UBUNIFU.. Bw.Harusi apewa zawadi ya J3 mpaka J2 . Zipo ndani ya Box hizo saba. UTAIPENDA.
Ойын-сауық
Ni Sendoff ya binti wa Kinyiramba NICE hii style ya zawadi yake kumpatia mtarajiwa wake imekua ya kipee sana. Em tazama na ww then tupe maoni yako.
Subscribe @Mcgarab
Пікірлер: 260
Niceeee dada smart brain nimempenda bureeeeeee
Brilliant Idea Nice kudos to you 👍
i love the confidence of the lady
Daaah aisee hongera dada
Wow! Very intelligent lady
She is so intelligent... he is very luck
Mnaomsema msisahau kumuombea
Amen,I tap this annointing,that very soon I will be happy as my sister here,o God help me
Wow it's soo amazing my friend
Umlete shemeji chuga man 😁👏👏🎉🎉
Wow I like this amazing gift
Hongera sana dada kwa upendo na baraka zote kwako🙏
Dada msomi ,anajielewa safi sana.
Yaani kama wadada wa namna hii kama wapo duniani Mungu ni mwema
I like ,it very creative
Greaaaaaatt ♥️♥️♥️♥️
We baharia umepata mke, usizingue huyo demu yupo vizuri
Waoo kaka kapata jikoo kwakwel
Haya hizi ndoa za matangazo bwana ngoja waanze kulala bila nguo pamoja ndio watajua Nawatakia maisha mema lakini lazima bi harusi apunguze ongea ila azidishe matendo
@Bruno-ed1ps
3 жыл бұрын
😀
@salomesinkonde83
2 жыл бұрын
Waongeaji wengi hawana matendo
Hongera bro.. bt unahitaji sana akili kuishi na mwanamke mwenye akili.
@nemesshayo9370
3 жыл бұрын
Hahahaa
@Bruno-ed1ps
3 жыл бұрын
Sio mchezo mwanamke kama huyo mmmh
@Bruno-ed1ps
3 жыл бұрын
Sio mchezo mwanamke kama huyo mmmh
@seiphselemani1506
2 жыл бұрын
Hatareeee
Good simple lady
Amen mubarikiwe
Mungu awabariki sana katika ndoa yao...
@melikiadiriwa988
3 жыл бұрын
87
Nice creative
I have really liked this
Ubunifu mzuri sana
great 💪💪💪💪💪
Mmendza Sana my dear
Hongera sana
Ina sence kubwa,mungu awalinde
Waooo nice
Hongera mike rafkiangu naikawe kheri💖
Ni nzur lkn mawazo yangu hii zawad ingetolewa na bwana kwenda kwabibi harus ingependeza zaid
@rahmahussein8199
3 жыл бұрын
Ni kweli ingenoga zaid angetoa mume na pia idea ni nzur zawadi cjazielewa
@nilansaid2927
3 жыл бұрын
Send-off ni ya msichana, harusi ndio sherehe ya mwanaume
@elyotchisanga138
2 жыл бұрын
Saizi wanawake wanapenda kumtawala mwanaume ,ko hapo inaonekana mwamke ndio mpambanaji sio mwanaume mwanaume Hana kitu ni zilo wanawake wa kichaga wapambanaji wanateka waume zao hizo tabia mwiko
@nerymshana3333
Жыл бұрын
Ni kwel hiy challeng ilibid bi harusi apew na mumewe sio yeye kutoa kwasababu bwana ndie mtafutaj
@user-id7lc7tk4d
15 күн бұрын
Ni dalilj tosha kuwa mwanamke ndio kichwa,,,watu wanachekelea ukweli ni kwamba bi harusi kamzalilisha mumewe hapo ,,
💕💕 kila la kheriii
True dada nimekuerewa sana
Gauni zuri,umependeza saaana mdada
Nicee
Nice love
Very creative
Safi sana
Fresh kabisa
Nice is always creative tangu shule😂😂
Wow wow🤗🤗
Wow
Huyu dada is very intelligent
Bi harus kachangamka htr
Well and nice
Jmn cjatoshe kipande cha insta nimezama You tube 😆😆😆😆👌
@williamkavuta8066
3 жыл бұрын
Mbwembwe tuu...
Mmhh izi ndoa za ma single mother zinasumbua sana, uwez kua binti na mume ujui penzi lake ukawa free ivo dah!
Welldone
I wish you are the one ladies
Nimependa hiyo
The best wedding
Niceeee woow
Nice
Huyo bibi arusi au Mc
nakukubal sana mc mwita
Anaongea like jokate Mwegelo
@khadijamalifedha4786
3 жыл бұрын
Nilidhani mm tu nimeliona hilo
@MegaAlexison
3 жыл бұрын
She looks like jokate even kuongea
Jamaa atapigwa makofi na Hana pa kusemea aiseee
@Bruno-ed1ps
3 жыл бұрын
😂😂
Amina sana mungu ataendelea kuwapingania ndoa safi sana
@pelagiamaumba8602
3 күн бұрын
😂
Naona kama dada Kafall sanaaaaa ,MUNGU AMSAIDIE ASIJE KATISHWA TAMAA NA MWENZIE ,
Mc gara nipitie pia nifike 100 subs
Nimeioenda hiii bi harusii ❤🎉
Ila han heshima huy mdad
Mwanamke anaongea sana baadala ya mme kuongea duuhhh !!! sisi tumezoea mwanamke ana aibu
@sitikatembo5835
Жыл бұрын
Acha ushamba hii ni send-off
Ndoa yao inaonyesha mwanamke ndiye atakua kichwa mwanaume atakua mkia😂😂😭
@sylviakisanga7507
3 жыл бұрын
Sure kabisa
@akxakalapa8950
3 жыл бұрын
@@sylviakisanga7507 umeona eeh
@esterpantaleo246
3 жыл бұрын
Hahahahaha
@nailengai7057
3 жыл бұрын
Kwani kuna ubaya gani? Acheni mfumo deme bhn hata mwanamke akiwa kichwa as long as hatendi dhambi kuna ubaya gani
@sylviakisanga7507
3 жыл бұрын
@@nailengai7057 na wewe ni walewale tena ..
Whaoooo
Safi
Very nice
She is very intelligently
Bibi harusi Hongera nilifikiri jokate mnafanana sauti
Huyu dada ni ginias ukipata mwanamke km huyu hkk umetajirika
@Bruno-ed1ps
3 жыл бұрын
😁😄😂😃😀😅🤣😆 wanakuwaga wazuri nje
@greynyoni7588
3 жыл бұрын
Akuna utajili kwenye maneno, utajili upo kwenye kufanya kazi na kuwa wabunifu na kusamini pesa iliyo ingia, sio hayo ya vingereza vingi na misali.
@hassanisadiki824
3 жыл бұрын
@@greynyoni7588 point
Hapa tumepigwa hahaha
Wow, this lady is so intelligent
Uyu manz anajua
Hii ndoa ikifika mbali mje mnialike nitaqapa zawadi kubwa sana
jaman bado kama huyu yupo kwel kwel kanogesha sio utan
@agnesmkanga4617
3 жыл бұрын
Tupo, mwaka 17 kwny ndoa leo!
Every body say nice
Tunaomba namba gara b wengne hatutumii Ista
Anasound kama Jokate
Ezikieri lewina
Ameen
Voice like joket mwingero
Mbunifu kupitiliza
Hivi huyu Kaka si ndo alimsifia Mama yake siku iyo 🤣🤣🤣 na watu wakamaind kumbe ni mchaga
@glorywiliam1172
3 жыл бұрын
Alimsifiaga wapi
Mdada mwenyew anaongea sana hyo ndoa ataiweza kweli😂😂😂😂
@ashurashaban3419
3 жыл бұрын
😂😂😂😂
@joycembawala8781
3 жыл бұрын
😃😃😃kwann jaman
@kaguripenina63
3 жыл бұрын
Ameingia kwa bwebwe maisha hayataki hizo
@joycembawala8781
3 жыл бұрын
@@kaguripenina63 ndo kaona aingie hivyo yeye,japo ayaingii hivi
@estherkimario7940
3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Anaonekana Kua kichwa,mwaume yeye anaitikia tyu mmhhh atakua ndie mpanga mambo uko ndani,mwanaume atulie hii shida haswa
@waytvtz2549
3 жыл бұрын
Mami umeelewa kitu apo mwanamke wa hivi ningumu kuishi naye mwongeaji hivi na mjuaji kila unachokifanya anaona hujapatia
@khanniebaraka1515
3 жыл бұрын
Kweli kabisa kwanza hana aibu huyuu
@jescajulius8023
3 жыл бұрын
@@waytvtz2549 duh kwel, ndoa sio mchezo kwa ujuani huu mmmh
@tamashakigwinya6486
3 жыл бұрын
@@waytvtz2549 yaani mwanaume amekalishwa
@muniraramadhani1557
3 жыл бұрын
Ni hatar kwakwel
Siku hizi maharusi wanaongea sana hakuna utii na kushuka kama zamani...
Waoooh ❤️
Cjapenda hata
Nimeipenda hio surprise za zawadi kwa wik mdada.ubarikiwe
@sweetluc2660
3 жыл бұрын
Hii nzuli sana Dada Mungu atafanya kwa njisi ulivyojiwekea msingi yako ya Maisha na Mme wako
Huyu dada mmi simuwez anaongea sana sana
@seiphselemani1506
2 жыл бұрын
Sanaaa
🥰🥰🥰🥰🥰
Bibi harusi mkavu huyu du
Ereaaaaaaa
Mungu akuongoze
Hiyo empty ungeweka ngumi maana ngumi haikosi
Kwani mlisha ishi mkamaliza arusi
Ila dada anaongea huyu.. duuuu
Uko vizul dada