PROF. KABUDI AIELEZA UN KILICHOFANYA RAIS MAGUFULI ASIHUDHURIE MKUTANO HUO

Пікірлер: 56

  • @frankmagati3487
    @frankmagati34874 жыл бұрын

    Ambaoo tunaelewa gongaa likee

  • @obonyojraorotz2594

    @obonyojraorotz2594

    4 жыл бұрын

    Hatarii sana palamagamba

  • @noelgasto7989
    @noelgasto79894 жыл бұрын

    Kiingereza cha kawaida jamn hadi me nimeelewa asante Mungu

  • @jp1780

    @jp1780

    4 жыл бұрын

    Samaani brother usitamani kuongea izo lugha dha kikoloni wa africa inabidi tubadilike tuwe proud of who we are tumepende lugha zetu president wa Ukraine, Morocco, Australia nawengine wote walikuwa natumia luga ZA na sio kingereza ila maraisi wote wa africa walipokuwa natoa speech walikuwa wakitumia luga ZA kikoloni kingereza ama French natomana hata African leaders walipo hanza kutoa speeches watuwote walienda outside hawakutaka kuwasikilidha inakuonyesha kama huujieshim akuna mtu yeyote atakaye kueshim

  • @noelgasto7989

    @noelgasto7989

    4 жыл бұрын

    @@jp1780 okay ni kweli tupende vilivyo vyetu

  • @jp1780

    @jp1780

    4 жыл бұрын

    @@noelgasto7989 ansante man final somebody understand where I'm coming from wengi wanaonekana hawajuwi nachokiongea again africa iko na all the resources yote that the world need wazungu inabidi wawe na heshma wanapohongea na sisi

  • @jeremiahmjinja741

    @jeremiahmjinja741

    4 жыл бұрын

    ahahahah

  • @abuuazhar3738
    @abuuazhar37384 жыл бұрын

    Magufuli aliona mbali Sana kumchagua Prof. Kabudi kuwa minister of FA

  • @tuombedamian1168

    @tuombedamian1168

    4 жыл бұрын

    Let the external world be aware of the sustainability of our national development in all aspects of social, political, economic and natural aspects through the leadership comrade John pombe magufuli

  • @majaliwachamphene6976
    @majaliwachamphene69764 жыл бұрын

    Nimependa sana speech yake. Kwa kueleza nini Tanzania inafanya, wapi tunaelekea na nini tunataka kama Nchi na Afrika kwa ujumla kutoka nchi zingine za Umoja wa Mataifa. Really impressing speech hata speech ya Trump ikasome kwanza hahaha

  • @jp1780

    @jp1780

    4 жыл бұрын

    ila chakushangaza viti vilikuwa empty wazungu wote walienda outside when the African presidents were starting giving speeches acheni kupote pesa kwendaga kwenye hizo meetings wazungu wapuuzi sana😡😡

  • @majaliwachamphene6976
    @majaliwachamphene69764 жыл бұрын

    Keep it up....Hon. Minister of foreign affairs

  • @josephatjordan2150
    @josephatjordan21504 жыл бұрын

    Shuka ngeli mzee baba...wataelewa tu kua magu yuko busy na tz yake

  • @sylvestercharles3585
    @sylvestercharles35854 жыл бұрын

    Ambao wanajifanya wanaelewa kumbe hawelewi kama mimi tujuane mapema!

  • @djsamyofficial5452
    @djsamyofficial54524 жыл бұрын

    Like zene wadauuuuuuuu

  • @ashashabani9178
    @ashashabani91784 жыл бұрын

    Prof..kabudi

  • @hassanhemed4836
    @hassanhemed48364 жыл бұрын

    Najivunia kuzaliwa Tz, Hongera mh Rais

  • @sylvestrengwelu2012
    @sylvestrengwelu20124 жыл бұрын

    Asante, JPM kwa kutuchagulia wasomi kushika madaraka ,Kongore mh.prof.Kabudi,Mungu akulinde daima na milele:

  • @edwinmanyory2694
    @edwinmanyory26944 жыл бұрын

    President Magufuli ana akili sana.... dah safi sana Mh. Rais wetu wa Tz kwa maamuzi mazuri wasikuzoee hao UN.

  • @sadickmtenge8373
    @sadickmtenge83734 жыл бұрын

    Prof. Mungu amekujalia elimu yenye manufaa kwa uma asante Mungu kwa uteuzi wako

  • @juliusbisendo694
    @juliusbisendo6944 жыл бұрын

    Tulikuwa tumechelewa, sasa tutafika salama, Big up president of PRT

  • @abdallahjamaly6970
    @abdallahjamaly69704 жыл бұрын

    🙌🙌🙌👏👏👏👏

  • @charlesmakuri792
    @charlesmakuri7924 жыл бұрын

    Wale wakina lissu ,wao wanatwambia tuandamane,tuweke mikutano,watu wanafanya kazi

  • @majaliwachamphene6976

    @majaliwachamphene6976

    4 жыл бұрын

    Charles Makuri Hahhaha, uko sahihi. Ukimsikiliza Trump kwenye speech yake amesema *If you love peace love your country* sasa hawa wenzetu sijui wanataka nini nchi iwafanyie....watu tunashangilia umeme, zahanati, reli, bandari, uwajibikaji kazini na mengine wengine wanalia na madaraka

  • @ramadhanluhweja1860
    @ramadhanluhweja18604 жыл бұрын

    Jpm juuuuuuu

  • @ikulunimahalipatakatifu7642
    @ikulunimahalipatakatifu76424 жыл бұрын

    Asante sana professor, unatuwakirisha vizuri hapa Kazi tu.

  • @alexmugume4351
    @alexmugume43513 жыл бұрын

    Prof You deserve to be a president ,your speeches are full of wisdom and clear

  • @ismailmajala2802
    @ismailmajala28024 жыл бұрын

    👏👏👏💡🙏 Wale waliokuwa wakisikia Mr president tu gonga like hapa 😁😁😁👐🏾

  • @esabelfadhili8432
    @esabelfadhili84324 жыл бұрын

    👏👏👏!Appriciation

  • @michaelmrosso2106
    @michaelmrosso21064 жыл бұрын

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @deustutu1162
    @deustutu11624 жыл бұрын

    kila mtu ana nafas yake na umuhimu wake ktk taifa

  • @jameskiki3495
    @jameskiki34954 жыл бұрын

    Prof. Kabudi chapa tu kazi Mze wangu

  • @happykipeya8516
    @happykipeya85164 жыл бұрын

    Huyu baba nampenda san 😍

  • @israelthomas8621
    @israelthomas86214 жыл бұрын

    Jemedari wetu Kabudi appreciate this Guy

  • @sundayjoel8092
    @sundayjoel80924 жыл бұрын

    HONGERA WAZIRI KUBUDI UMETWAKILISHA VYEMA SANA UN, UKO VIZURI BABA, TANZANIA TUNAWEZA

  • @robertterry8909
    @robertterry89094 жыл бұрын

    nchi yangu naipenda sasa tuna viongozi

  • @pujimontanapachino4958
    @pujimontanapachino49584 жыл бұрын

    Sielewi vizuri English lakini namuelewa vizuri Professor Kabudi, chengine nimeelewa wazungu wanatudharau sana Africa cz awajapenda atakutuskiliza b4 wazungu kuutubia ukumbi ulikua umejaa y? Kiingia waafrica ukumbuni viti vimekua vyeupe nampenda sana Mr president Magufuli kuwapa mtaa cz kabudi yupo atatuwakilisha vizuri watanzania.

  • @davidelijahlaiser4064
    @davidelijahlaiser40644 жыл бұрын

    Tutaelewana tu!

  • @davidelijahlaiser4064

    @davidelijahlaiser4064

    4 жыл бұрын

    Ukweli utaendelea kuwauma!

  • @gloriousn6425
    @gloriousn64254 жыл бұрын

    Bora tu Magu hakuenda kwenye huu upuuzi Yaani wazungu wameiweka afrika mkononi na wahana mpango wa kuiachia any time soon. Wakati Trump anahitubia the whole place was full , walipoanza kuhutibia waafrika viti vyeupeeew, yaani dharau ya hali ya juu. It’s high time Ngozi nyeusi tujitambue, wangepatikana marais watano kama Magu, labda wangestuka maana waliopo wooote Na puppets 😩😩😩🙌🏼

  • @dadysamsungalaxt8289
    @dadysamsungalaxt82894 жыл бұрын

    Ujembe kwa wasaka tonge kupitia siasa wakati umefika kwa Waafrika tujitambue tunahitaji maendeleo na sio siasa sasa ukipata nafasi nyengine wajulishe hatuhitaji misaada yao kwa masharaiti yao tena. Sasa wa Tanzania ni huru .

  • @kelvinpeter95
    @kelvinpeter954 жыл бұрын

    Alisoma sana na kukalili hyo speech uamin usiamin.. Ongera lakin

  • @kibojewee2710

    @kibojewee2710

    4 жыл бұрын

    "Kukariri" sio kukalili???!!!

  • @matthewben2146

    @matthewben2146

    4 жыл бұрын

    @@kibojewee2710 nice 🤣🤣🤣🤣

  • @modudaniel5149

    @modudaniel5149

    4 жыл бұрын

    Kelvin unakwama wapi mzee😂

  • @niconissilu8871

    @niconissilu8871

    4 жыл бұрын

    hakuna tatizo ,msomi unatakiwa kusoma sana kitu unachoenda kuwasilisha mbele za watu,,,hio ndio maana ya kuitwa msomi,,we huwez kwenda hujajiandaa mbele za watu,,,hata trump mwenyewe kafanya hivo

  • @jp1780
    @jp17804 жыл бұрын

    Yani wa africa tuna shida kweli! kwenye comments zote hapa akunamtu anayeongelea yaliotokeya kwenye hii meetings kipindi African leaders walipoanza ku give speeches wazungu wote walitoka outside hawakutaka kuwasikilidha our leaders naiyo kwenye stage hiyo it's so disrespectful!😡 Pili all Africans leaders walipokuwa wanatowa speeches walikuwa wakitumia lugha ZA kikoloni French na kingereza ila ukiangalia president wa Ukraine, Poland, Germany, France nawengine wote walikuwa wakitumia lugha ZAo nasio lugha ZA kiukoloni naiyo inakwonyesha bado africa tungaliki mbali sana kwenye ulimwengu huu kama ujieshem na kama hueshim culture yako nobody is going to respect you Africans we got to get that in our heads be proud of who you are and be proud of you language!

  • @albert-kkitwenga4889

    @albert-kkitwenga4889

    4 жыл бұрын

    Please be advised that, to speak 'English' does not, in any way, translate into subscribing to colonization. It does not mean that speakers do not value their vernacular and mother tongues. If English, French or any other second language learnt by Africans were still considered as 'colonial languages', then, we would not be having dialects. Presence of 'dialects' stands to prove that Africans have taken full ownership of their second languages to accommodate their supposed contexts. We are not speaking the 'latter' at the cost of the 'former'. Our mother tongues and vernacular languages will still hold their revered status in our African societies. Moreover, scientists attribute enhanced functionality of cerebral neurology to multilingualism. The problem is we live in a society in which politicians have for so long been politicizing this whole concept that our second languages do perpetrate colonialism. I would advise you to strip off the fats of such rhetoric. More importantly, do no subscribe to 'cynicism' for cynics are close minded. However, you may want to subscribe to scepticism for skeptics are open minded. Furthermore, skepticism allows all of us to forge our way to truth, and the thing about truth is that it is never afraid of questions for it embraces them all with warm heartedness. I rest my case!

  • @jp1780

    @jp1780

    4 жыл бұрын

    @@albert-kkitwenga4889 stop trolling u dickhead it seem like it's not a big deal to u an thats what has been a problem with africans u dont take most of the things serious while others do! This news an photos have been trending all over the european media showing how europeans leaders are so disrespectful toward Africans leaders you giving up a speech an have 20 people going outside they dont wanna listen to u and you don't see that a problem? That's shows they have no fucking respect for u and that's cus u are allowing that shit😡 get that into ur head stop going to those meeting stop using they language use ur own dawn language be proud of who u are u have been brainwashed for long with them and you are scared to speaking up the truth or maybe u just dont understand how the world works? Languages are something thats so powerful is this world l, to free ur self from the slave mindsets u have to start with simple things u will never see any other countries speaking this colonialism language on meetings like this watch the Chinese, Russian, france and germany Presidents u will never see them trying to speak English or french and that don't tell u anything? and if not then u are lost! An have no time to try to explain anything else to u #Stop bending over to this white people Africans do not Owen them nothing they own us reparation for slavery and colonialism africa have all kind resources that the world need white people should the ones bending over for us!😡😡

  • @ernestmtuya7941

    @ernestmtuya7941

    4 жыл бұрын

    Tumetekwa na ukoloni mambo leo hata wewe bado umeendelea kutumia lugha hizo hizo za ma bwenyenye weupe.

  • @albert-kkitwenga4889

    @albert-kkitwenga4889

    4 жыл бұрын

    @@jp1780 1) it takes a dickhead to know a dickhead. So, hi dickhead! 2) It seems like you totally missed my point. 3) As a piece of advice: Take an Oxford English dictionary and check out one word after another to fully grasp the meaning of what I have written. That would be a definitive move to ward off your stone-hard-mental-rigidity. 4) if none of that would work, please be advised to sip on a glassful of cold apple cider or cold water probably, take a 3 hour span deep sleep and then repeat procedure no. 3 5) jeez! Only if closed minds would come would with closed mouths, uuuurrgh!

  • @emmanueljuvieh4316
    @emmanueljuvieh43164 жыл бұрын

    Ihate this kama kuna watu mmefuatilia huu mkutano. Soon as Africans leaders na representatives walipanda kutoa speech zao many whites left the room. No one cares about africa..😢😢😢😢😢😢😢

  • @gloriousn6425

    @gloriousn6425

    4 жыл бұрын

    emmanuel juvieh thank you,kumbe na wewe uliona. Na utatukuta bado tunawachekea ngozi nyeupe Apparently, African leaders are brain washed to an extent that HAWAONI HAYO ETI 😏

  • @bazlsamyo954

    @bazlsamyo954

    4 жыл бұрын

    Ningekuwa mimi nisingesoma mpaka wote warudi kama tulivyowasikiza wao. Kila mkutano una miongozo labda kama uko biased.

  • @jameskiki3495

    @jameskiki3495

    4 жыл бұрын

    Shida wanajua tu mwisho wa siku tutawaomba pesa

  • @johnvenus7507
    @johnvenus75074 жыл бұрын

    Kiingereza kama kiswahili hahaha fake English

Келесі