AL FATAH TV ONLINE

AL FATAH TV ONLINE

Aslamaleykum Toa Maoni yako kuhusu Vipindi Vyetu
Je? Tunafikisha Ujumbe kwa asilimia ngapi?

KUNA MAZITO KASKAZINI UNGUJA

KUNA MAZITO KASKAZINI UNGUJA

Пікірлер

  • @user-pm7yo3xi3h
    @user-pm7yo3xi3h23 сағат бұрын

    John okelo ni muuaji tu .kaletwa zanzibar na makanisa kuuwa waislamu na kuuwa uislamu. Kasomeni kitabu chake. Ndio mpaka leo zanzibar inatawaliwa na kanisa. Na wakala wa kanisa hilo ni Tanganyika

  • @user-zy7md2fo5o
    @user-zy7md2fo5oКүн бұрын

    mashaalah good wakumbush kwa akili ya Allah

  • @iddyjuma2263
    @iddyjuma2263Күн бұрын

    Allah ndio Mlipaji, akulipeni badala na Ziada yake

  • @HassaniShehata-il4of
    @HassaniShehata-il4of2 күн бұрын

    Jamani watu wasome na wawe na heshima wanaposoma sio kusema ovyo kusipokuwa na msingi wotwote mtu mwenye elimu anabishana Kwa hoja si tofauti

  • @Ba63828
    @Ba638282 күн бұрын

    Asante kwa kutugàwia historia muhimu. Kichwa chako kina skull zaidi ya vitabu. Ukiandika kiatabu utasaidia sana.

  • @amiriadamu5256
    @amiriadamu52563 күн бұрын

    Umwteleza mkuu achauoga ww kuna kuta 4

  • @NassoroSipemba
    @NassoroSipemba3 күн бұрын

    Hongera kwa kuujulisha umma wa kiisilaam kwa kuwajuza waisilaam popote pale walipo duniani ili waweze kuchangia ili ndg zetu hawa waweze kupata msikiti mzr kwaajili ya kufanya ibada zao ktk hali ya Utulivu Inshallah.

  • @zanlec7357
    @zanlec73573 күн бұрын

    Assalamu alaykum. Alfat Allah akulipeni khery. Tunaomba Sana tuwekeeni History ya Sheikh Said Bin Nyange NI Mimi Akhy wenu Abuu Twalha

  • @IssaRamadhan-r1o
    @IssaRamadhan-r1o3 күн бұрын

    naukisema simu hazifai basi usitumie cm.mutume s.a.w.aliposema.سومو لرؤيته وافطرو لرؤيته)alikua anawaambia waislam wote duniani.

  • @IssaRamadhan-r1o
    @IssaRamadhan-r1o3 күн бұрын

    naukisema simu hazifai basi usitumie cm.mutume s.a.w.aliposema.سومو لرؤيته وافطرو لرؤيته)alikua anawaambia waislam wot e duniani.

  • @IssaRamadhan-r1o
    @IssaRamadhan-r1o3 күн бұрын

    naukisema simu hazifai basi usitumie cm.mutume s.a.w.aliposema.سومو لرؤيته وافطرو لرؤيته)alikua anawaambia waislam wot e duniani.

  • @IssaRamadhan-r1o
    @IssaRamadhan-r1o3 күн бұрын

    naukisema simu hazifai basi usitumie cm.mutume s.a.w.aliposema.سومو لرؤيته وافطرو لرؤيته)alikua anawaambia waislam wore duniani.

  • @IssaRamadhan-r1o
    @IssaRamadhan-r1o3 күн бұрын

    nyinyi na Maka mmetafutiana Nini?

  • @IssaRamadhan-r1o
    @IssaRamadhan-r1o3 күн бұрын

    nyinyi na Maka mmetafutiana Nini?

  • @IssaRamadhan-r1o
    @IssaRamadhan-r1o3 күн бұрын

    Mashekh kuweni waadiliifu.angalieni mtume s.a.w.alifanyaje ktk ibada.inaonekana nyinyi umjaelewa.hakuna tarehe mbili duniani

  • @almasramadhan9387
    @almasramadhan93873 күн бұрын

    Mmekalia kubishana mambo yasiyokua na faida ujinga mliopandikizwa na mabwana zenu nje ya nchi ndiyo yanayorudisha nyuma maendeleo ya nyanja zote katika uislam mmekua mamwinyi mashekh mnatukanana mnadhalilishana saa ngapi mtawakumbuka waislam wa vijijini mashekh wa Tanzania mnatia kinyaa kuritad Kwa waislam Hawa ni matokeo ya sera mbaya za viongozi wa kiislam Tanzania

  • @mtumwasamaki
    @mtumwasamaki4 күн бұрын

    Hadithi zpo waz hongeraa kwa kuzdi kutuelimisha

  • @mtumwasamaki
    @mtumwasamaki4 күн бұрын

    ❤❤❤❤❤❤❤

  • @mohamedabdallah2549
    @mohamedabdallah25494 күн бұрын

    Mabrook sheikh huo ndio ukweli

  • @malikmzee1772
    @malikmzee17724 күн бұрын

    Mung atafany wepes ktk hili Allah ishaallah

  • @user-wl8ng3pj5r
    @user-wl8ng3pj5r4 күн бұрын

    Serikali maaana yake nn na inafanya kazi gani?

  • @user-wl8ng3pj5r
    @user-wl8ng3pj5r4 күн бұрын

    Ni unguja hii au Pemba?

  • @masallajohn2425
    @masallajohn24254 күн бұрын

    Nmemuona bi khadija mashallah tulikua nae leo

  • @masallajohn2425
    @masallajohn24254 күн бұрын

    Mashallah mashallah mungu awajaalie zaid kwa kujtoa kwenu mi aisha kutoka kahama

  • @HilaliBaruani-js2bu
    @HilaliBaruani-js2bu5 күн бұрын

    Good Night 💤🌙 😊 Sweet Dream 🌠🌠🌠🌠🌠🌠🌠 Good Night 💤🌙 😊 Sweet Dream 🌠🌠🌠🌠🌠🌠🌠 Good Night 💤🌙 😊 Sweet Dream 🌠🌠🌠🌠🌠🌠🌠 🍸🌹🌹🍸🌹🌹🍸 🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹 🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹 🍸🌹🌹🌹🌹🌹🍸 🍸🍸🌹🌹🌹🍸🍸 🍸🍸🍸🌹🍸🍸🍸 🍸🍸🍸🌹🍸🍸🍸 🍸🎁😊❤☺🎁🍸 11

  • @salumaliysalum6069
    @salumaliysalum60695 күн бұрын

    Mashallah Allah akulipe ujira wako sisi wengine dio darasa yetu tunasoma

  • @zulekhaa6817
    @zulekhaa68175 күн бұрын

    Sijaona hoja ya kutokufunga pamoja na mahujaji siku ya Arafa. Arafa ni moja tu ile ya makka. Hadithi ya mtume ishajitosheleza kuwa kufunga siku ya Arafa ni moja tu. Ispokuwa ufahamu wa hadithi wengine wanashindwa kuielewa.

  • @FunnyRamadhan-gz5ic
    @FunnyRamadhan-gz5ic5 күн бұрын

    Mashallah kabisa.umesema neno lizuri(kuniwiya sadaka)

  • @zulekhaa6817
    @zulekhaa68175 күн бұрын

    Laiti ingekuwa hii dini haendi na wakati basi maisha yangekuwa magumu sana. Lkn Allah katurahisishia kutuachia wazi suala hilo. Lkn watu huchagua wanayitaka wao tu. Laiti tungekuwa wamoja waisilamu basi dunia nzima waisilamu tungefuata mwezi mmoja tu.

  • @JumaMohammad-nt3jl
    @JumaMohammad-nt3jl5 күн бұрын

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @lukmanalmazrui2565
    @lukmanalmazrui25655 күн бұрын

    Tufateni mwendo Mtume saw na maswahaba zake ,hata nchi zipitane kwa masaa mangapi lkn hakuna nchi umezidi nchi nyengine kwa masaa24.Arafa ni siku Moja kwa Dunia mzima na inaambatana na Tendo Hilo la Arafa. Kwanini kwenye Valentine day , women's day ...watu hawasherekei siku mbili mambo yao ya upotevu ,siku unakua Moja Dunia mzima. Acheni kufata akili kwa mambo ya Dini

  • @mujilbtoq1827
    @mujilbtoq18274 күн бұрын

    Sio kweli kuna sehemu zimepishana masaa zaidi ya 24. Kama unabisha ingia google.

  • @lukmanalmazrui2565
    @lukmanalmazrui25654 күн бұрын

    @@mujilbtoq1827 Taja hizo sehemu.May be you know more about Geography

  • @rumonajarufu1346
    @rumonajarufu13465 күн бұрын

    Maa Shaa Allah, Allah akuhifadhi sana shekhe

  • @AbdallahZahoro-f7k
    @AbdallahZahoro-f7k5 күн бұрын

    waislaam ndugu zangu kama kuna mtu miongoni mwetu bado atahoji hili swala bas atakua mjinga itoshe kuskia na kuzingatia ndio sawa

  • @AbdallahZahoro-f7k
    @AbdallahZahoro-f7k5 күн бұрын

    waislaam ndugu zangu kama kuna mtu miongoni mwetu bado atahoji hili swala bas atakua mjinga itoshe kuskia na kuzingatia ndio sawa

  • @kassimsuleiman6720
    @kassimsuleiman67205 күн бұрын

    Hapa mbona salafi hawatii mdomo kule aliko tolewa makosa shekhe mselem alikua wao ndio wasemaji hapa mbona kimya?

  • @yahyabakar7859
    @yahyabakar78596 күн бұрын

    Gharafa haina tatizo.Tatizo ni sisi tunapoikwepa hadith ya Mtume na kutetea madhheb zetu.Nampongeza Sheikh Mziwanda aliposubutu kutafsiri hadithi nnje ya madhheb zetu.

  • @DaniDani-v3w
    @DaniDani-v3w6 күн бұрын

    Kwaio allaa kajalia arafa kila nchi au sehemu hushuka uko au Kwa kusudio hilo mbona mwatuchanganya kwaio hushuka kila siku nchi ilokua mwenz tisa

  • @DaniDani-v3w
    @DaniDani-v3w6 күн бұрын

    Kwaio allaa kajalia arafa kila nchi au sehemu hushuka uko au Kwa kusudio hilo mbona mwatuchanganya kwaio hushuka kila siku nchi ilokua mwenz tisa

  • @DaniDani-v3w
    @DaniDani-v3w6 күн бұрын

    Sasa si wangelalamika wao walokua saa tatu usiku uko sasa wewe upon Sawa na Madina wap na wap kwamaana hio wewe humo wache wanao pngana swala

  • @SitiMuhammad-ev1vt
    @SitiMuhammad-ev1vt6 күн бұрын

    Mashaallah shekh wetu tumekufaham

  • @AbdallahAbdurahman-cj2qp
    @AbdallahAbdurahman-cj2qp6 күн бұрын

    Huyu anawapoteza watu dahh

  • @jumawaziri8501
    @jumawaziri85016 күн бұрын

    sisi tanzania na saudia tunatofautiana masaa mangapi ?????

  • @fareedahmad6857
    @fareedahmad68573 күн бұрын

    saa tuko sawa illa kuchomoza JUWA na Mwezi tuko tafauti na MAZINGATIO YA SHERIA YAPO KATIKA MICHOMOZO NA SIO SAA

  • @sumaisabu9816
    @sumaisabu98166 күн бұрын

    Hela babaa😂😂😂

  • @binuqaasha675
    @binuqaasha6757 күн бұрын

    Huuu ni uzuka , huu ni uzuka , huu ni uzuka Wallahi wabillahi watallahi huu ni uzuka. Sheikh umeisahau hadithi ya mtume alipofunga yeye na maswahaba zake siku ya eid mchana wake akaletewa habari na mtu kua aliuona mwezi mtume akafungua na akawaambia maswahaba wafungue na akaamrisha mtume swala iswaliwe siku ya pili.. Swali kwanin mtume akafungua na wao pahala walipo hawajauona mwezi ? Mwezi waliletewa habari tu kama umeonekana huko nje ya mji. Kwann mtume asiikamilishe ile funga akafungua ??

  • @binuqaasha675
    @binuqaasha6757 күн бұрын

    Ni masheikh wanao waita watu katika milango ya motoni😢, mbona siku ya wanawake duniani ni siku moja tu, siku ya wazee ni siku moja tu, siku ya watoto ni siku moja ?? Kwanini dini ya Allah muitie khtilaaf mulete mambo mingi ktk dini ya Allah? Izo aya na hadithi za shubha unapotosha watu hali ya kua wew unazidahamu lakin wasiofahamu munawatia ktk giza

  • @abuubakarimussa2301
    @abuubakarimussa23017 күн бұрын

    mashaAllah

  • @AbdillahKhelef
    @AbdillahKhelef7 күн бұрын

    Mashallah ila mm naona hebu sisi waislamu tuwacheni haya mambo ya kupingana sisi kwa sisi

  • @user-or8yo2wj9v
    @user-or8yo2wj9v7 күн бұрын

    Pole sana mama mungu ampe wepesi

  • @AbuuSumayyah-rh7oi
    @AbuuSumayyah-rh7oi7 күн бұрын

    Huyu jamaa faridi anajidanganya sana huyu ivi anazani rais wetu mpendwa ambae rais husein aliyah hasan mwinyi ni mtu wa kuburuzwa ktk membari za dini Hapana bali rais wetu anayafahamu zaid hayo unayo yazungumza kwanza ktk tofauti zake na ukweli wake na makes makosa yake kilicho baki kwake yeye ni kusikiliza wazungumzaji watakao zungumza ktk ugeni atakao udhuria ikisha bas anaangalia nchi ni vipi anaisimamia na rajya wake Tunamuomba Allah aliye juu amuhifadhi na kumuongoza rais wet juu ya haqi na amkinge na wafitinishaji wowote wanaotaka kumfitinisha haswa ktk kupitia jina la dini

  • @zahraalbaloochi2841
    @zahraalbaloochi28417 күн бұрын

    No