PATANISHO : MAPENZI - MUME WANGU HANIPI HAKI ZANGU ZA NDOA

Ойын-сауық

Radio Jambo Kenya | Ongea Usikike | Ni kituo nambari moja Kenya kwa matangazo ya kiswahili. Vipindi vyake vina jumuisha Spoti,Mijadala moto moto na muziki wa Kiafrika
#RadioJamboKenya
Subscribe to RadioJambo KZread - bit.ly/39wwc6u
Mitandao ya Kijamii
Instagram - rb.gy/e154d1
Facebook - rb.gy/09d1b9
Twitter - rb.gy/e23220

Пікірлер: 301

  • @robertouko9871
    @robertouko98712 жыл бұрын

    The power of mjulus finally wins

  • @perrykemmy9045
    @perrykemmy90452 жыл бұрын

    A mature man! Kumbe Kenya Iko na wanaume

  • @jamessteve788

    @jamessteve788

    Жыл бұрын

    Yess

  • @254mluhya5
    @254mluhya52 жыл бұрын

    Ghai biashara jameni mpaka mpesa wooii mwanamke ula poa ajui shida respect your husband

  • @maryannmwauravlogs9970
    @maryannmwauravlogs99702 жыл бұрын

    Watu wa diaspora 👌👌

  • @florenshalukale5712
    @florenshalukale57122 жыл бұрын

    Mapenzi ana mume mzuri sana shida yake ni kwamba yeye ni kisirani na hajkomaa.Anapeleka Mume mbio anataka kile anachoomba apewe haelewi hali ya maisha. She has no patience.

  • @peninahkariuki4679
    @peninahkariuki46792 жыл бұрын

    Kumbe sio story na pesa, Anataka Love 💘🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @vanemomanyi6808

    @vanemomanyi6808

    2 жыл бұрын

    Aki kweli anaitwa mapenzi but Hapewi mapenzi 🙆🙆🙄😂

  • @christopheradajo9467

    @christopheradajo9467

    2 жыл бұрын

    Mjulus

  • @davidkiarie4527

    @davidkiarie4527

    Жыл бұрын

    Uga múnyamú

  • @peninahkariuki4679

    @peninahkariuki4679

    Жыл бұрын

    @@davidkiarie4527 munyamu🤣🤣

  • @johnmunganyende8040
    @johnmunganyende80402 жыл бұрын

    Radio Jambo tunawapenda sana mm Niko Lusaka Zambia

  • @emilyjohnson1982
    @emilyjohnson19822 жыл бұрын

    Waaah.. at times we women we r difficult

  • @kellyk9703
    @kellyk97032 жыл бұрын

    Communication is very important in marriage.

  • @colletamwita9156
    @colletamwita91562 жыл бұрын

    Ohh my God...c unipe mume kama kazungu...mwanamum ana hekima nzuri...mke anaongea Sana na mwanamum hapendi kelele mingi...

  • @lilianmasero2268
    @lilianmasero22682 жыл бұрын

    Huyu mwanamke ni shenzi Sana Mimi Niko na biashara saa ngapi kufuatana na mtu na kama anajua mtoto akiomba Pesa hupewa si afanye urafiki na huyo mtoto wake akue akipewa pesa,

  • @lucyboby2501

    @lucyboby2501

    2 жыл бұрын

    Kwani ameolewa na mtoi😡

  • @rizikiruwa7116
    @rizikiruwa71162 жыл бұрын

    Mapenzi shikilia nyumba yako.

  • @carlisonnyaoncho6757
    @carlisonnyaoncho67572 жыл бұрын

    Huyu mwanamke alisikia vibaya juu hakuweza kuenda kuhudhuria harusi pale kwao. That's the main thing

  • @douglasmose2349
    @douglasmose23492 жыл бұрын

    People hear on comment section go easy on the lady. She is a good lady because she could have decided to look for a solution from someone else but she decided she needs some loving from her husband and if he does not give it anamshtaki kwa radio.

  • @anthonyodeba4137
    @anthonyodeba41372 жыл бұрын

    Twa twa has power.

  • @salinengesa118
    @salinengesa1182 жыл бұрын

    Mapenzi anahitaji mapenzi like her name but ako tu sawa. Thanks gidi na ghost.

  • @zarabati1750
    @zarabati17502 жыл бұрын

    Sometimes go straight to the point

  • @neemaloy889
    @neemaloy8892 жыл бұрын

    Mama ingia magotini Mungu awape lugha moja Kuna namna shetan anawavuruga na ameweka mipaka Kati yenu

  • @JozaphinDorey-eu9nl

    @JozaphinDorey-eu9nl

    5 ай бұрын

    Our sit blame the one who refused her to work love is not by fose if not live,be where u fill cort

  • @chaulisi
    @chaulisi2 жыл бұрын

    Give that man a beer...👏👏👏

  • @beatricekasudi4743

    @beatricekasudi4743

    2 жыл бұрын

    Hahaha then

  • @nguruchrispus2284
    @nguruchrispus22842 жыл бұрын

    Aki si uende tu straight to the point aaaaaahh

  • @tiktokheroes4256
    @tiktokheroes42562 жыл бұрын

    Anahitaji mapenzi mwenyewe jina ni mapenzi wanawake saa Zingine tunataka kudekezwa lolz 😆 😂 🤣

  • @carolinewainaina4426
    @carolinewainaina44262 жыл бұрын

    If you don't Show a woman love everything else is just don't make sense

  • @vanemomanyi6808
    @vanemomanyi68082 жыл бұрын

    Wanawake jameni 🙆Ni kweli unaeza jifikilia umetengwa lakini inafika wanaume uchoka pia Tujiheshimu kujitafutia mwanaume awe kama mchango coz kama watoto wako Sawa Basi 🙏💪🙌upendo tu💖 Ndio maana unashangaa mzee ambaye ako Na watoto Adi University but anatafuta mpango wa kando for a peace of mind 🙄🙄 Mapenzi Aki🙆🙆🙆😂😂😂😂😂🤣🤣

  • @febekwamboka5652
    @febekwamboka56522 жыл бұрын

    Mapenzi anataka mapenzi 😂😂😂🤔sound funny

  • @nellymberia3517
    @nellymberia35172 жыл бұрын

    Nimeani kenya akuna mtu normal 😂😂😂😂

  • @bravinbravin880

    @bravinbravin880

    2 жыл бұрын

    Mwanamke anataka apigwe chuma kasungu wewe lima huyu mtu atulie

  • @hildaopondo701
    @hildaopondo7012 жыл бұрын

    Perfect reverse phycology from the husband

  • @khdigahk4246
    @khdigahk42462 жыл бұрын

    Haki ya ndoa kujamiiana❤️

  • @maggiekanorio4905
    @maggiekanorio49052 жыл бұрын

    Mapenzi anataka mapenzi

  • @vinniekings180
    @vinniekings1802 жыл бұрын

    Sometimes go straight to the point 😱😱

  • @marykimani8375

    @marykimani8375

    Жыл бұрын

    😂😂😂 uwoga

  • @maryannmwauravlogs9970
    @maryannmwauravlogs99702 жыл бұрын

    Enyewe hakuna watu complicated kama sisi wamama alianza mambo ya pesa akamalizia na twa twa 😃🤪

  • @veronicacharles9993

    @veronicacharles9993

    2 жыл бұрын

    🤣🤣🤣🤣🤣

  • @mwendapoleee

    @mwendapoleee

    2 жыл бұрын

    Hehehe alikuwa anatupa hadithi kidosh lakini nikweli mwanamke ni complicated anataka choclate na nite shift sawasawa.Mimi ningemnunulia baba choclate na kumvalia "see me thru" nipake midomo angesema nimepatikana leo.kkkkk...kkk

  • @susanmuthoni1167

    @susanmuthoni1167

    2 жыл бұрын

    😂😂😂😂..beating around the bush😂😂

  • @aishachambo8663

    @aishachambo8663

    2 жыл бұрын

    😂😂😂😂😂😂

  • @mbnnbm1235

    @mbnnbm1235

    2 жыл бұрын

    😅😅😅

  • @jacklineg1587
    @jacklineg1587 Жыл бұрын

    Mapenxi apewi love poa mmmwaaaah😄😄😄😄😍😍😍🥰🥰🥰🥰💋💋💋💗💗💗

  • @keloisam2751
    @keloisam27512 жыл бұрын

    A mature man indeed💯

  • @eddahwamboi7683
    @eddahwamboi76832 жыл бұрын

    Huyu mama ni kama anashuku Kazungu na binti yake wana uhusiano wa kimapenzi!!!

  • @heyumi2340

    @heyumi2340

    2 жыл бұрын

    kuna watu wana lala na watoto mpata wanapata mimba hiyo ipo kabisaaa

  • @wuodabala9706
    @wuodabala97062 жыл бұрын

    She needs love but it seems man has got no time for her.

  • @angelakeya6467

    @angelakeya6467

    2 жыл бұрын

    Very true

  • @monicahmutai3070
    @monicahmutai30702 жыл бұрын

    Love ❣️❣️wants some Love ❤️❤️

  • @moraakelly1191
    @moraakelly11912 жыл бұрын

    She has a good husband walai

  • @nyakindamock592

    @nyakindamock592

    2 жыл бұрын

    Aye moraa naki

  • @samuelmwangi9780
    @samuelmwangi97802 жыл бұрын

    Being a good man is hard because women want to take advantage of you.

  • @madamboss348
    @madamboss3482 жыл бұрын

    Kazungu Tomba huyo mwanamke atulie. Bedroom affairs

  • @zakmaina4107

    @zakmaina4107

    2 жыл бұрын

    Told like it's😂😂😂 waaaaaaaa

  • @beatriceomino6266
    @beatriceomino62662 жыл бұрын

    Mwanamke mjinga sana wacha kupatia bwanako stress twa twa twa iko na maneno

  • @dorcasgathoni580
    @dorcasgathoni5802 жыл бұрын

    Mwanamke hutaka kupendea tuu kazi tunazoo

  • @irenematari6218
    @irenematari621810 ай бұрын

    Mama ana wivu na mtoto wake dah

  • @RoroRoserororo
    @RoroRoserororo2 жыл бұрын

    Niko ndani

  • @missmungai8140
    @missmungai81402 жыл бұрын

    Huyu mama ataka twa twa ndio iko na mbaraa🤣🤣

  • @janetkhainga6504

    @janetkhainga6504

    2 жыл бұрын

    Hapo sasa umenena 🤣🤣🤣🤣

  • @Malkiathequeen
    @Malkiathequeen2 жыл бұрын

    Mapenzi anahitaji mapenzi🤣🤣🤣🤣🤣lol!

  • @moreenmbatha1147

    @moreenmbatha1147

    2 жыл бұрын

    A change jina afuate mapenzi

  • @edithkiokomumbua4589
    @edithkiokomumbua45892 жыл бұрын

    Hii nayo sio patanisho kulalamika

  • @marionnjoroge441
    @marionnjoroge4412 жыл бұрын

    Huyu mama umempea time aje giddy.. Na vile wewe huharakisha wengine

  • @missmuchiri7537
    @missmuchiri75372 жыл бұрын

    The early bird 🤸🤸💃🏾💃🏾

  • @felistersmejumaa
    @felistersmejumaa Жыл бұрын

    Mapenzi anataka mapenzi bwana Kazungu mpe mapenzi,, mapenzi moto moto

  • @willydarling425
    @willydarling4252 жыл бұрын

    Wanawake ni kama watoto treat them equally

  • @naomisintoyia9286

    @naomisintoyia9286

    2 жыл бұрын

    Pewa Coke baridi

  • @javaaar9154
    @javaaar91542 жыл бұрын

    Gidee na Ghost hapo sawa

  • @dorrypiloy
    @dorrypiloy2 жыл бұрын

    In my origin ( Kalenjin) women are kids are all treated as children. Equal treatment. Sisi sote ni watoto.

  • @jamilasalimvilog6752
    @jamilasalimvilog67522 жыл бұрын

    Wenye tunajitafutia pesa zetu mikono juu mimi hata sijui pesa ya bwana nikiipesa lini

  • @Ikkiyoongi
    @Ikkiyoongi2 жыл бұрын

    Nipeni no.za kazungu jamanii 🤣😂🤣😂🤣😂🤣

  • @susanchebet3298
    @susanchebet32982 жыл бұрын

    Mwanamke mjinga Sana 😏😏😏😏

  • @agnesladasha5641
    @agnesladasha56412 жыл бұрын

    Weeeh Mapenzi

  • @rhodahj7121

    @rhodahj7121

    2 жыл бұрын

    Yana machungu dada

  • @janeselineselinejane4377
    @janeselineselinejane43772 жыл бұрын

    Maoni yangu huyo mama anafikiria kama analala na msichana wake,nivle ataki kusema bona ako na wivu mtoto akipewa

  • @winsternyangara3159

    @winsternyangara3159

    2 жыл бұрын

    Ukweli

  • @shelmithshikuku6810

    @shelmithshikuku6810

    Жыл бұрын

    True those mentality are common in women

  • @gamingwithryan6548
    @gamingwithryan65482 жыл бұрын

    Mwanamke mjinga kuna wengine wako na miaka kama tatu bila kuonana na mabwana zao

  • @mwendapoleee

    @mwendapoleee

    2 жыл бұрын

    Mimi ata lunch nisipomuona,vita hiyo!

  • @RiriwaNgai

    @RiriwaNgai

    2 жыл бұрын

    Even a second icant wait

  • @estherngena4742
    @estherngena47422 жыл бұрын

    Speechless 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @essiewajojis7918
    @essiewajojis79182 жыл бұрын

    Hehehehehe huyu mwanaume hajui ata mwanamke akiwa ana pata million unafaa kumpea kitu ata chocolate she feels love and somebody is carering for her lakini hii mtoi akiitisha kitu unampea ama unafanya jambo fulani kwa nyumba juu ni mtoi ame request she feel law nkama umemdharau tene kama biashara haina faida kubwa inaweza hikimu mahitaji yake na isimame unataka afanye aje hizi marrigaes aqi ni uko married but miserable ladies ebu mzoe kujitafutia otherwise utaonyeshwa madharau nahakuna kitu utafanya wacha me niangalie nikiwa inje vile guy mchezo wa marrige unaendelea

  • @mwendapoleee

    @mwendapoleee

    2 жыл бұрын

    Kweli bibi ukikomaa in marriage you are taken for granted atoke wiki moja ndio ajue umuhimu wake.

  • @elizabethiradukunda1950

    @elizabethiradukunda1950

    2 жыл бұрын

    Hapana us not be hypocrites... we have to realize this is 2021

  • @jacquelinemuthoni7527
    @jacquelinemuthoni75272 жыл бұрын

    I also hate cold treatment from Men. I think anataka emotional support...

  • @betty541

    @betty541

    2 жыл бұрын

    Yeah..the guy sounds really cold towards her..and irritated. He is emotionally unavailable to her, for sure.

  • @clemencianyaboga8946
    @clemencianyaboga89462 жыл бұрын

    Mama kaa mpole utajua ujui wacha mzee ashughulikie watoto wake

  • @helenshella6809
    @helenshella68092 жыл бұрын

    Mapenzi ulipata mume Mzuri jameni tena mwenye hekima na busara lakini wewe uko na akili ndogo

  • @naimawambui2822
    @naimawambui28222 жыл бұрын

    Upuziiiiiiii uyo mwanaume ana kazi lol

  • @ruthisabella955
    @ruthisabella9552 жыл бұрын

    Anahitaji kipenzi tu

  • @chullakoi1508
    @chullakoi15082 жыл бұрын

    No.1 wapi likes?

  • @paulholister6146

    @paulholister6146

    2 жыл бұрын

    💔💔💔💔oooyiiiie pole mapenzi

  • @martohkitheka2805

    @martohkitheka2805

    2 жыл бұрын

    Huyu mwanamke n Fala Sana nkt🤔

  • @chullakoi1508

    @chullakoi1508

    2 жыл бұрын

    Anaebisha pastor

  • @perrykemmy9045
    @perrykemmy90452 жыл бұрын

    Bwanakaxungu come this side

  • @user-xi1pi4zr3b
    @user-xi1pi4zr3b2 жыл бұрын

    😂😂😂 Twa twa twa ndio suluhisho

  • @sophiaomar7875
    @sophiaomar78752 жыл бұрын

    Mapenzi atapigwa leo usicheze na mwanamume wa ki giriama kkk

  • @chainbre275
    @chainbre2752 жыл бұрын

    Baba yupo Sawa kheri ahudumie watoto juu mama kama mama unaweza jihudumia

  • @mwendapoleee

    @mwendapoleee

    2 жыл бұрын

    Aaaiiih watoto watakua waende zao utabaki nahuyo bibi wakuku oshea masuruali zako mukiyambiana.lol

  • @rogath_silayo

    @rogath_silayo

    2 жыл бұрын

    Wee yy anataka kupigwa kuni na pia awe first priority!!!na NI haki yake namuelewa hajakosea

  • @rasemmalito399
    @rasemmalito3992 жыл бұрын

    Twa twa lazima🤩🤩😊😂

  • @everlynemoraakatani7395
    @everlynemoraakatani73952 жыл бұрын

    Mpaka mtoto anaonewa wivu😁😁😁

  • @chainbre275
    @chainbre2752 жыл бұрын

    Yes my kids first hahahahah

  • @mosesochola9964
    @mosesochola99642 жыл бұрын

    How do you compete with your daughter?

  • @samuelkamau1777

    @samuelkamau1777

    2 жыл бұрын

    Utoto

  • @mwendapoleee

    @mwendapoleee

    2 жыл бұрын

    Not competing but ignoring or taking your wife for granted!

  • @mystyjakanyango4079

    @mystyjakanyango4079

    2 жыл бұрын

    Hali ya uke.

  • @wamashloy3564

    @wamashloy3564

    2 жыл бұрын

    Seems they are all kids...na imagine ni watoi ye mwenyewe amezaa

  • @nahyialetomia9284
    @nahyialetomia92842 жыл бұрын

    Tusambaziwe namba ya Kazungu

  • @jumanatv417
    @jumanatv4172 жыл бұрын

    Hilo jina mapenzi kazungu aliingia hapo akijua ni rahisi. Mapenzi anataka mapenzi haswaaa kazungu anajifanya haelewi 😂😂🙌

  • @gladysgladys9845
    @gladysgladys98452 жыл бұрын

    Kuwa na pesa bila twa! twa! kwa nyumba ni bure.

  • @highvoltages4169

    @highvoltages4169

    2 жыл бұрын

    *Glad wewe unataka twatwa sana?*

  • @gladysgladys9845

    @gladysgladys9845

    2 жыл бұрын

    @@highvoltages4169 Yap, than cheating out of marriage 😂

  • @mbnnbm1235
    @mbnnbm12352 жыл бұрын

    Mapenzi kweli, ako na jina funny😂😂🤣🤣

  • @janet842
    @janet8422 жыл бұрын

    Wololo!

  • @deestl3043
    @deestl30432 жыл бұрын

    Aki hio kicheko ya Ghost 😂😂😂😂😂

  • @josephineanyango7564
    @josephineanyango75642 жыл бұрын

    Ghosh Leo ninmgonjwa

  • @mildredkanaizah6141
    @mildredkanaizah61412 жыл бұрын

    Hapo twa twa ndio balaa

  • @puritymiwa501
    @puritymiwa5012 жыл бұрын

    😂😂😂hapo sasa

  • @justuswilberforce1228
    @justuswilberforce122816 күн бұрын

    Huyu mama amezunguka na mambo mengi, mara pesa, tank ya maji, Duka, kutembelea best couple etc. kumbe ni dry spell 😂😂😂😂

  • @MODEKAI
    @MODEKAI2 жыл бұрын

    Women take advantage of a good man.

  • @user-fq9ol4nr9x
    @user-fq9ol4nr9x10 ай бұрын

    Hakuna story na pesa hapo ni mapenzi ya kimwili aliitakika pale period

  • @fettybaby6811
    @fettybaby68112 жыл бұрын

    Hehehe penye miti hapana wajenzi umefunguliwa biashara na walalamika pia thank God mtoto ni wako anatumiwa doo u know hiz weak spot use that sio lazima uombe ww

  • @Ikkiyoongi

    @Ikkiyoongi

    2 жыл бұрын

    Ukwli kabisaaa

  • @tomthomas6908
    @tomthomas69082 жыл бұрын

    Ati bi mapenzi😂😂😂😂

  • @sylviaval3455
    @sylviaval34552 жыл бұрын

    Sasa hawa wanapatanishwa juu ya nini?...mwanamke ni roho ndogo tu ,,hii story sio ya patanisho

  • @elizabethkiarie3664
    @elizabethkiarie36642 жыл бұрын

    Communication problem noted

  • @chainbre275
    @chainbre2752 жыл бұрын

    Hukuwa unapendwa lkn hadi mume funga ndoa lol mama shukuru umefunguliwa business n'a watoto wako Wana hudumiwa ipasavyo

  • @moraamargaret3202
    @moraamargaret32022 жыл бұрын

    Unaitwa mapenzi na bado unataka mapenzi 😂😂

  • @maryloka7994
    @maryloka79942 жыл бұрын

    C mnipe namba ya kazungu jaman

  • @kemboibor4877
    @kemboibor48772 жыл бұрын

    Yeye angesema anata raundi Kwa wik

  • @njanbistella
    @njanbistella2 жыл бұрын

    Mapenzi anataka mapenzi 😜😂😂😂😂

  • @evansevance51
    @evansevance512 жыл бұрын

    No matter what your woman is always your stranger.

  • @teissys
    @teissys2 жыл бұрын

    Hakuna kesi hapo, huyo bibi ni fala 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @deniswafula3847

    @deniswafula3847

    2 жыл бұрын

    True

  • @mwendapoleee

    @mwendapoleee

    2 жыл бұрын

    Kila mtu anamaitaji yake!

  • @rogath_silayo

    @rogath_silayo

    2 жыл бұрын

    Wee kesi IPO!!madam anataka attention zaidi ya mtoto pia anataka kupigwa kuni....she is right ....yupo sahihi kabisa

  • @Ikkiyoongi

    @Ikkiyoongi

    2 жыл бұрын

    Kabisaaaa 🤣🤣🤣😂🤣😂🤣

  • @agwalubifaridah7079

    @agwalubifaridah7079

    2 жыл бұрын

    Wew mwanamme Akikupatia kila kitu , na kwa nyumba Anakuangalia kaa picha utakaa hapo?

  • @elizabethkiarie3664
    @elizabethkiarie36642 жыл бұрын

    In counseling we know the presenting issue is not the CORE issue

  • @anthonyodeba4137

    @anthonyodeba4137

    2 жыл бұрын

    Like this one

  • @everlinelumatete7485
    @everlinelumatete74852 жыл бұрын

    Waaaa, huyu Mapenzi ana shida

  • @emilyaholi9009
    @emilyaholi90092 жыл бұрын

    Hehehee...upuzi mtupu

  • @gladysnyachae8816
    @gladysnyachae88162 жыл бұрын

    Waokofu ndio shida but marriage ni ngumu