"WEWE HUNIJUI VIZURI" RC MAKONDA AMTUMBUWA MTENDAJI HUYU KWA KUMVUNJIYA HESHIMA WAZIRI WA ARDHI

#AdilTV

Пікірлер: 36

  • @mwanamutemi
    @mwanamutemi2 күн бұрын

    Wallahi Makonda, Allah akulinde na akupe ujaasiri huo huo, Huyo mtumishi wa Ardhi na wenzake wote hawafai kuweko ofisini

  • @Chrisblaze-beats
    @Chrisblaze-beats2 күн бұрын

    Viongozi igeni mfano. Tengenezeni legacy sio matumbo yenu. ❤

  • @shadrackkirwa677
    @shadrackkirwa6772 күн бұрын

    ❤❤❤❤❤❤❤❤napenda hizo clinic za kero

  • @lovenessfracis
    @lovenessfracis2 күн бұрын

    Yaani makonda nampenda anavyotatua kero na kusaidia wanyonge walahi namfagilia sana mpk mme ameshanipa taraka kwa sababu namsifia makonda et😢😢

  • @aronmtui597
    @aronmtui5972 күн бұрын

    Mungu anawaona

  • @agnesspaul1866
    @agnesspaul18662 күн бұрын

    Safi Makonda ubarikiwe

  • @salumhassan4083
    @salumhassan4083Күн бұрын

    Makonda nakukubali aise upo vzr nipo singida ikungi hapa

  • @Chrisblaze-beats
    @Chrisblaze-beats2 күн бұрын

    Hao arusha jiji hawafai wOte,kuna vidada viko hapo ni vya kusafisha vyote. Vinapenda rushwa sana. Ukitaka kujenga utajuta.

  • @awadhsalim2680
    @awadhsalim26802 күн бұрын

    Safi kabisa kiongozi makonda. Yaani natamani ata uniajiri niwe mlinzi wako jinsi ulivo mkarimu mtenda haki. Ukibahatika kuisoma sms hii nitafurahi sana. Nakuombea kwa mungu akupe msimamo huo huo w kutetea haki.

  • @ulomirabiel6980
    @ulomirabiel69806 сағат бұрын

    Nasikitika sana wanasiasa wanadhani haki inapatikana kwa vitisho

  • @MashakaMagesa
    @MashakaMagesaКүн бұрын

    Nchi yetu inahitaji viongozi kama Hawa wenye maamuzi siyo nitafatilia

  • @jacobontobi1883
    @jacobontobi18832 күн бұрын

    Mungu awe pamoja nawe makonda najua mingu ipo cku atakupandisha pakubwa zaidi Ili usaidie wanainchi na tunaisubilia hiyo siku kwa hamu

  • @elizabethmboya3925

    @elizabethmboya3925

    2 күн бұрын

    Amina

  • @PauloAlfayo-qi1gn
    @PauloAlfayo-qi1gn2 күн бұрын

    Amemdharau waziri

  • @aronmtui597
    @aronmtui5972 күн бұрын

    Mara mwaka jana hukumu mara siku 14 mnanichanganya

  • @johnluvanda190
    @johnluvanda1902 күн бұрын

    Hawa ni wale waliopewa kazi kwa kujuana … tabularasa

  • @SayyidAhmadBaalawy
    @SayyidAhmadBaalawyКүн бұрын

    Unamchezea Makonda Kwneye Kiwanja Chake Wewe. ..... Hiyo Shule Uliosoma Mwalimu mkuu alikua makonda mwenyewe utakula spana hapo ushangae.😅😅😅😅

  • @ramlaaly5314
    @ramlaaly53142 күн бұрын

    kwan walio yaunda hayo yote ninan sio haohao

  • @husseinkarim7663
    @husseinkarim76632 күн бұрын

    Afisa ardhi amekula pesa, ndio tabia zao, wanawadhulumu wananchi na kukuza migogoro.

  • @Barakatesha-qc9om
    @Barakatesha-qc9om2 күн бұрын

    Wanapenda rushes hawa

  • @user-fd4lw7xo7i
    @user-fd4lw7xo7iКүн бұрын

  • @demicratia4071
    @demicratia40712 күн бұрын

    Makonda "kamatakamata" by dat

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641Күн бұрын

    Viongozi kama hawa hawafai katika nchi huo ni Udikteta Magufuli alikuwa akifanya hivyo, nchi ons sheria au ndo sheria haifuatwi.

  • @barakakevela245
    @barakakevela2452 күн бұрын

    MWAMBA UKO VIZURI

  • @valenakomba7686
    @valenakomba76862 күн бұрын

    HUYO NI MBABAISHAJI TUU.

  • @IDDYHussein-fe7dn
    @IDDYHussein-fe7dn2 күн бұрын

    Makonda kama ...mazinge😂😂😂

  • @valenakomba7686
    @valenakomba76862 күн бұрын

    NA MUNGU TAYARI AMECHOSHWA NA MATENDO YETU MAOVU, AMESHAANZA KUAZIBU.

  • @kilogreekachananawatuwasio4054
    @kilogreekachananawatuwasio40542 күн бұрын

    Atamimi nimesikia kunazuio 😂😂Uchawi wao Umekwisha nguvu piga supana wapumbavu wakubwa 😂😂😂

  • @adoniemanuel908
    @adoniemanuel9082 күн бұрын

    watanzania bado mna danganywa huyo yuko kwenye denge hilo hilo la wanyanganyi wa ccm tusipo simama kama kenyaa mtaburuzwa mpaka mwisho wadunia badilikeni huyo amaskiza kero ambazo wanao fanya huo ujinga niwatu waserekaki yenu potezeni mudaa kusikiliza propaganga

  • @veronicabenjamin304

    @veronicabenjamin304

    2 күн бұрын

    Wewe nenda Kenya sijui unanielewa??

  • @JimmyCosmas-cl2kh

    @JimmyCosmas-cl2kh

    Күн бұрын

    Nenda kenya huku hakukufai

  • @demicratia4071
    @demicratia40712 күн бұрын

    Amekaa kimya na mhahara anapewa kwa nini walipwe na kazi hazifanyikii

  • @aronmtui597
    @aronmtui5972 күн бұрын

    Mara mwaka jana hukumu mara siku 14 mnanichanganya

Келесі