Maximillah Alazimisha Bwanake Warudiane

Tangia tukio la patanisho ambalo lilimhusisha mwanadada Goretti miaka miwili iliyopita, hatujawahi shuhudia patanisho lingine ambalo mwanadada anakiri kuwa na mpango wa kando na kuomba patanisho na bwanake.
Basi ilikuwa zamu yake Maxmillah 29, ambaye aliomba apatanishwe na bwanake Michael, ambaye walikosana mwaka wa 2013 kisha wakatatua shida zao na kurudiana, lakini ndoa yao bado ilijawa na tatizo chungu nzima kwani wawili hao, hawana amani ndani ya ndoa ya miaka tisa na watoto wawili.
"Kuna wakati alinishikia kisu akitaka kuniua na baada ya hayo shughuli ikawa kunifukuza kwake kisa kuniambia nirudi nyumbani, vita hakuna amani hatuongei kwa nyumba.
Kazi ni kupika lakini ajiwekea mwenyewe maji ajipelekea kwa bafu lakini hatuongei. Nakubali nilimkosea na niliomba msamaha. Alikuja akanipata na mwanaume nyumbani lakini hakupata tukifanya kitendo na hapo ndipo shida ilipoanza. Jamaa huyu alikuwa mpenzi wangu na hapo bwanangu akakasirika sana na kunifukuza na hadi wa leo tukikosana ataja tukio hilo." Alijieleza Maxmillah.
"Niliingia nyumbani nikapata jamaa kwangu akiwa amejifunga towel yangu na hapo tukapigana na yule jamaa akatoroka, kisha bibi yangu akafunganya virago akaondoka. Uchungu ni kupata mtu red handed nyumbani mwangu uchi wa mnyama, juzi naye nikapata ujumbe kwa simu yake ukisema "Usinipigie simu huyu amewasili" na hapo nikakasirika." Naye bwana Michael alijieleza akiongeza kuwa "Sitaki kulala nawe kuna magonjwa mengi na nashukuru mungu nilipimwa na niko sawa."
"Huyu mwanamke hakuwa anatosheka kimapenzi wallahi billahi, damu yake ni moto sana" bwana Michael aliongeza kuni kwenye moto uliozidi kuchoma uhusiano wao huku akikataa katakata kutorudiana na mkewe.
"Nimewacha hizo tabia na sitawahi tena rudia tabia zangu. Isitoshe ana bibi wa pili na sijamkataza kuleta bibi wa pili kwani tutaelewana lakini tuishi na amani, siwezi wachia watoto wangu mke mwenza." Aliendelea kujiteta Maxmillah.

Пікірлер: 208

  • @stecybeib8030
    @stecybeib80307 жыл бұрын

    Ww mama style up u dont need to be forgiven coz u wil never change

  • @mralpha8033
    @mralpha80333 жыл бұрын

    Huyo mama ana tamaa sana na ni malaya mlubwa sana

  • @joanwanjiru6920
    @joanwanjiru69207 жыл бұрын

    mwanamke mjeuri...anapenda mboro ...mpeeni chuma...

  • @shamimaoko

    @shamimaoko

    2 жыл бұрын

    😅 🤣 😅 Anapenda Doshi

  • @vincentomondi6131
    @vincentomondi61317 жыл бұрын

    Usijali kaka mungu atakuondolea hayo machungu

  • @nimuhsteve1079
    @nimuhsteve10795 жыл бұрын

    Waaaah ...ndoa ni takatifu tusieke doa kabisaa ...Ni aibu mwanamke kutoka kwa ndoa jameni kutembea...mzee tafuta bibi uoe inaonekana wewe ni mgwana kabisa nakuombea mola akulinde ..

  • @nimuhsteve1079
    @nimuhsteve10795 жыл бұрын

    Wanaume waheshimiwe kujibiana si vizuri....

  • @jennykim279
    @jennykim2797 жыл бұрын

    hio ni Kali mwanamke kutoka nje ya ndoa Anamsariti bwana yake hatari sana

  • @simkimsmatayo4688
    @simkimsmatayo46887 жыл бұрын

    uyu dada alifanya kosa wooooooi !alafu ana nyenyekea kwa mwanaume niji kute .

  • @gracenaftaly5237
    @gracenaftaly52377 жыл бұрын

    mwanamme nambari moja kudos baba

  • @davidochieng2975
    @davidochieng29755 жыл бұрын

    Huyu bwana yuko sawa kabisa.

  • @alfredwanga7850
    @alfredwanga78505 жыл бұрын

    Atapeleka mwanaume mwingine kwa nyumba ya mmeo. Wanawake wamerogwa

  • @RoroRoserororo
    @RoroRoserororo4 жыл бұрын

    Hei mke ako sawa, ju wanaume hua wanatuteza sana na mpango wakando

  • @paulineshivele3154
    @paulineshivele31547 жыл бұрын

    kwanini usiheshimu ndoa yako mama tena unaleta mpango wako wa kando kwa nyumba eti shamba boy cheza na mtu wa kula sima ya kuzaga

  • @florenshalukale7541
    @florenshalukale75414 жыл бұрын

    Bwana mike shikilia hapo dunia mbaya mwenzangu...bi Max ana tabia mbovu na damu moto...

  • @ounisoman1276
    @ounisoman12767 жыл бұрын

    hebu msimkemee sana maxmilla,maybe kuna reason yakutoka nje ya ndoa

  • @marynjeri7643
    @marynjeri76437 жыл бұрын

    umalaya nayo uyo dada hana adabu

  • @zenasalumu2560
    @zenasalumu25607 жыл бұрын

    Kaka nimekupenda bure uyo mwanamke malaya sana atakuuwa piga chini hafai kabisa

  • @tatujumamaro3607
    @tatujumamaro36073 жыл бұрын

    Uyo wachana nae atakutia ukimwi......just gooooo brooo

  • @jbrothers2543
    @jbrothers25434 жыл бұрын

    Waluhya tuko juu Sana hizo vitu ha2chezangi nazo,,,,

  • @tarqouisef7362
    @tarqouisef73625 жыл бұрын

    Gidi distance doesn't matter if you love someone you'll respect the person.... Nliachwa 1yr ba hubby sikukufa

  • @mkambasaudi9190
    @mkambasaudi91907 жыл бұрын

    wah kali sana

  • @dennocyde1943
    @dennocyde19435 жыл бұрын

    Huyu jamaa awachane na huyu mwanamke....they will never be peace..

  • @secretarygeneralsg2778
    @secretarygeneralsg27784 жыл бұрын

    Huyu dem ni mshenzi sana...

  • @wilstoneongaga3785

    @wilstoneongaga3785

    4 жыл бұрын

    Hyo mwanadada ni malaya

  • @janejanny672
    @janejanny6725 жыл бұрын

    Wewe mama omba msamaha lakini bado uko na mpango wa kando na wewe hutabadilika kamwe. Utapata aje Amani na bado uko na mipango za Kando mingi.

  • @mrvoicemail3893
    @mrvoicemail38939 ай бұрын

    it's sad for this wonderful man but ishaa happen

  • @annmwariri8119
    @annmwariri81193 жыл бұрын

    Hawa madada wacoasti achana na wao, ni bure kabisa

  • @singleboymutindangolya1299
    @singleboymutindangolya12995 жыл бұрын

    Kwanza Gidi nisaidie na number ya mama huyo ni mtest pia nko single mm 😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @samuelyengekani759

    @samuelyengekani759

    4 жыл бұрын

    Kaseeee weee

  • @dorisbonareri8671
    @dorisbonareri86717 жыл бұрын

    wanawake wengine hawana Adabu kabisa

  • @ronaldworesha3692

    @ronaldworesha3692

    7 жыл бұрын

    hahaha

  • @kenyanniggar357

    @kenyanniggar357

    5 жыл бұрын

    hehehe

  • @aminahchepkoech4204
    @aminahchepkoech42047 жыл бұрын

    mlunje anafanya Poa kuliko mpwani, baba ongeza marifa

  • @ireneirene1423

    @ireneirene1423

    7 жыл бұрын

    aminah chepkoech unaniua aminah

  • @moulinemoulinr9136
    @moulinemoulinr91366 жыл бұрын

    mwanamke ni mkorofi sana

  • @gracenaftaly5237
    @gracenaftaly52377 жыл бұрын

    hahaha .....mungu wangu mpango wa kando

  • @justoker4275
    @justoker42754 жыл бұрын

    Sioni patanisho ya 2014 pliz weka zote kuna yenye ilipamba sana ...

  • @vincentomondi6131
    @vincentomondi61317 жыл бұрын

    Michael hawezi sahau kilichotendeka kamwe hata iwe Nini hawezi sahau ni uchungu sana

  • @everlynemulongo7004
    @everlynemulongo70046 жыл бұрын

    Uyu mwanamke ndio chanzo cha kuharibu ndoa yk, tena anakaa kiburi

  • @samiraadan7435
    @samiraadan74356 жыл бұрын

    I blv she will chance giver a chance we r all human n we make mistake no one is prefect

  • @melaniechoge9325
    @melaniechoge93257 жыл бұрын

    waaa makuu haya shamba boy mluhya? ngai weee cheza hapo utabebewa bibi,mhanyaji hawezi acha hata na dawa.Jan ni patanisho ya wake wahanyaji,flash back Gorette

  • @vincentomondi6131
    @vincentomondi61317 жыл бұрын

    Hata adabu huna mwanamke wewe, yaani pesa za bwanako unampa mpango wa kando jamani lo!

  • @dxbfd8156
    @dxbfd81567 жыл бұрын

    maximallah shika adabu, ulipata hubby mpoa halaf Malaya wako unakuvunjia ndoa yako,

  • @busenasilvanos2096
    @busenasilvanos20965 жыл бұрын

    Anajua sifa za waluhya

  • @safinahlatina8961
    @safinahlatina89617 жыл бұрын

    Hii patanisho imenikubusha ya Goretti na japheth tena hilikuwatu january na heri Goretti alienda na mpagowake wakando mombasa uyu alimleta adi kwa nyumba 😂😂😂😂😂😂😂

  • @charitymwangi7446

    @charitymwangi7446

    7 жыл бұрын

    Safinah latina na usisahau mwishowe walirudiana... na gorreti akapigia radio jambo😂😂😂😂😃😃😃kusema aliacha hiyo tabia na akapokelewa vizuri na wazazi wa japheth🙆🙆🙆🙆ndoa n ngori😄😄😄

  • @safinahlatina8961

    @safinahlatina8961

    7 жыл бұрын

    najuwa alisameewa naakasema aliwacha mpagowakando kabisaa so minaulizatu kamampakowakando nimzuri mbona asiende kuolewa naye mimi uwanashanga sana sasaonavyenye analiya aibu nayo wuololo...nimeenda

  • @charitymwangi7446

    @charitymwangi7446

    7 жыл бұрын

    eeeeh ata nashidwa msamaha anataka ya nn for sure kurudiana n tricky coz sidhani huyo dame anaeza change....ningojeeee🏃🏃🏃🏃🏃hamam pap

  • @samiraadan7435
    @samiraadan74356 жыл бұрын

    she iz a human n i understand her forgive her n help her n be her side she will chance I blv tht

  • @kenyanniggar357
    @kenyanniggar3575 жыл бұрын

    kwa nyumba yangu ng'ooo utaenda

  • @bentosh9895
    @bentosh98957 жыл бұрын

    bro shikilia apo acha bb aleye watoi lakini tendo la ndoa achana nayo kabiisa na usimfukuze hana mahali ataenda ata kunyenyekea hajui

  • @dicksonkilupa2258
    @dicksonkilupa2258 Жыл бұрын

    HATA MIMI KWELI SIWEZI KUKUSAMEHE WEWE NENDA KWENU UKAOLEWE NA MTU MWINGINE TU.

  • @carolinemwangi7617
    @carolinemwangi76175 жыл бұрын

    Wanawake wanawake kueni na adabu mpango wakando kwa nyumba

  • @robertsimba5081
    @robertsimba50815 жыл бұрын

    Mwanamke Kama huyu siezi msamehe!!!

  • @davidochieng2975

    @davidochieng2975

    5 жыл бұрын

    Huyu si wakusamehewa kabisa

  • @RoroRoserororo

    @RoroRoserororo

    4 жыл бұрын

    Eishi navile wanawake hua tunawasamehe na mpango zenu

  • @lilliannelima7009
    @lilliannelima70095 жыл бұрын

    Jose na jamila ,jamila analia

  • @suzzyakinyi6255
    @suzzyakinyi62557 жыл бұрын

    waaa whats wrong na ndoa za nowdays .Anyway Giddi na Ghost hua mnanibamba sana

  • @kenyanniggar357

    @kenyanniggar357

    5 жыл бұрын

    hizi ndoa zimepagawa, we are not praying heard.

  • @empressjanet8929
    @empressjanet89294 жыл бұрын

    Dah huyu mwanamke jamani astahili kusamehewa,itakuaje uko kwa ndoa na unahanya ,Tabia ya mtu haina dawa

  • @eddymamajan300
    @eddymamajan3007 жыл бұрын

    Maximillah uko na makosa, kufanya kosa c kosa, kurudia ndo kosa, c oni apo amani, kubishana na bwanako. Iyo c tabia ww

  • @wairimuleah1425
    @wairimuleah14257 жыл бұрын

    kali sana

  • @joyinatishaaathanasi1958
    @joyinatishaaathanasi19587 жыл бұрын

    damu yake iko moto

  • @lispermoraa8814
    @lispermoraa88147 жыл бұрын

    Hii ndoa nayo jamani mwanamume kazaa nje mwanamke analeta shambaboy kwa nyumba wah,

  • @theblessedpaulashow2068
    @theblessedpaulashow20683 жыл бұрын

    God gracious who does this!!!!A man feeds you,loves you f***s you and as if that is not enough you bring another man to that house and to your matrimonial bed!!!!! Then instead ya kupunguza mdomo bado unarushia your husband mdomo...who does this lady!!!! And if I may ask you kwani that kuhya guy is nolonger sweet if it's Sweetness and satisfaction you were looking for!!!!! If you only knew the important things people are battling with....umalaya should not be one of them..my man stays far and is ralely home ningekuwa nimelala na wanaume wangapi!!! Ai

  • @everlynemiheso5144
    @everlynemiheso51446 жыл бұрын

    An finished.yani uyo dem wa pili ako na advice poa sana

  • @paulngugi4425
    @paulngugi44254 жыл бұрын

    Huyu mwanamke ni kisirani sana... ata vule anaongea ni wazi

  • @babrachemutai3492
    @babrachemutai34927 жыл бұрын

    musahame tu kaka

  • @catherinemurugi3718
    @catherinemurugi37186 жыл бұрын

    Pls hiyo sikiza tune ya uyo Jamaa ni gani

  • @faykian5682
    @faykian56827 жыл бұрын

    Waaaah

  • @njeshkaris8957
    @njeshkaris89576 жыл бұрын

    Mluya hio hachezi nayo na hatambui nyumba ina mwenywe pole lkn kwa yote

  • @florenshalukale7541
    @florenshalukale75414 жыл бұрын

    The lady is mannerless...shame on her.

  • @mikoyamba7006
    @mikoyamba70067 жыл бұрын

    Strong man he is.buda achana naye.

  • @fauzsky5399
    @fauzsky53994 жыл бұрын

    Cheating is painful. My ex cheated on me nikaona I can forgive him but I came to realize sikuwai mforgive. Hasira stress kwa nyumba mpaka ikabidi kila mtu haende kivake.

  • @voiladarwish7763
    @voiladarwish77637 жыл бұрын

    weee nugu mbona ulete mwanaume kwa nyumba ya mumeo kumbaff hata mimi ningekuchapa wacha vile mimi ni mwamamke. ukiamua kuolewa na mtu hakukosei hufai kwenda nje.

  • @lucynjoroge3801
    @lucynjoroge38017 жыл бұрын

    lakini huyu mwanaume anafanya vizuri kumpea kila kitu na watoi wee dada vumililia kwanza.

  • @maynatwofivefour6042
    @maynatwofivefour60425 жыл бұрын

    Sasa mumeo ameleta patanisho akiwa ashakuchomea nguo zote...

  • @vincentomondi6131
    @vincentomondi61317 жыл бұрын

    wanawake jamani vumilieni kwenye ndoa jamani

  • @trusilangolo9032
    @trusilangolo90324 жыл бұрын

    iwish huyu Angelia mume wangu

  • @hdalhdal9277
    @hdalhdal92777 жыл бұрын

    bro huyo nwana dada ngori sana

  • @lispermoraa8814
    @lispermoraa88147 жыл бұрын

    Hata Kama huyu Dada naye phtoooo kuleta mwanamume hadi kwa nyumba hata ka haaaaiii

  • @qunnkristy
    @qunnkristy5 жыл бұрын

    Mwanamke bure kapisaa

  • @mwanaishashamir3518
    @mwanaishashamir35185 жыл бұрын

    Yani hata msamaha hajui kuomba

  • @wakiama9609
    @wakiama96094 жыл бұрын

    Hapa hakuna ndoa😕

  • @mtotowako5708
    @mtotowako57084 жыл бұрын

    Cwezi kamwe

  • @trusilangolo9032
    @trusilangolo90324 жыл бұрын

    angekua mume wangu

  • @indivirabonnymatenje7290
    @indivirabonnymatenje72904 жыл бұрын

    That is why I normally say I will married a Rwanda girl

  • @alfredoseko4427
    @alfredoseko44273 жыл бұрын

    Wewe mavi sana

  • @samsokes4085
    @samsokes40855 жыл бұрын

    Mcheza chini na sisi wanaume wa bara especially wakisii na waluhya. Ulioa Malaya mwenyewe

  • @kenyanniggar357
    @kenyanniggar3575 жыл бұрын

    msamaha upo lakini ndoa laaaa

  • @marynjeri4942
    @marynjeri49427 жыл бұрын

    mumaraya nimumaraya hawesiasa

  • @avlinmoloj4902
    @avlinmoloj49027 жыл бұрын

    Huyu mwanamke sio mwaminifu, analala na Shamba boy? hehehehe waaah mbaya sana na tena hata ukimwi ipo

  • @marynjeri4942
    @marynjeri49427 жыл бұрын

    warioana juu yamapesi ikiwa hakuna wasa niende sanga

  • @rozinahamisi84
    @rozinahamisi845 жыл бұрын

    Mbara ni mtu ambae ametoka ushago mtu wakuishi bara mashambani

  • @ruthmidundo
    @ruthmidundo3 жыл бұрын

    Mombasa women na midomo 🤦🏽‍♀️🤦🏽‍♀️🤦🏽‍♀️🤦🏽‍♀️🤦🏽‍♀️

  • @kimkimutai3916
    @kimkimutai39166 жыл бұрын

    Maxmilla part two iko kweli??Michael ni yule msee

  • @najma3268
    @najma32684 жыл бұрын

    Kunawatu wanapata waume kwakweli na wanacheza michezo ya bahati na sibu, yaan unapewa pesa Ina kutosha mpaka unahonga nyingine, na mwanaume anasema uendelee kukaa hapo yy afanye yake huko akirud atalala, angekuwa mwingine ungezezea kichapo na nazani takataka zako zote angetupa nje na mpaka watt angesema cyo wake

  • @kelvinnyagah2494
    @kelvinnyagah24947 жыл бұрын

    Hahahaha hata mm sijui Gidi

  • @nanimkenya1015
    @nanimkenya10155 жыл бұрын

    uolewe na huyu ulireta kwani ulijipotesha dada

  • @emmanuelmisiko6408
    @emmanuelmisiko64087 жыл бұрын

    huyo mwanamke hana aibu hataaaa...utapatwaje na mpango wa kando alafu u expect bwanako asahau...

  • @dalhatzhu5413
    @dalhatzhu54135 жыл бұрын

    ndio hawa warudiane mama akubali apikie huyo shamba boy chakula cha sumu akule mbele ya baba mwenye nyumba afe wabaki na amani.

  • @sudeshmamtaz8922
    @sudeshmamtaz89224 жыл бұрын

    Dada kuwa mpole juu ww ndie mwenye makosa na uzembe uriche dede maana wepata mulume wamana ta jeri ela haya mumala vyosi nikukosa vyosi 😂😂😂 aki huyu max millah ni fisilet

  • @MmMm-oj6kp

    @MmMm-oj6kp

    3 жыл бұрын

    😂😂😂😂😂😂wahenza kutsamirwa

  • @timothysimiyu2520
    @timothysimiyu25206 жыл бұрын

    sisemi kitu mie hapa mwanaume yuko sawa

  • @njerikimani9315
    @njerikimani93157 жыл бұрын

    hahaaa huyo mwanamke ako na mdomo anwai ndoa ni ya watu wawili

  • @jradamsalehvlogs5877
    @jradamsalehvlogs58777 жыл бұрын

    dad songa mbele achana na huyu mwanada

  • @beckybeto4328

    @beckybeto4328

    7 жыл бұрын

    Jr Adam Saleh Vlogs kwani bado uko gulf

  • @direwolfentertainment4220

    @direwolfentertainment4220

    7 жыл бұрын

    Naona sio mimi tu fan wa Adam saleh

  • @jradamsalehvlogs5877

    @jradamsalehvlogs5877

    7 жыл бұрын

    ya niko gulf I think munaelewa kenya waiguru alichukua doo zote

  • @billylubanga4355

    @billylubanga4355

    7 жыл бұрын

    so bad

  • @susansusan6898

    @susansusan6898

    7 жыл бұрын

    Jr Adam Saleh Vlogs hahahahaha

  • @busenasilvanos2096
    @busenasilvanos20965 жыл бұрын

    Alitaka mboro ya mluhya, kwani bwanake hamtoshi????

  • @jimmyevans012
    @jimmyevans0123 жыл бұрын

    Muluya👉👌💪

  • @anitucciamuvurwaneza8579
    @anitucciamuvurwaneza85794 жыл бұрын

    Kipindi kizuri sana

  • @priscaooko4626
    @priscaooko46265 жыл бұрын

    Na si huyu mwanaume alizalisha nje

  • @estherwaithira3429
    @estherwaithira34297 жыл бұрын

    huyo mama hafai kusamehewa anaongea kwa kifua

  • @tashairene7655
    @tashairene76557 жыл бұрын

    pwahahaha...mtu wa fagio jamani...pthoooo....

  • @thomaskenyanyanyaata9575

    @thomaskenyanyanyaata9575

    5 жыл бұрын

    Sasa irene

Келесі