Mombasa Cement yatishia kuondoa mapambo jijini Mombasa na kuyahamisha hadi kaunti ya Kilifi

Uamuzi wa serikali ya kaunti kusitisha misaada inayotolewa moja kwa moja na kampuni za kibinafsi kwa walalahoi umechukuwa mkondo tofauti. Hasukh Patel mmiliki wa kampuni ya Mombasa Cement sasa anatishia kuondoa mapambo ya jiji la Mombasa na kuyahamisha hadi kaunti ya Kilifi. Baadhi ya mapambo ambayo yanatazamiwa kuondolewa hii leo ni vinyago vilivyoko katika mzunguko wa makupa ambayo yamekuwa kivutio cha kitalii.

Пікірлер: 176

  • @davimalifetv
    @davimalifetv Жыл бұрын

    Sasa mnataka misaada ipelekwe kwa County government ndio muibe...yaani hamtosheki 😮

  • @edu-pw7hu

    @edu-pw7hu

    Жыл бұрын

    Hakuna investigate mombasa cement are very corrupt they grabbed 700acres of kilifi beach plot. When taken to court they started csr.. Wanting favours from the same government. Msa cement is corrupt kabisa Importi g workers from India..hawalipi tax..fully let the publish all transactions workers do veryong hours

  • @chrispinmdachi551

    @chrispinmdachi551

    Жыл бұрын

    Wanatakuiba nn

  • @kabuthakabutha9472

    @kabuthakabutha9472

    Жыл бұрын

    Hawatosheki hawa😠😠

  • @kadoditsa3805

    @kadoditsa3805

    Жыл бұрын

    Mashogaaa sanaaaa Hao Jamaa

  • @mbaruksaid5775
    @mbaruksaid5775 Жыл бұрын

    Mombasa cement amesaidia watu wengi sana kwaiyo abdswamadi achane nayeye kabisa maana county haina nguvu yakusaidia watu wote ambao mombasa cement alikua anasaidia

  • @ruwaidahadi7198
    @ruwaidahadi7198 Жыл бұрын

    Afadhali I agree with Patel action if someone does not value your presence move away

  • @juliandawiro4457
    @juliandawiro4457 Жыл бұрын

    Nooo😮😮😢 Mombasa will never be the same

  • @hkmeme5437
    @hkmeme5437 Жыл бұрын

    Mombasa cement amesaidia kuliko serikali sote

  • @edu-pw7hu

    @edu-pw7hu

    Жыл бұрын

    Hakuna investigate mombasa cement are very corrupt they grabbed 700acres of kilifi beach plot. When taken to court they started csr.. Wanting favours from the same government. Msa cement is corrupt kabisa Importi g workers from India..hawalipi tax..fully let the publish all transactions workers do veryong hours

  • @marymula6231
    @marymula6231 Жыл бұрын

    Mombasa Cement Paid Half of my late brother's hospital bill so I can't imagine what l am hearing. . Yaani it's still like a dream.

  • @terahedd2
    @terahedd2 Жыл бұрын

    Nassir I never imagined you can be this petty.aibuuu action.

  • @chrispinmdachi551

    @chrispinmdachi551

    Жыл бұрын

    Nassir ameangusha watu Sasa kwani wao wakisaidiaga hupitia kwa office za county

  • @josphatthuo7105

    @josphatthuo7105

    Жыл бұрын

    Hatutaki dictatorship

  • @elvinawakio

    @elvinawakio

    Жыл бұрын

    Ameishiwa hiloooo

  • @davimalifetv
    @davimalifetv Жыл бұрын

    Magi ofuo brukenge number one...nkt...County government isaidie kivyake na private sectors isaidie kivyake period

  • @happytimes9747
    @happytimes9747 Жыл бұрын

    Yani msaada upitie government, government ambayo inapesa ya serikali na haisaidii leo hii msaada wa ubinafsi pia wanataka hao ili maskini wasipate😢😢

  • @chrispinmdachi551
    @chrispinmdachi551 Жыл бұрын

    They feel threatened by patel this person has done allot # musiogope hatagombania kiti chochote tusisahau kibarani alifanya allot be bless mr patel

  • @habibiz9085
    @habibiz9085 Жыл бұрын

    Waliomchangua Swamad haya ! Uwizi mtupu ! Pesa ziende kwenye mfuko wake na Joho. Joho controls swamad .

  • @joycepeter1284
    @joycepeter1284 Жыл бұрын

    I’m convinced humility might be the most attractive leadership quality there is these days. Philippians 2:3 says "Don’t be selfish; don’t try to impress others. Be humble, thinking of others as better than yourselves." FOOLS LEADERS ONLY FIGHT. Galatians 6:9 says "So let’s not get tired of doing what is good. At just the right time we will reap a harvest of blessing if we don’t give up."

  • @rizikinassor5618

    @rizikinassor5618

    Жыл бұрын

    Anataka share apawe yeye na project Abdul SWAMAD wanata hongoooo😂😂😂😂haaaaaaaaaamu kulaaa huuiiiiiiii haooooooo

  • @happytimes9747
    @happytimes9747 Жыл бұрын

    Wakifunga hiyo tunaandamana tulipue hii County tuhame 😠 😡

  • @arthurkorir7846
    @arthurkorir7846 Жыл бұрын

    Impeach that governor!😢😢

  • @edu-pw7hu

    @edu-pw7hu

    Жыл бұрын

    Hakuna investigate mombasa cement are very corrupt they grabbed 700acres of kilifi beach plot. When taken to court they started csr.. Wanting favours from the same government. Msa cement is corrupt kabisa Importi g workers from India..hawalipi tax..fully let the publish all transactions workers do veryong hours

  • @mbaruksaid5775
    @mbaruksaid5775 Жыл бұрын

    Abdswamad anataka kupora sasa

  • @evalynek738
    @evalynek738 Жыл бұрын

    sasa ni petel after Ezakiel

  • @marymnyazi9471
    @marymnyazi9471 Жыл бұрын

    Mombasa cement karibu sana kwetu kilifi,ata jina uchange ukuwe kilifi cement kwani ni kesho

  • @wangagirl3508
    @wangagirl3508 Жыл бұрын

    Wachane na Mombasa cement kabisa huyo mtu walai anasaidia two weeks ago my brother alikufia makadara na alisaidia bill ya mochary na tikapeleka mwili western 😢😢😢wachene na huyu jamaa abagui mtu

  • @edu-pw7hu

    @edu-pw7hu

    Жыл бұрын

    Hakuna investigate mombasa cement are very corrupt they grabbed 700acres of kilifi beach plot. When taken to court they started csr.. Wanting favours from the same government. Msa cement is corrupt kabisa Importi g workers from India..hawalipi tax..fully let the publish all transactions workers do veryong hours

  • @kabuthakabutha9472

    @kabuthakabutha9472

    Жыл бұрын

    Ehhh pole Sanaa.

  • @user-tl5mp3hl5y
    @user-tl5mp3hl5y Жыл бұрын

    We should standup for hasu we all need him 😢

  • @maryamsalim3233
    @maryamsalim3233 Жыл бұрын

    Basi aitikie laana kwa watu aseme amin amin

  • @mohamedalimwangare
    @mohamedalimwangare Жыл бұрын

    Yale amekua akiyafanya kwa miaka yote hii ameshinda hata serikali zote zilopita na zilioko kusaidia wananchi wenye shida na maskini. Kusitisha hizo huduma eti kuelekezwa senti kwa kapu la serikali ya kaunti hizi ni dhulma kwani wanaoumia ni maskini na yeye anafanya mengi bila ubaguzi wa Aina yoyote ila bora uwe Mkenya tu ndio kibali chako hicho.

  • @rispaamollo7056
    @rispaamollo7056 Жыл бұрын

    Nairobi= Ruto vs Ezekiel Mombasa= Swamad vs Patel😳😳

  • @lisaogembo473
    @lisaogembo473 Жыл бұрын

    Hehehe....ati msaada lazima ipitie county government? Abdulswamahd has some very uda policies. Question is, does mombasa cement pay taxes? If they are doing all this and still pay they taxes, surely they are better managers than the county government.

  • @mahmoodmohammed1679
    @mahmoodmohammed1679 Жыл бұрын

    Wenyewe hamsaidii...mtu akitaka kusaidia pia apitie kwenu...mbona mnapenda kudhalilisha maskini kiasi hiki...

  • @rizikinassor5618

    @rizikinassor5618

    Жыл бұрын

    Wsnataka hongggoooooooo

  • @rizikinassor5618

    @rizikinassor5618

    Жыл бұрын

    Wanataka hongo

  • @rizikinassor5618

    @rizikinassor5618

    Жыл бұрын

    Pia maji likoni yako na kona zotee wanataka hongo kwendaaaa hukooo governor project

  • @shetalks3099
    @shetalks3099 Жыл бұрын

    The governor and leaders feel threatened by Patel. So petty

  • @edu-pw7hu

    @edu-pw7hu

    Жыл бұрын

    Hakuna investigate mombasa cement are very corrupt they grabbed 700acres of kilifi beach plot. When taken to court they started csr.. Wanting favours from the same government. Msa cement is corrupt kabisa Importi g workers from India..hawalipi tax..fully let the publish all transactions workers do veryong hours

  • @mariamkerre3110

    @mariamkerre3110

    Жыл бұрын

    There fame is from the suffering of the poor. Now the poor are not coming to them there fame is not on them and they feel threatened

  • @nahasonmatheri5751

    @nahasonmatheri5751

    Жыл бұрын

    @

  • @nahasonmatheri5751

    @nahasonmatheri5751

    Жыл бұрын

    @@mariamkerre3110 aa

  • @nahasonmatheri5751

    @nahasonmatheri5751

    Жыл бұрын

    @

  • @kadoditsa3805
    @kadoditsa3805 Жыл бұрын

    Ushogaaaa tu

  • @kabuthakabutha9472

    @kabuthakabutha9472

    Жыл бұрын

    Wasema polepole🤔

  • @thuwaibaomar9510
    @thuwaibaomar9510 Жыл бұрын

    Wezi wakubwa...sijui watashiba lini

  • @mwanamisimtsumi2588
    @mwanamisimtsumi2588 Жыл бұрын

    Mombasa cement yuko Sawa sanaa

  • @edu-pw7hu

    @edu-pw7hu

    Жыл бұрын

    Hakuna investigate mombasa cement are very corrupt they grabbed 700acres of kilifi beach plot. When taken to court they started csr.. Wanting favours from the same government. Msa cement is corrupt kabisa Importi g workers from India..hawalipi tax..fully let the publish all transactions workers do veryong hours

  • @maryamsalim3233
    @maryamsalim3233 Жыл бұрын

    Wala hawata tosheka hata wakitiwa kaburini pia wataiba hasbuna llah wanima lwakil

  • @gugahmediaafrica9405
    @gugahmediaafrica9405 Жыл бұрын

    Wapumbavu hao viongozi kwan sisi maskini tukisaidika ni vibaya..mombasa cement anasaidia watu sana..tutaandamana shenz

  • @edu-pw7hu

    @edu-pw7hu

    Жыл бұрын

    Hakuna investigate mombasa cement are very corrupt they grabbed 700acres of kilifi beach plot. When taken to court they started csr.. Wanting favours from the same government. Msa cement is corrupt kabisa Importi g workers from India..hawalipi tax..fully let the publish all transactions workers do veryong hours

  • @alibai4051
    @alibai4051 Жыл бұрын

    Abduswamad mwache bwana patel aendelee ametusaidia sana sisi wa lala hoi

  • @EVILWARNS2023
    @EVILWARNS2023 Жыл бұрын

    This company should paY tax waache kujificha kwa kujifanya wanasaidia tumisaada ndogo ndogo mwanzo wanahide illegal indian foreigners kwa hiyo kampuni wafinywe

  • @fatimaabubakar719

    @fatimaabubakar719

    Жыл бұрын

    Do you have Prof to your accusations.mjiga wewe . Can you even feed 5 neighbours . Do you even know there names 🤔. Uliza hao maskini wanao fadhiliwa on what the feel and go through. Kenya ni democracy country and the is every ways possible to hand such issues. Sio ati uthalilishe maskini to prove stupid point. Nasser need to grow up

  • @imaraimara4975

    @imaraimara4975

    Жыл бұрын

    Do you know how many kenyans Mombasa cement is employing?? Instead of yapping. How many people have you helped??

  • @EVILWARNS2023

    @EVILWARNS2023

    Жыл бұрын

    Sasa kuna kitu umeongea au ni kuwashwa unawashwa utategemea kupewa hadi lini,wakati unaibiwa kuliko hiyo makombo unpewa

  • @kuschprince3216
    @kuschprince3216 Жыл бұрын

    "Aibu! Aibu! Serikali kuu imeshindwa kujenga kituo kipya cha police taangu miaka 60 iliyopita,sasa mtu binafsi ndiye mwokozi wetu,anajenga ukuta wa kuzuiya watu wasione hiyo aibu,kisha tunaambiwa: "Najivunia Kuwa Mkenya"!! Hii kenya igawanye kila mtu aende kwao!

  • @edu-pw7hu

    @edu-pw7hu

    Жыл бұрын

    Hakuna investigate mombasa cement are very corrupt they grabbed 700acres of kilifi beach plot. When taken to court they started csr.. Wanting favours from the same government. Msa cement is corrupt kabisa Importi g workers from India..hawalipi tax..fully let the publish all transactions workers do veryong hours

  • @hkmeme5437

    @hkmeme5437

    Жыл бұрын

    Basi Gawanya

  • @husna34562

    @husna34562

    Жыл бұрын

    ​@@hkmeme5437 ikigawanywa niite😂

  • @kabuthakabutha9472

    @kabuthakabutha9472

    Жыл бұрын

    @@husna34562 mipia niiteni jamaa munisahau😂😂

  • @meshackwachira3321
    @meshackwachira3321 Жыл бұрын

    Na si huyo governor ni wa azimio, he is from ODM...

  • @sheehamadnganzi8317
    @sheehamadnganzi8317 Жыл бұрын

    Good

  • @DjRudeboy254
    @DjRudeboy254 Жыл бұрын

    saidikika ni nini?

  • @samsonmuisyo6990
    @samsonmuisyo6990 Жыл бұрын

    Kenyans must stop worshiping politicians and instead embrace those who stand and support them.

  • @elvinawakio

    @elvinawakio

    Жыл бұрын

    True!

  • @fawashamfawasham5245
    @fawashamfawasham5245 Жыл бұрын

    Abdulswamad kura yangu ushaikosa...

  • @vjkondekenya2744
    @vjkondekenya2744 Жыл бұрын

    Hiii Kenya walayi

  • @eddyrandu3127
    @eddyrandu3127 Жыл бұрын

    Mombasa cement iko kilifi south.

  • @cecilykimani4400
    @cecilykimani4400 Жыл бұрын

    Mombasa county should stop bothering mombasa cement he's a good guy

  • @ahmedaljabri5891
    @ahmedaljabri5891 Жыл бұрын

    ODM semeni pia Ruto ndie alie sababisha haya...kama mombasa cemement ako na record mbaya au uhalifu semeni na ithibati sio mutake pesa mikononi mwenu

  • @sazirualex6806
    @sazirualex6806 Жыл бұрын

    I blame ruto

  • @rizikinassor5618
    @rizikinassor5618 Жыл бұрын

    I agree with patel

  • @aliabdallah5981
    @aliabdallah5981 Жыл бұрын

    Bwana Govornor kifupi ume saliti maskini wote wa Mombasa kwa jumla na vitu Mombasa Cement ame fanyia watu wa mombasa hata robo huwezi fanya

  • @carenm.m2823
    @carenm.m2823 Жыл бұрын

    As they should. The company itself is in kilifi county.

  • @edu-pw7hu

    @edu-pw7hu

    Жыл бұрын

    Hakuna investigate mombasa cement are very corrupt they grabbed 700acres of kilifi beach plot. When taken to court they started csr.. Wanting favours from the same government. Msa cement is corrupt kabisa Importi g workers from India..hawalipi tax..fully let the publish all transactions workers do veryong hours

  • @petermwaluma2044
    @petermwaluma2044 Жыл бұрын

    No political leader in this country Kenya can volunteer to assist many Kenyans who living in poverty life and this is unfair at all why hiyo pesa iende kwa county this is corrupt leaders who are insisting on this

  • @elvinawakio

    @elvinawakio

    Жыл бұрын

    Siku hizi viongozi wale wako uongozini Kenya wao wanaona pesa tuuu hawaoni umhimu wa mwanadamu haibu kwako ww kiongozi wa count shame on you!! Una mpango Gani na hiyo missada??? Ziwekwe Kwa serikali ndio uzikule wenye watahitaji msaada uwanyanyase??? Afadhali ihamishwe ukose Kila kitu mlafi ww kiongozi

  • @elvinawakio

    @elvinawakio

    Жыл бұрын

    Yaani viongozi wa Kenya mtu akitaka kusaidia mna muonaje?? Mwaanza kumfuatiliaaa yaani haja ya hii serikali mtu mnyonge aendelee kufinyiliwaa tuuu Mungu atawalaani afadhali Moi na kibali ndio walikua viongozi wa busara

  • @sylviaecke1772
    @sylviaecke1772 Жыл бұрын

    sasa maisha ya mekua magumu,halafu mnatoa msaada haki Ruto unafaa ufe kabisa this is so sad umelaniwa na mungu atakutosha wewe

  • @edu-pw7hu

    @edu-pw7hu

    Жыл бұрын

    Hakuna investigate mombasa cement are very corrupt they grabbed 700acres of kilifi beach plot. When taken to court they started csr.. Wanting favours from the same government. Msa cement is corrupt kabisa Importi g workers from India..hawalipi tax..fully let the publish all transactions workers do veryong hours

  • @kabuthakabutha9472

    @kabuthakabutha9472

    Жыл бұрын

    Ni Ruto ama ni Governor abdulswamad mwenye ametoa hio amri????? Get your facts right

  • @sheehamadnganzi8317

    @sheehamadnganzi8317

    Жыл бұрын

    Sasa kwani ruto ndie gavana wa Mombasa,kweli wewe ulizoea kurusha mawe

  • @sheehamadnganzi8317

    @sheehamadnganzi8317

    Жыл бұрын

    Tafuta kazi ufanye wachana na vitu vya bure

  • @rizikinassor5618
    @rizikinassor5618 Жыл бұрын

    Toaaa peleka mapambo kilifi wanataka hongoooooo ni johooooo amemtuma kiproject wake

  • @rizikinassor5618
    @rizikinassor5618 Жыл бұрын

    Tuliwambia ni johooooooo

  • @sheehamadnganzi8317
    @sheehamadnganzi8317 Жыл бұрын

    Tafuta wenyeji wa Mombasa uwaoji please

  • @adnanmash9089

    @adnanmash9089

    Жыл бұрын

    Very true hakuna locals wa Mombasa wenyewe wahojiwe sijui why.

  • @kabuthakabutha9472

    @kabuthakabutha9472

    Жыл бұрын

    Mombasa is a cosmopolitan City. Hakuna mwenyeji

  • @sheehamadnganzi8317

    @sheehamadnganzi8317

    Жыл бұрын

    @@kabuthakabutha9472 wewe hujielewi ,eti hakuna wenyeji,unawazimu wewe

  • @kabuthakabutha9472

    @kabuthakabutha9472

    Жыл бұрын

    @@sheehamadnganzi8317 staki MATUSI..kama huwezi toa hoja Yako basin Wacha.

  • @winnieagawo6723

    @winnieagawo6723

    Жыл бұрын

    Alshabab wew.useless.hapo ni kwenu ndio mana hukusoma

  • @user-jb8zc1ph7k
    @user-jb8zc1ph7k Жыл бұрын

    Stop being petty Mr. Governor, usitukoseshe mazuri tafadhali

  • @fatmahamesa2449
    @fatmahamesa2449 Жыл бұрын

    Sitabia hiyo abdl uswamad

  • @sheehamadnganzi8317
    @sheehamadnganzi8317 Жыл бұрын

    Leteni Ali kiba awapigie mziki tu

  • @samuelchumaa9045
    @samuelchumaa9045 Жыл бұрын

    Huyu Abdul swamad asituletee uchoko wake achana na Mombasa Cement ye ndo ywafanya mji WA Mombasa leo una muonekano

  • @edu-pw7hu

    @edu-pw7hu

    Жыл бұрын

    Hakuna investigate mombasa cement are very corrupt they grabbed 700acres of kilifi beach plot. When taken to court they started csr.. Wanting favours from the same government. Msa cement is corrupt kabisa Importi g workers from India..hawalipi tax..fully let the publish all transactions workers do veryong hours

  • @user-nb2tb9zk5i
    @user-nb2tb9zk5i Жыл бұрын

    Mtu kama nimzuri wamuaje na anafanya kazi vizur wamuaja

  • @edu-pw7hu

    @edu-pw7hu

    Жыл бұрын

    Hakuna investigate mombasa cement are very corrupt they grabbed 700acres of kilifi beach plot. When taken to court they started csr.. Wanting favours from the same government. Msa cement is corrupt kabisa Importi g workers from India..hawalipi tax..fully let the publish all transactions workers do veryong hours

  • @josephwairimu6222
    @josephwairimu6222 Жыл бұрын

    Wanataka kuiba

  • @sohrabtajadin3402
    @sohrabtajadin3402 Жыл бұрын

    CHOKORAA WAMEZIDI NA WANAPORA WATU NA KUIBA VYUMA. WAONDOLEWE WOTE.

  • @edu-pw7hu

    @edu-pw7hu

    Жыл бұрын

    Hakuna investigate mombasa cement are very corrupt they grabbed 700acres of kilifi beach plot. When taken to court they started csr.. Wanting favours from the same government. Msa cement is corrupt kabisa Importi g workers from India..hawalipi tax..fully let the publish all transactions workers do veryong hours

  • @rizikinassor5618
    @rizikinassor5618 Жыл бұрын

    Joho huyooooo mwanA hizaya

  • @aishasaidi1784
    @aishasaidi1784 Жыл бұрын

    😂😂😂😂😂😂😂😂wacha wavutane ila Mombasa Kuta Baki mavi tu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂na maji taka

  • @eriminahmshai
    @eriminahmshai Жыл бұрын

    Kwani yeye huyo gavana zake za county anataka kupeleka wapi awachane na Mombasa cement kabisa huyo jamaa amesaidia sana tena sana kwani sisi wenye tulikuwa hatuna maji yakanjoo lakini yeye anatuletea na tunashukuru je county inasaidia nini wakati hata chakula kinachukuliwa na machifu wakipeleka madukani wauziwe wapewe pesa wakati walala hoi wanalala njaa hakuna kitu kama hiyo wanashindwa kufatilia ufisadi anasumbua Mombasa cement kwa nini.

  • @rizikinassor5618
    @rizikinassor5618 Жыл бұрын

    It's ni johoo

  • @lenardbarasa6651
    @lenardbarasa6651 Жыл бұрын

    Nchi yetu ya ajabu..

  • @sultanmswahilitv4864
    @sultanmswahilitv4864 Жыл бұрын

    Watu wa mombasa mnafaa kuandamana juu ya huyu gavana wenu mjinga

  • @julianandungemwaniki2606
    @julianandungemwaniki2606 Жыл бұрын

    Serikali itoe mchago waenda wasaidi bila kuagalia wasidiane na hao hii wasiwafunje moyo wa is a nina wengine watajitoa waweze kusaidia pia

  • @mushken65
    @mushken65 Жыл бұрын

    Dada kutokea Nyanza ongea kiswahili maana kingereza tumeshasahahu ila naomba rutu akufe ni mateso yale ameletea wakenya

  • @kabuthakabutha9472

    @kabuthakabutha9472

    Жыл бұрын

    Dua za kuku hazimpati mwewe!!!!

  • @elvinawakio
    @elvinawakio Жыл бұрын

    Sasa wanataka pesa za msaada zingie kwa serikali kwani serikali pia inataka kusaiwa kama mayatima na wajane?? Ww unae sema ati pesa za msaada wataka ziingie kwa kapu la serikali ndio mjue ni nani amesaidiwa nyinyi wenyewe kama serikali mmesaidia wangapi??? Acheni tabia ya ZAKAYO!!!!

  • @b10kilifi68
    @b10kilifi68 Жыл бұрын

    Serikali imelaniwa huo ndio ukweli

  • @edu-pw7hu

    @edu-pw7hu

    Жыл бұрын

    Hakuna investigate mombasa cement are very corrupt they grabbed 700acres of kilifi beach plot. When taken to court they started csr.. Wanting favours from the same government. Msa cement is corrupt kabisa Importi g workers from India..hawalipi tax..fully let the publish all transactions workers do veryong hours

  • @mikemwasambuchefdeparty.3546
    @mikemwasambuchefdeparty.3546 Жыл бұрын

    What is wrong with Mombasa Cement helping the people? Yani hii County hawaoni Mazuri na utu patel anao fanya

  • @rahplenyengerahplenyenge722
    @rahplenyengerahplenyenge722 Жыл бұрын

    . Mljimo

  • @Queen-Ruth
    @Queen-Ruth Жыл бұрын

    Huu ni upuzi .. He has only 4yrs to leave

  • @julianandungemwaniki2606
    @julianandungemwaniki2606 Жыл бұрын

    Wacheni kuwekea watu vikwazo

  • @aniloveyadav6274
    @aniloveyadav627410 ай бұрын

    Kenya has lot of opportunities but the politician make it worst. Politician doesn't want people to get educated, health and happiness. They use different tactics to make them against great work like Mombasa cement.

  • @Aisha_houses
    @Aisha_houses Жыл бұрын

    Aty mmsaada upitie kwake 😂😂😂😂😂😂😂

  • @mufush
    @mufush Жыл бұрын

    I supported Nassir but on this I dont agree with him

  • @CNyabera
    @CNyabera Жыл бұрын

    Si ni CSR TU Community Social Responsibility ama county inaskia wivu?😂

  • @muhammadhariz1100
    @muhammadhariz1100 Жыл бұрын

    Kama kweli anasaidia afunguliye watu kazi, chakula ya bure imejaza machokoraa imelemaza vijana wasifanye kazi.

  • @mwaiphamkuruto1087
    @mwaiphamkuruto1087 Жыл бұрын

    Aongoze 5 years aende Mvita hafai

  • @maryamsalim3233
    @maryamsalim3233 Жыл бұрын

    Tuliona tumpe kura zetu atakuwa mwenzetu kumbe fisadi mkubwa eti ni sharifu atakuwa mwema ni mtu hasidi wa kisharifu

  • @imaraimara4975
    @imaraimara4975 Жыл бұрын

    The so called leaders we have are very selfish. What harm is he causing by helping the poor people?? Mombasa cement should also consider moving his cement company elsewhere where he's appreciated as a philanthropist.

  • @harriestv8276

    @harriestv8276

    Жыл бұрын

    The company is in Kilifi not even mombasa. He only stretches a helping hand there.

  • @elvinawakio

    @elvinawakio

    Жыл бұрын

    Yes akihamisha vinyago kilifi,next ahamishe com yake ya cement kilifi ndio huyo anajiita serikali ya count afungue hiyo com yy alafu pesa za msaada aeke Kwa serikali upo!

  • @abdulazizkilai7285
    @abdulazizkilai7285 Жыл бұрын

    😂😂😂😂ACHA nicheke

  • @beautifullyMade2024
    @beautifullyMade2024 Жыл бұрын

    Someone is expressing their Psychopathic traits.....sad that it disturbs them imaging and seen struggling person get helped.

  • @DavidjosphatGitonga-jb3gl
    @DavidjosphatGitonga-jb3gl Жыл бұрын

    Selikali ya kaunti wivu mtupu

  • @KPHC990
    @KPHC990Ай бұрын

    Mr Govenor started na miraa now anataka kuiba msahada. huna aibu gavana, uogopi karma wewe.

  • @sophiezakaria
    @sophiezakaria Жыл бұрын

    Kenya kwisha 😭😭😭😭

  • @marymula6231
    @marymula6231 Жыл бұрын

    This is madness

  • @matts6894
    @matts6894 Жыл бұрын

    They really are behaving like Gachagua ..who thinks everything should be channeled to the Govt

  • @muhammadhariz1100
    @muhammadhariz1100 Жыл бұрын

    Hawa masanamu ni waungu wao wame wajaza ķuanziya kibarani mpaka msa yote, nakumatt ilikuwa alama yao ndovu, mash bus alama yao na huyu alama yake maana ya mungu wao, naatowe masanamu yake mji utwahirke malaika wateremke na rehema zake Allah

  • @samsonkipngetich7752
    @samsonkipngetich7752 Жыл бұрын

    Mombasa governor should stay very far away from Mombasa cement . Nobody wants to imagine how Mombasa would look like without the Boss Mombasa .

  • @elvinawakio

    @elvinawakio

    Жыл бұрын

    Very very very far indeed!

  • @elvinawakio

    @elvinawakio

    Жыл бұрын

    Huyo kiongozi Hana maana kabisa kwanza aondolewe madarakani haraka sana anarudisha Msa nyuma ashindwe sana na kutokuelewa kwake

  • @rayanjoseck4458
    @rayanjoseck4458 Жыл бұрын

    The rise and fall of Abdhuswamad Sharif Nasir

  • @ruthnyola5179
    @ruthnyola5179 Жыл бұрын

    Stress za mAfuto

  • @andallaathman3856
    @andallaathman3856 Жыл бұрын

    Abdusamad awache upuzi hebu

  • @edu-pw7hu

    @edu-pw7hu

    Жыл бұрын

    Hakuna investigate mombasa cement are very corrupt they grabbed 700acres of kilifi beach plot. When taken to court they started csr.. Wanting favours from the same government. Msa cement is corrupt kabisa Importi g workers from India..hawalipi tax

    ​@@inchiyangu8094 😂😂😂😂😂

  • @andallaathman3856

    @andallaathman3856

    Жыл бұрын

    @@husna34562 afreen huyu niyule ni.mjuae ama mwengine hahhaha 🤣😀

  • @husna34562

    @husna34562

    Жыл бұрын

    Ndio yeye 🤣

  • @darkdarker4596
    @darkdarker4596 Жыл бұрын

    Mombasa cement ameharibu mombasa kabisa akwende mbali NA msadaa yake mombasa imerudi kukuwa chokara town KWENDA nairobi or india KWENDA kabisa chukua sana u ZAKO

  • @edu-pw7hu

    @edu-pw7hu

    Жыл бұрын

    Hakuna investigate mombasa cement are very corrupt they grabbed 700acres of kilifi beach plot. When taken to court they started csr.. Wanting favours from the same government. Msa cement is corrupt kabisa Importi g workers from India..hawalipi tax..fully let the publish all transactions workers do veryong hours

  • @athmanamourjuma1461

    @athmanamourjuma1461

    Жыл бұрын

    Tueleze ameharibu,na anasaidia

  • @kabuthakabutha9472

    @kabuthakabutha9472

    Жыл бұрын

    Staki kutukana lakini wewe hauko sawa.

  • @edu-pw7hu

    @edu-pw7hu

    Жыл бұрын

    @@athmanamourjuma1461. Hawa jama ungilinanisha na favours wanazopata . Waindi importation. Taxes am not very sure. Cement poor quality. Kilifi land gone. Free adverts in Mombasa. EVERYWHERE. ALL MANAGEMENT WAINDI. LOCALS BLACKS KAZI ZA CHINI. LONG HOURS DICRIMINATION OF EMPLOYMENT POLICIES.

  • @alibai4051

    @alibai4051

    Жыл бұрын

    Naomba serikali ya county waachane na Mombasa county, Mombasa county ametusaidia Sana tena Sana Sisi WA maskini upande WA kutusaidia hospitali bill, pamoja na shida kubwa za ugonjwa na chakula na Majid ya kunywa katika jiji la mbsa

  • @Kidszone-lo5sy
    @Kidszone-lo5sy10 ай бұрын

    governer is fully corrupt and useless, some report also say that governer ask for money from mombasa cement but mombasa cement refuse to give money to governer thatsway they turn against mombasa cement. this is shameful.

  • @omarbachu1074
    @omarbachu1074 Жыл бұрын

    Mombasa sio mahali yaku abudu sanamu na vinyago apeleke factory takaungu

  • @rizikinassor5618
    @rizikinassor5618 Жыл бұрын

    Usikubali kukaa nao wanata hongo hana mishahara kulipia kampuni zake wafanyi kazi project 😂😂😂😂

  • @kalennkatha
    @kalennkatha Жыл бұрын

    Kenya siku hizi imekua inch ya macatoons

Келесі