ROSEMARY MWAKITWANGE KAFICHUA MAZITO. CCM NI AKINA NANI HASA. NANI ANAYE MUENDESHA RAIS SAMIA

Пікірлер: 40

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662Ай бұрын

    CCM ni jitu kubwa sana ni mafisadi wakubwa sana, Majizi wakubwa sana. Wakina KINANA, MAKAMBA, KIKWETE, WAKINA MAKALA NA GROUP ZAO.

  • @namsifubwana2152
    @namsifubwana2152Ай бұрын

    Asante sana my sis Rosemary 👏👏👏👏👏🔥🔥🔥🔥🔥

  • @namsifubwana2152
    @namsifubwana2152Ай бұрын

    Ccm ni kina Samia, Kikwete, Kinana, Mwinyi, Kinana na Makamba. Hizi familia ndo zimetuoigisha magoti watanganyika na wa Znz

  • @namsifubwana2152
    @namsifubwana2152Ай бұрын

    Baba lao ndo Kikwete😭😭😭 watu wanalia, Watanganyika na Wazamzibar wanalia, yeye ana furaha zote anavyotutesa watz

  • @user-ii3xo5jw9y
    @user-ii3xo5jw9y2 ай бұрын

    wewe ni Mama. Mungu akupe ulimi wa kuneno.

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa61592 ай бұрын

    Ni mafisiyemu kijani

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662Ай бұрын

    Mahakama yetu ni CCM tupu. Kwa sababu tulimsikia Rostam ambaye ni katika group la MACCM WAKUBWA WA KUTUONEA

  • @StephenChama-nh2vr
    @StephenChama-nh2vrАй бұрын

    Watanganyika hatumtaki mzanzibari

  • @othmarluwawilo8308
    @othmarluwawilo83082 ай бұрын

    Kikwete anayemshauri M

  • @judithmwamukinga4448
    @judithmwamukinga4448Ай бұрын

    Umeme hatupewi bure ila kila MTU analipa hii no biashara kama biashara zingine acha ujinga

  • @christianmwabukusi8132
    @christianmwabukusi81322 ай бұрын

    Tunafahamu

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda13192 ай бұрын

    Msiangaike ccm lnashimiliwa na kikwete wala msihangaike na group lake na kuwamiliki wakuu wa mkoa ambayo ni wastaafu toka jeshini wala msihangaike wao wanatumia propaganda tuu lakini kikwete ndio msikukilia vyote hivyo kala deal na wazungu na wanaosapoti ccm ni wageni wenye kushikilia rasilimali zetu Sasa mnahaika kuongea wakati kikwete ndio mwenye maono msihangaike kupiga kelele

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662Ай бұрын

    Watanganyika wote tunafanya kazi na kulipa kodi, lakini wao CCM wanadhani wao na kundi lao la CCM wanajifanya kuwa wao ndiyo wenye kujenga hilo li Tanzania wanalolisema. Lakini ni waongo kwanza MACCM hawalipi kodi ila sisi watumwa wao ndiyo tunalipa kodi na utitiri wa makodi.

  • @hajihassan5433
    @hajihassan54332 ай бұрын

    CCM ni chama cha siasa kama vingine kama hukubaliani nacho achana nacho. Lakini ni upuuzi kudhani kuwa kwa kelele tu CCM itakufa.

  • @PasicalAmbokileMwakilas-ms2jp
    @PasicalAmbokileMwakilas-ms2jp2 ай бұрын

    Kama Kuna mwenyewe uchaguzi was nini

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686Ай бұрын

    HIVI KAMA KUNA NNCHI IMEZARAULIWA SASAHIVI, TANGU AONDOKE MAGUFULI , NI TANZANIA. MAANA IMEKUWA KAMA MJI USIO NA JUMBE.

  • @ernestwegga6557

    @ernestwegga6557

    Ай бұрын

    Nani anakudanganya.

  • @user-mm6nx4jp2m
    @user-mm6nx4jp2mАй бұрын

    Huyo ni kikwete

  • @margarethpolepole7438

    @margarethpolepole7438

    Ай бұрын

    User wewe Kiboko halooooooo ya Ccm wstabakia tu na kelele za mitandaoni site tunawasikiliza tu wenye nchi yao kwa Familia zao

  • @chalokalunde9429
    @chalokalunde94292 ай бұрын

    Tupigeni kura wakati wa uchaguzi kuchagua tuendelee na muungano au la.

  • @hajihassan5433

    @hajihassan5433

    2 ай бұрын

    Na ndio kitu cha kwanza kabla kuzungumzia Katiba Mpya. Kama tuendelee ndio tujadili iwe je.

  • @emanuelsinyinza
    @emanuelsinyinza2 ай бұрын

    Mimi hapa ccm. hatuitaki. Ccm tena ukiona mtu anashabikia ccm ni mlamakombo kupitia kazi .au kwa ndugu hivihivi hamtaona wafuasi hamna watu,hata hatamukiwafuata na. Magari hatuji ccm vyombo vya dora basi sasa katibu kata wa ccm na mwenyekiti wake hawana mishahara niwajinga kiasi gani wakusanye watu kufaidika mfaidike nyiye .wajinga hawo hawapo tena.

  • @FrankMwakatundu-cu6bd

    @FrankMwakatundu-cu6bd

    2 ай бұрын

    Dada umeongea Jambo la maana sana tena sana, NI LAZIMA TUMJUE CCM ni Nani!!!? Na kama ni Fulani huyu Fulani KATIBA YETU INAMTAMBUAJE? (ANA MAMLAKA GANI KIKATIBA HUYU FULANI)? NINAVYOFAHAMU MIMI, CCM NI CHAMA CHA SISA HAKINA MAMLAKA KIKATIBA KUTUPANGIA NAMNA NCHI YETU TUNATAKA IONGOZWE KWA MAANA YA KATIBA. SASA NI ZAIDI YA MIAKA 35 SASA ETI CCM HAITAKI KATIBA MPYA HAWTAKI KAMA NANI? MADIKTETA, WAKOLONI AU NANI!!? KAMA LIKO JAMBO LINALO BISHANIWA HUAMLIWANA NA WANA NCHI KWA KURA YA WAZI( KURA YA MAONI) WATANGANYIKA BADO TUKO GIZANI!!! HAKUNA WAKUTUTOA GIZANI NI SISI WENYEWE KAMA ALIVYO ONGEA VEMA KABISA HUYO DADA!!! KILA MWENYE AKILI TIMAMU AMECHOSHWA NA CCM, MPAKA HAPA TULIPO INATAWALA KWA MABAVU. AIBU!!!

  • @Ba63828
    @Ba638282 ай бұрын

    Fake questions

  • @GodfreyOsward

    @GodfreyOsward

    2 ай бұрын

    Ni nani ni sisi wenyewe. Tunajiogopa. Sisi wenyewe.

  • @Ba63828

    @Ba63828

    2 ай бұрын

    @@GodfreyOsward Dada yangu Mwakitwange anakua kama mhuni sasa kwani CCM si chama kama vyama vingine vinavoundwa na wanachama ambao wana viongozi wao na katiba yao.

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438Ай бұрын

    Mama unahangaika bure vyama vyenyewe vya Upinzani vyote ni Wasaka Tonge kuishinda Ccm hawawezi

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438Ай бұрын

    Waende wasiende Mama Ccm itashinda tu nani anataka kupotezwa

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438Ай бұрын

    Mama utapiga kelele sanaaaa wenzio wala hiyo Ccm ni ya ukoo siye yetu macho tunachoomba amani tu vita hatuwezi tunaona kwa majirani zetu

  • @SaidAlly-uh4qw
    @SaidAlly-uh4qw2 ай бұрын

    Huyu malaya anaongea nini? Anaacha kuuza uchi wake anaongea pumba

  • @ZaidAKissinza

    @ZaidAKissinza

    2 ай бұрын

    Acha matusi wewe Said Ally

  • @aliyageorge6794

    @aliyageorge6794

    2 ай бұрын

    Malaya ni wewe Usimuite dada Rose Mwakitwange malaya. Wewe ndio unajiuza...😂

  • @ceciliamagalabajimmy4391

    @ceciliamagalabajimmy4391

    2 ай бұрын

    Matusi ya nini?

  • @user-sl1ko9me7u

    @user-sl1ko9me7u

    Ай бұрын

    KIJANA HAKULELEWA!

  • @DevothaLighton-dl6zi

    @DevothaLighton-dl6zi

    Ай бұрын

    Malaya wewe,chawa mkubwa,na mwaka ujao mtaisoma ninyi

  • @emanuelsinyinza
    @emanuelsinyinza2 ай бұрын

    Wewe said Ally acha matusi wewe ni mjinga kama unalamba makombo ya wajinga wenzako lamba kwa siri watu wamesha badirika

Келесі