FATWA | MJAMZITO AMEFARIKI, JE ANAZIKWA NA MTOTO WAKE? | SHK. MOHAMMED AL-BUSAIDY

#FATWA

Пікірлер: 9

  • @user-sw2fi1gu4j
    @user-sw2fi1gu4j2 ай бұрын

    Asante sana kwa hii elimu❤

  • @saadasuleiman1427
    @saadasuleiman14274 ай бұрын

    Subhunallah

  • @suleimanluhanga5058
    @suleimanluhanga50583 ай бұрын

    Allah bless you our sheik

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani36093 ай бұрын

    Nimeona mtoto atolewe tumboni akiwa hai au amekufa, Subhanallah

  • @mwanamkeshujaabongoflavama7180
    @mwanamkeshujaabongoflavama71803 ай бұрын

    Na pia wanavo sema ujauzito ulo kamiliza siku zaidi ya mia ba kitu sikumbuki uzuri anakua kisha patiwa roho nahisi ndomana inaku sawa akitolewa tumboni

  • @HusseinMussa-on8mo
    @HusseinMussa-on8moАй бұрын

    Shehe mtu akifariki hali ya kua ana miezi tisa kujifungua je?

  • @husseinally6699
    @husseinally66994 ай бұрын

    Mm sina elimu juu ya hilo ila kuna wakati dini inaendana na mazingira Mimi naungana na hao kumtoa mtoto asilimia 100 bila shaka upande huu wapo sahihi haswa kwa wakati huu kuna vifaa kama fetal stethoscope ( hupima mapigo ya moyo ya mtoto) doppler machine Zina kupa uhakika kabisa kua mtoto ya hai , inakuwaje leo umuache? Wakati tayar kashapuliziwa roho na viungo vyake vishakamilika? Pia kuna watoto wanazaliwa wakiwa hawajatimiza muda tena kwa operesheni) ingekua hatudili nao basi kungekua hakuna haja KIUMBE hata kikiwa tumboni kikiwa tayari kisha puliziwa roho na haswa kikiwa full ( mifupa 270) millions of nerves, tissues ) If you kill it, you kill human being even in the womb( tumboni) Pleaae secure its life immediately

  • @feisaldube7296

    @feisaldube7296

    3 ай бұрын

    Mashaallah

  • @saadasuleiman1427
    @saadasuleiman14274 ай бұрын

    Subhunallah

Келесі