MTEGO ❤️ | New Bongo Movie |Swahili Movie | Love Story | Starring Kelvin khan
#bongomovie #swahilimovie #dontatv #mapenzi #peteyaajabu #babakijacho #2023movies #movie #masikini #kijanamasikini #penzilajini #bodabodamalaya
#bongomovie #swahilimovie #dontatv #mapenzi #peteyaajabu #babakijacho #2023movies #movie #masikini #kijanamasikini #penzilajini #bodabodamalaya
Пікірлер: 165
DADAAA umeuvaa uhusika vizur wa mkeee umeongea kwa hisia hadii umenifanya nifike mbalii hakika machoz ya mwanamke yanaumiza hakika b blessed kipaji chako kiende mbali
Kelvin uko juu kakaulipewa nyongeza😂😂😂
Kelvn unapenda sana sambusa ,, ongera kwa kazi zur🤣🤣🥰
Wanaume jaman eti ❤maji yanaganda.kwa tumbo kelivin wewe
Donta tv mnaupiga mwingii✌✌ big up kwenu
Aaaa aaaaaaaa kaka kev umetisha nakubal brother
Movie nzur sana aiseehongera san khan❤❤
natokea Congo,nawapenda sana endeleyi kwa usawa
Kelvin na sambusa za nyama weee 😂😂😂😂😂😂
Yaani nampenda da Vicky sana 💝💝💝❤️❤️
jaman nawapenda nyote kwa movie zenu
😂😂😂😂😂kelvini waovyo sana ww
Halafu kwenye movie zenu mujariju kuweka wembee ndani nahisi nimemu miss tu sana😋🤣🤣🤣🤣
@vionathomas1686
Жыл бұрын
😂😂
@uytfjhii2138
Жыл бұрын
Hta mm
dah kaka kelvin unajua kuwakusanya wanawake kweli
hhhhh Kelvin sambusa😂😂Hongera sanaaa
Nawapendwa sana ongereni❤❤❤❤❤
❤❤ Kelvin na victoria nawapenda sanaa good job watching from Kenya
Kelvin baba shangazi ww wapenda kumliza shangazi😢😅😅😅😅❤more love from kenya 254❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Hakika mwanamke akikuambia anakupenda,apenda kwa moyo ❤wake wote.Lakini mwanaume akikuambia anakupenda,ni mdomo tu!Halisia ndivyo wanaume walivyo.
@SayuMosses
11 ай бұрын
Wewe wanaume wote hawapo ivyo wengn tunamapenzi ya kweri bana 1
Hongera Dada Vicky
😂😂😂😂😂 Kevin na sambusa I love u guys pliz nitag baba kijacho episode 6 pliz
Hongera kazi nzuriiii
Kelvin apo single 😂😂😂😂😂😂😂 akili mbavu zangu zinauma 😂😂😂😂😂😂 waaaa kelvin i love you so so much ♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️ Victoria hongereni Sana kwakua bibi na bwana 😂😂😂😂😂😂 kelvin Victoria atamwaga damu ya mtu ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️ nawapenda nyote 😂😂😂😂 kumbe kelvin kapoaa kwa Victoria 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 i love you guys 🌹🌹🌹🌹🌹 from 🇰🇪😂😂🎉🎉🎉🎉🎉
Chaineza hongera sana
nakukubali brother
Kelvin sambusa imeingia mchanga Leo 😂😂
Ety 😅 nyogeza!!!!! Mara fridge weee kelvin umezidi good job guy namwaminia👍
Jamani Kelvin khan😂😂😂😂😂 yaani nimecheka mpaka nikazimiwa WiFi
😊😊😊😊😂😂😂😂Kelvin muogope mungu😅😅
kusema kweli kelvin umecheza vibaya sana yaan duuh sio cini yako bwana wewe ni mwalimu wa mapenzi
Hahahaeeeeee kelvin umenifurahisha sana et vip kuhusu mipango yetu ya sambusaa😂😂😂😂😂unapeeee hongeren sana kawa kunifurahisha❤❤❤
Sawa unaitwa kev ndio utumie hilo jina kila move
Jamani mbona hamkutoa baba kijacho episode6 jamani ningependa kujua iliishaje watching from mombasa kenya
Hongera kelven kwakuuvaa uhalisia hujawahi kufel kwenye kazi zenu
Movie nzuri Sana aisee hongera Sana Khan ❤❤❤
@martharichard8204
Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣 Kelvin unapenda sambusa ww
Kelvin na sambusa 😂😂😂😂 wanawependa sana
@noosinoosi6751
11 ай бұрын
😂😂😂 Nawapendasaana hawawajama Eti dadakamushimamisha munguweee kev muongo😂😂😂😂😊
🔥🔥🔥ila wembe yuko wap 😊
Daaaah huyu Kev noma 😂😂😂😂 et mhhhhhh
Mwanamke wa nyongeza walai kelvin 😂😂😂 niko hapa saudi nawapata vizuri zaidi asante kwa kutufurahisha
Akiamungu Kelvin umenichekesha ety nimepewa nyiongeza Ila wanaume
Mhhh,wanaume shikamoni,😂😂😂
Kenya Watching, twapenda
😂😂😂😂nakwama tu Kwa sambusa Aki kevo na sambusa 🤣🤣🤣mnirokotee mathare am watching from 254🇰🇪🇰🇪 wapi likes sa wakenya jamaaaaniiii eish sambusa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Uyu dada kiukweli namkubali mungu ampe wepesi wakipaji kihukweli
Kelvin umetoka shunjaaa
Kelvin umezinguw umexhindw kujtetea😅😅😅😅😅
Yaan huyu kwa sambusa 😂😂 et muangalie vzr ndo utagundua ile ninchembo 😂😂
Aaaaah we dada wewe unanipakazia jaman kev😂😂😂😂😂
Nyongeza haikataliwi 😂😂😂
Nawapenda mno ❤❤❤
N tamu mno mungu awazidishie 🙏❤
Woooow movie nzuri 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
Kelivn hauja nchekesha kama hii move hii😂😂😂😂😂😂😂
s😂, 😂😂😂😂😂 mapenz yanauma jamani
😂😂😂kelvin unapenda sambusa 😆😆😆😆😆🙆na umekosa maskini pia kwangu uchukue 😅😅
Victoria unanikosha sana ,,napenda san kazi zenu
Khan wew
😂😂😂😂hahahah kelvin aty hautoki unataka sambusa wueh
😂😂 kelvin na sabusa😂😂
Kelvin eti ndevu hazijamea vizuri malaika😂😂😂😂😂😂😂😂😂😅😅😅😅
Bro ety sambusa pia nyongeza weeeh
Kelvin movie zako nzuri sana
Umeongea point ☝️ mkee wa kelvin
I'm comment ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Leo Kelvin kanichekesha kwl mke wake nijini mahaba
😂😂😂😂😂😂😂 sambusa tamu
Asee mko vizur sana, mzee wa sambusa
🤣🤣🤣🤣🤣 Kelvin unapenda sambusa ww
Mapenzi anawuwa❤❤😂
Kelvin ❤️
😂😂😂Calvin hapa umekosa ujasiri kabsa.. Mwanaume msimamo brother 😅😅😅
Utaambia Nini watu kelvin😂😂😂😂
Utaka yote ukosa yote kelvn 😂😂😂❤❤
@gaf9874
8 ай бұрын
😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤❤❤
😂😂 daaah kelvin jmn wataka surprise ya sambusa
Nakupenda sana dear
😂😂😂sambusa
Good 🔥🔥
Kevin unaharaka na sambusa za nyama
😂😂😂😂 Kelvin nyongezo imekua tamu 😂😂😂😂
Kama umeskia tangazo la sabasaba special like tujuane😂😂
ATI nime gushimamisha sangap😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Movie nzuri sana
Kelvin wamekuweza mara hi utaenda wapi sasa nyumbani kumearubika jaman wanaume mpate adabu
😂😂😂😂😂😂walah mnanifulahisha
Kelvin jamani 😂😂😂
Mimi nampenda kwamba jamaa yupo siliasi na kazi
Mamee shanga miguuni😂😂😂😂😂😂😂
Kazi nzuri sana mungu awabariki ❤❤❤
Kelvin ywataka sambusa😂😂
Tumbo kama frig😂
Mapenzi jamani 😢et tumbo ka fridge akieka shanga inateremka hadi mguuni kumpata anayekupenda kwel n mungu tu
Ila nyie hamumalizi move ile ya dada mfanyakaz wa ndani
Hpo umenimalisa Kevin😂😂😂
Aki hamna kelvim wa kumwamini,,,,ila nawapenda sana
Wow good movie
Kelvn wapenda sambusa zitakudhur
😂😂😂😂😂😂😂Wale Wa kuangalia Na kurud kusoma comment ❤❤
❤️❤️❤️
Sambusa
❤🎉❤