Tazama NARCO Kongwa walivyofanikiwa kwenye malisho ya Juncao!

Mkurugenzi wa Maeneo ya Malisho na Rasilimali za vyakula vya Mifugo Dkt. Asimwe Rwiguza ametembelea ranchi ya Mifugo ya Kongwa iliyopo chini ya Kampuni za Ranchi za Taifa (NARCO) ili kuona namna walivyofanikiwa kwenye kilimo cha malisho ya mifugo aina ya Juncao.. Tazama hapo mazungumzo yake na wao yalivyokuwa..

Пікірлер: 17

  • @cyprianmgogo7625
    @cyprianmgogo762526 күн бұрын

    Nimekupata toka Zambia mkuu,nitaanza ufugaji wa ngo'mbe baada ya kuona video hii,umehamasisha sana .unapatikana upande upi na mbali gani toka mbeya mjini?

  • @SaidKondo-rw8wb
    @SaidKondo-rw8wb3 ай бұрын

    Hongereni sana

  • @jacob.surassa725
    @jacob.surassa7252 ай бұрын

    Hongereni. Dodoma mbegu tunapata wapi

  • @GeraldinaGerard-xy6pl
    @GeraldinaGerard-xy6pl18 күн бұрын

    No za Jossam kwa kqgera

  • @GeraldinaGerard-xy6pl
    @GeraldinaGerard-xy6pl18 күн бұрын

    Tuwekeeni no za simu zenu na wapi tuwapate kwa kagera

  • @mifugouvuvionlinetv9032
    @mifugouvuvionlinetv90323 ай бұрын

    Mbegu za malisho ya Juncao zinapatikana kwenye mashamba ya Serikali ya mbegu za malisho likiwemo shamba la Vikuge (Pwani) na Langwira (Mbeya), Kwa mawasiliano piga simu namba 0714060849 (Reuben, Meneja wa shamba la Vikuge)

  • @davidkelvin1692
    @davidkelvin16923 ай бұрын

    Wizara ingejitahidi kusambaza mbegu kwa kila kanda ili wafugaji wazipate kwa urahisi nakuanza kufuga kisasa

  • @ekyochisikitaya5354
    @ekyochisikitaya5354Ай бұрын

    Jani hilo linaitwa aje?

  • @user-li5ub9sb7v
    @user-li5ub9sb7v3 ай бұрын

    Utaratibu wa kupata mbegu ya hayo ukome kwa hapa dodoma

  • @MATHIASLUGIKO
    @MATHIASLUGIKO3 ай бұрын

    Ni kiasi gani Cha mbegu Kwa hekta

  • @ekyochisikitaya5354
    @ekyochisikitaya5354Ай бұрын

    Na mbegu tutaipata wapi?

  • @hildakamugisha1135
    @hildakamugisha1135Ай бұрын

    Dar tunapata wapi

  • @user-iw4ho4wb5p
    @user-iw4ho4wb5p3 ай бұрын

    Kwa Kagera ulizia mbegu kwa Bwana Jossam wa Kahama Fresh, Alhaji Shakiru Dangote na Katongo kwenye bustani ya mbunge Mwijage. Shambani kwa mbunge mbegu ni bure

  • @felixchristopher7018

    @felixchristopher7018

    Ай бұрын

    Mawasiliano mkuu. Hongereni sana kwa jitihada za kufikisha majani haya nyumbani. Omukama abebembele muno mwaakora!!!

  • @user-iw4ho4wb5p
    @user-iw4ho4wb5p3 ай бұрын

    Tayari Muleba tuna mbegu nyingi

  • @felixchristopher7018

    @felixchristopher7018

    Ай бұрын

    Hongereni sana mkuu. Mawasiliano yenu tafadhali

  • @GeraldinaGerard-xy6pl
    @GeraldinaGerard-xy6pl18 күн бұрын

    No za Jossam kwa kqgera