ZAWADI ALIYOITOA DIAMOND PLATNUMZ KWA MTOTO WA IRENE UWOYA

Usiku huu wa June 13, 2021 imefanyika sherehe ya kumpongeza mtoto wa Irene Uwoya kupokea sacrament yake ya kwanza iliyoambatana na siku yake ya kuzaliwa, na hapa msanii Diamond Platnumz aliitwa mbele kwaajili ya kutoa neno na kumpa zawadi mtoto wa Irene Uwoya. PLAY kutazama

Пікірлер: 187

  • @Noreen-gd6js
    @Noreen-gd6js3 жыл бұрын

    Hongera kwa malezi mazuri ya mtoto Mwenyezi Mungu amlinde siku zote za maisha yake Amen

  • @afterfull-time1348
    @afterfull-time13483 жыл бұрын

    Siku zote ukifanya mema na kuheshimu kila mmoja utapendwa hadi na watoto Mungu akuinue kila siku Diamond 💎 weng wanafurahia uhai wako..Amen

  • @likedatshorty
    @likedatshorty3 жыл бұрын

    What a sweet kid Mashallah. Irene congrats ma, kulea sio kazi rahisi. Mwenyezi Mungu azidi kumkuza katika malezi bora.

  • @pendomarco8928

    @pendomarco8928

    3 жыл бұрын

    Simba

  • @bongobana666

    @bongobana666

    3 жыл бұрын

    kzread.info/dash/bejne/mJ-Aj7Kxm5erZMY.html

  • @coolruler6820

    @coolruler6820

    3 жыл бұрын

    Kulea sio kazi bali ni agizo toka kwa Mungu kwamba mlee mtoto ktk njia impasayo. Kwa agizo hilo mzazi unapaswa kujua kwamba unalo la kujibu mbele za Mungu pale mtoto ambaye ni zawadi Mungu amekupa akiharibikia mikononi mwako. Mungu alikupa akiwa malaika na unapaswa kumrejesha kwake vivyo hivyo

  • @faithfulphilemon9890
    @faithfulphilemon98903 жыл бұрын

    Huyu Dada anajitahidi sana ktk malezi japo watu wanamsema vibaya lkn amejitahidi sana kulea ni kazi sana aisee

  • @godfreyishengoma232
    @godfreyishengoma2323 жыл бұрын

    Mungu amlinde amkinge na maadui na wenye roho za husda, morning star enjoy your life.

  • @bongobana666

    @bongobana666

    3 жыл бұрын

    kzread.info/dash/bejne/mJ-Aj7Kxm5erZMY.html

  • @uwitekamimy3431
    @uwitekamimy34313 жыл бұрын

    Mtoto ana akili hiyo 😍🤗 Kuna watu wengi wanatamani sn kumshika Diamond mkono 😢👏🏻🙌🏻

  • @ayshamahariq6665

    @ayshamahariq6665

    3 жыл бұрын

    kwer 🤝

  • @hamidawaziri5936

    @hamidawaziri5936

    3 жыл бұрын

    Yan acha tu nataman anishike tu😀😀

  • @uwitekamimy3431

    @uwitekamimy3431

    3 жыл бұрын

    @@hamidawaziri5936 😂😂😂

  • @crayboytz2736
    @crayboytz27363 жыл бұрын

    Nimempenda mtoto yuko vizur

  • @happymushi8197
    @happymushi81973 жыл бұрын

    Ukisikia hekima ndio hizi huyu mtoto apatiwe muda wa kuishi mazingira ya kiroho zaidi Mungu akitumie kilichopo ndani yake. Diamond ubarikiwe sana sana uishi maisha marefu yenye mafanikio endelea kujitoa kwa kile unachojaliwa na Mungu.

  • @violetpaulsen1741
    @violetpaulsen17413 жыл бұрын

    Hongera kwa malezi mema Irene Mungu amtunze mtt wako akue vyema zaidi

  • @rehemaathhmani357
    @rehemaathhmani3573 жыл бұрын

    Hongera Dada Kwa malezi bora Allah amlinde na husda na mabalaa amkinge kwa kila jambo baya amuepushe na marafiki wabaya na ampe mwisho mwema inshaallah 🤲🤲🙏❤️🥰❤️

  • @nahyialetomia9284
    @nahyialetomia92843 жыл бұрын

    Mtoto mzuri

  • @kaburaakbar4838
    @kaburaakbar48383 жыл бұрын

    Diamond platnumz

  • @magrethmbuma3045
    @magrethmbuma30453 жыл бұрын

    Mtoto anaongea viizuurii sanaa huyuu....Aaaameen

  • @abuyunusmohamed6961

    @abuyunusmohamed6961

    3 жыл бұрын

    Kachemka kwa diamond na kuongea hajui kabisa.Unaulizwa upewe zawadi gani anataja marafiki zake wapewe mkono na diamond.Angemwambia nataka zawadi ya gari.

  • @magrethmbuma3045

    @magrethmbuma3045

    3 жыл бұрын

    @@abuyunusmohamed6961 hapoo ni kitu alipanga kuwatimizia rafiki zake ndio ujue huyo sio mbinafsi

  • @salmarashid3492

    @salmarashid3492

    3 жыл бұрын

    @@abuyunusmohamed6961 😂😂😂Et gari

  • @rehemamasoud3687

    @rehemamasoud3687

    3 жыл бұрын

    @@magrethmbuma3045 kweli kabisa mtoto hana tamaa ya vitu

  • @asmamgumba9228
    @asmamgumba92283 жыл бұрын

    Hongera sana irene mtoto huyukm alivyoongea anko wake mondi kwa kweli ni wa pekee ameitaji zawadi yenye baraka na si pesa mungu ambariki

  • @user-us6ze8bz3u
    @user-us6ze8bz3u3 жыл бұрын

    Mungu azidi kukubariki diamond....from saudi

  • @aishaaboud6
    @aishaaboud63 жыл бұрын

    Hongera Mama Krish hongera Sana ... Huyu mtoto Ana kitu cha special sana ...

  • @ramangadu6451
    @ramangadu64513 жыл бұрын

    Tukumbuke Nayo Mapenzi Yakizidi Sanaaa Mtihani

  • @abuyunusmohamed6961

    @abuyunusmohamed6961

    3 жыл бұрын

    Mapenzi yakizidi yanaharibu.Tunda likiwiva sana ujue linaelekea kuoza.Mapenzi bora ni ya vitendo.Kumsomesha elimu bora na kumpa maadili mema na hayo ndio mapenzi ya kweli

  • @damariszuckschwert9489

    @damariszuckschwert9489

    3 жыл бұрын

    Tena kwa hawa watoto wa kibongo ni shida kabisa.

  • @allthingdranabeauty

    @allthingdranabeauty

    3 жыл бұрын

    Nikweli ila amejitaidi ingekuwa mtu mwingine nataka sim pesa ilz yeye kachagua mtu amshike mkono ni kitu bacho kipo kwenye bible story imetokea kwa diamond

  • @abuyunusmohamed6961

    @abuyunusmohamed6961

    3 жыл бұрын

    @@allthingdranabeauty huu wakati ni wa maslahi.Diamond anapenda sifa na anapata pesa nyingi kupitia wasafi na KZread channel na muziki. Mtoto alipoulizwa unataka zawadi gani angesema gari angenunuliwa tu na huyu bwana mpenda misifa

  • @abuyunusmohamed6961

    @abuyunusmohamed6961

    3 жыл бұрын

    @@mkapapapai5631 mtu akiwa mlevi kila mtu anamdhania hivyo.wewe huna pakulala na unaishi bondeni na subiri mafuriko yanakuja.Mpuuzi sana wewe na huna adabu

  • @fatmasalim8293
    @fatmasalim82933 жыл бұрын

    Mashallah daimond oyeeeeeee 😍🥰🥰🥰🥰🇴🇲👌

  • @scholarkini3343
    @scholarkini33433 жыл бұрын

    Mtoto mzuri sana

  • @ingabirecarine3092

    @ingabirecarine3092

    3 жыл бұрын

    Namshukuru Sana mtoto wetu Ndikumana

  • @Sppah697
    @Sppah6973 жыл бұрын

    Congatulation Krish!

  • @likedatshorty
    @likedatshorty3 жыл бұрын

    Dua nzuri hizi. Aamin Allahuma Aamin Aamin.

  • @bongobana666

    @bongobana666

    3 жыл бұрын

    kzread.info/dash/bejne/mJ-Aj7Kxm5erZMY.html

  • @ayshamahariq6665

    @ayshamahariq6665

    3 жыл бұрын

    Aamin🤗🤗

  • @sixfingerthedon4907
    @sixfingerthedon49073 жыл бұрын

    Mwezangu na mm ange sema nataka gar😂😂😂😂wachache sanaa wakujiongeza

  • @khojarobebebebebebebebe9329

    @khojarobebebebebebebebe9329

    2 жыл бұрын

    Hata me nimewaz hivy ningetaj gari kwasifa

  • @franceally7615
    @franceally76153 жыл бұрын

    Ndiku Jr

  • @pendomarco8928
    @pendomarco89283 жыл бұрын

    Hongera krishna Mtoto mzuri Mungu azidi kukulinda

  • @ameniameni617
    @ameniameni6173 жыл бұрын

    Ayo ndiyo mallezi Kwa mtoto sio anaulizwa zawadi anataka pesa

  • @emmanuelymacha2653
    @emmanuelymacha26533 жыл бұрын

    He's Genius

  • @shantellemwanakombo3703
    @shantellemwanakombo37033 жыл бұрын

    Safi 🥰🥰

  • @pilimusa7770

    @pilimusa7770

    3 жыл бұрын

    Shantelle uko huku😁

  • @shantellemwanakombo3703

    @shantellemwanakombo3703

    3 жыл бұрын

    @@pilimusa7770 nipo kila mahali mpenzi,

  • @rehemaothman2200
    @rehemaothman22003 жыл бұрын

    Hongera😍🥰🤩🤩🤩

  • @vernongoodvibes99
    @vernongoodvibes993 жыл бұрын

    Greatkid

  • @vionahsikanga2209
    @vionahsikanga22093 жыл бұрын

    Milard ayo is the best for the update 🙏

  • @djmeza411a58
    @djmeza411a583 жыл бұрын

    Irene ongera sana kwa kukuza naomba akue na hiyo hiyo eshima

  • @muhidinihomera5922
    @muhidinihomera59223 жыл бұрын

    🙌🙌🙌

  • @emmanuelymacha2653
    @emmanuelymacha26533 жыл бұрын

    Wow nice enough

  • @azzaalmaamry5817
    @azzaalmaamry58173 жыл бұрын

    Maashaallah

  • @lucyjoseph5178
    @lucyjoseph51783 жыл бұрын

    Ukiwa na pesa raha sana mond hongera

  • @jamilasalimvilog6752
    @jamilasalimvilog67523 жыл бұрын

    Mashallah

  • @hjfu629
    @hjfu6293 жыл бұрын

    Diamond platnumz amevaa kama harmonize

  • @aboubakarinassoro185
    @aboubakarinassoro1853 жыл бұрын

    Umemlea mwanao hadi rahaa hongera sana

  • @agneschulla5120
    @agneschulla51203 жыл бұрын

    Hongera sana mungu akutunze Krish wako

  • @letshavealiltalk2313
    @letshavealiltalk23133 жыл бұрын

    Pesa tamu ñyie yan hapo ni communio&bday mc GalaB plus bomba la party,akija kuoa c harus itafanyika Jupiter na mc jadu

  • @hapifaniaprowin7529

    @hapifaniaprowin7529

    3 жыл бұрын

    😂😂😂😂😂jupiter n mc jadu daaah😂😂😂🙌🙌🙌

  • @dorcusemmanueldorchi4988

    @dorcusemmanueldorchi4988

    3 жыл бұрын

    😂😂😂😂 jadu jmn

  • @elizayanga9756

    @elizayanga9756

    3 жыл бұрын

    🤣🤣🤣🤣🤣

  • @letshavealiltalk2313

    @letshavealiltalk2313

    3 жыл бұрын

    😂😂😂

  • @zahooramuba6227

    @zahooramuba6227

    3 жыл бұрын

    Umeuwa kabisaaa 😁😁😁😁😁

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq66653 жыл бұрын

    maa shaa Allah 😘😘😘😘🇪🇭🇪🇭

  • @joydan249
    @joydan2493 жыл бұрын

    Ongeraaa irine

  • @maigathomas2353
    @maigathomas23533 жыл бұрын

    Dogo yuko vizuri sana hongera kwa mama yake mzazi kwa malezi bora

  • @estarjuma7983
    @estarjuma79833 жыл бұрын

    😍😍😍😘😘😘

  • @mayralily9063
    @mayralily90633 жыл бұрын

    Jomn mtot kalelk mashallah

  • @mwigakatumpula9817
    @mwigakatumpula98173 жыл бұрын

    And yeah 👏👏👏👏😃😃😃😃

  • @vionahsikanga2209
    @vionahsikanga22093 жыл бұрын

    Amen

  • @panchovalentino5922
    @panchovalentino59223 жыл бұрын

    Chibu dangote 🙌🙌👏👏🔥🔥💯💯❤️♥️

  • @dicksontamba4177
    @dicksontamba41773 жыл бұрын

    Nliogopa swali maana nlihic dogo ataropoka....kumbe kaongea. Hongera sana

  • @andulilemwakihabha2048
    @andulilemwakihabha20483 жыл бұрын

    Simbaaa 🔥🔥🔥

  • @yusrasalum
    @yusrasalum3 жыл бұрын

    Nimependa hao watoto

  • @nuruheartaman3466
    @nuruheartaman34663 жыл бұрын

    Raha sana

  • @jenipheraron5071
    @jenipheraron50713 жыл бұрын

    Woow

  • @andulilemwakihabha2048
    @andulilemwakihabha20483 жыл бұрын

    👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼

  • @franceally7615
    @franceally76153 жыл бұрын

    🙏

  • @paulamaya9472
    @paulamaya94723 жыл бұрын

    ❣️❣️❣️❣️❣️❣️

  • @clementsteven3956
    @clementsteven39563 жыл бұрын

    Africa is Watching

  • @thebosslady4597
    @thebosslady45973 жыл бұрын

    kwel mtoto kalelewa vzur kama ningekuwa mm nmeambiwa nichague zawadi kiukweli ningeomba muda nifikilie maana opportunity never come twice 😂😂😂😂

  • @AMI-ip1lx
    @AMI-ip1lx3 жыл бұрын

    😍😍😍😍😍😍Anaakili Uyu Krish wa Tz 😂Tuachane na Ule wa Indian

  • @tingbatuuka7278
    @tingbatuuka72783 жыл бұрын

    Brave boy

  • @kpetres2872
    @kpetres28723 жыл бұрын

    Tutafte pesa au mawe kwa jina lingine 😭

  • @shekiffu
    @shekiffu3 жыл бұрын

    Hii yakuzidisha mapenz kwa watoto hasa wakiume na kwa malez ya single mama hua yana madhara makubwa mno

  • @naomyjulius7251

    @naomyjulius7251

    3 жыл бұрын

    Madhara gani mbona na wivu jamani

  • @luhanyamipawantobi6888

    @luhanyamipawantobi6888

    3 жыл бұрын

    Kwahiyo ampige fimbo kila cku!!!? Au ???

  • @naomyjulius7251

    @naomyjulius7251

    3 жыл бұрын

    @@luhanyamipawantobi6888 sindio hapo sasa watu wengine ovyo tu hawanamapenzi na watoto wao

  • @allthingdranabeauty

    @allthingdranabeauty

    3 жыл бұрын

    KM mtoto umemkabidhi kwa Mungu wala we mwone zawadi kachagua mkono wapewe marafiki mwingine angetaka iphone

  • @devothasimbi1055

    @devothasimbi1055

    3 жыл бұрын

    @@luhanyamipawantobi6888 huenda kukaripia mtoto ndio malezi mema kwa mtazamo wake.teana bila hâta haya wanaingizia suala la kuwa mlezi ni mama peke yake.kuna watotowas a wazazi wote wawili na si wasikivu kabisa.

  • @amirikoshuma3039
    @amirikoshuma30393 жыл бұрын

    Watoto wa mastaa bwana do shidaaa kweli kweli

  • @bernardjohn8788
    @bernardjohn87883 жыл бұрын

    Wapongezwe waalimu wa english medium anakosomea ndio wanamfundisha maadili

  • @aboubakarinassoro185
    @aboubakarinassoro1853 жыл бұрын

    Irene hapa umejua kunifurahisha

  • @salimalesry428
    @salimalesry4283 жыл бұрын

    Mtoto anaongea kidemu zawadi nzuriii anamtengenezea mazingira mabaya sana sio ya ugumu asije kulaumu watu

  • @mwanaishiaomar5695
    @mwanaishiaomar56953 жыл бұрын

    🥰🥰🥰🥰🥰

  • @zaiiomary8970
    @zaiiomary89703 жыл бұрын

    Mtoto anajua kizungu mond kiswahili hajui

  • @ansilangatoluwa2894
    @ansilangatoluwa28943 жыл бұрын

    Ukweli mpaka machozi yamenitoka, mtoto anahekima sana

  • @sadockalfred1710
    @sadockalfred17103 жыл бұрын

    Mtoto ana akili kuliko hata mama yake

  • @zaifatishengoma2364
    @zaifatishengoma23643 жыл бұрын

    My son's name is FAYSAL I wish he could be among them to touch him too.

  • @shedrackmwaipopo9427
    @shedrackmwaipopo94273 жыл бұрын

    Saf

  • @paulinekabui649
    @paulinekabui6493 жыл бұрын

    Apeleka zawadi kwa watoto wa wenyewe but wake kashindwa n j. Hana kitu

  • @jogechi2105
    @jogechi21053 жыл бұрын

    Sielewi hii party ni ya nini. Ni birthday party au?

  • @ayshameme4856

    @ayshameme4856

    3 жыл бұрын

    Kabatizwaaaa

  • @beatricekamenge7000

    @beatricekamenge7000

    3 жыл бұрын

    @@ayshameme4856 kapata komnio

  • @ireneassey753

    @ireneassey753

    3 жыл бұрын

    Sakrament ya komyio

  • @umruqayya9569

    @umruqayya9569

    3 жыл бұрын

    Komonio ndi nn

  • @ireneassey753

    @ireneassey753

    3 жыл бұрын

    @@umruqayya9569 ok katika kanisa katolik huwa watoto wakimaliz mafundisho ya bible class one huwa wanapat hio sakrament kwa kanisan tunaamin kuwa ni mwili wa KRISTO..

  • @rosemutisya2073
    @rosemutisya20733 жыл бұрын

    ❤️❤️

  • @thebosslady4597
    @thebosslady45973 жыл бұрын

    mwanzo mi sikumwelewa kabisa zawad aliyo ichagua khaaaaaa

  • @hawakibambe8678
    @hawakibambe86783 жыл бұрын

    Me nahangaika tu kujua kuna nn sipat jibu dooh!!

  • @mahmoodalghefeili5370

    @mahmoodalghefeili5370

    3 жыл бұрын

    komnio ya mtoto wa iren uwoya

  • @bettyladouce3029
    @bettyladouce30293 жыл бұрын

    Vingine vitoto vingesema zawadi ya gari😂😂😂😂😂

  • @abuyunusmohamed6961
    @abuyunusmohamed69613 жыл бұрын

    Ungemwambia akununulie gari

  • @christinamsigwa151
    @christinamsigwa1513 жыл бұрын

    Amefanana sana na dogo janja😀😀😀 damu nzito kuliko maji

  • @user-rd7jt1vi5x

    @user-rd7jt1vi5x

    3 жыл бұрын

    Huyu mtoto cyo dogo janja mbona baba yake ametangulia mbele za haki

  • @mutwalesylvie1305
    @mutwalesylvie13053 жыл бұрын

    Allah akalinde katoto ketu

  • @sweetmama6885
    @sweetmama68853 жыл бұрын

    Mpaka mara ya pili huyu mtoto akuelewa swali. Ameulizwa unataka zawadi gani kutoka kwa mjomba wako? Jibu alilotoa nitofauti kabisa na swali akiloulizwa. Why zawadi atake kutoa mjomba yeye atake rafiki zake wamshike mjomba mkono? Bora angemuuliza kwa kinge. Wangeelewana kabisa. Na mjomba angenyonywa mpunga wa maana hadi kamasi limshuke🤣. Angetaja anunuliwe ata kiwanja. Chaaa, chezea damu ya Kichaga nyie. 😂

  • @coletashirima2193

    @coletashirima2193

    3 жыл бұрын

    Rafiki zake wamshike mkono hio ndo zawadi aliochagua ili kutimiza ndoto za marafiki zake ...wenzake awsjawai kushikwa na uncle hahag

  • @ashaali7154
    @ashaali71543 жыл бұрын

    Huyu mtoto baba yake si alikuwa muislam au vipi.

  • @souvenirweber7169

    @souvenirweber7169

    3 жыл бұрын

    Kwahiyo unatakaje acha mameno unaona mtoto kafata kwa mama alie mlea.

  • @fayeezomary6563

    @fayeezomary6563

    3 жыл бұрын

    @@souvenirweber7169 acha bangi

  • @theafricaiknow6615

    @theafricaiknow6615

    3 жыл бұрын

    Ndikumana alikuwa mkristo Sema Jina lilikuwa ni la kiislam. Si uliona ndoa yake na Irene ili fungiwa kanisani Dar

  • @damariszuckschwert9489

    @damariszuckschwert9489

    3 жыл бұрын

    @@souvenirweber7169 umeonaee wamekazana baba alikuwa muislam so what?? Mtoto ambae miaka yote kalelewa na mama akifuata Islam kisa nini? Backwards thinkers.

  • @rachelmuhehe2593

    @rachelmuhehe2593

    3 жыл бұрын

    Alikuwa pure Christian

  • @paulamaya9472
    @paulamaya94723 жыл бұрын

    Huyu wa mwisho cjuh kamwambia nn Diamond

  • @charleskaduma3892
    @charleskaduma38923 жыл бұрын

    huwezi amini mm ningeomba ps5 hapo

  • @josephotto8755
    @josephotto87553 жыл бұрын

    Wema naona anaumia Sana kuona wenzake Wana watoto

  • @agathathobias8690

    @agathathobias8690

    3 жыл бұрын

    Acha wanga Kwan ukoo wako wote wana watoto

  • @mahmoodalghefeili5370

    @mahmoodalghefeili5370

    3 жыл бұрын

    @@agathathobias8690 wanga gan c kajitakia mwenyewe kutoa mimba

  • @lovvy854
    @lovvy8543 жыл бұрын

    Wagawiye na wenzako basi hizo Dollars nawao wafarijike 🤣😂🤣🤣🤣

  • @alexsimon5576
    @alexsimon55763 жыл бұрын

    Kupokea kitu kwa mkono wa kushoto sio poa kabisa,au anaumwa mkono wa kulia

  • @mubengakarachay9630
    @mubengakarachay96303 жыл бұрын

    0k

  • @tingbatuuka7278
    @tingbatuuka72783 жыл бұрын

    I say. Huyu mtoto ni kitu kingine. Yani zawadi kachagua wenzake ku furahi kwa ku mshika diamond. I say. Huyu ana moyo wa kujali wenzake kuliko anavyo jijali yeye

  • @selemankishema5780
    @selemankishema57803 жыл бұрын

    Samahani huyu mtoto ni mvulana au msichana?

  • @cestjolie5574
    @cestjolie55743 жыл бұрын

    Sa mbon kasep mwishon kabl hajaepw asant kwa zawad yak tho🙄?

  • @eliachacky7562
    @eliachacky75623 жыл бұрын

    Mnaacha kuwasaidia wagonjwa walioko mahospitalin na masikini wenye ziki mitaan na vijijini mnakuja kujimwambafai huku mitandaoni

  • @anneafrica939

    @anneafrica939

    3 жыл бұрын

    Elia nakwihita mara tatu hizo ni Mali za kishetani azisaidii tuu mtu yoyote azifikilii Wengine ndio maana mtu aoni hasara kuchangia milioni 10. Ni chama Chao kupeana support za hvyo So take note on that Wewe angalia aliye juu God and Jesus Who choose you wakipata neema ya wokovu basi watavua mavazi yao ya ubatili ni kuombeana tuu hatujakamilika na Bado twaishi chini ya neema ikitoweka neema hiii ya sasa tusubiri kukatana masikio na mapanga 666inafanya kazi na vijana na ulimwengu mzima So fumbua macho tuu upate kuona na hekima ya Mungu ikae moyoni mwako.Amen.

  • @saimoniboniphace4763

    @saimoniboniphace4763

    3 жыл бұрын

    Kua na ekima ndio kitu pekee nacho kwambia acha kumzalau mtu kwa anacho kifanya kwa wakati huo. Jalib kua na eshima. Nijambo zuli pia kuwapa wangonjwa. Msahada lkn ukumbuke Apo Yuko wap. Ayupo hospital yupo kwenye shelee ya mtoto kupokea kipaimara so pia cyo kitu kiby alicho kifanya so nakuomba acha kua na kauli chafu na za kejeli

  • @anneafrica939

    @anneafrica939

    3 жыл бұрын

    @@saimoniboniphace4763 Asante umenena vema yote mema maadamu sijakutukana Nimesikia Nitakuwa na hekima

  • @aminanasibu5632
    @aminanasibu56323 жыл бұрын

    Ilikua shelehe ya nn jaman

  • @huntertm1514
    @huntertm15143 жыл бұрын

    Unamchamba instagram but unamtumia KZread kupata hela 😏 No credibility in your current work at all...

  • @automotivetz1275
    @automotivetz12753 жыл бұрын

    Dogo kakosa ps5 kizembe😂

  • @jumamarwa2795
    @jumamarwa27953 жыл бұрын

    Huku kwetu ungeskia mjomba baiskel🤣🤣🤣🤣

  • @coletashirima2193

    @coletashirima2193

    3 жыл бұрын

    Hahah

  • @mohamedindeyelo1574
    @mohamedindeyelo15743 жыл бұрын

    Dogo hana shobo

  • @ramazozo3573
    @ramazozo35733 жыл бұрын

    Dhu uyu dogo apo katisha

  • @happynesbaemuhappynes8813
    @happynesbaemuhappynes88133 жыл бұрын

    Ww Mc gara b

Келесі