"Sikuhusika na mauaji ya Mzee Karume" - Abdul Rahman Babu

April 26, 1978
Mahojiano na aliyekua Waziri wa Uchumi na Maendeleo Tanzania, Abdul-Rahman Babu miaka sita baada ya kuachiwa kutoka kifungoni kwa tuhuma za kupanga mauwaji wa Rais wa kwanza wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Sheikh Abeid Amani Karume.
Ombi: Saidia kusubscribe hapo juu

Пікірлер: 1

  • @111dudi
    @111dudi2 ай бұрын

    Mwisho wa "macomrades".

Келесі