THE END OF MY LOVE 💔 | New Bongo Movie |Swahili Movie | Love Story | Sad Story

#bongomovie #swahili #dontatv #mapenzi #peteyaajabu #babakijacho #2023movies #movie #masikini #kijana

Пікірлер: 313

  • @user-vc8yy1qr4n
    @user-vc8yy1qr4n3 ай бұрын

    Wakenya jaman 2gonge like kw kelivin😂😂

  • @user-gx9gd9zc3o
    @user-gx9gd9zc3o7 ай бұрын

    Kenya tuko mwiii kama ubwabwa kelvini tugongee like bwana🎉❤kenya oyeeeee🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @Christine-qq2gy
    @Christine-qq2gy Жыл бұрын

    Aky nimejikuta nikilia nimekumbuka mbali sana 😭 nawapenda sana kazi nzuri jamani 🎉🎉🎉❤❤❤

  • @user-vc8yy1qr4n
    @user-vc8yy1qr4n3 ай бұрын

    Jaman Kelvin Mapes yanaumisa moy❤Lakin musical usiliee😂😂

  • @Ezekiagoban
    @EzekiagobanАй бұрын

    Chukua maua yako kwa kazi nzuri kelvin

  • @janetmbaji5579
    @janetmbaji557911 ай бұрын

    KAZI nzuri sanaa Kaka yangu Kelvin izi move zako ATA zanitoa machozi❤ much love for dear. Mapenzi yanaumiza kabisaa .hongera 👏 Sanaa Kelvin 😢❤

  • @user-wv5um5zc1b
    @user-wv5um5zc1b6 ай бұрын

    I have learnt a lot from this movie😢😢😢i will love my hubby no matter the situation 💖💞 Victoria and Kelvin you are doing it well..

  • @vanerhobi3882
    @vanerhobi3882 Жыл бұрын

    Hve changed my mind bcz of this movie 😢😢😢😢I will love him no matter what cz I already promised him💕🙏God please give me the heart ❤️ of love towards my boyfriend cz real love he has to me is extra ❤️

  • @Dontatv255

    @Dontatv255

    Жыл бұрын

    Perfect 👌

  • @DevotaJohn-id1td
    @DevotaJohn-id1td Жыл бұрын

    Sio Siri Kelvin unanifndisha vitu vingi xn nawapenda sana Mungu awatie nguvu mfike mbali

  • @Dianaf774
    @Dianaf774 Жыл бұрын

    😢😢umenitia huruma hii picha kazi nzuri watching from saudi arabia

  • @zainabkariuki3639
    @zainabkariuki3639 Жыл бұрын

    Kevin jaman usikate tamaa tia bidii viki anakupenda

  • @Dontatv255

    @Dontatv255

    Жыл бұрын

    Sawa 😔

  • @Sayd-pi5lq
    @Sayd-pi5lq Жыл бұрын

    Nime kubali sana hii kaz wadau bg up broo yaan ww kila cku majanga ww pole sanaaa

  • @florencembuli7801
    @florencembuli780111 ай бұрын

    So amazing, siku ntabatika kuolewa na npate watoto, wakiume atakuwa Kelvin, wakike atakuwa Victoria na last born atakuwa matutu. Nawapenda bure ♥️♥️

  • @asiamohd5516

    @asiamohd5516

    11 ай бұрын

    😂😂😂😂😂Ni bora

  • @user-mg4xd9gz2s
    @user-mg4xd9gz2s10 ай бұрын

    Yaan kazi zuri la kini mwanamke kama pesa ukiangusha tu inaokotwa

  • @user-wf1zh1vs1i

    @user-wf1zh1vs1i

    4 ай бұрын

    Kweli kabisae

  • @mikemuly7817
    @mikemuly7817 Жыл бұрын

    Fr the content is super Let's support this talent

  • @Farida-uz3vr
    @Farida-uz3vr Жыл бұрын

    Kevi waambiye wavaye nguwo zakujisitiri mbona vikitoriya anajisitiri vizuri nakujiheshimu nakujuwa yeye nimwanamke washoka heshima kwako vikitoriya nakupenda my kutoka omani

  • @user-gz7vj4vw4g
    @user-gz7vj4vw4g9 ай бұрын

    Jamaniiiiiiii kaka zangu na dada zangu hii sanaaa inafundisha Sanaa kwa vijana ambao wameoa na wasichana ambao wameolewa na kwa vijana ambao hawajaolewa na kuoa wajifunze kupitia hii Sanaa ndugu yangu❤❤❤❤❤.

  • @MagrethMdangu-mk1zt

    @MagrethMdangu-mk1zt

    9 ай бұрын

    Nawaonea sana kiukweli mnakaz nzuri sana

  • @LemayianOyie-is4fp
    @LemayianOyie-is4fp9 ай бұрын

    Waw love this film from prt 1to this one ❤❤❤❤ nmesiangaliah zote👀👀

  • @catherinebunyasi6051
    @catherinebunyasi6051 Жыл бұрын

    Funzo nzuri sana

  • @InezaSuzanaIdem-wr8zw
    @InezaSuzanaIdem-wr8zw Жыл бұрын

    Safi sana kaka Kelvin

  • @henrywiliam6082
    @henrywiliam6082 Жыл бұрын

    Kazi nzr

  • @user-bh9is1gx2q
    @user-bh9is1gx2q9 ай бұрын

    Hongera kaka calvin kwa kaz nzuriii umenifunza hat mmi❤❤

  • @albertsafari8033
    @albertsafari8033 Жыл бұрын

    Wakwanza mimi Bora Kelvin unipe 5 🌟 kuwa shabiki yako sugu from 🇰🇪🇰🇪

  • @salomemuturi9005
    @salomemuturi9005 Жыл бұрын

    MashaaAllah kaxi njema❤❤❤❤

  • @Dontatv255

    @Dontatv255

    Жыл бұрын

    Asante sana 🙌

  • @user-gz7vj4vw4g
    @user-gz7vj4vw4g9 ай бұрын

    Daaaah nimeipenda Sana hii movie Mungu awabariki katika sanaaa hiii .

  • @sophiegedo9338
    @sophiegedo9338Ай бұрын

    Jamani twaombeni muendelezo wa filam y penz la malkia wa majin na binadamu

  • @Elizakilisipinilikolika1996
    @Elizakilisipinilikolika19963 ай бұрын

    Nakupenda sana kelvin na vikitoria mmenifani nimelia sana mana mmenikumbusha mbali sana ❤❤❤🎉🎉

  • @LessaAnderson
    @LessaAnderson10 ай бұрын

    Inaumiza sana usimhukumu mtu kablahujamsikiliza hongelen kaz nzul

  • @Evansochieng-ln1td
    @Evansochieng-ln1tdАй бұрын

    Nawapenda sana endeleeni na kazi yenu from kenya❤❤❤

  • @celestinkenga9212
    @celestinkenga9212 Жыл бұрын

    Wow.mapenzi.kitu.kibaya

  • @Dk_Flavour
    @Dk_Flavour Жыл бұрын

    Wow kelvin Khan umeweka sana kaka hyo

  • @stephenlyanda541
    @stephenlyanda54111 ай бұрын

    Movie nzuri sanaa🎉 Steve ,,,Kenya

  • @user-gm7uf5up3x
    @user-gm7uf5up3x9 ай бұрын

    Munafanya kazi nzuri kweli na pia mnatoa ujumbe ulio njooka kwakwel hongeren

  • @user-gz8wg6hq5d
    @user-gz8wg6hq5d Жыл бұрын

    Wakwanza mimi🇧🇮🇧🇮

  • @Dontatv255

    @Dontatv255

    Жыл бұрын

    Kabisaaa 🙌🌹

  • @RoziDocta-cq6bb

    @RoziDocta-cq6bb

    Жыл бұрын

    Yaan Dunia ndo ilivyo!!!

  • @user-dq7cu2nm8r

    @user-dq7cu2nm8r

    11 ай бұрын

    Iv Kevin Vik ni mkeo kbs au

  • @jajakajaniri5813

    @jajakajaniri5813

    11 ай бұрын

    Ewuna Enjoy ❤️❤️❤️

  • @kadzojamesjameskadzo3950
    @kadzojamesjameskadzo3950 Жыл бұрын

    So much amazing ❤❤❤ nawapenda bure

  • @user-rz8rz4jp9t
    @user-rz8rz4jp9t9 ай бұрын

    😢😢😢 Kweli mapenzi inauma Sana,, Kelvin ongera kwa Kaz yko❤❤❤

  • @immaculatekutto2121
    @immaculatekutto212111 ай бұрын

    Tafadhali vicky Ndoa nkuvumiliana si kutoroka mwenzako kama kuna Makosa ilitokea katika yenu mngekaa chini kisha mwongee yaishe Ddangu, kwa sababu kilicho unganishwa na Mungu binandamu haezi kuitenganisha sio suluhu kuwachana na kutafuta bwana mwingine, hebu Ondoka Onyonyo Uwende hdi kwa mumeo!! Ndoa lazima iheshimiwe pia wwe kp heshimu mke wako na Muishi kwa Amani 🙏🙏Mwenyezi Mungu Awabariki 🕊🕊

  • @user-gx9gd9zc3o
    @user-gx9gd9zc3o7 ай бұрын

    😢😢😢😢😢kelvin tuuu janani kwani ulikanyaga mti gani babaa❤

  • @ilumamyo5464
    @ilumamyo54647 ай бұрын

    Hongereni inafunza na inaelimisha na hata pia inahuzunisha

  • @user-pp3hu2bz1w
    @user-pp3hu2bz1w3 ай бұрын

    Waaaaz bro khan...

  • @EliasYolam
    @EliasYolamАй бұрын

    Nashukulu kwamafundisho mazri🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @user-pz7qx9zn4m
    @user-pz7qx9zn4m8 ай бұрын

    Nawafatilia sana kazinzuri

  • @HappyHappy-uo8hj
    @HappyHappy-uo8hj11 ай бұрын

    Amazing movie 🎥 mapenzi mapenzi jamani 💃💃waaaa mm Sina useme I love you so so much kelvin ♥️♥️♥️♥️ from 🇰🇪🌹🌹🌹i love you all guys ❤️❤️❤️ mm na enjoy sana🎉🎉

  • @evasambila8529

    @evasambila8529

    10 ай бұрын

    Move nzuri mnooo Kelvin mnapendezana na Victoria Love you so much,God bless you,na nimependa zinamafundisho🎉🎉❤❤

  • @user-py4zw2gp6j
    @user-py4zw2gp6j6 ай бұрын

    Jamani mbona mnatufanya hadi tunalia ila kazi zenu nzuri sana hadi raha mno

  • @DolphineBiden
    @DolphineBiden2 ай бұрын

    Nakupenda sana vicky na kelvin

  • @user-lo9lh5iy1c
    @user-lo9lh5iy1c5 ай бұрын

    Kelvin nakupenda jmn kazi nzuri

  • @fatumajumakombaikokombaiko8788
    @fatumajumakombaikokombaiko8788 Жыл бұрын

    Nice uko vzr kelvin napnda cn movie zenu japo imenikmbusha mbli nikiwa na mpnz wngu 😢

  • @JoshuaSilungwe
    @JoshuaSilungwe9 ай бұрын

    good job brother man kelvin, watching you from lusaka Zambia

  • @mariamuMwansenga-lo5qm
    @mariamuMwansenga-lo5qm Жыл бұрын

    Kazi nzuri Sana Kelvin ❤️❤️

  • @dorahenerico7314

    @dorahenerico7314

    10 ай бұрын

    Hongera sana kelvin❤❤ unawafundisha sana watu👍

  • @user-ct3fb4nx4k
    @user-ct3fb4nx4k11 ай бұрын

    Mnanifunza mengi sana hongerani nyote ❤🎉

  • @LillianMwambalu
    @LillianMwambalu9 ай бұрын

    Mungu abariki kz yenu,nimejifunza mengi sana🎉🎉🎉🎉🎉

  • @sylvanjosam3402
    @sylvanjosam3402 Жыл бұрын

    Ongeln kaz nzuri San kelvin ❤❤❤❤

  • @WincateMbura
    @WincateMbura Жыл бұрын

    Vle Kelvin uwanga anareact walah ata mtu anaweza lia cograt bro

  • @everlynekemuma7741
    @everlynekemuma774111 ай бұрын

    Kazi nzuri ongera sana kwa kutuelefuza sie wote 👍👍👍

  • @obedmaile2641
    @obedmaile26419 ай бұрын

    ❤❤❤❤ Kaz zuri kak mungu akulind akupe maish marefu 💞💞💞💞💞🙏🙏🙏🙏🙏

  • @Ezekiagoban
    @EzekiagobanАй бұрын

    ❤❤❤❤❤❤ kazi nzuri sana kelvin

  • @mercyrotich
    @mercyrotich9 ай бұрын

    I love you all... watching from Kenya...Kelvin you came through alot...na mbona sijamwona roughness....kwaheri kelvin

  • @fadhilhamdu7063
    @fadhilhamdu7063 Жыл бұрын

    Brother tafuta wachumba wa kwenda utatisha sanaaaa mzeeeee

  • @faustintwagirayezu5530
    @faustintwagirayezu5530 Жыл бұрын

    Nawapendasana🇧🇮🇰🇪

  • @NancyPeter-ny8jh
    @NancyPeter-ny8jh9 ай бұрын

    Nakukibali Sana Kelvin

  • @felisterfabian5511
    @felisterfabian55119 ай бұрын

    Aiseeee hongera saana kwa kazi nzur👏👏👏👏 unanikumbusha mbali saan n nimejifunza mengi Saana 🥰

  • @FelixOnkundi
    @FelixOnkundi4 ай бұрын

    Hogera Sana bro ❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @appsplay4324
    @appsplay4324 Жыл бұрын

    So amazing much love from Kenya ❤❤❤

  • @lydiamwasonko6403

    @lydiamwasonko6403

    10 ай бұрын

    Wow Kelvin weuwe👏👏

  • @user-rr2nf3ji3w
    @user-rr2nf3ji3w5 ай бұрын

    Big up Mr Kelvin and victoria.mnanifunza mambo mengi sana. Mi mrundi lakini napenda sana movies zenu.

  • @EmanuelysimonHaaly
    @EmanuelysimonHaaly10 ай бұрын

    Hongera sana kelvin kwa kaz nzur kwakweli mapenzi yana umiza sana endelea kutoa elimu kaka

  • @ashamwanganzi6400
    @ashamwanganzi6400 Жыл бұрын

    Ghai Kelvin unatia huruma san walai

  • @user-qo1ml3wy5b
    @user-qo1ml3wy5b10 ай бұрын

    Hongera sana kaka celvin kwa kaz nzuri Mapenz acha kabisa😢❤ daaah celvin ❤ hongera sana

  • @SalomerobyRobert
    @SalomerobyRobert9 ай бұрын

    Nawapenda san

  • @maryd1538
    @maryd1538 Жыл бұрын

    Nawapenda san jamaa zangu❤❤big up

  • @kijanangosek1281
    @kijanangosek12817 ай бұрын

    Haaaah jamani kelvin penda sana movie zenu inatufunza

  • @furahakenga6619
    @furahakenga6619 Жыл бұрын

    Kazi nzur sana kelvin❤❤❤❤❤

  • @user-lo2zq4fy6j
    @user-lo2zq4fy6j5 ай бұрын

    Yaan kelvin upo vzur jmn ni 🔥🔥🔥🔥🔥, mpak nimehuzunika

  • @user-ym6rb3xz1z
    @user-ym6rb3xz1z5 ай бұрын

    ❤🎉 kaz zako nzr lkn naomba wena namba tujue hii namba moja na hii namba mbili kma inaendelea unaweza kufanya ivyo Ili tuzifaham maana mda mungine naangalia ya mbele kabla ya nyuma samahani kma nimewakosea

  • @ProsperLebulu-no1cp
    @ProsperLebulu-no1cp9 ай бұрын

    Imetisha

  • @Cathy223-rm5zx
    @Cathy223-rm5zx8 ай бұрын

    Nzur hyooooo

  • @zawenanadil-vc5kw
    @zawenanadil-vc5kw7 ай бұрын

    Nimejikuta nadodosha machozi hongeleni kwakazi zuri

  • @user-ub3sx8ke4t
    @user-ub3sx8ke4t Жыл бұрын

    Nawapendaga sana❤❤❤

  • @user-ri3zs3zz5w
    @user-ri3zs3zz5w5 ай бұрын

    Napenda,mapingo,yenu

  • @shahidaDjuma-ug3vx
    @shahidaDjuma-ug3vx10 ай бұрын

    😢😢😢mapenz ay jaman mmh tutajiuwa wengi

  • @AlexRichad

    @AlexRichad

    8 ай бұрын

    Tunakula kipunga ukijiua😂😂😂😂😂😂

  • @user-xh1ne3nd5m
    @user-xh1ne3nd5m Жыл бұрын

    Mtoto wa chiff jaman tumemmiss xn wana Donta mtuelewe bs

  • @appsplay4324
    @appsplay4324 Жыл бұрын

    Huo wimbo nimeipenda💃💃💃💃💃

  • @MiriamMaphie
    @MiriamMaphie10 ай бұрын

    Nawapenda San kwa move zenu nzur zinafundisha sana

  • @nadzuwamangale1186
    @nadzuwamangale118611 ай бұрын

    Nzr San wakti mwingine tusikiliz kabla ya kufany uamzi jamn inauma San ❤❤❤❤❤

  • @user-bq9lc7ex5x
    @user-bq9lc7ex5x10 ай бұрын

    Kazi nzr sana kelvin yenue kulizaa

  • @amosndayumubu901
    @amosndayumubu901 Жыл бұрын

    Kazi nzurii sanaaa nakubalii mnoo Kevin umeipatiaaa hyoo

  • @user-cu9kz7ph4j
    @user-cu9kz7ph4j9 ай бұрын

    Akh nmeipenda sana hii movie yahelimisha sana

  • @aminah9557
    @aminah9557 Жыл бұрын

    Nani aliimba hii nyimbo kelvin naihitaji much love from saudi Arabia

  • @user-up2zb5rz9v
    @user-up2zb5rz9v10 ай бұрын

    Nimewapenda kelvn na Victoria natam kila siku movie zenu

  • @ZephaniaPetro-rr5tq
    @ZephaniaPetro-rr5tq9 ай бұрын

    Hogera xan vk ❤Wana wake nikujililida nakujifuza pia

  • @user-le6xc6ei5x
    @user-le6xc6ei5x Жыл бұрын

    Acha uongo vic

  • @user-pp3hu2bz1w
    @user-pp3hu2bz1w3 ай бұрын

    Waaaaz bro khan I've learnt something....

  • @user-tv7yx8nt5k
    @user-tv7yx8nt5k6 ай бұрын

    Imeniliza sana hii . Duuh!!

  • @maryatieno7590
    @maryatieno759010 ай бұрын

    Mafundisho poa kabisa,❤❤wimbo ntamu,

  • @patrickkalahuka6340
    @patrickkalahuka634010 ай бұрын

    Pambana wewe tuna kupenda Kevine

  • @NeemaDainess
    @NeemaDainess2 ай бұрын

    Wakwanza nimm🎉🎉

  • @user-no3rv2yw1k
    @user-no3rv2yw1k5 ай бұрын

    I have learnt that one should love the one loves him/her

  • @lilimoswambu9934
    @lilimoswambu993411 ай бұрын

    Nimechikuta Kaa nalia😢😭 watching from 🇸🇦 Saudi Arabia

  • @ntacobazongira4557
    @ntacobazongira4557 Жыл бұрын

    Wow amazing kelvin ❤❤❤❤❤😢😢

  • @stevenolwombo9519
    @stevenolwombo9519 Жыл бұрын

    Mimi nikiwa Kenya 🇰🇪 nawashukuru sana kwamafunzo yenu nzuri sana

  • @lavenderkeith449
    @lavenderkeith4499 ай бұрын

    Safi sana🎉🎉

  • @lavenderkeith449

    @lavenderkeith449

    9 ай бұрын

    Many loves from kenya 🇰🇪

Келесі