SEHEM YA PILI- FAIDA ZAKUFUNGA KWA KULA MLO MMOJA au MIWILI _Prof Mohamed Janabi

PONGEZI KWA MNH- AFYA PODCAST TOKA MUHIMBILI TV

Пікірлер: 111

  • @DaudiJamesKafulila
    @DaudiJamesKafulila2 ай бұрын

    Mungu akubariki sana na akupe maisha marefu ili ukawe baraka kwa wengine

  • @annmjemah5655
    @annmjemah5655Ай бұрын

    Nilikuwa na kg nyingi sana kulingana na urefu wangu na kichwa kilikuwa kinaniuma sana upande wa juu wa sikio la kulia kwa muda mrefu nikaebda kuuliza famas akasema ni dalili ya presha Na mimi nilijaribu kula mlo mmoja kwa siku lakini mlo huo haukuwa na wanga wowote wa ugali wali ndizi viazi nk na nilikuwa natembea au kukimbia km 6 kwa siku kwa muda wa mwezi mmoja nilpunga kg2 au 1.5 per week lakini sikuwa nalala hovyo hata na ninaapreciate hii lecture kwa kweli. Barikiwa sana PROF.

  • @nickylyanga2139
    @nickylyanga21398 ай бұрын

    Kwa niaba ya watazamaji wote ...itoshe kusema tunakushukuru sana ..na mungu akubariki sana

  • @octaclement1872
    @octaclement18726 күн бұрын

    Prof Janabi, Mungu akubariki sana hii ndio heshima ya Taaluma kwa Watanzania

  • @MariamDola
    @MariamDola11 күн бұрын

    Shukuran doctor kwa somo Zur

  • @jumahamad3723
    @jumahamad37238 ай бұрын

    Hivo vitu kwenye dini ya kiislamu vipo na ndio maana tumekewa kufunga kila mwaka kwa mwezi na kila wiki siku mbili ambao ni j/3 j/4 Alietuumba ndio kajua sisi bila ya kufunga ndio yatakuja kutokea hao uzito mafuta na maradh mengine Tumeambiwa tufunge ili tupate Afiyah.

  • @J4UPro

    @J4UPro

    2 ай бұрын

    Kweli kabisa

  • @angelamvaa2229
    @angelamvaa22297 ай бұрын

    Asante sana Dr kwa somo zuri ni wakati wakujihoji ulaji wetu , na kufanya maamuzi yenye tija kwa afya zetu

  • @khadejakhadeja9713
    @khadejakhadeja97138 ай бұрын

    Sasa elimu imeenea.twashukuru.mitandao na madctr. Wazuri asante prfs JANABI❤❤❤❤

  • @sauda4505
    @sauda45057 ай бұрын

    Nashukuru sana Kwa elimu na swali langu lishajibika kumbe maji waeza kunywa kipindi ambacho umejizuia kula Asante sanaa

  • @laetitiapetrontagazwa2016
    @laetitiapetrontagazwa20164 ай бұрын

    Barikiwa sana Prof. Wewe ni tunu ya Watanzania. Mungu akutunze. Tusipokusikiliza ni matatizo yetu tu. Umejitahidi sana kutusaidia.

  • @LucyEzekiel-gm2jr
    @LucyEzekiel-gm2jr7 ай бұрын

    Mwenyezi Mungu akubariki sana kwa somo zuri doctor

  • @bettyclemence7195
    @bettyclemence71957 ай бұрын

    Ubarikiwe nimeona Kuna faida nitajaribu hiki kitu ubarikiwe

  • @bakarimakalo7128
    @bakarimakalo71288 ай бұрын

    Thanks Prof. Janabu for this lesson.

  • @user-nv5ls2dy6k
    @user-nv5ls2dy6k4 ай бұрын

    Asante sana zidi kutusaidia ni mara yangu ya kwanza leo,nimelipenda darasa

  • @HurbertMsuya
    @HurbertMsuya7 ай бұрын

    Asante Prof kwa elimu kubwa

  • @eliakimsamwel1846
    @eliakimsamwel18467 ай бұрын

    Nashukura Sana kwa somo nzuri, ningependa madamitari wetu wafundishwe pia maana wengi wao hawafahamu, wengi wanapotosha jamii zetu ndio maana magonjwa ya lishe hayapungui hawana elimu hii Kama wew prof.

  • @user-ix2lw6tz9i
    @user-ix2lw6tz9i9 ай бұрын

    Asante kwa somo zuri🙏nashukuru Mungu nayaishi haya yote na imenisaidia kupungua🥰kutoka 90kg- 56kg kwa sasa mwili umezoea haya maisha🙏🙏

  • @nicholauspeter9454

    @nicholauspeter9454

    8 ай бұрын

    hongera

  • @user-ix2lw6tz9i

    @user-ix2lw6tz9i

    8 ай бұрын

    @ilampamwami8833sante sana nipe mawasiliano nkusaidie mpendwa🥰

  • @user-ix2lw6tz9i

    @user-ix2lw6tz9i

    8 ай бұрын

    @@nicholauspeter9454 sante sana🙏

  • @monikamasasi7582

    @monikamasasi7582

    8 ай бұрын

    Jamani na Mimi nitaanza

  • @hassanmfaume4522

    @hassanmfaume4522

    5 ай бұрын

    Funga mwezi wa Ramadhan utapata faida​@@nicholauspeter9454

  • @eugeniamsilikale8687
    @eugeniamsilikale86879 ай бұрын

    Asante Doctor kwa somo zuri

  • @happynesfocus
    @happynesfocus8 ай бұрын

    Asante sana ndg janab

  • @leahwikesi706
    @leahwikesi7065 ай бұрын

    Asante doctor kwa somo

  • @ndimamsuya9709
    @ndimamsuya97098 ай бұрын

    Asante sana Prof. mojawapo ya clip za thamani sana ka kipindi hiki. NACHUKUA HATUA

  • @elianaarsen9942
    @elianaarsen99428 ай бұрын

    Asante kwa somo zuri

  • @lucykarii6860
    @lucykarii68609 ай бұрын

    Shukrani Doctor nimelipata somo ili kwa mda sahihi

  • @merinankullua5874
    @merinankullua58748 ай бұрын

    Asante sana Professor

  • @lutigardkomba1215
    @lutigardkomba12158 ай бұрын

    Asante sana Dokta

  • @user-vx4hm8cr6h
    @user-vx4hm8cr6h8 ай бұрын

    Asante professor 😊

  • @khadejakhadeja9713
    @khadejakhadeja97138 ай бұрын

    Asantee somo zuri sanaa❤❤❤❤

  • @harunibernadi
    @harunibernadi9 ай бұрын

    Ahsante Sana doctor

  • @janethmosi6041
    @janethmosi60418 ай бұрын

    Asante sana Dr

  • @reginamukama7333
    @reginamukama73334 ай бұрын

    Asante Kwa taarifa hii

  • @user-du2rc8zh8w
    @user-du2rc8zh8w5 ай бұрын

    Ahsante doctor ❤

  • @catherinekayani1412
    @catherinekayani14123 ай бұрын

    asante sana leo nimepata madini makubwa nina mwezi wa 3 nafunga siku 5 kila mwezi na shida yangu kubwa nisipokula jioni nahaha sana lakin asbh na mchana sio shida zangu

  • @FelistaCharles-ks1py
    @FelistaCharles-ks1py2 ай бұрын

    Asante barikiwa sana

  • @DavidNdosa-mj4ei
    @DavidNdosa-mj4ei8 ай бұрын

    Prf January ni mfano wa kuigwa katika inchi hoi Mungu akipenda kwa elimu hii pia madaktari pamoja na wataalam mbal mbal wajitaid kuweka elimu huku mitandaoni ifike wakati mitandao ifanyike darasa

  • @DavidNdosa-mj4ei

    @DavidNdosa-mj4ei

    8 ай бұрын

    Janab sio januari ni sm tu imecheza

  • @user-ux6fz7bi2l
    @user-ux6fz7bi2l3 ай бұрын

    Somo zuri barikiwa sana dakatari nitaanza ratiba ya milo 2 kwa siku

  • @ndagijimanasibomana318
    @ndagijimanasibomana3189 ай бұрын

    Asante kwa elimunzuri MUNGU akubariki

  • @Haddasah23-ny8nk
    @Haddasah23-ny8nk9 ай бұрын

    Asante sana Pastor. Mungu akubariki kwa somo zuri.

  • @omeerrasheed7192

    @omeerrasheed7192

    8 ай бұрын

    Huyu sio pastor ni daktari by professional

  • @najmasalim-rg6ow

    @najmasalim-rg6ow

    4 ай бұрын

    Mbona pasta 😮

  • @gloriachristian1470

    @gloriachristian1470

    4 ай бұрын

    Amekuwa pasts tena huyu ni jembe la afya hapindishi maneno

  • @nicholauspeter9454
    @nicholauspeter94548 ай бұрын

    Barikiwa dr

  • @mchikirwambombeyagonja4311
    @mchikirwambombeyagonja43114 ай бұрын

    Nakunywa chai ksrafuu tangawizi Hadi saa moja usiku nakula na nimezoea

  • @user-kd4lr6bd1j

    @user-kd4lr6bd1j

    3 ай бұрын

    Cjakuelewa my nielekeze vizur

  • @user-mk5ib4be2h
    @user-mk5ib4be2h6 ай бұрын

    Thanks a lot tumepata faida ila je! Ni vipi kwa anae nyonyesha

  • @ferdinandmakubi6275
    @ferdinandmakubi62757 ай бұрын

    Good teacher

  • @beatricemabula4783
    @beatricemabula47834 ай бұрын

    Ahsante sana dk

  • @gloriachristian1470
    @gloriachristian14704 ай бұрын

    Janabi mwalim wqngu wa afya nakuelewa nimepungua nmekata mafuta sili sukari muonekano mzr,,saluting dr

  • @user-ye8mt4dj2v
    @user-ye8mt4dj2v4 ай бұрын

    Namba doctar

  • @joelnyanda6677
    @joelnyanda66778 ай бұрын

    Asante kwa somo zuri; swali langu, ni muda gani ni sahihi kula chakula usiku?

  • @mamalaozphilemonmtawali.8467
    @mamalaozphilemonmtawali.84678 ай бұрын

    Me nimezoea mlo mmoja kwa siku sakumi na moja na nusu jion, kuanzia sa moja usiku na hakikisha nimekunywa maji ltr moja na nusu kufkia sa nne na nusu ucku sinywi tena mpk sa kumi na moja jion tena siku yegine, kama pia na ukosea mwili naomba nielezwe.

  • @MahubiriPrMmbaga

    @MahubiriPrMmbaga

    8 ай бұрын

    Wow!! Hongera saaaana!!

  • @J4UPro

    @J4UPro

    2 ай бұрын

    Je urefu wako ukoje?

  • @rehemaissa6164
    @rehemaissa61648 ай бұрын

    Ahsante sana Dr. Nimefurahi sana Kwa somo hili na nimelielewa, Mimi ni mhanga wa uzito mkubwa, nimejitahidi kufunga lakini Bado nafeli kupungua uzito badala yake nakuwa napata maumivu ya kichwa na tumbo la juu.

  • @muniraally4091

    @muniraally4091

    8 ай бұрын

    Pole ila nami ni mwenzio tujitaidi tuuu mdogomdogo kuna program niko nayo sasaivi inasaidia usiskie njaa

  • @muniraally4091

    @muniraally4091

    8 ай бұрын

    Ukipenda nikuunganishe nao

  • @rehemaissa6164

    @rehemaissa6164

    8 ай бұрын

    @@muniraally4091 nitashukuru sana ukiniunga Nisha nao. Na Kwa Sasa nimeanza zoezi la kunywa chai asubuhi tu halafu nakula chakula mida ya saa Moja usiku, naona kama inanisaidia kiasi

  • @user-nh6oy7ym4n

    @user-nh6oy7ym4n

    7 ай бұрын

    ​@@muniraally4091mm hp naomb uniunganishe pia

  • @rachelmbilinyi9552

    @rachelmbilinyi9552

    7 ай бұрын

    Ungefanya detox kwanza

  • @albertOscar-bw2dz
    @albertOscar-bw2dz5 ай бұрын

    Good job

  • @jamilasaif9891
    @jamilasaif98918 ай бұрын

    Ahsante sana Dr nimafunzo mazuri

  • @KeiFerouz-fn9oc
    @KeiFerouz-fn9oc8 ай бұрын

    Asante

  • @toshalulinda1493
    @toshalulinda14939 ай бұрын

    Amen

  • @damianikimario5695
    @damianikimario56958 ай бұрын

    🙏

  • @OmanOman-ky2oo
    @OmanOman-ky2oo8 ай бұрын

    ❤❤

  • @reginamukama7333
    @reginamukama73334 ай бұрын

    Je mkulima afanyeje

  • @cristinarashid1245
    @cristinarashid12457 ай бұрын

    Samahani docter mimi nina shida ya pipons usoni kwa mwaka miwili na nimeonana na dacter ameniambia niachekunwa sukari na niache kunwa maziwa na niache kula mayoi nanime acha na nime tumia dawa nasabuni zote nilizo ambiwa nanina myezi 6 na bado siponi

  • @johnkanyatuka250
    @johnkanyatuka2508 ай бұрын

    Me binafsi nashukuru kwa elimu hiyo, ila kitu kimoja nimekushangaa hizo picha ulizoweka na kuzitolea mfano kwamba tazama tulivyo kuwa, na sijaendelea nimeishia hapo hapo! Swali linakuja, je akili yako na ufahamu wako mabadiliko ya hivyo ulivyo wewe ulikuwa nyani! Mbona kuna picha nyingi ambazo ungeweza kuzitumia kwa kutolea mfano!

  • @emmiemmi3861
    @emmiemmi38612 ай бұрын

    Hii ni kweli wasrabu wanakula mda wote na kila nyumba hukosi mgonjwa

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything7 ай бұрын

    👊✌👍.

  • @Hanssimpson-ln6zs
    @Hanssimpson-ln6zs8 ай бұрын

    namba yako tafadhali naomba nikuone kiofisi

  • @jamesmwakitalima
    @jamesmwakitalima8 ай бұрын

    Pastor ubarikiwe kwa kuweka somo hili,mimi najitajidi ila itabidi nianze na mwenzangu

  • @saidiomari708

    @saidiomari708

    8 ай бұрын

    Huyo sio pastor.

  • @abuuquudaamah3939

    @abuuquudaamah3939

    8 ай бұрын

    Hata mgonjwa wa Kisukari anaweza kufunga ikamsaidia kurekebisha Sukari ya kupanda Prof?

  • @najmasalim-rg6ow

    @najmasalim-rg6ow

    4 ай бұрын

    😮alaf Muslim huyo ni daktar nasi pasta

  • @richlan100
    @richlan1009 ай бұрын

    ​Mafundisho mazuri, nashukuru. Lakini hiyo picha ya "evolution" yaleta picha tofauti na Bibilia hata bila kulizungumzia.

  • @MahubiriPrMmbaga

    @MahubiriPrMmbaga

    9 ай бұрын

    Sijaelewa hapo. Evolution ipi?

  • @richlan100

    @richlan100

    9 ай бұрын

    @@MahubiriPrMmbaga Hebu angalia picha iliyo toka dakika 1:14

  • @RobertsKibasa-wi9mf

    @RobertsKibasa-wi9mf

    9 ай бұрын

    Yote yanawezekana, binafsi nimefanikiwa , nakula mlo moja kwa siku, nakula jioni saa mbili usiku tu, naamka asubuhi, nalisha mifugo na kazi za bustani hadi saa nne, nakunywa chai tupu, ikifika saa tano nakunywa maji nusu lita, saa saba napata chai na vitafunio kama viazi vitamu,mihogo,nk, nitaendelea kunywa maji au chai tupu hadi ifikapo saa kumi na mbili jioni, saa mbili jioni napata ugali wa dona kwa mboga za majani, samaki, maharage na nyama mara chache. Nimepunguza uzito,kutoka kilo 110, 2018 hadi kilo 76 October 2023, umri wangu ni miaka 67, na kiafya niko vinzuri kabisa, situmii pombe, soda , juisi, chumvi kidogo, badala yake nakunywa maji ya kutosha na mazoezi. Changamoto za kiafya zimeondoka kabisa mwilini, mahudhurio hospitalini na maduka ya dawa yameisha kabisa. Nikushukru sana Dr kwa elimu bora kwa afya zetu.

  • @saidseif4753

    @saidseif4753

    8 ай бұрын

    Duuh,, hataari,, balaaa,, professor mzimaa naye anaamini ktk human evolution,,,!! Kwamba binaadam/Mtu asili yake katoka kwa nyani,,,!!?,, Kumbe hawa manyani ni ndugu zetu,,, tuwaheshimu,,, hopelessly😅

  • @MahubiriPrMmbaga

    @MahubiriPrMmbaga

    8 ай бұрын

    Tofautisha kati ya ELIMU YA KIMUNGU NA YA DUNIA HII! Fuata ya Mungu

  • @monikamasasi7582
    @monikamasasi75828 ай бұрын

    Aiseeee doctor umenihamisisha na kuanzia leo naanza kufuata Nina kilo98 baada ya miezi sita nitamleta mrejesho

  • @aminasaid6555
    @aminasaid65552 ай бұрын

    Suna ni Alhamisi na jumatatu

  • @user-ev7rm8kd2w
    @user-ev7rm8kd2w8 ай бұрын

    Wale wenye vidonda vya tumbo ukifunga unapata maumivu tumboni .hawa vipi ?

  • @JoshuaWitinga-hi5rv
    @JoshuaWitinga-hi5rv3 ай бұрын

    Hakika unayosema nikweli kwanzia kesho nachukuw hatuwa

  • @barakamanga5502
    @barakamanga55028 ай бұрын

    SoMo zuri Ila picha duuu za sokwe

  • @cydrahope5251
    @cydrahope52518 ай бұрын

    Mh

  • @JoshuaWitinga-hi5rv
    @JoshuaWitinga-hi5rv3 ай бұрын

    Nataka nijalibu miezi miwili

  • @nassraabdallah3585
    @nassraabdallah35854 ай бұрын

    Nakama unamdonda ya tumbo haiwezi kuleta madhara?

  • @JoshuaWitinga-hi5rv
    @JoshuaWitinga-hi5rv3 ай бұрын

    Kesho naanza kuchjkuw hatua

  • @user-di9bz3xh2i
    @user-di9bz3xh2i4 ай бұрын

    Kwenye ugali hapo ndio pagumu.. huku mbeya hatuelewi kabisaa..

  • @chikondimadalitso
    @chikondimadalitso7 ай бұрын

    Nisawa uchofindisha je ukiwa muasirika na mwiri wako umenenepa Kwa vidonge

  • @victoriarwerengera4831
    @victoriarwerengera48318 ай бұрын

    Watu wanatudanganya kuwa ukifunga unatengeneza vodonda vya tumbo

  • @neemaseiler1122

    @neemaseiler1122

    3 ай бұрын

    Uongo

  • @user-pe6hs5qq5l
    @user-pe6hs5qq5l8 ай бұрын

    Mimi Nina vidonda nashindwa kufunga nifanyaje

  • @elsonmuyinga
    @elsonmuyinga9 ай бұрын

    Kumbee

  • @naturelle1097

    @naturelle1097

    8 ай бұрын

    😂

  • @radhiasekinyuku6608

    @radhiasekinyuku6608

    8 ай бұрын

    Ahssante sana Dr,je mtu mwenye tatizo la.moyo mpana anaweza kunywa kahawa?

  • @plumbingtanzaniaplumber7570
    @plumbingtanzaniaplumber75708 ай бұрын

    Wengine wanasema msile jion wengine jioni sio mbaya sasa sijui tuchukue lipi

  • @kabalizasekanabomarko6063
    @kabalizasekanabomarko60639 ай бұрын

    Tuko pamoja