'Mnashuhudia ninavyotukanwa'

'Kelele nyingi zinapigwa wakiona hujibu wanasema sasa tumtukane atajibu au hajibu, Sijibu! nageuka chura masikio sisikii kabisa nachotaka mageuzi ya kiuchumi'
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amezungumza hayo wakati akipokea gawio na michango kutoka mashirika na taasisi za umma Ikulu jijini Dar es Salaam.
#bbcswahili #tanzania #raissamiasuluhuhassan
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili / @bbcnewsswahili

Пікірлер: 11

  • @gaspeldaniel1140
    @gaspeldaniel1140Ай бұрын

    Kiukweli mimi sintokukubali . Maana ufisadi na rushwa zimejikita na uko kimya mama Chura

  • @oneviusonesphory6156
    @oneviusonesphory6156Ай бұрын

    Piga kazi Madame President

  • @IssacNtacho
    @IssacNtachoАй бұрын

    Mbn ajira za walim hamtoi barua wakaonba?

  • @IssacNtacho
    @IssacNtachoАй бұрын

    Mnamalengo mwaka huu msiajiri walimu na madaktari?

  • @henrymsoma8945
    @henrymsoma8945Ай бұрын

    Mageuzi ya namna gani? Kumnufaisha aliyeko juu (boom stage) na kumnyanyasa mtanzania wa kipato Cha kati na chini.

  • @prosperjohn2047
    @prosperjohn2047Ай бұрын

    🤔🤔🤔🤔🤔🤔

  • @AlenKinyina
    @AlenKinyinaАй бұрын

    Bora chura

  • @TheOtherMwalimu

    @TheOtherMwalimu

    Ай бұрын

    Kabisa. Bora raisi atakuwa mmoja wa Hawa chura nje ya dirisha. Huyu mama anauza nchi na kuharibu uchumi mwenyewe

  • @user-hp7um4mz4b
    @user-hp7um4mz4bАй бұрын

    😒😒😒

  • @nuhhumwakanyamale4771
    @nuhhumwakanyamale4771Ай бұрын

    🐸🐸🐸🐸 Basi Wazee wa jangwani wamefurahii.... 😂😂😂

  • @user-rz1fb4jj9j
    @user-rz1fb4jj9jАй бұрын

    Maisha magumu kitaa

Келесі