Simulizi za Sheikh Thabit Kombo Jecha: Jeshi la Tanganyika linapoandika historia ya Zanzibar

Katika kipindi cha wiki hii Ismail Jussa na Mohammed Ghassani wanachambua kitabu kinachomuelezea mwanasiasa maarufu wa Zanzibar Sheikh Thabit Kombo Jecha na harakati za kisiasa. Baadhi ya mambo yaliyomo katika kitabu yanamtia mashaka mchambuzi Ismail Jussa maana yanakinzana na historia na baadhi ya maandiko mengine. Msikilize utupe maoni yako.

Пікірлер: 35

  • @hilalal-busaidi4007
    @hilalal-busaidi4007 Жыл бұрын

    Nimeyapenda sana masimulizi ya shekh THABIT KOMBO

  • @ZanzibarKamiliTV

    @ZanzibarKamiliTV

    Жыл бұрын

    Shukrani sana

  • @muhammadalibhaz1390
    @muhammadalibhaz13902 жыл бұрын

    nimevutiwa sana na maelezo za jussa (you have very good presentation+personality)

  • @khlfankhlfan7889

    @khlfankhlfan7889

    2 жыл бұрын

    qqq

  • @warith..
    @warith..2 жыл бұрын

    Nawafatilia kwa makini nikiwa na baba yang hapa,endekeeni kutuzinduwa wazanzibari

  • @alimohammedomar3412
    @alimohammedomar34122 жыл бұрын

    Ahsante Ndugu yetu Jussa. Lakini pia kitabu kimesema kulikuwa na sehemu ambapo watoto wa watumwa walikuwa wakichinjwa. Jee tujiulize hao wafanyabiashara wa utumwa walijibebesha mzigo wa hasara ya kusafirisha pia watoto wa watumwa hadi Zanzibar? Hiki kitabu kwa kqeli ni kwa ajili tu ya kujenga chuki baina ya wazanzibari kwa faida ya Watanganyika. Mungu awalaani.

  • @msabahaali758
    @msabahaali7582 жыл бұрын

    Tupo nawe Jussa asante sana tuanjifunza mengi kupitia vitabu

  • @msakuzikondo536

    @msakuzikondo536

    2 жыл бұрын

    Jussa anatetea udhalimu wa Sultan.No suprise.Zanzibar haitorudi utumwani kamwe!

  • @abdifaraji2883

    @abdifaraji2883

    Жыл бұрын

    @@msakuzikondo536 Huyo Sultani aliua watu na wanasiasa wangapi?

  • @moa4122
    @moa41222 жыл бұрын

    Mimi ninapenda kusoma vitabu hasa vya historia na vya waasisi wa siasa lakini propaganda kama hizi zilizotumika katika kitabu hichi zinaweza kuwapotosha wale wasiyoijua historia. Naona huyu muandishi hakumfanyia haki al marohoum Sabiti kombo. Asanteni sana Mohamed na Mh Jussa kwa kutuelimisha. Tunaposoma vitabu lasima tuwe source criticisms ( sijui kwa kiswahili inaitaje) lakini lazima tujiulize yaliyoandikwa ni ya ukweli ama ya uongo

  • @abdullkhamis5406

    @abdullkhamis5406

    2 жыл бұрын

    Kabisa kabisa, simulizi mzuri sana za Amy. Lakini ukiingia tu kwenye huu upotoshaji kinaondosha uzuri wote wa kitabu hiki. Ingaliwezeka kukusanywa hizi simulizi zake za voice recording kikachapishwa mwanzo bila ya kuemo maneno ya majeneraly ya Nchi.

  • @ebrahimosman5477
    @ebrahimosman54772 жыл бұрын

    ❤🙏🙏

  • @fr.deolyakunga4984
    @fr.deolyakunga49842 жыл бұрын

    Mungu awabariiki enyi wazee wetu, Mohamed na ismail. Ila Ukweli mgumu ni Nafsi chafu sana ya nasi ya J.K. Nyerere katika Historia ya Tanganyika/Zanzibar. Mungu ni hakimu wa haki.

  • @aminattai2676
    @aminattai26762 жыл бұрын

    Naomba kuuliza,hili kabila la shirazi ni kabila gani na asili yake ni wapi na nini maana ya shirazi?

  • @sharifjuma1220

    @sharifjuma1220

    2 жыл бұрын

    Hunasibisha shiraz na watu waliotoka Iran sehemu inayoitwa shiraz. Ni wanavyoamini karne nyingi zilizopita. Na wengi wao wakati wanajinasibisha na magroup kabla ya Mapinduzi. Either Afro. Wacomoro. Waarabu. Wahindi na Washirazi. Wakaungana magroup ya Afro na shiraz.

  • @mwalimuali1850
    @mwalimuali18502 жыл бұрын

    Zanzibar is my favourite country

  • @user-zt3qt8ct4b
    @user-zt3qt8ct4b6 ай бұрын

    Mm ninacho kiona thabiti kombo jecha kataka hiyo historiya ya kitabu inaonesha alikua mamluk mkubwa kuiponza zanzibar

  • @mohamedvuaa1579
    @mohamedvuaa15792 жыл бұрын

    Wana akiolojia tusaidieni kuondoa izo priganda basi halafu si msharahishiwa hamna aja ya kuangusha ngz kbl hpjjngw tn fanyen utafiti bas ili tuondokewe na sitofaham za kihistoria

  • @mussai.sillas3796
    @mussai.sillas3796 Жыл бұрын

    Hicho kitabu kinauzwa wapi? Nakihitaji. Nipo Dar TZ

  • @fakihdarusi4385
    @fakihdarusi43852 жыл бұрын

    IVI MZEE KARUME ALIKUWA NA UGOMVI NA NANI MPAKA AKAULIWA??

  • @sharifjuma1220

    @sharifjuma1220

    2 жыл бұрын

    Msikilize huyu mzee. Ana clip nyingi tu utaona why? Walipinduwa na baadae wengi wa waliopindua wakauwana wenyewe kwa wenyewe. Na wengine walikimbia nchi. kzread.info/dash/bejne/aq1qyJaFidmde7Q.html

  • @fakihdarusi4385
    @fakihdarusi43852 жыл бұрын

    Nani akiondoka ile nafasi Makamo WA RAISI WA JAMHURI KUTOKA ZANZIBAR??

  • @msabahaali758
    @msabahaali7582 жыл бұрын

    Huyu Hajji khatibu ni baba angu mkuu Ismail unatupa mambo mengi

  • @amoural-harthy7312
    @amoural-harthy73122 жыл бұрын

    Kwa Kiarabu neno sheikh hutumika kama mzee na Shuyukh yaani wazee

  • @abeidbakili5830
    @abeidbakili58302 жыл бұрын

    lakini uhu utumwa ulitunyanyasa sana

  • @jeanmusamba8448
    @jeanmusamba84482 жыл бұрын

    kazi nzuri sana ila ukweli ni kwamba huwezi pinga kufanyika biashara ya utumwa pwani ya afrika mashariki,na hata trans antlantic kukataa ukweli si sawa hata kidogo wazungu na waarabu hutuhumiwa sehemu nyingi za bara la africa kufanya biashara hiyo haramu havina uhusiano na dini yeyote bali ni ujinga na unyama wa wanadam wao binafsi katika tamaa za utajiri na mfum ujinga uliokuwepo

  • @mhogomchungu7168

    @mhogomchungu7168

    2 жыл бұрын

    Waafrica wengi ndio waliokuwa wakifanya biashara ya utumwa , wakivamia vijiji na kukamata waafrica wengine na kuwauza. Na waafrika walowakamata ndugu zao na kuwauza ndio wabaya zaidi kwa uovu walowafanyia ndugu zao

  • @muhammedwakif6216
    @muhammedwakif62162 жыл бұрын

    Inaonekana hichi kitabu kimechambuliwa sana na inaonekana wamekichuja na kuweka mambo yao ya uzushi mtupu sehemu walokuwa hawajaziwafik wamebadilisha wakaeka matakwa yao

  • @msakuzikondo536

    @msakuzikondo536

    2 жыл бұрын

    Aibu tupu

  • @hilalal-busaidi4007

    @hilalal-busaidi4007

    Жыл бұрын

    Mm naona sk Thabi kombo alikua hana chuki za kisiasa.

  • @hj9522
    @hj9522 Жыл бұрын

    Thabit Kombo along with the other leaders such as Karume took Zanzibar and Pemba down the drain. None of these leaders had any vision or foresight to raise the islands which had great potential. Instead, they were intoxicated by the power they had and with their various associations with the Chinese and the communist block decimated the economy of the islands. Unfortunately, present day Zanzibaris Pembans are paying the price for this poor leadership. Look around the world and see countries like Singapore that were poorer than Zanzibar before 1964 and see where they have advanced. All Zanzibaris need to be honest about this. Enough said.

  • @bekabakari7394
    @bekabakari73942 жыл бұрын

    Kwa kifupi point school sio Muhimu nitafsir ya shule Kila mtu anajua kua kabla ya Wageni wenyeji ni real black Africans

Келесі