Hatua kwa hatua namna ya kupanda malisho ya Juncao!

Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa upande wa sekta ya Mifugo imetoa elimu ya namna ya hatua kwa hatua namna ya kupanda malisho ya mifugo aina ya juncao wakati wa tukio la kumuwezesha mfugaji wa mfano jijini Tanga Bi Mariam Shekue kilo 250 za malisho hayo lililofanyika Aprili 7, 2024 mkoani Tanga... Mtazame hapo Mkurugenzi wa Maeneo ya Malisho na Rasilimali za Vyakula vya Mifugo Dkt. Asimwe Rwiguza akitoa elimu hiyo..

Пікірлер: 3

  • @SHABANIMAKUSI
    @SHABANIMAKUSI3 ай бұрын

    Shukrani sana, kwa elimu hii ya upandaji wa majani

  • @innocentandrea6482
    @innocentandrea64823 ай бұрын

    Kwa Moshi mbegu mnauza wap

  • @mifugouvuvionlinetv9032
    @mifugouvuvionlinetv90323 ай бұрын

    Mbegu za malisho ya Juncao zinapatikana kwenye mashamba ya Serikali ya mbegu za malisho likiwemo shamba la Vikuge (Pwani) na Langwira (Mbeya), Kwa mawasiliano piga simu namba 0714060849 (Reuben, Meneja wa shamba la Vikuge)