'Nipe jina Yesu'. Mungu akubariki sana Kwa wimbo huu
Alléluia Alléluia Alléluia. Ubarikiwe sana dada yangu.
Barikiwa sana,Jumbe hizi hazijawahi kuniacha bure, Glory to God
Nimebarikiwa sana na huu wimbo, Jina la Bwana litukuzwe. Uzidi kubarikiwa Namsifu Elisa
Kanzi nzuri sana mtumishi wa Baba,
BARIKIWA DADA NAMSIFU NA MUNGU AKUINUE JUU ZAIDI.
Huwa nabarikiwa mno na huduma yako,ujumbe unatia nguvu za kusonga mbele na Yesu.❤
🎉Mungu ni mwema
Jina Yesu Aminaaaaaaaaa
Amina, barikiwa kwa ujumbe Mzuri
Sitaacha kusikiliza nyimbo zako tangu 2013 nilipokufahamu. Mungu aendelee kuutunza
Waoh da Namsifu ❤❤ MUNGU akutunzee
Barikiwa mama ibra nimebarikiwa mnoo
Nmebarikiwa mnoo🙏 Mwenyezi Mungu akubariki Sana Dada
Barikiwa
Hongera sana
I love this soul❤ kaa mawinguni dada. Tunabarikiwa sana!
Barikiwaa kipnzz uko vzriii Mungu akulindeeee
Barikiwa sana Dada angu.
Barikiwa sana rafiki
Nimebarikiwa
Amen Amen
You are my role model dada anguuu Mungu akutunze Kwa ajili Yangu
Amen amen
God bless you. You bless our souls
UBARIKIWE SANA MADAM ........ TUNAZIDI KUBARIKIWA NA HUDUMA YAKO MUNGU AENDELEE KUKUBARIKI SANA
Mungu akubariki sana dada,zidi kunyeyekea ili bwana azidi kukuinua
Mungu akubariki san
Amen may God lift you sis
Ameen
Be blessed sisy❤
God bless you
Amen my dear
Пікірлер: 35

@namsifuministry
5 ай бұрын
Amen my dear