SHEKH MOHAMMED ISSA AIBUKA NA USHAHIDI WA CLIP MZITO ZA MOHAMED IDD ALIZOKUWA ANAWASHAMBULIA WENZIE

Shekh Mohammed Issa amuibukia Shekh Mohammed Idd kwa tuhuma alizotoa kwa Wenzio hivyo amekuja na ushahidi wa clip alizoshambuliwa kishk Kilemile na Shekh wa Mkoa Alhad

Пікірлер: 125

  • @kassimmanaramalika8592
    @kassimmanaramalika8592 Жыл бұрын

    Sheikh Mohammed Isa Subhaana llah kosa alilolifanya Mwenzio na wewe umelifanya Mtihani Huu ,Tujitahidi kufata sunna za Mtume kama Sisi WA kwelii Katika matendo yetu ,kwani tukilifanya katika njia ambayo sio basi wenye uwelewa watauona ubaya huwo Na malengo yaliyokusudiwa, Mwenyezi Mungu Atujaalie njia njemaa ya kutatuwa mambo kama alivyokuwa akifanya Mtume WETU Muhammad S.A.W Allahumma Amiin Yaa Rabbi

  • @khamisi_SHILINGI
    @khamisi_SHILINGI Жыл бұрын

    Hii nidalili ya wazi nandomana Allaàh AZZA WAJALLA akaleta utandawazi kwafaida mbalimbali

  • @user-to7my3bf7l
    @user-to7my3bf7l3 ай бұрын

    Ww sheikh muhamed idd umepewa pesa

  • @c.e.o_abdiroush
    @c.e.o_abdiroush Жыл бұрын

    Hilo mohamed Idd ni mshenzi na mnafiq

  • @makameshibli2797
    @makameshibli2797 Жыл бұрын

    tumugope Mungu jamani tunakosea umoja wa kislamu utasimama lini Kwa hali hii

  • @aishabagayo616
    @aishabagayo616 Жыл бұрын

    Nyie Masheikh wetu, hatutaki magomvi yenu muyalete kwenye mitandao. Sisi tunaweheshimu Saana. Mnatupa mifano gani!!

  • @aminasallumu3324
    @aminasallumu3324 Жыл бұрын

    As alkum mashekhee mnavyofanya sio vizuri magomvi yenu kuyaweka mtandaoni ,mnaposigana au yanapotokea magomvi Rudini kwenye adidh na suna ,za MTUME angalieni msije mkaenda motoni ,kwa ajili ya mitandao

  • @hidayasaid5131
    @hidayasaid5131 Жыл бұрын

    Sheikh Idd innalillahi wainnaa ilahiraajiun , kinachonisikitisha saana ni kwamba eti asiekuwa BAKWATA sii muislam innalillahi wainnaa ilahiraajiun . Tunapelekwa wapi jaman

  • @abdallahmwasiho1521

    @abdallahmwasiho1521

    Жыл бұрын

    Huyu siyo Shekh

  • @ahz6907

    @ahz6907

    Жыл бұрын

    Tumeiacha quran

  • @hasaniabdalah6148

    @hasaniabdalah6148

    Жыл бұрын

    @@ahz6907 point 👍👍👍 msingi wa tatizo uko hapo tumeiacha quran na sunna za mtume wetu

  • @selemanimakau9026

    @selemanimakau9026

    Жыл бұрын

    Kumbe we mzed idi huna akili

  • @gulamomar6394
    @gulamomar6394 Жыл бұрын

    Subhaana llah

  • @khamisrubea5083
    @khamisrubea5083 Жыл бұрын

    Hatupotoshi na ss tunasoma pia tunakuchambueni masheikh nyote

  • @khamisi_SHILINGI
    @khamisi_SHILINGI Жыл бұрын

    Haki sikuzote haijifichi lazima iwekwe wazi ukisema jambo lifichwe asitiriwe kwani hamjui Asattaaru Albaatin kwani ndivyo walivyo wanaafiq nahawapatikani ispokua ndani ya uwisilaam hizo ni dalili za qiyama watu wanashindwa kutatua tatizo kwasababu wao wenyewe wanamatatizo namaradhi ktk nyoyo zao na Allaàh huwaonezea maradhi sijui watajitibu ktk hospital gani kama hawakuridi kwa Allaàh kikwelikweli

  • @malikinjama2587
    @malikinjama2587 Жыл бұрын

    Shekhe isa nakuunga mkono kabbisa watu hawana ikhlasw

  • @taurehassan7399
    @taurehassan7399 Жыл бұрын

    Mengine alosema alisema kweli lazima na ww sheikh upime,kw hili la mashia Katoa maoni ingawa ypo ktk ughafilikaji kidogo lakn kuhusu araf maulid twamuunga mkono

  • @emuthree
    @emuthree Жыл бұрын

    Kuonyana mabaya na kuelekezana mema ni sahihi, lakini labda tuangalie ni wapi hayo yafanyike. Huenda tukawa tunajikaanga sisi wenyewe

  • @wazirihamisi6484
    @wazirihamisi64843 ай бұрын

    Wallahi sasa watu wa bidaa muwe makini mnao fata mkumbo hao ni watu wapo kazini wanalinda ajira zao

  • @akthammuhammad7844
    @akthammuhammad7844 Жыл бұрын

    Sheikh Abuu Eid ni mwanadamu kama wengine kama kakosa atakua amekosea tuuu.Hiyo Hadith unayoitaja wewe mwenyewe huitumi sababu wewe unataja aibu za mwenzio.Wewe naona ni katika Mashehena tuuuu.Enyi Masheikh Mcheni Allah.Sababu wasiofahamu wapo wengi na nyie munawatatiza wengi.

  • @sharriffcharo1915
    @sharriffcharo1915 Жыл бұрын

    Muhammad IDD hana makosa abadan

  • @giltaemi4017

    @giltaemi4017

    5 ай бұрын

    Hata kahaba hua anaona biashara anayo ifanya ni sahihi. Na kahaba hawezi kukosolewa na kahaba mwenzake bali kahaba mwenzake ataona ni kitu sahihi

  • @sefoadelino6684
    @sefoadelino6684 Жыл бұрын

    Kumbe wapumbavu sana. Kuanzia mashekhe zake

  • @hasaniabdalah6148
    @hasaniabdalah6148 Жыл бұрын

    Lima takuluuna ma laatafaaluna. hapa .tunazungumza tusicho kitenda oo nafsi yangu uisilam ni dini yako ya hakki ewe nafsi yangu tubia kwa mola wako.

  • @karimambosanga4290
    @karimambosanga42905 ай бұрын

    Zaman ilikuwa tabu kuwajuwa mashekh siku hizi kupitia media utawajuwa tu hawaulinganii uislam ila dunia yao

  • @jumaamartin7929
    @jumaamartin7929 Жыл бұрын

    sikuzote ukisinamia haki na sheria utachukiwa na utaonekana mbaya.hata ktk familia watoto wakifanya machafu yote.baba akiwa hajali watoto watamita baba yao mngu.ila baba akisimamia haki nidhamu maadili mema.watoto watamwita baba yao mzee mtata.leo haya tunayaona kiogozi akisimamia ukweli haki sheria anaonekana mbaya kwaku msimamo wake unazuia waoovu waiopenda haki.hivi ndivyo ilivyo.

  • @bakarikaoneka1080
    @bakarikaoneka1080 Жыл бұрын

    Hivi hakuna jukwaabla mawasiliano kwa masheik wetu ila mitandao ya kijamii? Mtapuuzwa hasa na waisilamu wanaojielewa na watu wa imani nyingine. Mnatia aibu sana sana.

  • @husseinhamza4819
    @husseinhamza4819 Жыл бұрын

    Sheikh iddi anafundisha sio kutoa aibu za watu nyinyi mnaelewaje!?

  • @bakarikaoneka1080
    @bakarikaoneka1080 Жыл бұрын

    Mimi nachukia sana namna hii ya kujibishana kwenye mitandao ya kijamii. Aibu tupu. Fedheha tupu

  • @salehally1082
    @salehally10824 ай бұрын

    Acheni siasa na chuki elimisheni umma wa kiislam kwa mawaidha mazuri

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 Жыл бұрын

    Abuu iddi anatafuta umufti

  • @azizaaziza7996
    @azizaaziza7996 Жыл бұрын

    Assalaam allaykum warahmatullah wabarakatu jamani mashekhe wetu Hebe kaeni chini muelewane hivo mnavo endelea waislam rutafika wapi masjdi aqswa vipi uta kombolewa wakati sisi waislam runakuwa hivi kwani hebu kaeni chini mkubaluane hizo hitlafu zipo tangu enzi za mtume mpaka tutakufa ndipo zitaisha

  • @subiriabdulrahmani2343
    @subiriabdulrahmani2343 Жыл бұрын

    Waislamu hawa siwaelewi kwann hawapendani

  • @womanofsteel1402
    @womanofsteel1402 Жыл бұрын

    Tatizo la Hawa watu kila mtu Ni mjuaji

  • @yasiniselemani3917
    @yasiniselemani39179 ай бұрын

    Shekhe abu iddi anafundisha hataji wenzeke vibaya au mrangi wewe umeelewaje

  • @user-es4tm2yv6t
    @user-es4tm2yv6t5 ай бұрын

    Mpaka leo umekaliwa na mamuzi ya warab jitambueni

  • @mohammedomar2865
    @mohammedomar2865 Жыл бұрын

    Abuu idd njaa inamsumbua aliogombananao wote wamzidi elimi na kipato

  • @user-fp9ye4vv3y

    @user-fp9ye4vv3y

    10 ай бұрын

    Anaemzidi elimu hapo nani,

  • @masoudalriyamy6298
    @masoudalriyamy6298 Жыл бұрын

    Abuu idi hitilafu hazikuanza leo huna kalima nzuri huna ilimu zaidi ya kilemile

  • @rubeniharuna1874
    @rubeniharuna1874 Жыл бұрын

    acheni majungu kaeni mezani myajenge mnadharirika Sana

  • @bakarikaoneka1080
    @bakarikaoneka1080 Жыл бұрын

    Igeni good practices toka kwenye dini nyingine.

  • @HijaSaid-xd7fg
    @HijaSaid-xd7fg3 ай бұрын

    Angalieni ameacha mustachi, huyu ni s sio sheikh

  • @ramygichero1016
    @ramygichero1016 Жыл бұрын

    Abu idy Elimu ipo hakuna shekhe anae chomoka apo ata moja Adi walimloga mdomo wa Shekhe ukapinda ila Mufti aka mwombea duwa akapona

  • @user-uy4zy2it4j
    @user-uy4zy2it4j6 ай бұрын

    Kwan hawezi sheikh wako kukosea au kua na ufahm mbovu

  • @popekatalango9409
    @popekatalango9409 Жыл бұрын

    Sheikh Mohammed Issa hizo clip za Mohammed Iddy umezikata sana sijui una lengo gani Mjadala wa Sheikh Kishk na Mohammed iddy tuliziona video zao wote hawa wawili kwaukamilifu wake na tulijua nani ana hoja za mashiko, na kingine mjadala wake na sheikh kilemile pia tulizisikia pande zote mbili kwa ukamilifu tunajua nani alisema nn na nani slijibu nn,lkn kubwa zaidi hayo yote yalishapita na watu waliyaweka sawa wewe unafukua makaburi ya nini hebu tuzungumze curent issue na mtuachie nafasi ya kuchuja

  • @ibrahimusagondo5228
    @ibrahimusagondo5228 Жыл бұрын

    Mnatuchanganya na nyinyi, sasa mbona na wewe unamshambulia tena wewe unatumia nguvu

  • @akthammuhammad7844
    @akthammuhammad7844 Жыл бұрын

    Kwani kishki hashambuliwi ana nini? Yeye kishki amemshambulia masheikh wingi sana.Wacheni porojo kama kuna ukweli ongea tuuu wacha panganga wewe unaongea na ulimwengu mzima zumgumza point.

  • @aleyidukury8333
    @aleyidukury8333 Жыл бұрын

    Mm nawasiwasi nahuyu shekh mbona Kama myahudi huyu

  • @swahibually8349
    @swahibually8349 Жыл бұрын

    Wewe pimbi achana na mambo ya kielimu, alichosema Abuu Idi, ni "AIBU ZA KIMAADILI"Elewa alichoongea ABUU IDI, usipotoshe watu kwa kuwakaririsha watu uelewa wako Mbaya. Na hiyo Bakwata ya juzi siyo ya leo, kwahiyo kama Bakwata imeshakaa vizuri ni lazima Ieleweke, wewe ndio hueleweki

  • @khamisi_SHILINGI
    @khamisi_SHILINGI Жыл бұрын

    Wacha wayaweke hadharani tunaweka kumbukumbu ili tuwajue vongoz watakaotufaa baadae

  • @sefoadelino6684
    @sefoadelino6684 Жыл бұрын

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Tanzaniaaaaa Poleni nyie, haki ya mungu. Mnaenda wapi? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣😆😆😆😆😆😆😊Nawasikitikia sana

  • @amransendoki
    @amransendoki3 ай бұрын

    Huyu. Hajasoma

  • @akthammuhammad7844
    @akthammuhammad7844 Жыл бұрын

    Wewe huna naswaha enda kalale na sauti mbaya.

  • @ramadhaniramadhani3774
    @ramadhaniramadhani3774 Жыл бұрын

    😂😂Tuepuke kutoa aibu zawengine sheikh issa Endelea kutupatia daawah

  • @user-cy1od5xr8x
    @user-cy1od5xr8x5 ай бұрын

    Sheikh wa pesa

  • @abuutamiimattanzaaniy8676
    @abuutamiimattanzaaniy8676 Жыл бұрын

    Huwa najiuliza HUO UMOJA WA WAISLAM UNAOLINGANIWA MAWAHABI HAWAHUSIKI? MAWAHABI SI WAISLAM? NA WAKISEMWA VIBAYA MAWAHABI SI UVUNJIFU WA AMANI? WANAOTUKANA MASWAHABA WA MTUME WAKISEMWA, AMANI INAVUNJIKA NA MNALALAMIKIA UMOJA. ACHENI KUWAZUGA WAISLAM, WAISLAM WANA AKILI ZILIZOSALIMIKA, HAWAWEZI KUFUATA PROPAGANDA ZENU ZINAZONUKA UNAFIQI

  • @nassirhamad9407

    @nassirhamad9407

    Жыл бұрын

    Mashiaaaa wameshamwga helaaaaaa kwa baadhi ya masheikh njaaaa...Umoja gani na watu wanowatukana maswahaba matusi makubwaaa...wanawaita Aisha na Hafs makfiriiii...wanaita Abuu bakar na Umar masanamu wawili... MASHIA NI WATU WAOVUUUU... bali kwa matusi yaooo wanatoka katika Uislam...na Ni mashia MARAAAFIFDHWAAA

  • @abuusufian6506

    @abuusufian6506

    Жыл бұрын

    @@nassirhamad9407 swadaqta

  • @sakinaunderwood

    @sakinaunderwood

    Жыл бұрын

    INASIKITISHA SANA,WANAFIQ,TENA WALA HAWANA HOFU YA MUNGU.JAMANI MKIWA MNAHITAJI KITU WALA USIOMBE DUA KWA MASHEHE.FUNGA MWENYEWE,SALI DUA YAKO NI MORE POWERFUL KULIKO YA HAWA WANAFIQ.WATU WAACHE KWENDA KWA MASHEHE KWA DUAA.HAWA NDIO WATU WATAKUFANYIA DUAA ITAFIKA WAPI KWELI.HATA AIBU HAWANA WAMEJIGEUZA KUWA MACHAWA

  • @nassirhamad9407

    @nassirhamad9407

    Жыл бұрын

    @@sakinaunderwood Allah akubarik kwa kuliona hili Aniongoze mim na wew katika njia ya Hakki na usaw mpaka tukutane nae hali ameridhiaaa

  • @ruwaidahamad6598
    @ruwaidahamad6598 Жыл бұрын

    Huyu sheh ni mnafiki muoneni anavyoongea Tu mutajua

  • @alliyrubea5731
    @alliyrubea5731 Жыл бұрын

    Huyu Muhammad Idd hili jina limekuwa kubwa na yy!

  • @hidayasaid5131
    @hidayasaid5131 Жыл бұрын

    Wewe abuu idd kwani unabifu na sheikh kishk ? Kinyume cha mambo hujulikana jambo na kila mwenye ilm yupo aliejuu zaidi yke mimi naona kama unawachongea mashekh serikalini maana unaposema misikiti ni miswala hata jimai waweza manyia mle

  • @akthammuhammad7844
    @akthammuhammad7844 Жыл бұрын

    Sheikh kilemile amekosea sana.Kubalini makosa yake wacha porojo sheikh wewe

  • @OmaryKhalfani-ko8qx
    @OmaryKhalfani-ko8qx10 ай бұрын

    njaaa tu inakusumbua

  • @albassammusaalbassam7487
    @albassammusaalbassam7487 Жыл бұрын

    Abu idd mropokaji tu hajui chochote

  • @salimumbaraka272
    @salimumbaraka272 Жыл бұрын

    .mbona hamuongelei jihad m naogopa

  • @ramadhanijohoiddi2899
    @ramadhanijohoiddi2899 Жыл бұрын

    SHEIKH KANYOA NDEVU

  • @salimhamad3878

    @salimhamad3878

    Жыл бұрын

    Hahaha eti Shaykh kanyoa ndevu

  • @mahamudhadi6781
    @mahamudhadi6781 Жыл бұрын

    Kakamatwa pabaya😂😂😂 what goes around comes around

  • @kadizosea6250
    @kadizosea6250 Жыл бұрын

    Ww kelele kwanza mkimbizi

  • @amransendoki
    @amransendoki3 ай бұрын

    Somavizurihadidhihiyo

  • @Nufaila442
    @Nufaila442 Жыл бұрын

    Mnyamani kuna wavuta bange na wabwiya unga wengi sana ..

  • @abuusufian6506

    @abuusufian6506

    Жыл бұрын

    Hahah

  • @grexrabon9938
    @grexrabon9938 Жыл бұрын

    Abuu Idd hafai🥱 anajipinga hadi yeye mwenyew🤣🤣🤣 daah jamaa haishi kwa kumbukumbu kabisaaa

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 Жыл бұрын

    Abu idi anafuga sharubu ndevu ata moja hana

  • @nassirhamad9407

    @nassirhamad9407

    Жыл бұрын

    Hahahahahha

  • @ahz6907

    @ahz6907

    Жыл бұрын

    Ndevu ndio uislamu?

  • @nassirhamad9407

    @nassirhamad9407

    Жыл бұрын

    @@ahz6907 ni alama kubwa ya kumfata mtume na mafundisho yakeeeee....ambazo haifai kwa muislm kuzikataaaa

  • @Yu-jr9uf

    @Yu-jr9uf

    Жыл бұрын

    @@ahz6907 na pia ni katika sunnah

  • @shabanirashidi2218
    @shabanirashidi22183 ай бұрын

    sasa ww sheikh muhammed issa nimecho kiona kwako nikutaka sisi tufate msimamo wako ila kiukweli TUTABAKI NA MUFTI WA TANZANIA TUU BASI

  • @jakobongwara3038
    @jakobongwara3038 Жыл бұрын

    Wewe mwisirsm acha siaasa Tanya yako wewe mwisirsm yuremkiristu mfante mwabizane hukohuko sio MPAKA mropoke mitandaoni mnatia aibu mtakwenda motoni

  • @hilalkhalfan1452
    @hilalkhalfan1452 Жыл бұрын

    SHEKH ABUU IDDI HAKUKATAZA KUSEMANA NA KUHOJIANA. KAKATAZA KUTISHIANA AMANI. LAKINI BINAADAMU KWA KUBADILISHA MAUDHUI NI HATARI. REJEENI TENA KASKILIZENI CLIP ZA ABUU IDDI. LABDA HUYU MUHAMMAD ISSA SIO MFAHAMU KICHWA CHAKE KIBOVU

  • @hilalkhalfan1452

    @hilalkhalfan1452

    Жыл бұрын

    WATU WA SKUIZI WANASIKILIZA KWA USHABIKI NA SIO KWA KUFAHAMU. KWAIO ATA LISEMWE LA KWELI BASI ATATAFUTA UJANJA UJANJA. MWENYE AKILI KAMFAHAMU ABUU IDDI KAONGEA KWA UTULIVU NA KAELEWEKA

  • @uledihassan6065
    @uledihassan6065 Жыл бұрын

    Mohammed Idd sio mwanachuoni hakusoma na hakuelimika

  • @saidmilanzi3788
    @saidmilanzi3788 Жыл бұрын

    huyu abuu idd ni mbumbumbu jambaz la kibakwata

  • @KADALAtv255
    @KADALAtv255 Жыл бұрын

    Mchungaji kimaroooooo

  • @osmanabuu7989
    @osmanabuu7989 Жыл бұрын

    Huyu sheikh sijui hua anajionaga Nani sijui!

  • @rahimaan6481

    @rahimaan6481

    Жыл бұрын

    Yani anajikuta sanaa

  • @abuuruwaydatvTz

    @abuuruwaydatvTz

    Жыл бұрын

    @@rahimaan6481 Kwenye Haq Acha aonekane anajikuta

  • @shaushishaushi

    @shaushishaushi

    Жыл бұрын

    Anajua sana hilo halina ubishi

  • @mohdkhatib223

    @mohdkhatib223

    Жыл бұрын

    Abu iddi ni mpumbavu wa kisufu kama masufi wengine

  • @rizikilukali1558
    @rizikilukali1558 Жыл бұрын

    Shekh nilikua nakuheshimu sana wakati ukichambua qur'an na sayansi lakini baada ya kugundua ni wahabi waletaji wa fitna katika uislam heshima yako imeshuka

  • @osmaniidrisa6290

    @osmaniidrisa6290

    Жыл бұрын

    We mwehu kweli umkatae mtu kwa Kia Yuko kwenye haki

  • @Zainabnoor0087-ze

    @Zainabnoor0087-ze

    Жыл бұрын

    Mhhh! Kwa hiyo masahaba wakitukanwa sawa🎯?!huyu riziki anajitambua ???

  • @binaisaissa
    @binaisaissa Жыл бұрын

    Shekhe abuu iddy upo vzr ila kunajambo hawa mashekhe wa Saud ni shida

  • @mohdkhatib223

    @mohdkhatib223

    Жыл бұрын

    Katika jitu la ovyo ni huyo Abu iddi mpumbavu wa kisufu kama masufi wengine

  • @mohdkhatib223

    @mohdkhatib223

    Жыл бұрын

    Kwani mashekh wako wewe walipata elimu wapi?

  • @nassirhamad9407

    @nassirhamad9407

    Жыл бұрын

    acha TAAASUB hizoooo....

  • @nassirhamad9407

    @nassirhamad9407

    Жыл бұрын

    Katika uwnja wa elimu humo binaissa issa Na hata hujui masuala ya kiakidaaa nakuhisi unafuata mkumbo tuuu na kupend watu kuliko kutetea dini na maslahi ya dini

  • @user-jr7fg6rc1q
    @user-jr7fg6rc1q3 ай бұрын

    mook

  • @mbaroukkhalfani9244
    @mbaroukkhalfani9244 Жыл бұрын

    Sheikh idd hanatatizo

  • @hidayasaid5131

    @hidayasaid5131

    Жыл бұрын

    Khaswaa

  • @alliyrubea5731

    @alliyrubea5731

    Жыл бұрын

    Nani ana tatizo!

  • @stationerykinondoni7241
    @stationerykinondoni7241 Жыл бұрын

    Kwamba misikiti ambayo ipo vituo vya mafuta sio misikiti 🤔🤔🤔jinga sana hili sheikh kwani msikiti ni majengo?

  • @shaushishaushi

    @shaushishaushi

    Жыл бұрын

    Jua kutofautisha kati yamswala na msikiti 👂👂👂

  • @stationerykinondoni7241

    @stationerykinondoni7241

    Жыл бұрын

    @@shaushishaushi nipe tofauti

  • @shaushishaushi

    @shaushishaushi

    Жыл бұрын

    @@stationerykinondoni7241 halafu huwa mnapatwa namatatizo katika maisha bila kujua chanzo chake kwavitu vidogo dogo kama hivi kwanini utukane kisa tu kaongea tofauti na unavofahamu wewe hiyo siovizuri kwenye mambo yadini ni kutoa hoja yakielimu tu nawala siomatusi

  • @shaushishaushi

    @shaushishaushi

    Жыл бұрын

    @@stationerykinondoni7241 muswala nisehem iliotengwa kwaajili yakuswalia swala zavipindi tu bila ijumaa na mwenye sehem hiyo anaweza kupabadilisha muda wowote kuweka maduka nalawa hatokuwa nadhambi lakini musikiti nijengo lililojengwa kwaajili yakuswalia swala zote pamoja na ijumaa pia swala zote tano nilazima ziswaliwe humo

  • @saidburuji9984
    @saidburuji9984 Жыл бұрын

    Maalim saimu jitafakar sana ikiwa sheikh amemfanyia mwenzake kitu mbaya halafu na wewe ukasambaza ubaya huo huoni kwamba na wewe unatangaza mabaya

  • @mdoekibai5063
    @mdoekibai5063 Жыл бұрын

    wee humuwezi abuu IDD ngoja atakurekebisha mjinga ww

  • @Gamba177

    @Gamba177

    Жыл бұрын

    Wewe fala nenda kafuwe Boksa za Abuu Idi Ubwabwa.

  • @mdoekibai5063

    @mdoekibai5063

    Жыл бұрын

    @@Gamba177 sawa na unafua chupi za nani vile? Ebu kuwa mkweli

  • @jumakambunga1882

    @jumakambunga1882

    Жыл бұрын

    Kila penye wajuzi Kuna wanaojua zaidi

  • @binaisaissa
    @binaisaissa Жыл бұрын

    Hapo wewe unataja Nini hata wewe jitafakari

  • @user-uy4zy2it4j
    @user-uy4zy2it4j6 ай бұрын

    Kwan hawezi sheikh wako kukosea au kua na ufahm mbovu

  • @amransendoki
    @amransendoki3 ай бұрын

    Somavizurihadidhihiyo

  • @uledihassan6065
    @uledihassan6065 Жыл бұрын

    Mohammed Idd sio mwanachuoni hakusoma na hakuelimika

  • @answaryhussein256

    @answaryhussein256

    Жыл бұрын

    Huyo muhabi hata kusoma hadithi hajui halafu anajifanya anamkosoa Abuu iddy