CHEKESHA : KIKAO KIFO CHA BOSS / MASANJA / MPOKI

Пікірлер: 147

  • @Lashymreal96
    @Lashymreal969 күн бұрын

    Wenye mnasema mama bonge hajui kaigizeni nyinyi nkt

  • @user-ey6oz6zs1g
    @user-ey6oz6zs1gКүн бұрын

    mpoki nimekupenda bure unajuaa saannnn masanja on fire

  • @paulmbwilo6477
    @paulmbwilo6477Күн бұрын

    Ile ya mwanzo mkiwa na Joti ndiyo nzuriii

  • @josephgomalo41
    @josephgomalo419 күн бұрын

    Wakati mkandamizaji anafanya mahesabu walitakiwa wamtume mtoto akakate fimbo nyingi tuu .. tena za mpera!

  • @paulbenedict-jj9ul
    @paulbenedict-jj9ulКүн бұрын

    Nimecheka sana mbavu zangu

  • @CareenJulias-iu7tf
    @CareenJulias-iu7tf8 күн бұрын

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 NYIE woote mnatisha sanaaaa. Hongereni Sana.

  • @josephatlameck4533
    @josephatlameck45339 күн бұрын

    Bonge nakupenda sana na unajua Sana kuigiza kpenz

  • @Chekesha

    @Chekesha

    9 күн бұрын

    Safi sana

  • @MREVENTPLANNER-gy4di
    @MREVENTPLANNER-gy4di9 күн бұрын

    Hawa wanaosema mama hajuii kuigizaa hawajuii nini maana ya uigizajii tena huyo mana kaigiza ualisia kabisa kutokana na uhusikaa aliopewa

  • @mmarycalvin6395

    @mmarycalvin6395

    9 күн бұрын

    Umekua positive safiii

  • @adudeswalehe8724

    @adudeswalehe8724

    8 күн бұрын

    Ni kweli kabisa.

  • @samsondawson6982
    @samsondawson69828 күн бұрын

    Kama mmekumbuka hii idea wameirudia ile ya miaka kama minne iliyopita ambapo joti alikua Amefiwa na mtoto wake alikua ni HR hakuna kitu kipya zaidi ya wameongeza watu tu ila hii wameshaifanya

  • @user-ri9gj8uh2c

    @user-ri9gj8uh2c

    4 күн бұрын

    So?

  • @user-hz9os1cn5f
    @user-hz9os1cn5f5 сағат бұрын

    Dada bonge hana experience na hii kazi.pls mpeni madin kwenye mozoezin

  • @ImaniMwashilindi
    @ImaniMwashilindi9 күн бұрын

    Nilijuwa to hakuna hera hapa du

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz71588 күн бұрын

    Hhhhhhhhhhhhh huu msiba umekua double impact

  • @HermanMassawe-sj4nj
    @HermanMassawe-sj4nj7 күн бұрын

    Tatizo! Mlichanganya siasa na kazi zenu za usanii! Poleni!

  • @monicamunisi2889
    @monicamunisi28899 күн бұрын

    Dada hapana, Kibonge bado

  • @shaibinhojr3209
    @shaibinhojr32098 күн бұрын

    Kiujumla wte mmetisha kwel wakongwe kazini😂😂

  • @msafirimikui1106

    @msafirimikui1106

    6 күн бұрын

    Na majji wakamwagiwa

  • @fortunatahulilo8411
    @fortunatahulilo84119 күн бұрын

    Wanyonyadamuuuu😂😂

  • @kilonzomchome2576
    @kilonzomchome25768 күн бұрын

    Maneno yakuwa mengi,jua pesa kidogo au hmna kbsa

  • @LaurianChristian
    @LaurianChristian3 күн бұрын

    Mko vizuri katika kazi hii, ila kurudia mchezo unahitaji ubunifu ili hadhira hata akifahamu aone mchezo ni kama mpya. Nje ya ubunifu mzuri inaonyesha mchezo wa mwanzo kuwa mzuri kuliko ule wa kuboresha. Tupokee maoni na tuyaingize kazini.

  • @selemanimsofe7321
    @selemanimsofe73219 күн бұрын

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Masanjaaaaaaa

  • @johnsonpaul8362
    @johnsonpaul83626 күн бұрын

    Hahahahah, Wapuuzi sana Nyie😀

  • @user-pb3bx7rl6c
    @user-pb3bx7rl6c9 күн бұрын

    Sehemu ya uyo dada bonge mngemuweka Katarina

  • @levocatuspjohn8638
    @levocatuspjohn86388 күн бұрын

    Mpoki et watu wamekula maharage matupu😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @Saidy-omaryxmshambo
    @Saidy-omaryxmshambo9 күн бұрын

    Huyo bonge akaoshe vyombo hajui

  • @Ushindiemmanuelushindi
    @Ushindiemmanuelushindi9 күн бұрын

    Masanja na kukubari sana ila hii kazi ya kuigiza waachie2 kina mpoki ww nimchungaji Kwa Sasa so anzisha maisha yakibiashara2 uwe boss MCH sio mizaha kama hii sawasawa na zabur1;1_3

  • @Chekesha

    @Chekesha

    9 күн бұрын

    Shida Unachanganya mambo

  • @NgarasaaJunior
    @NgarasaaJunior9 күн бұрын

    NYiE mnaosema dada bonge hajuiii kuigiza mkaigizeee NYiE bc😊😊

  • @alloycejames5285
    @alloycejames52858 күн бұрын

    Hehee... masanja na mpoki wote taira...😂😂😂

  • @mshindochanga5698
    @mshindochanga56989 күн бұрын

    Sifuri baba😂

  • @MrJevelson
    @MrJevelson8 күн бұрын

    Chalamila na bajwahuka wapi na wapi sasa😂

  • @jameswissa9981
    @jameswissa99818 күн бұрын

    Mpoki kumbe Mariooo😂

  • @user-io7jf7mz6k
    @user-io7jf7mz6k7 күн бұрын

    Masanja nakukubali sana😂😂😂😂😂

  • @Officialjidaa-sn9cs
    @Officialjidaa-sn9cs9 күн бұрын

    Wakuvanga nomaaa

  • @mariamfritsi4943
    @mariamfritsi49439 күн бұрын

    Nimempenda mke wa mpoki, ameona mbali.

  • @EmanuelMwakajinga
    @EmanuelMwakajinga9 күн бұрын

    Mnawezaa aiseeee🏆🙌😂

  • @Chekesha

    @Chekesha

    9 күн бұрын

    chat.whatsapp.com/IosOSDc5aBPDyEwCoBpKvR

  • @nassorosaid-rp4dn
    @nassorosaid-rp4dn5 күн бұрын

    Eti mzee alikuwa ni HR

  • @PASCHALFANUELY-ok2tl
    @PASCHALFANUELY-ok2tl3 күн бұрын

    Wasipo toa hela hawali😅

  • @stevemayala2739
    @stevemayala27399 күн бұрын

    Mmetisha sana

  • @frankmichael411
    @frankmichael4119 күн бұрын

    Hii Kari

  • @yoelmrisho
    @yoelmrishoКүн бұрын

    wageni wamekuja na gimble😂🤣

  • @ferdinandmakore5002
    @ferdinandmakore50026 күн бұрын

    Sifuri baba. Hahahahaha😂

  • @christophalmsongo5208
    @christophalmsongo52085 күн бұрын

    Hi nakumbuka iliwahi tokea maporomoko

  • @kaundasutikaunda7769
    @kaundasutikaunda77695 күн бұрын

    NIMECHEKA SANA

  • @Esaupallangyo
    @Esaupallangyo8 күн бұрын

    Bei ya angani

  • @ezramnyilinga3735
    @ezramnyilinga37355 күн бұрын

    masanja mbn utaki kuwaachia wenzio😭😭

  • @zaburi2386
    @zaburi23868 күн бұрын

    Mwshoniiiii😅😅😅😅

  • @dicksonndayisaba9300
    @dicksonndayisaba93007 күн бұрын

    Bei ya angani ni tofauti

  • @rasnchimbi
    @rasnchimbi8 күн бұрын

    🤣🤣🤣🤣daah hela imepigwa

  • @shukranisibale1739
    @shukranisibale17396 күн бұрын

    Hela ya kampun

  • @AliceMussa-kv5um
    @AliceMussa-kv5um9 күн бұрын

    Dereva katumia mpaka Hela yake

  • @josephchimbunga4886
    @josephchimbunga48867 күн бұрын

    Nani atanikopesha 😅😅😅

  • @Shuu.A
    @Shuu.A9 күн бұрын

    Nani atanikopesha mbeya wa office yote ya nini😂😂😂

  • @Chekesha

    @Chekesha

    9 күн бұрын

    chat.whatsapp.com/IosOSDc5aBPDyEwCoBpKvR

  • @michaelak8082
    @michaelak80829 күн бұрын

    Eti ni kama mmbea wa ofisi😅

  • @nicholasmuli5904
    @nicholasmuli59049 күн бұрын

    ati mbeya wa ofisi🤣🤣🤣

  • @Chekesha

    @Chekesha

    9 күн бұрын

    😂😂😂

  • @jrstories5062
    @jrstories50628 күн бұрын

    Ety mpoki anasema nibora mngebaki kigoma mm niruke chap

  • @boniphace1
    @boniphace17 күн бұрын

    😂😂😂😂 mpoki bana

  • @AugustineFadhili
    @AugustineFadhili9 күн бұрын

    Mac Regan kipara , acha nochekeee😊😅😂😂😂

  • @HarunaShabani-hy8mx
    @HarunaShabani-hy8mx8 күн бұрын

    wewe usie lopoka kaingize ww

  • @james-lx6rf
    @james-lx6rf9 күн бұрын

    wafanyakaz wanalia kuliko sisi watoto wa marehemu hahahahahahahahaa

  • @st.jamese.r6941
    @st.jamese.r69419 күн бұрын

    Ila Masanja, eti mwakeye 😂😂😂

  • @Chekesha

    @Chekesha

    9 күн бұрын

    chat.whatsapp.com/IosOSDc5aBPDyEwCoBpKvR

  • @MohammedAlly-hp8fg
    @MohammedAlly-hp8fg8 күн бұрын

    zawad tulia bas mtoto wa magomen mapipa

  • @apostlejacksonkalinga5191
    @apostlejacksonkalinga51918 күн бұрын

    HR alipe nauli.

  • @shaibinhojr3209
    @shaibinhojr32098 күн бұрын

    Eti kama hawajatoa hela hawaliiii 😂😂😂

  • @user-fi4si2gv5d
    @user-fi4si2gv5d9 күн бұрын

    Tunatishana

  • @user-wv2gf9tx5m
    @user-wv2gf9tx5m7 күн бұрын

    bonge ana waharibia bado hawezi

  • @Jrhythms.
    @Jrhythms.9 күн бұрын

    Hiko alichoongea sio kiingereza kabisa 😂

  • @Chekesha

    @Chekesha

    9 күн бұрын

    chat.whatsapp.com/IosOSDc5aBPDyEwCoBpKvR

  • @raphaelmwamakimbula9642
    @raphaelmwamakimbula96429 күн бұрын

    😅

  • @Yanarichbiz
    @Yanarichbiz4 күн бұрын

    Bonge anajua kuigiza kwa taharifa yenu

  • @williamchenjelu3838
    @williamchenjelu38386 күн бұрын

    HAMCHEKESHI...😶

  • @numpefikimwaipopo
    @numpefikimwaipopo5 күн бұрын

    Dada bonge

  • @angedizzle1
    @angedizzle19 күн бұрын

    Unamshika Chifu kama msela😂

  • @Chekesha

    @Chekesha

    9 күн бұрын

    chat.whatsapp.com/IosOSDc5aBPDyEwCoBpKvR

  • @Chekesha

    @Chekesha

    9 күн бұрын

    🤣🤣

  • @kiatu
    @kiatu9 күн бұрын

    Hizi tabia za kupeana mikono inabidi zife hapo ni mila lakini ni mila mbaya. Magonjwa jamani

  • @Chekesha

    @Chekesha

    9 күн бұрын

    chat.whatsapp.com/IosOSDc5aBPDyEwCoBpKvR

  • @alfredcharles8029
    @alfredcharles80299 күн бұрын

    😂😂😂eti wanaomba tena 75k ya nauli

  • @Chekesha

    @Chekesha

    9 күн бұрын

    chat.whatsapp.com/IosOSDc5aBPDyEwCoBpKvR

  • @chrismtitu799
    @chrismtitu7999 күн бұрын

    😂😂😂

  • @user-uf7oh5eu4v
    @user-uf7oh5eu4v9 күн бұрын

    Uyo dada Bonge kuigiza bado analopoka lopoka tu aweki uhalisia wa kuigiza ayupo seriously kabisa .mwambieni abadilike huo ni mtazamo wako

  • @Chekesha

    @Chekesha

    9 күн бұрын

    Ndio anajifunza sasa

  • @AliyuHamisi

    @AliyuHamisi

    9 күн бұрын

    Unaweza wewe tukupe kitengo

  • @Brunn-mh2bq

    @Brunn-mh2bq

    9 күн бұрын

    Watu "hawalopoki" wanaropoka. Pili, hatusemi "aweki" bali haweki. Tatu si sahihi kusema "ayupo" sema hayupo. Wala huwezi kusema "hayupo seriously". Sahihi ni hayuko serious. Jifunze kwanza lugha kabla hujaanza kukosoa wenzio.

  • @bhenry12

    @bhenry12

    9 күн бұрын

    Kumbka ni comedy ko Bado hamna alichoharibu....😊

  • @besttrendingcovers1838

    @besttrendingcovers1838

    9 күн бұрын

    umemuona kumbe

  • @hellenrichard187
    @hellenrichard1879 күн бұрын

    😂😂😂😂😂😂

  • @officialsportlab
    @officialsportlab9 күн бұрын

    Ushauri, Scene iwe na watu wachache wakiwa wengi sometimes kupishana kuongea inafanya content haiwi nzuri

  • @berthawilliam8313
    @berthawilliam83137 күн бұрын

    😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @SalmaNinga
    @SalmaNinga8 күн бұрын

    😂😂😂😂

  • @Cheusimedia
    @Cheusimedia9 күн бұрын

    Bonge hajui kuigiza kabisaaa

  • @MariaMaria-gj9or
    @MariaMaria-gj9or8 күн бұрын

    😂😂😂😂😂😂😂

  • @zaburi2386
    @zaburi23868 күн бұрын

    Bonge kaharibu content yote saut inakwaza had sio vzr

  • @zaburi2386
    @zaburi23868 күн бұрын

    Huyo da bonge anaongea kama yupo kweny vikoba pa kunyamaza ili tuelewe concept ya kichekesho yeye anatia neno mpka mtazamaj unajua waz hapa kinachofata ni nn

  • @user-uf7oh5eu4v
    @user-uf7oh5eu4v9 күн бұрын

    Safiiii🎉

  • @user-ux3xu9gs8d
    @user-ux3xu9gs8d3 күн бұрын

    Maluduo ila sio mbaya, tuangalie ambao atuija wai kuiiona

  • @user-zb2mj5nd5g

    @user-zb2mj5nd5g

    2 күн бұрын

    kweli niyamarudio kitmbo

  • @shijashidantugwa
    @shijashidantugwa9 күн бұрын

    KIKAO, AU KAKAO? TUWEKEWAZI HAPO, 👆

  • @Chekesha

    @Chekesha

    9 күн бұрын

    😂😂😂 ni Kikao bwana

  • @JacksonBundi-ix5mo
    @JacksonBundi-ix5mo9 күн бұрын

    Anaongea kama bi tuma wa jua kali

  • @dommycash1
    @dommycash19 күн бұрын

    Huyo dada binge hafai kuigiza ..anaropoka na sauti kali

  • @Chekesha

    @Chekesha

    9 күн бұрын

    Ndo tunawafundisha usiseme hafai.. kila mtu hujifunza kutokana na makosa

  • @user-uf7oh5eu4v

    @user-uf7oh5eu4v

    9 күн бұрын

    Kweli kabisa uyo dada bonge kuigiza Bado kabisa analopoka tu ayupo seriously

  • @st.jamese.r6941

    @st.jamese.r6941

    9 күн бұрын

    Wala hana shida yupo vzr tu

  • @Chekesha

    @Chekesha

    9 күн бұрын

    Asante sana

  • @frankngoloka5416

    @frankngoloka5416

    9 күн бұрын

    Uigizaji kila mtu na kalata yake jinsi alivyoambiwa,watazamaji tuwe wapole

  • @kelvindagine9571
    @kelvindagine95718 күн бұрын

    Hiii wameirudia copy na paste

  • @hanspop6961
    @hanspop69617 күн бұрын

    Wakongwe Kazini

  • @rennydsollo7791
    @rennydsollo77919 күн бұрын

    Laki 9 na nusu business class kwa helaa yaa Mareeehem... Aah Aaah "Kwa Hela Ya Kampuni." 😂😂😂 wsng san mmk

  • @williamchenjelu3838
    @williamchenjelu38386 күн бұрын

    Ze comedy amebaki JOTI TU a.k.a NISHAI

  • @enockezekiel4125
    @enockezekiel41258 күн бұрын

    Dada bonge atusamehe, she's not talented.

  • @lemeboyofficial
    @lemeboyofficial9 күн бұрын

    Mmetisha mnoo uhusika wa mke wa mpoki Kaua mnoo ametiisha mnoo Jamii ina watu kama hawa lakini hatuwaelewi tunawaona kama wanakiherehere

  • @Chekesha

    @Chekesha

    9 күн бұрын

    Umeongea vyema sana

  • @lemeboyofficial

    @lemeboyofficial

    9 күн бұрын

    @@Chekesha pamojaaaa sanaa Ila Ambao hawaijui Sanaa wataona anaropoka wakati huo Ni uhusika wake

  • @adudeswalehe8724

    @adudeswalehe8724

    8 күн бұрын

    Ni kweli kabisa

  • @ntambisamwel4436
    @ntambisamwel44362 күн бұрын

    😅😅😅dah hatr sanaa sema kwel mama bonge anaongea kwa sauti kali inaumiza masikio

  • @KIP_ZEBU
    @KIP_ZEBU8 күн бұрын

    Yani hii comedy unacheka Hadi unakojoa😂😂😂😂

  • @yusuphmwanza4405

    @yusuphmwanza4405

    4 күн бұрын

    Hii comedy mtu anaeweza kucheka adi kukojoa basi uyo atakuwa ana matatizo ya kibofu cha mkojo

  • @veronicakalondji2375
    @veronicakalondji23759 күн бұрын

    😂😂

  • @Jacklinejohn7
    @Jacklinejohn72 күн бұрын

    😂😂😂😂😂😂

  • @user-tw2wv2sc8f
    @user-tw2wv2sc8f8 күн бұрын

    Sister Bonge anajua Comedy ana Mapunguf madg2 kikubwa me nilich ona anaichungulia sn Camera ila Comedy anaiwez

  • @user-ub6oo2tb6n
    @user-ub6oo2tb6n8 күн бұрын

    😂

  • @fathiyahmuzney7367
    @fathiyahmuzney73675 күн бұрын

    😂😂😂😂😂

  • @Legends_Interviews
    @Legends_Interviews9 күн бұрын

    😂😂😂

  • @Chekesha

    @Chekesha

    9 күн бұрын

    chat.whatsapp.com/IosOSDc5aBPDyEwCoBpKvR