NEVER GIVE UP 💪 Full movie

Комедия

#babajoan #lovestory #school #comedy #clamvevo #schoollife

Пікірлер: 156

  • @paulineshitandi1864
    @paulineshitandi18645 ай бұрын

    Asante sana baba Joan kumshikilia Patronize na madam Vicky jameni Mungu anakuona

  • @MartinSimba-dg5qc
    @MartinSimba-dg5qc14 күн бұрын

    Mwalimu mgeni kwenye hi moves amecheza vizuri sana

  • @kakamanuu6957
    @kakamanuu69577 ай бұрын

    wakwanza leo wapi like zangu

  • @Ashamwachiti-nw1mw
    @Ashamwachiti-nw1mw6 ай бұрын

    Patronize hongera sana na baba joani mungu azindi kukutia nguvu ya kuweza kusaindia watoto wengine insha allah

  • @user-ge9dy8gw3c
    @user-ge9dy8gw3c3 ай бұрын

    Baba Joan baada ya mwalimu mgeni umetuletea maisha yetu tumeelewa movie zako nazinajenga sanah nazinapendaza sanah sanah naninzuri sanah lakn baada ya maisha yetu umetuletea movie gan mbna kmya🎉🎉🎉😅😅❤

  • @user-dn6lv8xs4e
    @user-dn6lv8xs4e4 ай бұрын

    Mimi vicent frank mm napenda kusema ile move ya mwalimu mgeni naomba iendelee naipenda sana pia never give up asantee

  • @jumaaabdillahi4534

    @jumaaabdillahi4534

    Күн бұрын

    Ubunifu unao baba Joan ❤❤

  • @user-qk2dp9dx2l
    @user-qk2dp9dx2l27 күн бұрын

    Patronize yupo talented kwa kuimba huyo Dogo anaweza akafika mbali sana

  • @sarahnjeri-tz8eu
    @sarahnjeri-tz8eu26 күн бұрын

    Baba Joan hongera kwa tamthlia nzuri yenye mafunzo, Patronize sauti anayo hope for sure he will go far in music industries,bt huo wimbo wa mama nmejipata tu nalia😢😢😢wenye wako kwa ndoa kuelewa muhimu alafu mpende akupendaye,kazi lazima❤❤❤

  • @user-fs2hi6nr8u
    @user-fs2hi6nr8u7 ай бұрын

    Baba Johan kazi zako nazikubali sana mii ninakufwatilia sana kaza mwangi

  • @ClaraMutethya
    @ClaraMutethya16 күн бұрын

    Baba joan mungu akubariki

  • @happymaangir4526
    @happymaangir45267 ай бұрын

    Nimewahh jmn ata mbili tuu

  • @StephenStephenkalatyamonthe
    @StephenStephenkalatyamonthe4 күн бұрын

    Mwalim mgen ako vizuri

  • @justineakinyi5122
    @justineakinyi512227 күн бұрын

    ina funzo kweli hongera👍🌹🌹💪💪

  • @JANUARYSEGENYA-fn3sl
    @JANUARYSEGENYA-fn3sl7 ай бұрын

    Kazi nzuriii sana,pongezi kwako baba Joan pamoja na washiriki wote walihohusika kufanikisha video hii.

  • @user-yb6wh1bk9d
    @user-yb6wh1bk9d6 ай бұрын

    Mashallah mnaweza cn mko vizuri kwakweli naifatilia cn michezo yenu jpo sio cn kutoa comment nyinyi mko vizuri mashallah na season zenu mnajua kuzipangiliza

  • @BennisterMissana
    @BennisterMissanaАй бұрын

    Kazi nzuri mwanafunzi wangu PATRONIZE....🙌🙏👌

  • @MalkiaKaingu
    @MalkiaKainguАй бұрын

    Kazi nzuri kwakweli much appreciated from 254

  • @NaomiJohn-zd1tj
    @NaomiJohn-zd1tj4 ай бұрын

    Mungu akubariki baba joan❤❤❤❤❤

  • @sinomiles
    @sinomiles5 ай бұрын

    Baba Joan unacheza movie nzuri , Mungu akubariki na timu yako yote. this Sino Miles niko Australia

  • @Marcus-ou8is
    @Marcus-ou8is5 ай бұрын

    Waah hii movie ni Kali sana na nilikuwa nauliza hii nyimbo yenye imeimbwa never give up nimejaribu kuitafuta Kila mahali but sijapata naweza saidika aje

  • @WemaKiondi

    @WemaKiondi

    Ай бұрын

    Me nimekuwa 2

  • @alirajab1694

    @alirajab1694

    Ай бұрын

    Adi mm aisei

  • @alirajab1694

    @alirajab1694

    Ай бұрын

    Natamani kupata hiyo ngoma

  • @user-py8ls2hs7l
    @user-py8ls2hs7l5 ай бұрын

    Nmeipenda iman yake baba joan mungu azidi kumsimamia na azid kuwa na imani zaid

  • @godfreyonderi5338
    @godfreyonderi5338Ай бұрын

    Leo mwalimu Magesa ako pamoja na Baba Joan❤❤ nimefurahi

  • @user-kr2ks1ti3j
    @user-kr2ks1ti3j6 ай бұрын

    Kazi nzuri kwa baba Joan

  • @user-mp7wc1fr3p
    @user-mp7wc1fr3p6 ай бұрын

    🎉🎉🎉🎉kazi nzuri jamani kwa baba Joan na wengine wote walioshiriki❤❤❤❤❤

  • @deniscosma1589
    @deniscosma1589Ай бұрын

    Movie nzuri,Ina mafundisho mengi ,ahsante sana watunzi,hongera sana

  • @lesamadilesamadi-kh4tr
    @lesamadilesamadi-kh4tr23 сағат бұрын

    Courage muedelee ivo muvi nzuri

  • @Modi-gy8tn
    @Modi-gy8tn2 ай бұрын

    Baba joan na patronize pongezi kwa kazi nzuri

  • @user-ut2hy2ug8t

    @user-ut2hy2ug8t

    Ай бұрын

    🙏🙏🙏🙏 baba Joan shikilia sana patronize mungu atakusaitia sawa

  • @1czay
    @1czay6 ай бұрын

    Hako kanyimbo ka mama kamenifanya nitoe machozi😭😭rip mamu.

  • @thewiseone30

    @thewiseone30

    3 ай бұрын

    kanaitwa aje nidownload

  • @user-hm6hy6rr1h
    @user-hm6hy6rr1h3 ай бұрын

    Niwapen t maua yen 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @user-pz9er6xt3z
    @user-pz9er6xt3z5 ай бұрын

    Jamani kunawalimu waivo saivi mungu amubariki sana baba joani🙏🙏

  • @shazilnamkoko-jx4fp

    @shazilnamkoko-jx4fp

    4 ай бұрын

    Wapi Mimi saivi ni doctor,alienisaidia ni waalimu wangu,baadhi,japo hawakunifunza kipaji Ila wametimiza ndoto zangu

  • @collinssinclair
    @collinssinclair7 ай бұрын

    more,more love 💕 from Nairobi Kenya, Napenda sana kazi yenu,njoo kenya

  • @ceciliahmanyange
    @ceciliahmanyange2 күн бұрын

    Ukweli baba joan ana huruma sana

  • @FattyDapetty-tj9vr
    @FattyDapetty-tj9vr4 ай бұрын

    Jamn tunaoendelea kuiangalia 2024 tujuan patronais utafka mbali sana one day yes

  • @ipher420
    @ipher420Ай бұрын

    Baba joan, mtu huanza kwake ndo aende asaidie nje

  • @neemaneychricious6493
    @neemaneychricious64932 ай бұрын

    Nimefrah kumwona jamaa wa bss hapoo upo vzr nyote jamn mpo vzr

  • @AshaTambala
    @AshaTambalaАй бұрын

    Patronize anatisha ktk kila move. Anahitaji taji pia anaimba vizur

  • @neemaneychricious6493
    @neemaneychricious64932 ай бұрын

    Nakukubal baba Joan uko vzr unapamban kaka kuleta mamb mazur

  • @GeorgeisayaWilson
    @GeorgeisayaWilsonАй бұрын

    Baba Joan uko vizuri

  • @IssacJr-wy9oj
    @IssacJr-wy9oj2 ай бұрын

    Hii movie nahipenda sana so very nice

  • @deniscosma1589
    @deniscosma1589Ай бұрын

    Nzuri sana tu 😊

  • @JajiKazungu
    @JajiKazunguКүн бұрын

    Huyu madam hata hajui kazi yake!

  • @EphipaniaKipkemoi
    @EphipaniaKipkemoi15 күн бұрын

    Twakushukuru sana baba joan

  • @AllyImranAlly-un7uo
    @AllyImranAlly-un7uo5 ай бұрын

    Wako vizuri sana katika sanaa baba Joan na patronize

  • @johkm2408
    @johkm24087 ай бұрын

    Mimi wapiri warimu jamani ivyobigodoro muwe munabipanga vizuri aaaaaa😂😂😂

  • @ngokamweri3343
    @ngokamweri33432 ай бұрын

    from mtwapa ucna isa mwalimu mgn ilinoga knma

  • @user-cf8ey2hu6b
    @user-cf8ey2hu6b7 ай бұрын

    Pongezi kwako baba joan naipenda kazi yako ambayo ina mafunzo 🙏🙏🙏

  • @joybillcomps6522
    @joybillcomps65222 ай бұрын

    mungu azidi kukupa vipaji vingi

  • @moise8515
    @moise8515Ай бұрын

    J'aime bien ce film 🤍 Et j'aime bien baba John tokea Congo RDC 🇨🇩

  • @Bendera-nk7wv
    @Bendera-nk7wv7 ай бұрын

    Inapendeza, mafunzo tele, .sure I like. it

  • @ElishaMkindi-mf8nd
    @ElishaMkindi-mf8nd2 ай бұрын

    Baba joan upovizuri sana natamani nipate nambazako

  • @ngokamweri3343
    @ngokamweri33432 ай бұрын

    baba joan movie zako znaelmsha sana kwa kwl tumejfnza mengi😊

  • @LoysseAgostinho
    @LoysseAgostinho7 ай бұрын

    Nimependa

  • @Sabrashamhuna-pg1wv
    @Sabrashamhuna-pg1wv7 ай бұрын

    Baba joan nimegundua kati yako ww na patronize anoimba vzr ni patronize

  • @shazilnamkoko-jx4fp

    @shazilnamkoko-jx4fp

    4 ай бұрын

    Na ndio maana anakuambia anaibua vipaji,uzuri wa P,unachangiwa na baba J

  • @user-tq6yc2ru1u
    @user-tq6yc2ru1u5 ай бұрын

    Patronise anajua sana kuimba❤

  • @user-qx2qj1li4q
    @user-qx2qj1li4q6 ай бұрын

    Hongera sana mwalim Kwa kazi yako

  • @thewiseone30
    @thewiseone303 ай бұрын

    naomba kujua wimbo huo patronize ameimbia mamake,,,umeimbwa na nan

  • @JairosShija
    @JairosShija4 ай бұрын

    Patronise you have good grift from you GOD keep up.

  • @user-gf4cb9uu1p
    @user-gf4cb9uu1p2 ай бұрын

    Baba Joan bigger up sana 🎉❤

  • @jamesmutali4356
    @jamesmutali43564 ай бұрын

    Mm swali langu ni naeza pataje hizi nyimbo za patroniz tamu sana naeza toa youtube kwel

  • @everyne.illankunda8292
    @everyne.illankunda82927 ай бұрын

    Baba joan ❤❤❤ nawapenda saana arakini muendereye 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @user-gc4py7zt8t
    @user-gc4py7zt8t4 ай бұрын

    Please mm naomba to jina y wimbo aky

  • @LoysseAgostinho
    @LoysseAgostinho7 ай бұрын

    Leo ni wa 5 kutazama uku🇲🇿🇲🇿💥💥

  • @msaniimusicgroupsantym2640
    @msaniimusicgroupsantym26406 ай бұрын

    Nawapenda sana❤❤❤❤❤🎉

  • @marymaina5245
    @marymaina52452 ай бұрын

    Sawa mwarimu mugeni

  • @HumphreyMateru
    @HumphreyMateru2 ай бұрын

    🎉🎉🎉 vizuri sana 1:20:51

  • @sikudhanimohammad7692
    @sikudhanimohammad76926 ай бұрын

    Wasanii jifunzeni kutumia kiswahili fasaha. Sasa baba Joan unasema nyimbo. kweli? Badala ya wimbo.

  • @user-ps5yy1vl5e
    @user-ps5yy1vl5e4 ай бұрын

    Hongera sana baba joan

  • @RehemaJumaKandawa
    @RehemaJumaKandawaАй бұрын

    Mwalimumgeni kiboko

  • @sinomiles
    @sinomiles5 ай бұрын

    Nimependa jinsi unapenda Talent

  • @lweyamacklodney
    @lweyamacklodney6 ай бұрын

    Baba joan and your friend God bless u, and to me its my tittel that nevr give up from malawi

  • @sylvanjosam3402
    @sylvanjosam34027 ай бұрын

    Vizri sana🎉🎉🎉🎉🎉

  • @mbelecimlondani8838
    @mbelecimlondani88385 ай бұрын

    Mama unacheza karata yako vizuru sana

  • @MartinSimba-dg5qc
    @MartinSimba-dg5qc14 күн бұрын

    Mwalimu magesa sio poa

  • @douglasobanda1954
    @douglasobanda19546 ай бұрын

    never giver up is the new slogan in my life. kudos!! Job well done. I am waiting for the next episode

  • @mohameduchungu3190
    @mohameduchungu31905 ай бұрын

    Ngoja niicheki màana sio kwa sifa hizo

  • @MariaMussa-bh5vj
    @MariaMussa-bh5vj21 күн бұрын

    Napenda patronize jmn

  • @user-dn6lv8xs4e
    @user-dn6lv8xs4e4 ай бұрын

    Patronise good perfomance and all people like babajoan athers so good job

  • @user-rh7hk4il2m
    @user-rh7hk4il2m6 ай бұрын

    Mubarikiwe kwakutokukata tama nasisi tumejifunzamengi kurokakwnyu mubarikiwe bivunja moyo biko ila nikujipakoyo nakutimiza vision yako

  • @shazilnamkoko-jx4fp
    @shazilnamkoko-jx4fp4 ай бұрын

    Huyu mwalimu kibonge ni mkubwa fela au nimechanganya

  • @TeresiahMuthoni-ie3hy
    @TeresiahMuthoni-ie3hy3 ай бұрын

    Uliaza hikazi lini

  • @aishaallyaishaally3220
    @aishaallyaishaally32207 ай бұрын

    Baba John ak ana moyo safi ❤❤❤

  • @user-kv2xs4tb5o
    @user-kv2xs4tb5o3 ай бұрын

    Huyu mzee mtiga jau 😂😂😂😂

  • @user-ko6qs5zk2f
    @user-ko6qs5zk2f4 ай бұрын

    Mama wa busara

  • @user-nr2nt9it2g
    @user-nr2nt9it2gАй бұрын

    Congratulations bt ningeomba iendelee pilizi😅

  • @user-lt3rk3pe3t
    @user-lt3rk3pe3t5 ай бұрын

    Kabisa mwalimu mgeni

  • @user-pm9hl1bu3w
    @user-pm9hl1bu3w6 ай бұрын

    Hiv patronise anashida kweli au maigizo

  • @sikudhanimohammad7692

    @sikudhanimohammad7692

    6 ай бұрын

    Ww si unaona ni maigzo haya? Ila vtu kama hv vpo katika jamii.

  • @user-py8ls2hs7l
    @user-py8ls2hs7l5 ай бұрын

    😊raha sana

  • @sikudhanimohammad7692
    @sikudhanimohammad76926 ай бұрын

    Alocheza mama yake Patronize anafanana kweli na Patronize

  • @user-lb9pp8yh3n
    @user-lb9pp8yh3n7 ай бұрын

    Nimekua wa nane leo nisaidie like Tatu bas❤❤❤❤❤❤❤

  • @user-zw7gc5xm9z

    @user-zw7gc5xm9z

    7 ай бұрын

  • @marykamau4837

    @marykamau4837

    6 ай бұрын

    ❤😊

  • @user-pw7bc2sc6c

    @user-pw7bc2sc6c

    5 ай бұрын

    ❤🎉😂

  • @aliceneema991

    @aliceneema991

    Ай бұрын

    Ki a​@@marykamau4837

  • @SaraMoraa-ji9df

    @SaraMoraa-ji9df

    Ай бұрын

    ❤❤❤❤

  • @yatorbony8518
    @yatorbony85185 ай бұрын

    In love with movies nowdays

  • @HapeMlungu-ci4ek
    @HapeMlungu-ci4ek2 ай бұрын

    Baba Joan nakupa like 10❤

  • @midofinga-jn5ku
    @midofinga-jn5ku7 ай бұрын

    Napenda San 😂😂😂😂😂😂😂😂 shing

  • @thomaskiponda6079
    @thomaskiponda60795 ай бұрын

    ADUI NAMBA 1 KWENYE MAISHA YAKO NI KUKATA TAMARA.

  • @user-tg1fh4tv1p
    @user-tg1fh4tv1p5 ай бұрын

    Ingine Kali🔥🔥🔥💯

  • @latestman433
    @latestman4336 ай бұрын

    Nmekua wa mwisho hapo vp

  • @Marcus-ou8is
    @Marcus-ou8is5 ай бұрын

    Jina ya hio ngoma please 🙏🙏🙏

  • @detectivehenry339
    @detectivehenry3396 ай бұрын

    Hhahahahhahahahaha eti mwalimu wa maths

  • @BiketiMichael
    @BiketiMichael26 күн бұрын

    Wow 😲 thanks

  • @user-ic8mc3bd8l
    @user-ic8mc3bd8l3 ай бұрын

    Keep it up ❤❤❤❤❤👏👏👏🙏🙏

  • @bazzymamvin
    @bazzymamvin7 ай бұрын

    Watching from kenya

Келесі