Watu kumi na mmoja wamefariki kwenye mafuriko

Watu kumi na mmoja wamefariki huku maelfu wakiachwa bila makao kufuatia mafuriko yaliyoshuhudiwa katika kaunti tisa nchini. Jamaa wanne walifariki Narok usiku baada ya nyumba yao kusombwa na mmonyoko wa ardhi, huku watu wawili wakifariki maji walipokuwa wakijaribu kupita kwenye daraja lililogubikwa maji Machakos. idara ya kukabili majanga imetoa tahadhari ya mafuriko katika kaunti za Tana River, Lamu na Garissa kufuatia ongezeko la maji katika mabwawa ya seven forks.

Пікірлер: 10

  • @DanielMuphwa-nc7qe
    @DanielMuphwa-nc7qeАй бұрын

    Be blessed

  • @carenchepkurui126
    @carenchepkurui126Ай бұрын

    Poleni qwa familia

  • @isabellahbwari3168
    @isabellahbwari3168Ай бұрын

    hii mvua ni aina gani😢

  • @SleepyAgilityPuppy-wx3wf
    @SleepyAgilityPuppy-wx3wfАй бұрын

    😢😢😢😢😢kila mwaka serikari haitawai tafuta solution aky

  • @landlordnyangena8407
    @landlordnyangena8407Ай бұрын

    Bennhin yule muhubiri president alimleta

  • @marymutai8915
    @marymutai8915Ай бұрын

    What's happening in our country

  • @evejoy6898

    @evejoy6898

    Ай бұрын

    Psalm 127:1

  • @georgeodhiambo2118

    @georgeodhiambo2118

    Ай бұрын

    Hatupangwingwi 😂😂😂

  • @georgeodhiambo2118

    @georgeodhiambo2118

    Ай бұрын

    The person that you elected is just doing nothing yet you are there singing the song Hatupangwingwi 🤔🤔🤔

  • @landlordnyangena8407

    @landlordnyangena8407

    Ай бұрын

    Yangu bennhin aliletwa Kenya kuhubiri mambo imeharipika

Келесі