TUNAOMBA UFAFANUZI WA ARAFA SHEIKH MSELEM BIN ALY

#istighfar#

Пікірлер: 6

  • @TwahaKahatan-pt9hg
    @TwahaKahatan-pt9hg22 күн бұрын

    Allah ayatie nuru macho yako na aulainishe moyo wako

  • @sama-_8368
    @sama-_836810 күн бұрын

    HILO LA ARAFA UMEFELI SHEIK KASOME VIZURI KWA MENGINE YOOTE NAKUKUBALI TENA NAKUPENDA LAKINI KWA HILO LA ARAFA NA MWANDAMO HAUKO SAWA KWASABABU UKO KINYUME NA MAFUNDISHO SAHIHI NA UKO KINYUME NA UMBILE LA DUNIA NA UKO KINYUME NA FATWA ZA WENGI WA WANA WACHUONI.

  • @TwahaKahatan-pt9hg
    @TwahaKahatan-pt9hg22 күн бұрын

    Wew ni mwalim ktk waalim wenye hekma

  • @mzeerajab9154
    @mzeerajab915424 күн бұрын

    Sheikh hakuna funga ya Arafa kuna kufunga siku ya Arafa.Funga ya Arafa ni kitu kingine na kisimamo cha Arafa ni kitu kingine wala havina uhusiano.Kama watu wana vikundi vyao na wewe vipi basi?Na kama watu hakusimama viwanja vya Arafa maa na yake hakuna funga ya Arafa?Bwana Mtume hakusema funga ya kisimamo cha Arafa,kasema siku ya Arafa ambayo siku hiyo ipo hata kabla ya kufaradhishwa Hijja na Mtume alikuwa akifunga.Nashauri tuache fikra zetu na akili zetu twende kwenye ukweli wa dini Quran na Sunna.Ni aibu kutuaminisha kuwa sasa utekelezaji wa dini ubadilike kwa sababu ya teknolojia kama vile Mwenyezi Mungu alikuwa hajui kuwa teknolojia itakuja.Dini na utekelezaji wake kaukamilsha mapema sana.Mwisho tujue kuwa ibada ya Hijja hutekelzwa mwahala na funga hutegemea mwezi na jua,ndio tunapata tafauti ya kisimamo cha Arafa na funga ya siku ya Arafa.

  • @TwahaKahatan-pt9hg

    @TwahaKahatan-pt9hg

    22 күн бұрын

    Mi nikuulize je siku ya Arafa ni mwezi ngapi? Tusiwe vpofu au muandamo wa mwezi ukoje duniani ni mmoja au Kila nchi Ina muandamo wao wa mwezi. Kila jambo mmekuwa watu wa kupinga na jee mngewekewa miezi mengi kama SAYARI nyengine ingekuwaje.

  • @user-nv3zf9ve6s

    @user-nv3zf9ve6s

    21 күн бұрын

    Sasa unatoa darasa au ilimradi tu uemo . Mana hatujui nn unachokilenga Habibi . Au ndo copy and paste