RAIS SAMIA AFOKA VIBAYA, ATAJA CONNECTION, "UNAIVUA NGUO NCHI YAKO, NI AIBU, INASIKITISHA"

#UhondoTV #Uhondo

Пікірлер: 14

  • @NyorokaNyenge
    @NyorokaNyengeАй бұрын

    Kanzi nzuri kiongozi. Endelea watanzani tupo sambamba na wewe.

  • @charleslukumai7875
    @charleslukumai7875Ай бұрын

    Mbona waandishi walioweka udhalilishaji alioufanya mkuu wa mkoa Simiyu - aliyetumbuliwa, wanasumbuliwa kwa kukamatwa? Walikuwa hawatakiwi kuhabarisha umma juu ya hilo?

  • @kazikazini1042
    @kazikazini1042Ай бұрын

    Mning'inio wa Ujamaa

  • @stephenndagalla8183
    @stephenndagalla8183Ай бұрын

    Hivi kweli waandishi wa Tz wanao uelewa wa kujua chama kipi kinafanya vizuri/vibaya?? Labda ni kutaka kuwalazimisha wakisifie chama tawala. Matendo maovu/mazuri ya kila Chama ni lazima yaandikwe kama yalivyo. Sio eti maovu yasianikwe au " kusanuliwa".kuwa ni kujianika. Huko ni kudumisha UCHAWA na kudumaza weledi na Uhuru wa uandishi habari.

  • @KamwandaNzowa-eo4ur
    @KamwandaNzowa-eo4urАй бұрын

    Mh, kama haki itatendeka nauhakika hakuwezi kuwa chokochoko yoyote

  • @BIGCHENDREADLOCKS

    @BIGCHENDREADLOCKS

    Ай бұрын

    Mwambie aluhusu katiba mpya bas

  • @bodyaman
    @bodyamanАй бұрын

    MH:Raisi umeongea fact tupu,mwenye akili na akaakilike

  • @deniccgabriel6153
    @deniccgabriel6153Ай бұрын

    Mpuuuziîiií

  • @lilotz-we7xq

    @lilotz-we7xq

    Ай бұрын

    Kuwa na adabu wewe

  • @whatisthetruth.8793
    @whatisthetruth.8793Ай бұрын

    Kifuu tundu

  • @SelemanAlly-lz4sb
    @SelemanAlly-lz4sbАй бұрын

    Sawa Rais uko vizur waseme Hua wanapotosha

  • @NOORMOHAMED-sg9lo
    @NOORMOHAMED-sg9loАй бұрын

    Ondoa serikali za mitaa. Zinadhalilisha wananchi. Hawana uzalendo. Turudishie mabalozi wa nyumba kumi kumi. Woteva ukilavu tutekie ofu hao maviti watu. Good heri. Bendera yetu tunailavu machi hata hatupendi ivaliwe na wazungu au iuzwe. Tutasei usimaindi.

  • @VeronicaPaul-cj1yu
    @VeronicaPaul-cj1yuАй бұрын

    Heshima yako Mama, kweli unafanya kazi Ila utukumbuke na sisi wastafu tunaotafalia vinua mgongo vyetu toka miaka ya tisini viwanda vimeuzwa malipo mpaka leo tumekata tamaa na kuzeeka kwa zikii Hali yakuwa tuna haki zetu kwako.

Келесі