Nini hukmu ya kumsomea Maiti Qur'an ambaye ameshazikwa? | Shk. Mohammed Al-Busaidy

#FATWA

Пікірлер: 3

  • @issasalum274
    @issasalum2743 ай бұрын

    Haya ndiyo mawazo ya Ma-Answar Sunna. Hata kumtolea swadaka marehemu mzazi wako kwao ni bid-aaa. Inna Lillahi wa Inna Illayhi Raajiiuun

  • @ismailmuna1604
    @ismailmuna16043 ай бұрын

    Je Dua Ni Nini Sio Qurani Maana Dua Nyingi Ziko Ndani Ya Qurani Karim RABII GHUFRILL WALIWALUDAYA YAUMA YAKUMULHISAB JE HII SIO AYA KTK QURANI KARIM????

  • @yahyamaulana7791
    @yahyamaulana77913 ай бұрын

    Ziko rai za ulamaa lakini hii ndo twaona SISI ni thabit. Kwan nyinyi ni nani mpaka mukiona nyinyi ndo haki