Profesa Janabi afunguka idadi ya watu wanaosafisha figo kwa siku, 'jikinge na magonjwa'

Mkurugenzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Profesa Mohammed Janabi amesema watu 130 hadi 150 husafisha figo kwa siku katika hospitali zote za Muhimbili Upanga pamoja na Mloganzila.
Akizungumza na waandishi wa habari leo Ijumaa Juni 30, 2023 hospitalini hapo Profesa Janabi amesema hospitali ya Muhimbili Upanga wanasafisha watu 110 hadi 120 kwa siku huku Mloganzila wakiwa na idadi ya 20 hadi 30.

Пікірлер: 5

  • @neema_mollel
    @neema_mollel Жыл бұрын

    😢😢😢😢😢daah ni uwe na iyo hela Sasa ,Mungu tuhurumie japo tunaridhika na maisha ya chini ya amani pia utuondolee haya maradhi ya misri ambayo kiukweli hatutaweza kitu .

  • @princekagame8203
    @princekagame8203 Жыл бұрын

    Dkt anaongea kwa uchungu sana namshukr sana nitafanyia kazi jambo hilo🙏🙏

  • @ramadhanimtetu3656
    @ramadhanimtetu3656 Жыл бұрын

    Hapo uliposema dawa zinasaidia kukinga Mpaka NGUVU za kiume daah Hiyo ipo sawa Daktari

  • @merygodfrey3709
    @merygodfrey37099 ай бұрын

    Mbali na gharama za matibabu hata wenye NHIF Bima kuna dawa nyingi zimeondolewa. Mbona hilii hamliongelei?

  • @fatmakhanii1676

    @fatmakhanii1676

    7 ай бұрын

    Wala hawatojaribu

Келесі