PLAY BOY ❤ | New Bongo Movie |Swahili Movie | Love Story

PLAY BOY | New Bongo movies | Sasa Inapatikana KZread Enjoy ❤️🙌
• PLAY BOY ❤ | New Bongo...

Пікірлер: 413

  • @tiffahbby3697
    @tiffahbby369710 ай бұрын

    Kelvin na group yako amjaniangusha kwa movie zote mko wakali mtu akikosa kulike ni mchawi tu na mungu amshinde❤❤❤

  • @rizmwMwriz-mf2cu

    @rizmwMwriz-mf2cu

    7 ай бұрын

    Kabsaaaa tunawapenda mno

  • @SwaumMsangi

    @SwaumMsangi

    4 ай бұрын

    Unajuwa jaman

  • @Q1Erm-ji6ch
    @Q1Erm-ji6ch6 ай бұрын

    Ila kelvin akiwa na lovness na injoy sana hususan wakiigiza kama wapenz❤❤❤😂

  • @vanessaemanuel849

    @vanessaemanuel849

    6 ай бұрын

    Hata mm kwakwel

  • @luisojr3480

    @luisojr3480

    4 ай бұрын

    Inawezekana ikawa ni couple hiii huwezi jua wanaendana sana

  • @salhashaban9346

    @salhashaban9346

    2 ай бұрын

    Kabixa wanapndzana xana❤

  • @NkorerimanaAugustin-vg8so

    @NkorerimanaAugustin-vg8so

    Ай бұрын

    Wee ukobkama mim jwel lavines wanapendezana

  • @user-qq6mv6vh3e

    @user-qq6mv6vh3e

    7 күн бұрын

    Pamoja

  • @niyonkuruconsolee7820
    @niyonkuruconsolee78207 ай бұрын

    Loveness unapendeza sana bila make up👌🏻👌🏻

  • @Tryphonepeter-yh9sz
    @Tryphonepeter-yh9sz6 ай бұрын

    Kelvin pamoja na lovenes nawakubali sana keep it up ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @Khadijahassani-xe8ju
    @Khadijahassani-xe8juАй бұрын

    Kelvin nimzuli Sana hakuna atakae mkataa mm mwenyewe namtaman

  • @user-ft6qi5sw6y
    @user-ft6qi5sw6y11 ай бұрын

    Kazi nzuri sana nimeipenda anaejua hii nyimbo iliyoingiziwa kwenye igizo hili aniambie ni ya nani na inaitwaje nimeipenda

  • @deulemwangolo
    @deulemwangolo5 ай бұрын

    Big ups Kelvin 🎉🎉🎉❤❤❤much love from Kenya ❤️💕💖❤️💕

  • @RachelThomas-ox3jr
    @RachelThomas-ox3jr9 ай бұрын

    Kelvin na mbinu za kutafta mke mwema sasa sijui apo umepata au vp kaz nzr sana inafundisha kwa jamii ❤

  • @aronpaul2331
    @aronpaul2331 Жыл бұрын

    Kelvin mtoto kuelewa mapigooo semaa basii😅😅😅 rudiaaa tenaaa na shamuuu lingine ❤❤❤❤❤❤

  • @user-oz1bb8gc1c
    @user-oz1bb8gc1c8 ай бұрын

    Kelvin ww nakuaminia tuu, nmejua loveness hataweza kuruka,❤❤

  • @faridahnassoro8025
    @faridahnassoro8025 Жыл бұрын

    Good job 💚💚💚 dat pls baba kijacho part 2😳😳😳😳😳

  • @Dontatv255

    @Dontatv255

    Жыл бұрын

    Kesho mapema

  • @faridahnassoro8025

    @faridahnassoro8025

    Жыл бұрын

    @@Dontatv255 🙏🙏🙏

  • @nasrahassan7346
    @nasrahassan734611 ай бұрын

    kevin yupo vizuri kwa mahaba mashaallah wanaume wachache sana wanao juw kubembeleza mwanamke ❤love kazi nzuri

  • @festovenas502

    @festovenas502

    10 ай бұрын

    🤣🤣🤣🤣 angalia wako asion comment ako

  • @haidhabushiri9558

    @haidhabushiri9558

    10 ай бұрын

    Kuwa makin anaigiza uyo

  • @PasiaJamba
    @PasiaJamba2 ай бұрын

    Brother big-up sana ila picha zenu tamu mnashindwa kuzimalizia mnatuacha kwenye utamu sisi watazamaji wa move zenu

  • @user-if8kp2ex8r
    @user-if8kp2ex8r6 ай бұрын

    Mimi nime mupenda sana kelvin eko na mapenda ya muzuri sana❤❤❤

  • @pilly238
    @pilly238 Жыл бұрын

    Love umejaaliwa jicho adi raha

  • @HappyHappy-uo8hj
    @HappyHappy-uo8hj11 ай бұрын

    Woooow ♥️♥️♥️ God bless you all guys ❤️❤️❤️❤️ I love you kelvin 🫂 unajua kudekeza 👏👏napenda Sana movie zako 🎉🎉 mpaka nasahauu KAZI ya waiguru 😂😂 so much I love you from 🇰🇪 Asante Kwa filam nzuri 🎉🌹🌹♥️💃😂😂

  • @WilliamMlangi

    @WilliamMlangi

    10 ай бұрын

    hongera iko vzr sana ila sijapenda alipoingia bafuni haipendez ata kama alisahau sabuni angejiongeza mwenyewe

  • @user-vs8nm1dp2v
    @user-vs8nm1dp2v3 ай бұрын

    🙏🙏🙏❤❤❤Nawa tazama nikiwa Kenya good job God bless your work my brothers and sisters❤❤❤❤

  • @numpefikimwaipopo
    @numpefikimwaipopo8 ай бұрын

    Love you Kelvin with your team❤🎉

  • @haluwahavla9740
    @haluwahavla97409 ай бұрын

    Waaaau kelvin wajuw kumbeleza aky ❤❤❤ great job ❤❤❤🎉🔥🔥🔥🔥

  • @user-er3cb9mb9m
    @user-er3cb9mb9m3 ай бұрын

    Wow this guy is so great guys like back much love from Kenya😂❤

  • @CharoJohnson
    @CharoJohnson11 ай бұрын

    Nice movie nimependa sana film zako mpka nachanganyikiwa na job ya waiguru keep it up broo love❤❤❤❤❤❤❤

  • @user-nx1uw4jh4b
    @user-nx1uw4jh4b Жыл бұрын

    Filamu tamu sana. Ungeweka part 2 kelvin. Keep up broo good job. So entertaining.❤

  • @Dontatv255

    @Dontatv255

    Жыл бұрын

    Asante sana 🙌

  • @jamillahassan3405
    @jamillahassan3405 Жыл бұрын

    Weeeee❤huyu Kelvin ni moto wa kuotea mbali🤣🤣🤣ujuzi na marifa unayo ya kutosha..keep going bro

  • @Dontatv255

    @Dontatv255

    Жыл бұрын

    Asante sana 🙌 😊

  • @aronpaul2331

    @aronpaul2331

    Жыл бұрын

    😅😅😅😅😅sasa kelvin anatakiwa apewee cheooo chake

  • @user-fq2cy3dn4m
    @user-fq2cy3dn4m7 ай бұрын

    asanteni sana kwa kazi nzuri muifanyayo , pia mwambieni Loveness kuwa nimuigizaji mzuri tena mwenye kipaji cha Hali ya juu , naitwa Alfred maganga from usa California

  • @gastonmkeyegele9225
    @gastonmkeyegele92257 ай бұрын

    Jaman kelvn hii insitwaje❤❤ jamn kaz nzurii

  • @user-nl6lb1qp8d
    @user-nl6lb1qp8d7 ай бұрын

    Hizi kazi zote ni nzuri mumejitahidi sana MUNGU awasaidie kwa kazi zijazo

  • @user-ot1ym4fy5o
    @user-ot1ym4fy5o8 ай бұрын

    Good work brother kelvin mungu akulinde nakaz yako lnshaallah

  • @tumajunior6080
    @tumajunior6080 Жыл бұрын

    Movie nzuri iendelee part 2❤❤❤loveness na kelvin muko talented 👌 👏 💖 😄 ❤ ♥ 👌

  • @Dontatv255

    @Dontatv255

    Жыл бұрын

    Asante sana

  • @mobote-sj3mr

    @mobote-sj3mr

    Жыл бұрын

    Baba unamoyo duuuh kwa mwanamke gan sasa mapoz kibao mijicho mikubwa ka yai

  • @Dontatv255

    @Dontatv255

    Жыл бұрын

    @@mobote-sj3mr jamanii

  • @user-cl7mu8mz6p

    @user-cl7mu8mz6p

    11 ай бұрын

    Wow wooow nmependa sana MUNGU azd kuwasaidia kwakweli

  • @jamillahassan3405
    @jamillahassan3405 Жыл бұрын

    Halafu hiyo nyimbo ni nzuri sana❤ nimetokea kuipenda

  • @Dontatv255

    @Dontatv255

    Жыл бұрын

    Asante sana 🙌

  • @user-ft6qi5sw6y

    @user-ft6qi5sw6y

    11 ай бұрын

    Ni ya nani hii nyimbo na inaitwaje mm mwenyew nimeipenda

  • @user-bt2sg4lh7w
    @user-bt2sg4lh7w Жыл бұрын

    Jamani mko vizuri xna mwatufurahisha hongera ❤❤❤

  • @Dontatv255

    @Dontatv255

    Жыл бұрын

    Asante sana

  • @rosebonareri5634

    @rosebonareri5634

    Ай бұрын

    ​@@Dontatv255mwapendeza sana ❤

  • @user-ji1su1ie5l
    @user-ji1su1ie5l5 ай бұрын

    Kevin uko sawa na team yako big up bro🎉🎉🎉🎉🎉

  • @fredyshemndolwa393
    @fredyshemndolwa3936 ай бұрын

    Nataman love ungekua msanii wa mziki😊

  • @luisojr3480

    @luisojr3480

    4 ай бұрын

    Kanavutia hataree

  • @Petersiame-zz4qf
    @Petersiame-zz4qf6 ай бұрын

    🎉🎉🎉🎉 maua yenu shida inaishia patam

  • @salomemuturi9005
    @salomemuturi9005 Жыл бұрын

    Babude🤣🤣mistari kashusha naye love kaingia na bonge la mahaba waao keep up guys ❤❤

  • @user-xh6tb2oh1q
    @user-xh6tb2oh1q8 күн бұрын

    Ila kelvin na lovenes mfafaa hata kuwa mke na mme maana mwaendana,nawapenda sana❤❤

  • @god444.
    @god444. Жыл бұрын

    Nataman sanaa kukuonaa kunafikaa mbali nataman sanaa kuonaa ndonta tv inafanyaa kaz kubwaa ambazoo zitakutambulishaa kitaifaa na kimataifaa brother fanyaa kaz kubwaa

  • @Dontatv255

    @Dontatv255

    Жыл бұрын

    Sawa asante sana

  • @eustina0
    @eustina0 Жыл бұрын

    Hongera kaka Mungu akubariki

  • @Dontatv255

    @Dontatv255

    Жыл бұрын

    Asante sana

  • @hannan2793
    @hannan27938 ай бұрын

    Musiarubu tumieni lugha ya taifa...kazi nzuri

  • @ErivinusiNdyamkama
    @ErivinusiNdyamkama2 ай бұрын

    Mnatengeneza epixodi Moja Moja mnatocheleweshea uondo

  • @jamalmakame3139
    @jamalmakame31395 ай бұрын

    Daah!! Ww mwamba unajua❤❤❤🎉🎉

  • @petronillamotari1754
    @petronillamotari1754 Жыл бұрын

    Kazi nzuri kelvin akili unayo keep moving forward brooo❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @santinosabugo2114
    @santinosabugo2114 Жыл бұрын

    mwanaume acha aitwe mwanaume mwamba huyu apaaaaaaa

  • @MellisaTeresa-gp6rs
    @MellisaTeresa-gp6rs10 ай бұрын

    Mistari unazi baba,,keep going🎉👏👏

  • @FatimaFatima-bx8ez
    @FatimaFatima-bx8ez4 ай бұрын

    Ama kweli akili ni nyele kila mtu anazake ukijua kuzitumia unafaidi. Loveness ameigia kwenye mtengo mwenyewe bila mvutano❤❤❤nakuaminia klvn😊😊

  • @KasukaNtubanga
    @KasukaNtubanga10 күн бұрын

    Ni mzuri saanaaa jaman huyu dada naomba Kama Kuna mtu ananamba yake anipe nimfatilie tu taratibu nitampta

  • @sitimjhhindimjh2019
    @sitimjhhindimjh201911 ай бұрын

    Am from 🇰🇪🇧🇭 nice work my dear Kelvin and your friends❤❤❤❤🎉

  • @chachagimase6158

    @chachagimase6158

    7 ай бұрын

    Kelvin unajaribu sana lakini huyo dada ni jizi tena hajielewi pia shukrani hana.

  • @user-le9qh6tt3p
    @user-le9qh6tt3p6 ай бұрын

    Nabenda sana❤

  • @user-lo2zq4fy6j
    @user-lo2zq4fy6j5 ай бұрын

    Jmn mpo vzur mnoo, nawapend sana 🥰🥰🥰🥰

  • @KitengeAugustin-cb2sm
    @KitengeAugustin-cb2sm5 ай бұрын

    Kelvin wewe ni mtalam sana congratulations, nina ulizo: iyo movi ya THE GAME OF LOVE kwanini aina seemu ya ine( part 4)?

  • @eduardmollel1026
    @eduardmollel1026 Жыл бұрын

    Nyie niwakali sanaaaa bro 💪💪💪💪💪

  • @Dontatv255

    @Dontatv255

    Жыл бұрын

    Asante sana

  • @user-mb8og7ob1w
    @user-mb8og7ob1w Жыл бұрын

    Kaz nzur bro👏 sema pale bafuni uhalisia umekosekan kidogo mtu anaingiaje bafuni bila kufunga/kuloki mlango ?. All in all upewe maua yako

  • @Dontatv255

    @Dontatv255

    Жыл бұрын

    Asante sana 🙌

  • @user-pz6zw3jr9c
    @user-pz6zw3jr9c3 ай бұрын

    Kelvin una maneno mazurii ya kimahaba ❤❤❤❤

  • @user-qr9rp3wc6m
    @user-qr9rp3wc6m3 күн бұрын

    Loveness hiyo macho inaogopesha ak. Anyway your so cute without make up

  • @naomikisaba5785
    @naomikisaba57856 күн бұрын

    Sema Kelvin ni handsome naombeni namba yakee😊😅😅

  • @user-wx5tb6bz3x
    @user-wx5tb6bz3x8 ай бұрын

    Nimekukubali sana kelvin

  • @euniceriziki4619
    @euniceriziki461910 ай бұрын

    Aki Kelvin you are a vibe 😍😍😍 good job

  • @user-sp5zj8nk9i
    @user-sp5zj8nk9iАй бұрын

    Loveness kako na maringo na kuslay 😂nimeview ju ya kelvin nawalove❤

  • @maryd1538
    @maryd1538 Жыл бұрын

    Wooow kaz nzur kelvin❤❤❤❤mtanifany nifike tz kwa movie zenu tamu.

  • @Dontatv255

    @Dontatv255

    Жыл бұрын

    Karibu sana my dear 🥰

  • @AmissiLatifah

    @AmissiLatifah

    2 ай бұрын

    Good job my broo

  • @user-ic8mc3bd8l
    @user-ic8mc3bd8l6 ай бұрын

    Good job watu wangu nawapenda saana haki mngu awabariki ❤❤❤❤❤ 30:10 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @BrigitNamarome
    @BrigitNamaromeАй бұрын

    We!! mwanitoa usingizi kelvin na loveness mkiwa kwenye club hey!!! hongera kwa kazi nzuri mwenzenu toka kenya kakosa usingizi ju yenu endelea ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @JosephjelemeahMaisha
    @JosephjelemeahMaisha5 ай бұрын

    Lovenes yupo vzr wazee sio poah uzur anao

  • @fatmaally6228
    @fatmaally6228 Жыл бұрын

    Kelvin nakukubari sana

  • @Dontatv255

    @Dontatv255

    Жыл бұрын

    Asante sana

  • @mbeyungando2181
    @mbeyungando2181 Жыл бұрын

    Kazi nzuri ❤❤

  • @Dontatv255

    @Dontatv255

    Жыл бұрын

    Asante sana

  • @user-xh6tb2oh1q
    @user-xh6tb2oh1q8 күн бұрын

    Kwa kweli kelvin unafaa sana kuigwa na jamii maana wanaume wachache sana wapo kama ww

  • @HakizimanaAbdoulaziz-dp2iq
    @HakizimanaAbdoulaziz-dp2iq5 ай бұрын

    Wllh klvn movie zenu ninazipenda kweli lvns zaid courage bld muendeley kutufulahisha

  • @user-bf8zk2bn7c
    @user-bf8zk2bn7c10 ай бұрын

    Kevin jaman daah! Good job bro❤️❤️

  • @salomemuturi9005
    @salomemuturi9005 Жыл бұрын

    Munatufichia white ball sana ...haya majamboz tunatarjia kwa wingi ..keep up da good job

  • @EstherMuhoza

    @EstherMuhoza

    Жыл бұрын

    B9;myL p I

  • @Dontatv255

    @Dontatv255

    Жыл бұрын

    Asante sana

  • @lilimoswambu9934
    @lilimoswambu993410 ай бұрын

    Kwani hii filimu imeishaje yawa ndo inakuwa tamu na inaisha akh 😅 good Job 😂😂

  • @user-ew9gq4wo7e
    @user-ew9gq4wo7e3 ай бұрын

    Movie Kali broo and your group then loveness she is so cute❤

  • @jamillahassan3405
    @jamillahassan3405 Жыл бұрын

    Waringa kumbe ulikua uje umwite eti baby 🤣🤣🤣🤣aki hii movie imeisha kama sijatarajia ..plz part 2

  • @Dontatv255

    @Dontatv255

    Жыл бұрын

    😂😂😂😍 Sawa

  • @maulidubaya
    @maulidubaya11 ай бұрын

    Kali sana 👊🏾👊🏾👊🏾🙌🏾

  • @AsnathSekamba
    @AsnathSekambaАй бұрын

    Yan mm napenda xan loveness awe na kelvin kwann mxiw wapenz2❤❤❤❤

  • @MaryOuma-lv8xb
    @MaryOuma-lv8xbАй бұрын

    I like lovness bcz she is a very beautiful girl just look at her eyes

  • @user-wl1nc3vq3i
    @user-wl1nc3vq3i3 ай бұрын

    Huyu ni love alienda kwa mganga ohh 😂❤ you people

  • @joan9006
    @joan900611 ай бұрын

    Yaan huyu kelvin ameniingia akilini.......nalala saa tano nkitizama filamu zake ❤❤ 🇰🇪🇰🇪

  • @MellisaTeresa-gp6rs

    @MellisaTeresa-gp6rs

    10 ай бұрын

    😂😂😂🤣🤣

  • @SamuelKashindi
    @SamuelKashindi4 ай бұрын

    Nice movie. I'm Mastersam from DRC...bravo et courage le group

  • @aronpaul2331
    @aronpaul2331 Жыл бұрын

    Kimeumanaaa😂😂😂😂😂loveness ❤❤❤achiaa utamuu

  • @user-qq6mv6vh3e

    @user-qq6mv6vh3e

    7 күн бұрын

    😂😂😂😂

  • @magembetv
    @magembetv Жыл бұрын

    Kaka Kelvin nmeipenda hiyo

  • @Dontatv255

    @Dontatv255

    Жыл бұрын

    Asante sana 🙌

  • @user-qp4ci2ng3t
    @user-qp4ci2ng3t6 ай бұрын

    Kelvin Good job,mnanimbamba xana.tena xana.shikilieni hapo hapo.

  • @JacksonTungaraza
    @JacksonTungaraza2 ай бұрын

    Mungu awape maisha marefu ote jumlaaaaa na grup zimaaa

  • @ashamwanganzi6400
    @ashamwanganzi6400 Жыл бұрын

    🤣🤣🤪maringo yote lovnees ushamubeba mgongon Kelvin

  • @RobertoMwasoposya
    @RobertoMwasoposya17 күн бұрын

    Daah donta tv au plus tv naenjoy San pale kelvin and loveness wanapo kuwa wapenz

  • @god444.
    @god444. Жыл бұрын

    Brother me naamin wew una talented kubwaa sanaa na una camela unaa vifaa piaa sasa kwann usifanyee filam ambayo ni tofaut na izoo unazo fanyaa me naamin wew unawezaa kufanyaa kitu kikubwaa sanaa brother

  • @samniyosabasamuel6255
    @samniyosabasamuel6255 Жыл бұрын

    ❤❤❤❤ your movies but i like lovness so much

  • @user-nq5fi5mz4y
    @user-nq5fi5mz4y9 ай бұрын

    Kaka unakuja kas sana tena sanaa utapasua midia bro kila ukitoacho ni motooooooooo kaka ongela sanaa uko vizuli nipo sambamba naww

  • @aronpaul2331
    @aronpaul2331 Жыл бұрын

    Kelvin hii imeenda 😅😅😅😅😅imeenda ❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂

  • @maryamabdulkader6076
    @maryamabdulkader6076 Жыл бұрын

    Safi sana kaka unafaa kuigwa❤❤❤❤

  • @solangerechol6881
    @solangerechol6881 Жыл бұрын

    Jaman nihatari Kweli 😂😂😂❤❤❤❤

  • @mrishokitutu-bq1pd
    @mrishokitutu-bq1pd Жыл бұрын

    Umetisha sana broo piga kaz

  • @patrickkalahuka6340
    @patrickkalahuka63409 ай бұрын

    Kikikieeeeee Kevin Una nifurahisha kabisa ule lavence akupe mapenzi akupende

  • @halimamohemed950
    @halimamohemed950 Жыл бұрын

    Tamuu xnaa

  • @Dontatv255

    @Dontatv255

    Жыл бұрын

    Asante sana

  • @appsplay4324
    @appsplay4324 Жыл бұрын

    Woooow kazi nzuri sana nilikuw namiss kuwatch movie zenu thanks leo nimewatch much love ❤❤❤from Kenya

  • @Dontatv255

    @Dontatv255

    Жыл бұрын

    Asante sana

  • @Christinatemba-xe8dl

    @Christinatemba-xe8dl

    11 ай бұрын

    Kelvin napenda sana move zako kaka ♥️♥️♥️

  • @user-pv9co6jc6s

    @user-pv9co6jc6s

    9 ай бұрын

    Kelvin kama Tina hakitaki njoo kwangu mm nakupenda sana😂😂😂

  • @josephpaul6741
    @josephpaul6741 Жыл бұрын

    So intuitive work, I appreciate it 💯 👏👏👏👏👏👏 Keep going to the top😂😂

  • @user-ud2kr5im2n

    @user-ud2kr5im2n

    9 ай бұрын

  • @faykesh
    @faykesh9 ай бұрын

    Kelvin kumbe unajua kusimp 😂❤❤...nimependa tuuu

  • @user-mo4mx2xq9e
    @user-mo4mx2xq9e16 күн бұрын

    Jaman Kevin kazi nzur

  • @user-yq9pr3jj4z
    @user-yq9pr3jj4z11 ай бұрын

    Mungu awazdishie kipj chenu wapnz❤❤

  • @dafujiji618
    @dafujiji6186 ай бұрын

    jamaaniii nyieee nalipend ili grp❤❤❤❤❤❤

  • @user-my2bl8mu6s
    @user-my2bl8mu6s7 ай бұрын

    Congratulation Kelvin your movie siko poa zote

  • @swalehmaliq8782
    @swalehmaliq878211 ай бұрын

    Kevin ume tisha good work Broo💯💯

  • @jeaninedusengimana-ho4qh
    @jeaninedusengimana-ho4qh5 ай бұрын

    Nawapenda sana team ya Kelvin love from jaja Burundi

Келесі