Mvutano waibuka kuhusu mipango mipya ya uchukuzi Mombasa

Baadhi ya wakaazi waelekea kortini kulalamikia kanuni za kaunti
Wanasema kubadilishwa kwa baadhi ya njia kumeathiri zaidi safari

Пікірлер: 24

  • @abdullahsalim698
    @abdullahsalim6982 жыл бұрын

    plan yao imefail sana warudishe kama mwanzo wakazi wa msa maisha yamewasonga na sasa hii system yao wamefanya nauli zimepanda sana,mwisho wa kwisha wanataka tuwapigie kura.

  • @majidsaid08
    @majidsaid082 жыл бұрын

    Kazi kula marungi english point wakija na fikra za mingokaa........ mombasa sio ya watu wawili wala watu wa nyali.....

  • @faizislam2378
    @faizislam23782 жыл бұрын

    Waache ujinga hao wafungue hii barabra hii mombasa sio ya family ya taufiq balala

  • @Be-Rean
    @Be-Rean2 жыл бұрын

    As mvitarian this was long overdue. Its an island bana, decongest the island. Introduce bicycle lanes, ama mulete gen Badi huku 😂🤣😂

  • @daisylangat820
    @daisylangat8202 жыл бұрын

    Mombasa has been thrown into real confusion unless you are here you cannot say we are resisting change

  • @riazjuma84
    @riazjuma842 жыл бұрын

    This Ujinga ya Joho wa Pojo kopo la choo hana maana kabisa.....he should resign

  • @remiomar7154
    @remiomar71542 жыл бұрын

    Mombasa siyo y joho n vinasty wake alipaswa ajulishe wachukuzi kabla y kufanya upuuzi alioamua munatakiwa muwe n umoja n wananchi wenu

  • @rosekadzokadzo1401
    @rosekadzokadzo14012 жыл бұрын

    So waliamua tuu kudo that they're jorking with us

  • @faizbenjega1364
    @faizbenjega13642 жыл бұрын

    Wanao support, wengi mafala hawana kazi kufanya na wewe balala badili ulete sera kwa watu wa mombasa ujitengenezee upate kiti cha Mp . No bure kabisaa

  • @mocua2910
    @mocua29102 жыл бұрын

    Jam itaisha pale nyumba zilizoko kando ya barabara kubomolewa kwa upanuzi wa barabara zilizoko ndani ya jiji wala sio kugeuza taratibu ya sheria za barabarani. Ni aibu kubwa sana jiji lina barabara ndogo mno tena lane mbili kila upande. AIBUUUU

  • @yusufibrahim3343
    @yusufibrahim33432 жыл бұрын

    Watoe bridge ya allidina watu wa nyali wawe na bridge yao hiyo naona tatizo litaisha

  • @salimhassan3369
    @salimhassan33692 жыл бұрын

    Wako hivyo utumia nguvu kila Mahali iyo ni kuonyesha awatambui Raia..

  • @SOLOVSOfficial
    @SOLOVSOfficial2 жыл бұрын

    mbona watu wanharakati zaku blame watu na implementation is not fully operating just give it like 30 days and see if they will have some improvement instead of bashing people without even knowing whats going on. ni kama mtoto azaliwe alafu you expect atembe kabla ya kutambaa the next day that will not bring improvement at all let's give it some times.

  • @MA-ht7po
    @MA-ht7po2 жыл бұрын

    leaders wa mombasa wote n wakora

  • @mr..tsofasam
    @mr..tsofasam2 жыл бұрын

    Kila wakati kulalamika ndio maana hakuna maendeleo,.

  • @fatumahassan149

    @fatumahassan149

    2 жыл бұрын

    Hiyo ndio maendeleo?

  • @fatumahassan149

    @fatumahassan149

    2 жыл бұрын

    Kama hiyo ndio maendeleo amechelewa Kaka aende apumzike polepole

  • @majidsaid08

    @majidsaid08

    2 жыл бұрын

    Wewe waonekana mtu wa nyali...

  • @joanqueck2902
    @joanqueck29022 жыл бұрын

    Wana wa adam amuishi kulalamika kila kukiwa na maendeleo mara hi mara ile

  • @bossluda7717
    @bossluda77172 жыл бұрын

    They should ban all Matatu and tuktuk and bring BRT

  • @dhakomodherooherokoko6037
    @dhakomodherooherokoko60372 жыл бұрын

    Mombasa is growing and such changes are necessary. Acheni ushamba watu wa mombasa

  • @salimdzuya5480

    @salimdzuya5480

    2 жыл бұрын

    Wacha ufala

  • @mwas4299

    @mwas4299

    2 жыл бұрын

    I agree with you Kenyans don’t like change 😢

  • @princehamid2375

    @princehamid2375

    2 жыл бұрын

    Shida si changes, the problem ni hkuna watu wa kuDirect gari hzo new routes na hio new system... Most drivers from other places hawajui ata hzo roads vzuri so inakoroga watu sana