PATANISHO : JOY - HUYU MWANAUME ALIKUA NA UHUSIANO NA COUSIN YANGU

Ойын-сауық

Radio Jambo Kenya | Ongea Usikike | Ni kituo nambari moja Kenya kwa matangazo ya kiswahili. Vipindi vyake vina jumuisha Spoti,Mijadala moto moto na muziki wa Kiafrika
#RadioJamboKenya #gidinaghostasubuhi #patanisho
Subscribe to RadioJambo KZread - bit.ly/39wwc6u
Mitandao ya Kijamii
Instagram - rb.gy/e154d1
Facebook - rb.gy/09d1b9
Twitter - rb.gy/e23220

Пікірлер: 18

  • @user-pn1dp2ee9x
    @user-pn1dp2ee9x7 күн бұрын

    Siku hizi sielewi hii🎉 patanisho,topic ni tofauti na mwenye anaomba radhi

  • @peterwambua9135
    @peterwambua91357 күн бұрын

    Siku hizi mnatuboo akhy

  • @user-li6nc2wx5i
    @user-li6nc2wx5i7 күн бұрын

    Headline na patanisho are two different things, this is marudio

  • @mumbentahthomas9954

    @mumbentahthomas9954

    7 күн бұрын

    Ata nimeshangaa.

  • @marrieann5278
    @marrieann52786 күн бұрын

    Mnatuwastia internet mbona mnarudia patanisho sasa,mnaniboo tu sana

  • @b.3940
    @b.39407 күн бұрын

    Mimi huwacha nachofanya nikisikia ni waluhya wanataka kupatanishwa. Kwanza Wabukusu na Wamaragori. Wana vichekesho.

  • @chegepriscilla5651

    @chegepriscilla5651

    7 күн бұрын

    🙋

  • @mwendapoleee

    @mwendapoleee

    7 күн бұрын

    Tuko area 😂

  • @MargaretAwinja-ls7hx

    @MargaretAwinja-ls7hx

    6 күн бұрын

    Na wanyore kama mm😂😂😂

  • @b.3940

    @b.3940

    6 күн бұрын

    @@MargaretAwinja-ls7hx haiya, sijasikia vichekesho vya Wanyore. Hebu chokoza bwanako ili mletane Patanisho tuonje vichekesho za Wanyore. Na us-initial et down, pigia Gidi na Ghost.

  • @MargaretAwinja-ls7hx

    @MargaretAwinja-ls7hx

    6 күн бұрын

    @@b.3940 😂😂😂next wk on tue/wed tegea ntakua live

  • @chullakoi8803
    @chullakoi88037 күн бұрын

    Repost

  • @VictorKiplagat-wn4mw
    @VictorKiplagat-wn4mw7 күн бұрын

    Radio jambo nowadays mnaboo

  • @user-pn1dp2ee9x

    @user-pn1dp2ee9x

    6 күн бұрын

    Wameshindwa na kazi

  • @janetmwikali6477
    @janetmwikali64777 күн бұрын

    Marudio please rectify

  • @jemimahnafula9457
    @jemimahnafula94576 күн бұрын

    Mnatupanga sisi watu wa KZread why?????Yaan wenye Radio ndio wanafanikiwa but sisi No!!!!!Try make things clear please 🥺🥺🥺

  • @mwendapoleee
    @mwendapoleee7 күн бұрын

    Gen Z wapitie radio jambo bona mnabore 😢😢😢

Келесі