SEREKALI YAJIBU MASWALI KUHUSU BANDARI YA ZANZIBAR

Kutoka AL FATAH TV .
Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
#AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​
#AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​
#ZANZIBAR​​

Пікірлер: 17

  • @allyidrissa2912
    @allyidrissa2912 Жыл бұрын

    Namshukuru mungu sijakua msomi sana wa kuweza kudanganya kama mnavyotudanganya sema nyie endeleeni tu kula good life mimi nikitangulia tambua na wewe utakuja

  • @bakarijumakombo5379
    @bakarijumakombo5379 Жыл бұрын

    Hata mfanye nn tatizo liko palepale..mpaka mjenge bandari kubwa..jamani..

  • @nailamohd7693

    @nailamohd7693

    Жыл бұрын

    🤣🤣🤣🤣

  • @jaanjaan111
    @jaanjaan111 Жыл бұрын

    Kuleni maisha bara inawalinda musijali

  • @khamisali5978
    @khamisali5978 Жыл бұрын

    Wasanii wanaongelea kitu then hkn follow up

  • @nassormessi-zk5cz
    @nassormessi-zk5cz Жыл бұрын

    Walevi awo mulowaweka sio watendaji Bali ni marafiki zenu endeleeni Nchi kuwapa wahindi na waaarabu tunakutizameni tu wakiharibu watu weupe Munakaa kimya wakiharibu weusi munawahamisha Acheni ubaguzi Uwo bora muviuze hivi visiwa matupe chetu Rais wangu mm Salmin Amour na Shein wengine naona Zogo tu Bye Bye tunakate Canada au Marekani musituchoshe

  • @shafydauda5
    @shafydauda5 Жыл бұрын

    Ect wakisema wabaya ila huku wanakiri 😂 duu kuleni maisha bana

  • @hajihassan5433

    @hajihassan5433

    Жыл бұрын

    Serikali ni ya Umoja wa Kitaifa hata,hiyo ECT ni Sehemu ya Serikali

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 Жыл бұрын

    Hichi ndo kifaaaa Makamu wa pili akisema kitu ujuwe hataki mchezo wala hacheki nampenda sana

  • @rajabmsinzia1715

    @rajabmsinzia1715

    Жыл бұрын

    Ila anakuwa hana mrejesho wa tamko lake au agizo lake

  • @kassimomar7589
    @kassimomar7589 Жыл бұрын

    Sasa kila siku porojo hzo hzoo

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 Жыл бұрын

    Jamani malalamiko mengi sana mizigo inachelewa sana jamani Mwanzo mzigo kutoka dubai ilikuwa ni siku 28 Sasa miez 2 hiii hatar jamani Biashara zinakufa znz Jitahidini sana Jengine Bandari ya malindi kwa nn isiengezwe maeneo ya majahqzi ukoo Majahaz tafuteni sehem nyengine hiyo sehem ekeni meli angalau zifike japo meli 2

  • @mohamedhajj9881
    @mohamedhajj9881 Жыл бұрын

    Wapeni wawekezaji

  • @faizaannassir2568
    @faizaannassir2568 Жыл бұрын

    Porojo tu kwani hadi aje waz kiongozi ndo atoe magizo nyinyi wazir na naibu na na wakuu wabandari hamukuyaona haya ????

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 Жыл бұрын

    Serikali gani?, nani aliowachaguwa 2020?.

  • @khamisjuma7616
    @khamisjuma7616 Жыл бұрын

    Nyinyi mnaojitia usomi mlimshauri rais vibaya alikua aanze na ujenzi wa bandari kwanza ili kuimarisha uchumi zbar ni nchi ya biashara ndo mana mambo zbar biashara imedorora wacheni siasa fanyeni kazi sio kila siku ahadi tu

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 Жыл бұрын

    Nafkir serkali ina nia nzur sana kwa wananchi wake Dr mwinyi tunakuamini fanya kaz