MUME WA ROBOTI EUNICE NDANI YA SABASABA

Ғылым және технология

DAR ES SALAAM: Ukuaji wa Teknolojia umesababisha kuvumbuliwa kwa mashine nyingi ambazo hurahisisha shughuli za kila siku za Mwanadamu. Moja ya mashine hizo ni matumizi Roboti.
Makumi kwa mamia ya wahudhuriaji wa Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba 2024) wamevutika na Roboti zilizoko katika maonesho hayo na moja wa roboti huyo inasemekana ni mume wa roboti wa Wizara ya Habari, Roboti Eunice.
Follow us on:
FACEBOOK;
SpotiLeo: / spotileo-176. .
HabariLeo: / habarileo
DailyNews: / dailynewstz
INSTAGRAM;
HabariLeo: habarileo_tz?ig...
SpotiLeo: spotileo?igshid...
TWITTER;
Twitter HabariLeo: HabariLeo?s=09

Пікірлер: 3

  • @teddymutani856
    @teddymutani85614 күн бұрын

    😅😏😏😏

  • @musamwapinga361
    @musamwapinga36115 күн бұрын

    APA tumepigwaa roboti uwa awazungumzi Kwa haraka kiasi hichoo

  • @GodfreyOsward

    @GodfreyOsward

    15 күн бұрын

    Chombo cha Al Jazeera, kilitumgazia kwamba kampuni ya RADELIFAME yaTz imeweza kugundua umfumo wa robot kujifunza yaani adaptive learning. Kama alivyosema Mzee Warioba, waandishi wa habari hatuna habari za kutujulisha wanachi wanafanya nini. Hawa wametengeneza mfumo mwingine skyline and logistics. Umeanza kutumika nchi 193. Tungekuwa tunakimbilia fursa. Hawa ndio tungewaleta kwenye maonyesho. Hawa wamebuni chimbo la utajiri wa taifa .

Келесі