennekasimu9468
    @etiennekasimu9468 Жыл бұрын

    Good

  • @noahbuyela6802
    @noahbuyela68023 жыл бұрын

    Diamond anawenza bt Kuna wazimu jibikizi the one Ben kamau

  • @rugeiyaali8730
    @rugeiyaali87303 жыл бұрын

    Mbona wambea kama kina Lukole watakosa mishahara

  • @user-cj7pp8oz1t
    @user-cj7pp8oz1t3 жыл бұрын

    👍👍👍🙏🙏🙏💋💋💋

  • @sameerahassan9864
    @sameerahassan98643 жыл бұрын

    Zuchu

  • @mrsjj8804
    @mrsjj88043 жыл бұрын

    Hii shoo ya mwaka gani jamani wacheni kiki

  • @lufufumkudesimba6244
    @lufufumkudesimba62443 жыл бұрын

    Kiki nyingi kuliko mziki

  • @noahbuyela6802
    @noahbuyela68023 жыл бұрын

    Bt raha na pensa n tamu tunajuwa bt ainzi Fanya ukaruka babako bana so diamond awaxe apo

  • @sabrinahamady4880
    @sabrinahamady48802 жыл бұрын

    diamond ana mzuka ila tanasha kiuno kigumu sana

  • @fokawabumgoma6162
    @fokawabumgoma6162 Жыл бұрын

    FOKA WA BUNGOMA search

  • @elizabethomariba4382
    @elizabethomariba43823 жыл бұрын

    Diamond I really like the way youve never bothered to defend your self on public you always quiet no matter what and thats good just watch them make noise take the positive home and leave the negative watachoka I also like the way you making good use of your woman in the name of cooparenting ati it was not planed for Donna to come that’s a lie

  • @jerushanyawera4964

    @jerushanyawera4964

    3 жыл бұрын

    Diamond is innocent,and understanding man. La msingi akamuombe mzee Abdul msamaha ampe heshima yake ili anyooshe his life

  • @samuelmacharia3104
    @samuelmacharia31043 жыл бұрын

    Mwa

  • @faumaabdllahi1608
    @faumaabdllahi16082 жыл бұрын

    Msaniii

  • @OdemaryPhilipo
    @OdemaryPhilipo Жыл бұрын

    Yanin katika wanawake wote diamond platnumz alio tokanao hakuna zaidi ya tanasha Dona,,,

  • @brunopeter1068
    @brunopeter10683 жыл бұрын

    tupo kwa mda tu

  • @mrsjj8804
    @mrsjj88043 жыл бұрын

    Mbona nyie waongo jamani mnatafta kiki

  • @shabanimshana1052
    @shabanimshana10523 жыл бұрын

    Hahahaaaaa simba ubwege huooo

  • @naummwongeli3872
    @naummwongeli38723 жыл бұрын

    Simba we ni simba madem wanajileta kwako 🤭

  • @jerushanyawera4964

    @jerushanyawera4964

    3 жыл бұрын

    Tena wasuper wewe! Simba ni smack anawakamata kukamata

  • @naummwongeli3872

    @naummwongeli3872

    3 жыл бұрын

    @@jerushanyawera4964 noma sana

  • @veronicafelisian3459
    @veronicafelisian34593 жыл бұрын

    salama naona du hana kifua kabisa.

  • @saradubai6974
    @saradubai69743 жыл бұрын

    Nauliza ukiwa mwanamuziki ni lazima usuke nywele kwa wanaume ama pia ni lazima uvae mavazi kama ya mwanamke? Mm nashangaa na hizi pozi za Diamond za kidem. ..I hate this for real! Ama ndio illuminati!

  • @rodgersrukanje
    @rodgersrukanje Жыл бұрын

    Nakuambia kama uwezi coment apa ww sishabiki wa ndugu yetu Simba

  • @dianageorge1022
    @dianageorge10223 жыл бұрын

    Mkikili

  • @victordeekenya3539
    @victordeekenya35393 жыл бұрын

    Kuwa celebrity lazima uzoee,,,

  • @lizzienabiswa
    @lizzienabiswa3 жыл бұрын

    Okay

  • @yvonnekhaluhi5095
    @yvonnekhaluhi50953 жыл бұрын

    Akii Tanasha watuaibisha Kenya kwa ujumla n.k.t mtaachana tu

  • @leonidamachuru5960
    @leonidamachuru59609 ай бұрын

    Tanasha wanafanana na zuchuuu

  • @lydialutomia3398

    @lydialutomia3398

    5 ай бұрын

    Wewe una kichaa.unafananisha aje zuchu na our beautiful tanasha are you mad

  • @reazahmohjey7724
    @reazahmohjey77243 жыл бұрын

    Nyimbo za kipumbavu tu

  • @jumajoseph9353

    @jumajoseph9353

    3 жыл бұрын

    Weka zako za maana

  • @zalinamalalemwaburi1459
    @zalinamalalemwaburi14593 жыл бұрын

    Nkt

  • @nasramboni9700
    @nasramboni97003 жыл бұрын

    M

  • @claudinetuyisenge2503
    @claudinetuyisenge25033 жыл бұрын

    Siyo wandemu wanajileta apana kilamutu nabahati yake bahati yako na simba habifanani bulundi

  • @annaclettefota4840
    @annaclettefota48403 жыл бұрын

    A

  • @leoblack2654
    @leoblack26543 жыл бұрын

    Wenoma mkuu wa mziki Aflica mzima

  • @claudinetuyisenge2503
    @claudinetuyisenge25033 жыл бұрын

    Eti tanasha muzuli kuliko wote

  • @sammyms6966
    @sammyms69663 жыл бұрын

    Alafu nyiye mnatafuta vies kwa uwongo Wenu

  • @raiynrayuu7904
    @raiynrayuu79043 жыл бұрын

    Hajamfik zari

  • @khadijashaban3218

    @khadijashaban3218

    3 жыл бұрын

    Why

  • @hamzaissa7946
    @hamzaissa79463 жыл бұрын

    Imba vitu vinavoereweka weh.mtoto kama huwezi acha kuimba kwenyewe pumbavu

  • @bettysidi2892
    @bettysidi28923 жыл бұрын

    Tanasha mdogo wangu hujachoka tu kuebishwa na watanzania, umeenda kutoa nyimbo na nandy ama umejipeleka kwa mond watuebisha wakenya unajipeleka peleka vipi kwa mwanamume wakati hata mlivyo a Hana hakushulika Kuja kuku tafuta wala kuangalia mtoto unajidanganya kama kuregea kwako huko utapata nafasi ya kuwa na diamond kwa taarifa yako zari na diamond wanapenda kwa hivyo wachezewa akili tu

  • @melon8901

    @melon8901

    3 жыл бұрын

    Mwambie ukweli anaujinga

  • @patricklembeli8523

    @patricklembeli8523

    3 жыл бұрын

    Kaenda kwamzazi mwenzake kosa liko wapi

  • @melon8901

    @melon8901

    3 жыл бұрын

    @@patricklembeli8523 anajidegrade... anafanya wakenya tuonekane cheap Sana..

  • @mashakasayi4137

    @mashakasayi4137

    3 жыл бұрын

    Hiyo ni kweli zari mond anamkubar awa niwakujipozea

  • @lishlish7828

    @lishlish7828

    3 жыл бұрын

    Haha na vile alikuwa amejichocha harudi huko, ati hadi mtoto atapelekwa Dar na house manager 😂

  • @simonmidngoya3868
    @simonmidngoya38683 жыл бұрын

    Tanasha simu huyo ,,Toto kaumbwa kaumbika

  • @TimorrezMrDKe
    @TimorrezMrDKe3 жыл бұрын

    Tumechoka na madem wasumbufu wamwache diamond amsaidie babake

  • @hadijansaso8344
    @hadijansaso83443 жыл бұрын

    Tanasha mwanamke anakiuno kigumu hiuyu kama mbanga

  • @justusngano4904
    @justusngano49043 жыл бұрын

    There is no love there just Simba n wakuhanyahanya

  • @ashasalim2826
    @ashasalim28263 жыл бұрын

    Zari let us mind our business Huo ni utoto sisi ni grown up,,,

  • @sincenganimsimanga2439

    @sincenganimsimanga2439

    3 жыл бұрын

    Zarina is not fitting here she's too old. Let fresh blood to enjoy

  • @kulwamussa2582
    @kulwamussa25823 жыл бұрын

    Kampuni yawaimba matusi kwasasa mond namchukia sana nahuyo mamayame wanazani pesa zitawapeleka mbinguni upatu mbaya nyie kumbukeni kunajela nagest nakwamungu kuna jehanam napeponi

  • @beatussimon4873

    @beatussimon4873

    3 жыл бұрын

    Acha kutishana ,hayo yako wee mwenyewe unamaliza bando lako kisa mond afu unajifanya kututisha

  • @lillymishah2906
    @lillymishah29063 жыл бұрын

    Ingikua zari jamani angekua ame trend wacha tu diamond ama mrespect sana mama T.... Na zari ako na msimamo sio kama tanasha waiting 4 any opportunity

  • @lavinlav8394

    @lavinlav8394

    3 жыл бұрын

    Nkt

  • @fellynjesh6188

    @fellynjesh6188

    3 жыл бұрын

    Nkt

  • @ceciliamwende3287
    @ceciliamwende32873 жыл бұрын

    Kenyans we ain't that desperate mama ya NJ... you're shaming us..so sad

  • @naomitrinnah

    @naomitrinnah

    3 жыл бұрын

    She's making her poket full

  • @suzanakameta5596
    @suzanakameta55963 жыл бұрын

    Haijamfikia Zari hata robo

  • @edterlewisi9929

    @edterlewisi9929

    3 жыл бұрын

    Maura uzatu zari ndo mwenye nyota yake

  • @reymondkelvin2341

    @reymondkelvin2341

    3 жыл бұрын

    Ni vile tanasha anaimba kizungu 😂

  • @annarajab133

    @annarajab133

    3 жыл бұрын

    Wafikiane ili iweje

  • @suzanakameta5596

    @suzanakameta5596

    3 жыл бұрын

    @@annarajab133 ☹️☹️☹️

  • @miriamcharles1300

    @miriamcharles1300

    3 жыл бұрын

    Naww umemfikia nan

  • @wizzyboy5089
    @wizzyboy50893 жыл бұрын

    Zuchu

  • @lufufumkudesimba6244
    @lufufumkudesimba62443 жыл бұрын

    Kiki nyingi kuliko mziki

Келесі