PART 01 HISTORIA YA ASKOFU MOSES KULOLA/KUFUNGWA GEREZANI/ALIPOFANYIA BIRTHDAY YAKE YA MWISHO.

Live On Live Kutoka Hapa Chanika,Wilaya Ya Ilala,Jijini D’salaam,Nyumbani Kwa Hayati,Askofu,Dk Moses Kulola,Muhubiri Wa Kimataifa Aliyefahamika sana Hapa ndani na Nje Ya Tanzania,Aliyezaliwa June 1928 huko Mkoani Mwanza,Mwanzilishi Wa Dhehebu La EAGT,Alifariki Tarehe 29 Aug 2013.
Historia Ya Maisha Yake,Idadi Ya Watoto,Maisha Ya Kihuduma ,Kufungwa Gerezani,Nk anayaleza Mtoto Wake Wa Tatu , Eng. Willy Moses Kulola @willykulola
Interview Hii Inapatikana Yote Kupitia KZread Channel Yako Ya @paziatv usisahau Ku-subscribe Ili kupata Habari Kubwa za Gospel Kutoka Kila Kona Ya Mitaa mbalimbali Duniani.

Пікірлер: 12

  • @elizabethchiwamba8372
    @elizabethchiwamba837214 күн бұрын

    Mungu awatunze familia ya Baba yetu wa Kiroho Mzee Kulola, Tujitahidi sana kuingia MBINGUNI, si lelemama ,MUNGU ATUKUMBUKE

  • @matthewbwanga395
    @matthewbwanga395

    Asante kwa ushuhuda huu mzuri

  • @graceabednego1257
    @graceabednego1257

    Da Mungu akubariki saana Jonh P kwa ushuhuda huu nimepokea na kujua mengi mno🙏🏽

  • @ministermalili342
    @ministermalili342

    pazia, ubarikiwe kwa kazi nzuri brooo

  • @ministermalili342
    @ministermalili342

    pazia, ubarikiwe kwa kazi nzuri brooo

  • @user-rj2tg3jg1w
    @user-rj2tg3jg1w

    Chanika sehemu gn nimeokoka kwazia ss

  • @abdulnasuma9729
    @abdulnasuma9729

    Wakristo kiboko kwakweli😂

  • @carenhilary8067
    @carenhilary806721 күн бұрын

    Hallelujah

  • @mcharoun8483
    @mcharoun8483

    Nakubali

  • @vivajerry8728
    @vivajerry8728

    👏👏👏

  • @ndigwako
    @ndigwako

    ❤❤❤

Келесі