DIAMOND PLATNUMZ ATHIBITISHA TANASHA KUWA NA MIMBA YAKE

Ойын-сауық

DIAMOND PLATNUMZ ATHIBITISHA TANASHA KUWA NA MIMBA YAKE

Пікірлер: 254

  • @bellahgichuki185
    @bellahgichuki1855 жыл бұрын

    Wangapi walikuwa wanatarajia tanasha kuvishwa pete ya uchumba ila ng'o😭😭

  • @hkmeme5437

    @hkmeme5437

    5 жыл бұрын

    Wavisheni wenu kwanza

  • @sweetmama6223

    @sweetmama6223

    5 жыл бұрын

    Moses murith jibu zuri hilo jmn unanidai soda apa tanasha kasha vishwa Pete wanataka avishwe nini tna

  • @alyhamad63

    @alyhamad63

    5 жыл бұрын

    Diamond utamwuwa zari kwa wivu

  • @millicentaseyo5817

    @millicentaseyo5817

    5 жыл бұрын

    Tulia kila kitu na wakati wake

  • @chibutvonline8710

    @chibutvonline8710

    5 жыл бұрын

    Anne Gichuki ilikua Ni birthday sio engagement

  • @faizahassanh5699
    @faizahassanh56995 жыл бұрын

    I’m so happy for you guys ❤️congratulations 🇰🇪

  • @roseamal6694
    @roseamal66945 жыл бұрын

    This women do not learn anything? Get a ring first.....get married....own everything or half of everything. oh well........

  • @cedricnitunga468

    @cedricnitunga468

    5 жыл бұрын

    Sasa unataka amiliki ambacho hakukitafuta!! Acha wewe

  • @timnanuahn3243

    @timnanuahn3243

    5 жыл бұрын

    She's gonna be another baby mama

  • @faithmuthini6953

    @faithmuthini6953

    4 жыл бұрын

    Rose Amal true

  • @rehemamwachalula2915

    @rehemamwachalula2915

    4 жыл бұрын

    upendo Kama wote

  • @naomiekosgey1275
    @naomiekosgey12755 жыл бұрын

    I pity Tanasha....she would have waited to wed before getting pregnant....guess she will be one of the baby mamas

  • @glorypama5985
    @glorypama59855 жыл бұрын

    kwani lazima ukiwa na pesa uzae na kila mwanamke?? huo ni ushamba na ulimbukeni.. kwamba hakutarajia hayo maisha mazuri looh... sijawahigi kukupenda we kaka una tabia za ovyo sana.. kutumia wanawake kama vyombo vyako vya starehe...

  • @jifaqmoonwalker6032

    @jifaqmoonwalker6032

    5 жыл бұрын

    Kwann nao wakubali kutumika ata ww akikufata hukatai.... Alafu km humpendi MTU sio lazima uccoment inamaana unamfatilia

  • @hidayakambangwa3365

    @hidayakambangwa3365

    5 жыл бұрын

    Glory Pama umenikosha san

  • @stephenmalilo9833

    @stephenmalilo9833

    5 жыл бұрын

    Nakusoma Glory....hii si sawa kabisaaa......may be uwe huna dini kabisaaa! Si kwa waislam au wakristu, hii kitu haikubaliki......FULL STOP

  • @charmantekazingufu831

    @charmantekazingufu831

    3 жыл бұрын

    Vraiment

  • @joykiden8514
    @joykiden85145 жыл бұрын

    SorryTanasha!! You have just made it to the list of baby mamas

  • @monicahodongo2617

    @monicahodongo2617

    Жыл бұрын

    Harsh

  • @rosarosa8289
    @rosarosa82895 жыл бұрын

    Baba princess Tiffany ...ukaacha ka baby girl Tiffany na vile hupati wasichana unatoa tu dume tupu ....for sure najua you miss your real first family with madam zari...

  • @ilhamabdul9574

    @ilhamabdul9574

    5 жыл бұрын

    Yh true😭❤

  • @stephenmalilo9833
    @stephenmalilo98335 жыл бұрын

    I think ni mkakati. From Kenya, which country is next?? Rwanda, Burundi ??? Dada zetu jifunzeni jamaniii........na mumuogope MUNGU....

  • @alicesituma9706
    @alicesituma97065 жыл бұрын

    Ladies let's get married first b4 becoming bby mama.anyway we have different lives. Congratulations princess

  • @BriaLoveElias

    @BriaLoveElias

    2 жыл бұрын

    Ikr ugh...

  • @rosenyamienga2738

    @rosenyamienga2738

    Жыл бұрын

    What difference does it make

  • @ashahamisi5884
    @ashahamisi58845 жыл бұрын

    Mangi kimambi shikamoooooooo kwa kazi nzuri tanasha kazihirisha sasa

  • @idrissatuppa3997
    @idrissatuppa39975 жыл бұрын

    Mojawapo ya dalili za kiyama ni watoto wa zinaa kuongezeka kwa mujibu wa maandiko matakatifu.ukipinga shauri yako🤔🙄

  • @judithpaul9013

    @judithpaul9013

    5 жыл бұрын

    Idrissa Tuppa n kwl asee

  • @adinibubelwa3848

    @adinibubelwa3848

    5 жыл бұрын

    Idrissa Tuppa nooooo

  • @aliomar9205

    @aliomar9205

    5 жыл бұрын

    Idrissa Tuppa kweli baba

  • @salmagulam6619

    @salmagulam6619

    5 жыл бұрын

    Tena wananadisha wanaona jambo la kawaida

  • @idrissatuppa3997

    @idrissatuppa3997

    5 жыл бұрын

    Salma Gulam kutokuwa na hofu ya mungu nalo ni tatizo.uzuri ukiwa na hofu ya mungu mambo mengi unayaepuka. Lakini badae lawama zote unamsingizia shetani😱

  • @angelahmoraa5472
    @angelahmoraa54725 жыл бұрын

    Jaman daimond u didn't engage tanasha 😏😏😏😏 kwel utamwaja Tu,so sad for you tanasha.but enjoy wakati huko naye.happy birthday 🎂 tanasha

  • @lindahomega8372

    @lindahomega8372

    5 жыл бұрын

    Una wivu jamani

  • @rebeccaasiyo4223
    @rebeccaasiyo42235 жыл бұрын

    Tiffa na Nilan watabaki kuwa juu...ukimaliza na Kenya Tembea Nigeria

  • @rahidulmohammad9293

    @rahidulmohammad9293

    5 жыл бұрын

    As

  • @morrismkuba5755
    @morrismkuba57555 жыл бұрын

    Relationship n conseaving with no covenant or engagement i pity you Tanasha.

  • @subilamaklini9992

    @subilamaklini9992

    5 жыл бұрын

    Qni

  • @naomyachieng5431
    @naomyachieng54315 жыл бұрын

    Wish you all the best....may that angel know the peace of God

  • @hadiyyahabibaty5494
    @hadiyyahabibaty54945 жыл бұрын

    Shemeeji shemeeji shemeeji woow Erico you never disappoint.

  • @emmahsabby3375
    @emmahsabby33755 жыл бұрын

    Congrats Tanasha

  • @ecilaous45
    @ecilaous455 жыл бұрын

    Another baby mama😳😳😳

  • @mautuly_comedianmc_2kimusi23
    @mautuly_comedianmc_2kimusi235 жыл бұрын

    Kama umeniona Mimi nipo kalibu na rayvan gonga like chaaap

  • @millicientnoreen9601
    @millicientnoreen9601 Жыл бұрын

    This is the only marriage that the world we are styl dreaming of ,,,diamond diamond diamond ,,,,

  • @sincenganimsimanga8096
    @sincenganimsimanga80965 жыл бұрын

    Lililililili Simba n the lioness

  • @winnieamina9932
    @winnieamina99325 жыл бұрын

    Sikutarajia kama unaeza Fanya Mambo hilo licha us kuona wenzako bad unajibebea mimba so Bad umetubwaga sana wakenya.kwani hauwaoni wenzako ngoj kuacha history.

  • @silvotorestyles9728

    @silvotorestyles9728

    5 жыл бұрын

    Winnie Amina I really hope she’s smart enough to eat as much money as possible

  • @janeshigami8769
    @janeshigami87692 жыл бұрын

    Mama Dangote...you deserve this treatment from your beloved son...you took him through to where he is...💖👏

  • @rahabwanjiru8500
    @rahabwanjiru85005 жыл бұрын

    waiting for my Rwanda sisters father Abraham

  • @estherblack2770
    @estherblack27702 жыл бұрын

    Mimi sioni Mapenzi yoyote hapa. If you want to see true love without a stain, watch diamond and wema sepetu

  • @gawayakarama2524
    @gawayakarama25245 жыл бұрын

    Uganda zari tanzania mobetto tanasha Kenya bado sudan, Ethiopia na Somalia..hahaha

  • @hanifahnakimera7248

    @hanifahnakimera7248

    5 жыл бұрын

    karama Samir hahahaha

  • @gawayakarama2524

    @gawayakarama2524

    5 жыл бұрын

    Amezidi huyu na kunao wengine nje hajawasema officially ndio maana apima ukimwi kila mwezi...Subhana Allah

  • @mamarichsuper6423

    @mamarichsuper6423

    5 жыл бұрын

    karama Samir nimecheka hadi nimejikuwaaa

  • @ladyannmusic5763

    @ladyannmusic5763

    5 жыл бұрын

    Havana haha haha haha he pia Ethiopia na Cameroon l don't know what is wrong with ladies l swear,MTU anakutumia tu just because of fame and money l poooh booy

  • @christymalkia9963

    @christymalkia9963

    5 жыл бұрын

    Na Congo 😂😂😂😂

  • @galiawendi7188
    @galiawendi71884 жыл бұрын

    Don't thing you are beautiful kwa mwanaume

  • @adijaadija8339
    @adijaadija83395 жыл бұрын

    Namuonamze nasibu😘😘

  • @taraagire6176
    @taraagire61765 жыл бұрын

    Comeon Diamond ♦️ say that was something good u said 👏🏻👏🏻

  • @uwimanauwimana1678
    @uwimanauwimana16785 жыл бұрын

    Mnatutiya machungu na ss tutiye mimba raha sana chibu tunakuoneya wivu sana😘😘

  • @deogratiousmbilinyi9575
    @deogratiousmbilinyi95754 жыл бұрын

    AIISEE NIKIPATA DEMU KA TANASHA SICHEPUKI NG'OO

  • @millyxent6826

    @millyxent6826

    4 жыл бұрын

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @kaniyahiouise1474
    @kaniyahiouise14745 жыл бұрын

    *Duh wauni tunasoma comments tu*

  • @aloybaby1278
    @aloybaby12785 жыл бұрын

    Jmn ivi kumzalia Diamond xaiv imekuwa Fashion eeeh me coni cha umuhimu apo upuuz To akuna muowaji apo ukizaaa utatupwa kuleeee anatafutwa mwengineee bola mondy ungetulia na zari to

  • @hellenmgungus1979

    @hellenmgungus1979

    5 жыл бұрын

    Yaani nishida kila kona mtt na wala siyo ndoa

  • @joywagofya7886
    @joywagofya78865 жыл бұрын

    2:21 look at diamonds face😳😳😳 jomoniii

  • @manifestationqueen5721

    @manifestationqueen5721

    3 жыл бұрын

    😂😂

  • @elizabethmichael1431
    @elizabethmichael14315 жыл бұрын

    hahahaa dai bhana nilijua unamvalisha Pete kumbe ulikuwa unaongelea mimba dooh amaa kwel tanasha mume unae

  • @chandrnyoeliakim1006
    @chandrnyoeliakim10065 жыл бұрын

    Zari kumfikia kazi kweli Zari mzuri wewe

  • @preciousjacob2032
    @preciousjacob20325 жыл бұрын

    Kama kuna alieona tanasha kachora tattoo gani hapo nyuma agonge like na aseme

  • @sabuhassabah7636
    @sabuhassabah76365 жыл бұрын

    Kwanzaa diamond Naomba msamaha Sana kua niweka wimbo Leo zaidi kisha pia naona compln

  • @sabuhassabah7636
    @sabuhassabah76365 жыл бұрын

    Naomba mm ctaki update za hzi habari badaa matuc Yaja kwanguu mm napewa kilaa ubya katika maishaa yangu 🙏🙏delete jamani nashibaa na matuc iwapo Munguu akipenda taonana nae

  • @sabuhassabah7636
    @sabuhassabah76365 жыл бұрын

    Ndio nasema Mm nani anae jua zaidi ya Allah Kwa imani yake dimond Munguu aeza msamehe jamani 🙏🙏pls Musi gurje mtuu musiji hisabu cc WA peponi huyu moto kwani Allah ajua zaidii yy wacheni kussema kaka

  • @lillywyn8077
    @lillywyn80775 жыл бұрын

    Congratulations Tanasha and Mondi children are Gifts from God

  • @umluluabrawi5948
    @umluluabrawi59485 жыл бұрын

    😂😂baba wa kids of east africa🤔who is next? Kila.mwana na mama yake

  • @sweetmelody9927

    @sweetmelody9927

    5 жыл бұрын

    Next is rwanda or somalia then Ethiopian burundu

  • @trendeous4070

    @trendeous4070

    5 жыл бұрын

    Next is Rwanda no doubt 😂😂😂😂😂

  • @mohazhoodbwoy1010

    @mohazhoodbwoy1010

    5 жыл бұрын

    @@sweetmelody9927 ati somali 😂😂😂

  • @sisitvshow6544

    @sisitvshow6544

    4 жыл бұрын

    @@sweetmelody9927 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @adichougracefulburundaise2851
    @adichougracefulburundaise28515 жыл бұрын

    Yani Hata Pete Ya Uchumba Jaman Hamuvishii 😭 Is Bad Wallaaai Sasa Hiyi Movie Tuone Mwisho

  • @mogreenkalabai6777
    @mogreenkalabai67772 жыл бұрын

    Our ericomondi never dissapoints

  • @pythonantole9892
    @pythonantole98925 жыл бұрын

    Kweli simba ni bingwa. Lakini tufanye mambo kwa njia inayofaa kulingana na vile Mungu ametoa amri zake.

  • @rahmahussein4019
    @rahmahussein40195 жыл бұрын

    Tanasha na wewe sasa mwisho wako umefika Kwani ukisha kuzaa tu.. diamond na wewe atakuacha kama alivyoachwa zari na hamisa haoi huyo kazi kuzalisha ovyo tu kama Paka Shume ..na hana hata hofu ya Mungu ..dah!

  • @lizzienabiswa
    @lizzienabiswa5 жыл бұрын

    Wanyooshe mamaa 254 t

  • @josuemituga4234
    @josuemituga42342 жыл бұрын

    Bb cv merci sana wangu

  • @zenabbarry3136
    @zenabbarry31364 жыл бұрын

    Beautiful couple

  • @mamuuwangu1792
    @mamuuwangu17925 жыл бұрын

    Congratulations tanasha and dai

  • @godwingodwin4975
    @godwingodwin49755 жыл бұрын

    Pole Sana ZARI HASAN .

  • @sabuhassabah7636
    @sabuhassabah76365 жыл бұрын

    Mm czai ctaki Hyoo maishaa magumuu kushikaa adabuu

  • @stevewanga957
    @stevewanga9575 жыл бұрын

    Mm ilikua na expect ni harusi kumbe ni bday... Dume la Mbegu hyu lkn sio wa kuoa

  • @yasmenoozm8094
    @yasmenoozm80945 жыл бұрын

    Kwa raha zenyuu😍😘

  • @mohdali2408
    @mohdali24085 жыл бұрын

    Huyu bwege anaua maadili ya taifa

  • @sabuhassabah7636
    @sabuhassabah76365 жыл бұрын

    Musimlaumu huyo kaka Hana ubya kabisa yy Clean heart hapo afanya mtuuu arudi bila kutaka kwake 😊👍

  • @jedidahwanjiku9276
    @jedidahwanjiku92765 жыл бұрын

    Bado Pete Tanasha don't fail us

  • @paulanina1552
    @paulanina1552 Жыл бұрын

    Am praying for this two people to be together again

  • @Bravo-or8oy

    @Bravo-or8oy

    Жыл бұрын

    Forget it, he has gone back to zuchu

  • @annamkomba576
    @annamkomba5765 жыл бұрын

    Angemu engage leo isingenoga maana kila mtu alikuwa anamtabiria kuwa atamvisha pete..na uhakika atakuja kumstukiza kabla huu mwezi hujaisha

  • @ruthmukoya1161
    @ruthmukoya11612 жыл бұрын

    Mungu Awabariki 🙏

  • @cathejoseph3366
    @cathejoseph33664 жыл бұрын

    Mmmmmmmmmh safi Sana coz umependeza sanaaaaaa

  • @ivandadyztzscola6741
    @ivandadyztzscola67414 жыл бұрын

    hongera kaka unajitahd mama vile uliambiwa dunia ujaze peke yako

  • @eliasabandelwa1798
    @eliasabandelwa17985 жыл бұрын

    kama unakubali siku moja diamond atatudondosheaga bonge la ngoma na erick omondi gonga like 100

  • @latitienmasika7855
    @latitienmasika78553 жыл бұрын

    J'aime bien la présentation de Diamond. Mais il est un petit peu timide 😀😃😃

  • @christinamartin2319
    @christinamartin23194 жыл бұрын

    we ukishajifungua tu unaachwa kama wezio walivyo achwa

  • @sabuhassabah7636
    @sabuhassabah76365 жыл бұрын

    Munguu atafanyia kila mema hyo bb na bwana hawezi kosana

  • @elizabethmichael1431
    @elizabethmichael14315 жыл бұрын

    😁😁 ati anaitwa mpenzi wangu nilijua atasema hata mchumba wangu

  • @swabrinaboss7959
    @swabrinaboss79595 жыл бұрын

    Siamini hadi Sasa tanasha hajavalisha Pete ya uchumba 😱😬😬😓😓😓🤧🤧 haki mwakitombile kuoa hadi kiama 🤣

  • @hkmeme5437

    @hkmeme5437

    5 жыл бұрын

    Ilikuwa birthday sio harusi

  • @marywamaitha4313
    @marywamaitha43134 жыл бұрын

    Baby is a blessings

  • @sabuhassabah7636
    @sabuhassabah76365 жыл бұрын

    Salaam nawasalimu WA tz. Mbona Lakini mwamlaumu kaka wangu diamond c vizur ndgu zangu

  • @annatariq5378
    @annatariq53785 жыл бұрын

    Hongera

  • @mlipaushrunonginya2083
    @mlipaushrunonginya20834 жыл бұрын

    maskin mzee abdul juma anatazama mama Dangote haamini yake macho.Mama Dee ana jamaa la kula bata sawasawa

  • @zinbormdan9813
    @zinbormdan98135 жыл бұрын

    Watu wanashangilia zinaa mungu tuongoze waja wako

  • @silvyia.wanjiru4188
    @silvyia.wanjiru41884 жыл бұрын

    Advice to kaka brother daimond, tunza tanasha coz ukimkosea kumbuka she's from Kenya and not just Kenya from the dhluo community, wewe mchezee uone how angry Luo's react,hutapenda

  • @sabuhassabah7636
    @sabuhassabah76365 жыл бұрын

    Ntaenda kablaa kufiks napija kiziboo mm ctaki kizazaaa Hahaaaa 😊😂balaa shidaa yann

  • @jayjuliet7629
    @jayjuliet76292 жыл бұрын

    I miss the couple.

  • @sabuhassabah7636
    @sabuhassabah76365 жыл бұрын

    Dimond ajipenda masknii furaha kuruka aweka update video's pic after jamani naja tuciwa mm bila dhambi 😂😊👍

  • @everrineanyango7410
    @everrineanyango74105 жыл бұрын

    good one guys watching na zari from south Africa

  • @sincenganimsimanga8096

    @sincenganimsimanga8096

    5 жыл бұрын

    everrine Anyango Zari is an xpired thing

  • @lenahlesh8337
    @lenahlesh83375 жыл бұрын

    Hii tamu Sana woiyeee

  • @2.125Official
    @2.125Official5 жыл бұрын

    Diamond, wth? Not even a ring ? I smell trouble 🤣🤣🤣🤔🤔... no wedding

  • @marrywilliam386
    @marrywilliam3865 жыл бұрын

    Mbongo ata akiba ukimpa nafasi ya kujitetea lazma utaix umemwone ivo Yan wabongo oyeeeeee nchiii jilani kuwen makn

  • @anisiamedard3775
    @anisiamedard37755 жыл бұрын

    Wanawake tutabadirika lini. Inasikitisha Sana .tutaona mengi mpka kuja kuoa huyu Kaka Bora ungemuoa tu huyo ukamstiri sasa naye kajibebesha mimba akuze jina na sio kuwaza ndoa. Ila kumbukeni ndoa ni mpango wa Mungu kabisa. Anyway Kila la heri

  • @1lakiisha
    @1lakiisha4 жыл бұрын

    Nice dress Tanasha

  • @barb5433
    @barb54335 жыл бұрын

    He can do whatever but dead beat dad standing there talking about another. Anyway treat that young girl well

  • @iammusic3404
    @iammusic34045 жыл бұрын

    This was amazing!

  • @khatibumangoma5200

    @khatibumangoma5200

    5 жыл бұрын

    THE MOVIES LOVER hakuna wa kuoa hap

  • @iammusic3404

    @iammusic3404

    5 жыл бұрын

    @@khatibumangoma5200 Ataoa Just believe

  • @jasmineshemweta1683
    @jasmineshemweta16835 жыл бұрын

    Hahaaa Zari ako na wanne jmn tuacheni kidogo

  • @wennceslausmushi2356
    @wennceslausmushi23565 жыл бұрын

    The same mistake again

  • @sabuhassabah7636

    @sabuhassabah7636

    5 жыл бұрын

    Loh

  • @jasmineshemweta1683
    @jasmineshemweta16835 жыл бұрын

    Yajayo yanafurahisha namkumbuka mm T hapa

  • @justinaphaustin9334
    @justinaphaustin93345 жыл бұрын

    Kwa kweli ni shida tupu watt wa mitaaani

  • @millicentaseyo5817
    @millicentaseyo58175 жыл бұрын

    Great job our Kenyan queen tanasha,,😘😘

  • @Nana-zk9sz

    @Nana-zk9sz

    5 жыл бұрын

    Disgracefully...get married first before you start popping kids......what is she the 3rd baby mama

  • @celinamgundoi5601
    @celinamgundoi56015 жыл бұрын

    Daah raha sana jamn

  • @sabuhassabah7636
    @sabuhassabah76365 жыл бұрын

    Jamani ndgu mm nko Na kisaa kizuri Lakini naogopa tuu kuambiwa na typing to much nataka dimond mwenye anipe ruhsa niwambie kisa cha ukwel

  • @gladysmegek9892
    @gladysmegek98925 жыл бұрын

    Go for a house first girl u will be left as always oohh my

  • @queenfaadumo4262
    @queenfaadumo42624 жыл бұрын

    i love you ❤❤❤❤❤❤

  • @Belalargib
    @Belalargib5 жыл бұрын

    ❤️

  • @hafsaali4423
    @hafsaali44235 жыл бұрын

    Du jamani nani ameamini maneno ya mwijaku aweke koment hapo jamani hakuna atakaye olewa hapo hata yani watachezewa hadi basi

  • @gaudinamosnchobe4909

    @gaudinamosnchobe4909

    5 жыл бұрын

    Nawe nenda basi akuchezee uzae naye

  • @hafsaali4423

    @hafsaali4423

    5 жыл бұрын

    @@gaudinamosnchobe4909 Nenda akufire wewe msenge nini unazani nimazuri anayo yafanya punga wewe yani wewe ni shoga mkubwa tena koma mpuuzi wewe

  • @aloybaby1278

    @aloybaby1278

    5 жыл бұрын

    Hgcxssf Fghhji mimi nmeamini cpingi ilo apo akuna muoaji apo watachezewa na kuzalixhwa To na mwixho kutupwa kule Diamond mchafuzi anachafua To anamaana uyo

  • @tumainikyamba6426

    @tumainikyamba6426

    5 жыл бұрын

    Kinawaumann wvut waone

  • @CallOutKenya
    @CallOutKenya5 жыл бұрын

    nenda kajue zaidi kuhusu wanaume Tanasha alikua na uhusiano kabla ya kujuana na diamond @

  • @fayiekarey8895

    @fayiekarey8895

    Жыл бұрын

    It's only nick mutuma

  • @hamsomauzo4598
    @hamsomauzo45982 жыл бұрын

    Et ulithibitisha mimba ni yako alafu uje uambiwe uyu mtoi c wko baada ashakua mtu mzima utafiliaje

  • @ibraimoibraimobuanamade8881
    @ibraimoibraimobuanamade88815 жыл бұрын

    Sasa nyihe wafuraiya wazinzi wanatuleteya watoto wa zina kia siki ama kweli duniya imeisha lá

  • @namatomehajara7588
    @namatomehajara75884 жыл бұрын

    Bother Big up us

Келесі