#MEDANIZASIASA

Karibu utazame chaneli yako pendwa ya Star TV Africa.
Jiunge nasi kupata habari za kitaifa na kimataifa, makala, burudani na habari za michezo katika nyanja zote!
Kutoka Ilemela - Mwanza, Tanzania mpaka ulipo, TUNAKUFIKIA!
Star TV Brightens Your Day !

Пікірлер: 115

  • @LissaJonas
    @LissaJonasАй бұрын

    55:50 Washiriki wapigwe 😂😂😂😂

  • @KhaleedHamad-vl7lz
    @KhaleedHamad-vl7lz4 ай бұрын

    Kaka mungu akubariki akuweke unatufungua macho sana

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel71499 ай бұрын

    Sahihi kabisa Gurumo, Wasiungane wakampa adui mkongwe nafasi ya kuwashambulia sehemu moja! Waweke mawazo yao mezani na kuyachambua kujua huyu analenga nini,na yule analenga wapi kumpiga adui huyu. Kupishana kimawazo,sio kutofautiana,na malumbano ndio SIASA! Tuangalie historia ya adui kuua CUF,na NCCR kisha tuipe pongezi CDM na Mbowe anayeandamwa na vipandikizi machawa kila kukicha kusudi kuua CDM tujifunze kitu!. Mbowe,Lisu, Mnyika,Bazecha,Bawacha,na Bavicha ni Miamba ya M4C iliyoshindikana CCM, no fear,no hate

  • @josephmwita6012
    @josephmwita60129 ай бұрын

    very powerfully leader mr ngurumo

  • @rastheunique
    @rastheunique9 ай бұрын

    We jamaa Mungu akutie nguvu sana! Unafanya chaguzi ngumu ambazo wanahabari wenzako wengi wa Tanzania hawathubutu!!

  • @2mtei466
    @2mtei4669 ай бұрын

    Ngurumu, you are an asset to this country. Napenda unavyochambua hoja.

  • @msabahaali758
    @msabahaali7589 ай бұрын

    mzee ngurumo yuko vizuri sana

  • @josephgomalo41

    @josephgomalo41

    9 ай бұрын

    Kwa sababu hujawahi msikiliza Nyerere haswa inakukuja kwenye swala la kupinga rushwa, unyonyaji na kulinda maliasili za Tanganyika!

  • @Jonnibo
    @Jonnibo9 ай бұрын

    Hayati john alikuwa vizuri na kunataswira ya inchi alitaka iwe sema iligharimu kuifanikisha maana complicate ilikuwa kubwa kugeuza mambo yaliokuwa hivi yawe hiwi watu wa aina fulani wawe wa namna hii kwakweli alikuwa na taswira iliyohitajisupport na awereness

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma32319 ай бұрын

    Alikuwa analichafuajina La Tanzania vibaya😢 sana

  • @johnsinyinza7450
    @johnsinyinza74505 ай бұрын

    Nyerere walifunga misada IMF. Nandipo alisema mwinyi kubari tutauwa watu alilazimisha kuwa na vyama vya upinzani.

  • @frankminga9307
    @frankminga93079 ай бұрын

    Uko vizuri sana Asbeth

  • @rogersiddy
    @rogersiddy7 ай бұрын

    Mtangazaji bado sana huna maswali ya msingi unamuulizaje mtu kila siku utarudi utarudi lini?yaan unasubiri kulejea kwa mtu wala hana msaada kwako humpi kula humkatii ticket ya ndege yaan bado sana Tanzania yetu juu ya wanahabari wetu wachache wanaojielewa wengi hufuata mkumbo wengi wanamanudmfaa kwa matumbo yao tu

  • @hajimnubi4581
    @hajimnubi45819 ай бұрын

    Magufuli sí hayupo mbona harudi sasa?

  • @user-jk6yy6uy1t
    @user-jk6yy6uy1t9 ай бұрын

    Swali la mwenyekiti Unazingua Najua wewe Ni Chadema Tu

  • @lugendondago8493
    @lugendondago84939 ай бұрын

    Wewe ni mbea kabisa, acha unafiki

  • @petersilas4234
    @petersilas42349 ай бұрын

    Magufuli atakumbukwa Africa kwa ajili ya uwezo mkubwa sana wa kusimamia mambo. Hata Leo management style inayotakiwa hapa Africa ni Ile ya Magufuli. He has changed things forever. Wananchi wanajua wanachotaka Sasa hivi. Vita ya uchumi hasa kwenye sekta ya madini Ina mafanikio makubwa. Upigaji kwenye hii sekta umedhibitiwa. Magulification of Africa ni falsafa itakayoendelea tu mpende msipende. Ilitakiwa mtu mwenye ujasiri kuletahayo mabadiliko. Samia anaflow tu kwa sababu msingi ushawekwa.

  • @josephgomalo41

    @josephgomalo41

    9 ай бұрын

    Hata hiyo flow yenyewe inamshinda.. mtu hawezi kuwa fisadi halafu pia afanikiwe kuwa mtendaji mzuri.. haiwezekani!

  • @mshikamanojames7610

    @mshikamanojames7610

    7 ай бұрын

    Mfuate alipo

  • @sonnyr1899

    @sonnyr1899

    3 ай бұрын

    @@mshikamanojames7610 Hata wewe pia utake na usitake njia Ya umauti ni yetu sote ndugu yangu ila fact Ya kuwa ufanya kazi wa Magufuli na kasi alio kuwa nayo katika kubadili maendeleo Ya taifa haitofutika.

  • @mugemainyas5241
    @mugemainyas52419 ай бұрын

    Mkapa alisema kuna wakimbizi na wakimbilizi . Naamini huyo ni mkimbilizi .

  • @LissaJonas
    @LissaJonasАй бұрын

    Ni wazo zuri lakini lakijinga 32:00

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda13194 ай бұрын

    Uchambuzi wake ktk Miaka mitatu ya Samia ni sawa ila shida ni moja tuu Hawa wageni kushikilia rasilimali ltatuletea shida mbeleni km utawala wa banjamini mkapa leadership alavyokuwa kwenye wakati mgumu sana John pombe makufuli leadership

  • @bonabonala5559
    @bonabonala55598 ай бұрын

    pole mh A ngurumo mungu akurinde tunajua uriona mbali kuogopa mauaji kama azori gwanda muaji kafa yeye nyiee upo hai ariee baki ni bashite au makonda nae atafata punde na akihusika samia atakufa mapema kuriko muda wa wake wa kutawala wanakuja na mapya wataondoka na hayo mapya aamina

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda13194 ай бұрын

    Azbet ngurumo there in Sweden is the professional janalist with experience in Tanzania on his jobs as the tanzanian janelist run away of his life on is explanation during late John pombe makufuli leadership but has pin point of explanation has pin point we thank lndipendet privet janalist for so many confasetion consern our Tanzania national but this type of such janalist trying to question you sametime they use they position to crush ather privet janalist to have been seen Rong with gavment

  • @evelina9621
    @evelina96212 ай бұрын

    Ngurumo.nakuamini.nakupenda

  • @OmmyJames-xn7ji
    @OmmyJames-xn7ji9 ай бұрын

    SASA SI URUDI TU KULIKO KUBWEKA 🥳🥳🥳🥳🥳SERIKALI HII HAINA HUO UJINGA NJOO UFANYE KAZI

  • @user-gr9wc7bc2m

    @user-gr9wc7bc2m

    9 ай бұрын

    Huyu habweki sema wewe ufahamu wako mdogo

  • @ezekielkiduge8730

    @ezekielkiduge8730

    3 ай бұрын

    Wewe unafanana na watu waiojulikana ni nani asiyekujua??????

  • @OmmyJames-xn7ji

    @OmmyJames-xn7ji

    3 ай бұрын

    @@ezekielkiduge8730 FANYA KAZI FALA WEWE HATA HELA YA BANDO NI SHIDA 🤧🤧🤧🤧🤧

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel71499 ай бұрын

    Mh.Gurumo wenye uthubutu na vision ya baba wa Taifa bado wapo lakini wamepuuzwa! Wapo Jaji J.S.Warioba, Mzee Butiku,nk

  • @barakamwasenga2143
    @barakamwasenga21439 ай бұрын

    Nakuelewa sana mungu akupe maisha marefu tuvune toka kwako

  • @josephgomalo41

    @josephgomalo41

    9 ай бұрын

    Utavuna ufisadi tu kutoka kwa huo mpumbavu! Hizo pesa za bure za Waswedish atazilipaje bila ya wewe mswahili kuuzwa?

  • @musasabuu2808

    @musasabuu2808

    9 ай бұрын

    ​@@josephgomalo41aya

  • @lukandajr9356

    @lukandajr9356

    8 ай бұрын

    ​@@josephgomalo41

  • @frederickj.kaijage3799
    @frederickj.kaijage37999 ай бұрын

    Mambo mawili:- 1. Kuna tofauti kati ya kuichafua nchi au kuisema vibaya na kumkosoa au kumkemea kiongozi aliyeko madarakani . Rais wa nchi na nchi yenyewe ni vitu viwili tofauti. 2. Uongozi hafifu wa vyama huenda unachanga katika kuvidhoofisha. Lakini pia Chama tawala na serikali yake vimechangiia kwa kupenyeza watu kwa nia ya kusambaratisha vyama vya upinzani. Pia na kwa kupora baadhi ya viongozi waliohamia upinzani. 3. Kikwazo kikuu katika kuleta mabadiliko ya dhati ni baadhi ya wanasiasa ndani ya Chama tawala kujali maslahi yao binafsi kuliko maslahi ya kitaifa na ya vizazi vijavyo.

  • @Mweya-87
    @Mweya-879 ай бұрын

    Miaka miwili sasa na hutaki kurudi.

  • @ndogoroedson199
    @ndogoroedson1999 ай бұрын

    Kumbe ni huyo msenge Hana lolote huyo! Hao ndyo walikuwa makuadi wa mapapa! Wao wanadhani wataishi milele? Maisha yako yalikuwa hatari kwa lip ww? Mbwa huyu Magufuli alikuwa akuuwe ww kwa lipi? Sasa Rudi maana Kama ulitakiwa uuawa Kwan waliotaka kukuua walikufa wote? Mbwa ninyi!

  • @mtzhalisi2232

    @mtzhalisi2232

    9 ай бұрын

    Hakuna kitu unajua wewe kiazi

  • @dionismutayoba3542

    @dionismutayoba3542

    9 ай бұрын

    Acha uchawa,sikiliza hoja

  • @jovitherkaijage614
    @jovitherkaijage6149 ай бұрын

    Ilitungwa Sheria ya kutoa Taarifa Kwa msajiri kabla ya kulingana na isipungue miezi kadhaa

  • @macleanuronu2899
    @macleanuronu2899Ай бұрын

    Mimi ninashangazwa Sana na Viongozi walioko madarakani na baadhi wa vyama vya upinzani wanaopuuzia na kubeza uwepo wa katiba mpya Kama sio kitu Cha muhimu ,wanaposema katiba haiwaletei Wananchi ugali,na uwepo wa katiba mpya inaweza isifuatwe maana ni maandishi tu kwenye karatasi. Wanapata wapi ujasiri wa kusema wanaongoza nchi kwa katiba na sheria ikiwa Wana puuza uwepo wa katiba? Dunia imeendelea Sana na teknolojia imepaa Sana tukikosa mwongozo (Katiba) inayoenenda Kasi hii ya tecnolojia tutazidi kuharibikiwa kisiasa,kiuchumi na kimaendeleo

  • @sylvestercameo6263
    @sylvestercameo62639 ай бұрын

    "Rais wa miundombinu....." Nakupa vema!

  • @jovitherkaijage614
    @jovitherkaijage6149 ай бұрын

    Hata CCM, mwenyekiti ubadilika kwasababu ya miula ya uraisi

  • @johnsinyinza7450
    @johnsinyinza74505 ай бұрын

    Wewe mwandishi wa habari usiulize majibu unayo wasiyo julikana huwajuwi. Hazole gwanda

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda13194 ай бұрын

    Experience man into Tanzania politics as the lndipendet Tanzania janalist azbet ngurumo there in Sweden is the Tanzania janelist with vision seen how new Tanzania vision has to be in fiucher to came and past 5 leadership in Tanzania national and darection of exelence president Samia sluu Hasan darection of her gavment

  • @evelina9621
    @evelina96212 ай бұрын

    Kweli.katiba..ndiyo.dawa.ni.sasa

  • @dominicksangu8934
    @dominicksangu89349 ай бұрын

    Sisikiukwel kama taifa la tanzania tunahitaji katbampya na bandar na tumehuru

  • @felixmsale9244
    @felixmsale92449 ай бұрын

    Wewe mwanfishi wa habari tafuta uzoefu zaidi ili uhoji waandishi mkongwe kama Ngurumo

  • @SamsonEzekiel-or9xc
    @SamsonEzekiel-or9xc5 ай бұрын

    Mh yule mtu daaah hatariii

  • @atugonzalugemalila5142
    @atugonzalugemalila51429 ай бұрын

    Huyu jamaa ni kichwa hadimu sana

  • @user-jk6yy6uy1t
    @user-jk6yy6uy1t9 ай бұрын

    Nakukubari Ila maswali magungu yako kwa maswali ya mwandishi wewe unatia maswali magungu kuhusu chadema

  • @rogersiddy
    @rogersiddy7 ай бұрын

    Mtangazaji naona kama ulikuwa dunia nyingine vile au unauliza maswali kinafiki?yaan kama ulikuwa hujui yaliokuwa yanaendelea nchini vile?sio maswali hayo unazingua sana

  • @visionstudios6804

    @visionstudios6804

    3 ай бұрын

    Yupo sahihi kuna watu wengi ambao awajui hizi taarifa, ndio maana mwanzoni ulisikia ansbert anamwambia kuwa "wewe unajua kila kitu nilishakwambia". Kwaiyo point hapo muandishi alikua anauliza kwa faida ya watazamaji.

  • @Mweya-87
    @Mweya-879 ай бұрын

    😂 Huyu jamaa amearithika na magufulification. Sana Anaongelea hulka zaidi kuliko utaasisi. Kunawakati naweza kuamini chuki huua akili na fikra.

  • @AmriHAmza-jw8vs
    @AmriHAmza-jw8vs9 ай бұрын

    Fulaa kuzalauka

  • @christophermalango1433
    @christophermalango14339 ай бұрын

    Mtangazaji uwezo wako mdogo sana huwezi kmhoji huyo jamaa

  • @xaixaiobrigado4846
    @xaixaiobrigado48469 ай бұрын

    Wenye viti wa vyama na wakae mbona ccm imekaa madarakani tangia awali,hata kama ni kupendwa,na wao wachokwe!!

  • @KhaleedHamad-vl7lz
    @KhaleedHamad-vl7lz4 ай бұрын

    Muandishi wa habari anajaribi lkn bado kumuhoji mkongwe kama huyu bado taaluma ndogo

  • @bonabonala5559
    @bonabonala55599 ай бұрын

    fissdi gsni srie fungws ns jpm??? tusmbie mwandishi au chenge su lowasa??? au turia???

  • @Hyun626
    @Hyun6269 ай бұрын

    Ni vizuri muuliza maswali kumuangalia mgeni wake usoni. Anauliza maswali anayaonea aibu ndio sababu anaangalia chini.

  • @kingswebe3251

    @kingswebe3251

    9 ай бұрын

    Kitu usichokijua hapo mezani anapotazama ndipo kilipo kifaa kinachotumika kuwasiliana halafu kimeunganishwa kwenye tv.

  • @dominicksangu8934
    @dominicksangu89349 ай бұрын

    Kwahio pakiwa nyumban huwezi kusema kama, utawala wake n mbaya ?

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma32319 ай бұрын

    Sasa rudi Tanzania

  • @KhaleedHamad-vl7lz
    @KhaleedHamad-vl7lz4 ай бұрын

    Mtafrani ndio nini muandishi

  • @dominicksangu8934
    @dominicksangu89349 ай бұрын

    Ndege ndege ndege zinatusaidia nn zinabeba wangonjwa wasio na uwezo kuasaidia inampeleka bule nchi ilio na matbabu mazuri ? Nakama haikohivo ndege zina saidia nn badara ya dawa ma hosipital na kujenga shule na ajila kwa watu tunao ona wamesoma na vyet wnavyo lkn hawa jiliwi ajila hakuna.

  • @karimmveyange2558
    @karimmveyange25589 ай бұрын

    Hali imetulia kwa MAFISADI,NA TAIFA LIMEPOTEA LIPO GIZANI BWANAAA.ZAA HII WENYE KUCHOTA WANACHOTA KWA UHURU NA DEMOCRACY WALIYO ILALAMIKIA.NABII AKISIFIWA UNABII HAUJAFIKISHWA SAWA.MARA ZOTE SHETANI HUSIFIWA NA UMMA

  • @evelina9621
    @evelina96212 ай бұрын

    Ushindani.nimzuli.unajipima.hatua.zako.chedema.mbele..kwa.mbele

  • @rwakyenderajulius3861
    @rwakyenderajulius38619 ай бұрын

    Kuna vyama visivyokuwa vyama!

  • @dominicksangu8934
    @dominicksangu89349 ай бұрын

    Ndio hakuna maana yakushiriki kama hakuna mabadriko ktk mifumo ya uchaguzi nafuu kuacha tuuu

  • @emanuelelias4695
    @emanuelelias46959 ай бұрын

    Hawa ndio wale wandishi vilazav waliokuwa mstari wa mbele sana kumhujumu jpm mimi nawa uliza tu je kuvu yote ya kumhujumu jpm lengo lao tuwe na rais kama huyu anae kumbatia mafisadi na kuuza bandari yetu na mbugs zetu na kisha kuwaondoa masai krk aridhi mamab!!? mbona hayo ni mambo mabaua sana ambayonkila mtz hakubsliani nayo mbona hawa andiki kukemea selikali inayo fanya hayo !!??

  • @josephgomalo41

    @josephgomalo41

    9 ай бұрын

    Umeongea yaliyokuwa mawazoni mwangu ndugu yangu, wakati nikimsikiliza huyu mpumbavu! Watanganyika wengi vijana leo hii, hawakuapata nafasi ya kumsikiliza Mwalimu wakati wa uongozi wake alipokuwa akieleze utekelezaji wa sera za Ujamaa na Kujitegemea, ZILIZOLENGA JUHUDI ZA KUJILETEA MAENDELEO KWA KUTUMIA RASILIMALI ZETU ZILIZOWEKWA MIKONONI MWETU NA AZIMIO LA ARUSHA.. ambazo Uncle Magu alizitekeleza kwa vitendo na mambo ambayo hata huyu fala ameyasifia hususani miundo mbinu yakaonekana! Uncle Magufuli alitekeleza dira ya Taganyika iliyowekwa na Mwalimu KWA VITENDO! na kwa manufaa ya taifa ambayo hivi sasa imekufa! Maadui wa Tanganyika karika serikali ya Uncle Magu na wale wa kwenye ofisi za ubalozi za nchi za mabeberu ndio walikuwa wakiwatumia hao akina Gurumo kumchafua Uncle Magu ili aonekane mbaya huku wakiendelea kuiibia Tanganyika maliasii zake! Na ndio maana watu kama Tundu Lissu walikuwa upande wa kampuni kama Acacia Mining akiwateta kisheria huku akijua ya kuwa walikuwa wanatuibia makinikia bila kuandikishwa kisheria na serikali kwa ajili ya malipo ya kodi. Kisingizio cha Lissu kushirikiana na mabeberu hao kilikuwa eti kwa sababu serikali ya Mkapa ilkuwa imeingia mikataba mibovu yeye akaamua kushiriakiana na Acacia.. badala ya kutuamsha wananchi ili tupinge ufisadi huo! Sio wapinzani wote walioenda nje ilitokana na kumuogopa Uncle Magu. Dr Slaa alikimbilia Sweden akiepuka vurugu ndani ya Chadema aliyoshiriki katika uanzishaji wake! Kuna sababu ya Lissu kutofuatilia kesi ya kushambuliwa kwake kama mwanasheria! Wengi tunatamani afuatilie ili tujue ni nani aliyemhujumu? Lakini tunajua kulikuwa na kinyang'anyiro cha uenyekiti ndani ya Chadema ambacho kilikuwa kinatishia maisha ya wale walioutaka uongoi wa Chadema. Katika historia ya vyama vya siasa Africa mauaji ya makada wa vyama hasa vile vilivyopigania uhuru yametapakaa na sio jambo la ajabu. lakini kwa kuwa akina Gurumo wanatumiwa na serikali za mabeberu ilikuwa ni lazima waelekeze tuhuma na lawama kumchafua Magufuli aliyekuwa akitetea malisili na utajiri wetu wa asili na kuwanyima mafisadi serikalini na washiriki wao wa magharibi nafasi ya kutuibia na kutunyonya! Naelewa ni kwa nini Gurumo haongelei uuzaji wa Ngorongoro, bandari, na wizi wa madini unaoendelaa hivi sasa ambao Uncle Magu aliuzuia? Mwandishi gani mzalendo asiyeweza zungumzia suala zima la ulinzi wa makinika na Tanzanite ambao Uncle aliusimamia.. akaishia kuita Uncle Magu eti alikuwa ni raisi wa barabara peke yake?? Wakati akihojiwa kama waziri wa miundo mbinu, jibu alililotoa Uncle Magu ilikuwa ndilo sahihi kwani asingeongelea nia ya uraisi akiwa mteuliwa wa raisi wa wakati huo! Katika Tanganyika tuna adabu ya kuheshimu wakubwa zetu kwani sisi sio Kenya ambako makamu wa raisi anaweza kujikuza kutaka uraisi akiwa bado ni mteule wa rais wa wakati huo kam vile Ruto alivyakuwa akifanya! Mstaarabu ye yote huzungumza kama Uncle alivyofanya, kwani uteuzi wa kuwa mgombea wa CCM hufanywa kwa unaglizi wa raisi/wanayekiti wa CCM ambaye mara nyingi pia huwa ndiye raisi. Sijui Gurumo alitaka Uncle Magu asemeje? The guy is a nut case.. yaani hamna kitu hapo. Zaidi ya kumsema vibaya na kumchafua Uncle Magu kwa mazuri aliyolitendea taifa hawana sera. Kazi yao ilikuwa na kumharibia jina Uncle Magu ili waliomuua waweze kujifanya waikuwa wanalikomboa taifa kwa kumuondoa mtu alikata mirija yao ya unyonyaji! Mtu kama Gurumo amepoteza umaana wake kwa wazungu! Arejee tu huyo mavi kunuka!

  • @kefamwakipesile275
    @kefamwakipesile2759 ай бұрын

    Kwa Taarifa yako wewe ngurumo ni mpuuzi sana. Wananchi tunakula diplomasia,tunakula mikutano ya siasa? Kwa taarifa yako sasa,kipindi cha miaka 5 ya Magufuli umeme haukuwa shida kwa miaka 5, Leo Tanzania haina tofauti na Gaza tupo gizani,wafanya biashara wadogo Wanakimbizwa zaidi ya wananchi wa Gaza

  • @sonnyr1899

    @sonnyr1899

    3 ай бұрын

    Magufuli tulimpenda hata hata tusio kuwa wa Tanzania. Yeye atukane wala asitukane ukweli ndio huo. Kazi alizofanya hawataweza kuzifuta.

  • @hajihassan5433
    @hajihassan54339 ай бұрын

    Tunaimani sana na Magufuli tumeona uongozi wake na tunautamani. Tuliona kwa macho ukitutajia ufisadi wakati wa Magufuli kwa Watanzania ambao ni Wajinga by default ni vigumu kueleweka.

  • @hajihassan5433
    @hajihassan54339 ай бұрын

    Kumbe wewe hupo nchini, nimeelewa.

  • @hamisijuma8124
    @hamisijuma81249 ай бұрын

    Huyo ni mchochezi anataka kutuvurugia amani yetu

  • @user-eg2wk4xx3h

    @user-eg2wk4xx3h

    9 ай бұрын

    Mm huyu sijawahi muelewa kama alipinga Kwa Mwenda zake ambaye alikuwa kama Baba kwetu. Kwa uchungu WA nchi yk na watu WA hali ya chini akatufundisha kujiamini Wtz ,tukaenda kifua mbele tukachapa KAZI ,umeme ukawepo mahospital, nidhamu ya KAZI ikawepo,yy huyu akapinga nitamkubali kidogo .maana yeye ni Pinga Pinga .lipi jema kwake?!

  • @George-jz3jg

    @George-jz3jg

    9 ай бұрын

    Wewe ni mjinga kama huyo ngurumo

  • @George-jz3jg

    @George-jz3jg

    9 ай бұрын

    Yeyote anayempinga JPM ni mwehu

  • @geofreykasinda1895

    @geofreykasinda1895

    9 ай бұрын

    watu walipotea ukujuwa au unayesema mjinga au mbaka apotee ndugu yako ndo ujuwe hayo

  • @geofreykasinda1895

    @geofreykasinda1895

    9 ай бұрын

    kila mtu anayeongea anasababu zake

  • @dominicksangu8934
    @dominicksangu89349 ай бұрын

    Kwan wakiachiw alafu kesho wkikamatwa kwasababu katba kandamizi ndio ipo ile ile kunamana ?maana wkt w uchaguz hayo yooote ya kamatakamata yatajiludia kwakua rais analindwa sana,nahii katba.

  • @hajihassan5433

    @hajihassan5433

    9 ай бұрын

    Ni upuuzi kudhani matatizo ya Tanzania yanatokana na Katiba kwa sababu malalamiko ya Zanzibar kutawaliwa na Tanganyika hayatokani na Katiba hivyo hata mpya haitoi uhakika wa Zanzibar kuonekana ni shareholder 50% ya Tanzania.

  • @abdulhamidmusa8962
    @abdulhamidmusa896216 күн бұрын

    mzee anaekemea anakemewa kwa nini..kaiba bilioni 5 haitwi hata mwizi pia unamtetea..halafu hata uwe mbabe vip..kuna watu ujipange.

  • @CateringAmare
    @CateringAmare3 ай бұрын

    Wemwenyewe kichomi,unakaa kumtaja magufuri,ulitaka kufa kwa dhambi zako so magufuri.

  • @hamzamwaya463
    @hamzamwaya4639 ай бұрын

    Leo hii utakutana na watu wanasema ni bora magufuli angewepo, yaani angekuwepo kuendeleza hili sio! Watu kama gurumo walikuwa wangapi!! Kiukweli hili ndilo lililokapelekea kutokumpenda jpm cha kuwa attack zaidi na zaidi raia

  • @josephgomalo41

    @josephgomalo41

    9 ай бұрын

    Hii malisili zinavyouzwa wewe unafaidika na nini? Wengine tulikosa ajiara serikalini tuliajiriwa kwenye utalii kwa Ngorongoro na Serengeti vilikuwa mikononi mwa serikali .. samia akiviuza kwa waarabu wewe utapewa pesa ngapi? Punguza umatako aisee!

  • @LusunguChawe-rc1dv
    @LusunguChawe-rc1dv9 ай бұрын

    Muwazi na mchambuzi mbobezi wa demokrasia

  • @atugonzalugemalila5142
    @atugonzalugemalila51429 ай бұрын

    Binafsi sioni umuhimu wakumkumbuka magu japo alifanya zivur baadhi ya mambo lkn mikono yake ilinuka damu hadi anafikia hatua yakusema huwezi mkimbia nyoka shambani mwako mgonge kichwa alituona wapumbavu Mungu akatunusuru

  • @aminimushi6945

    @aminimushi6945

    9 ай бұрын

    True.

  • @johnsinyinza7450
    @johnsinyinza74505 ай бұрын

    Wee mwandishi wahabari mkumbuke lusu hazore na wenjine usiulize .maswali majibu wakati unayo

  • @dominicksangu8934
    @dominicksangu89349 ай бұрын

    Tunataka katbampya na tumehuru kabla ya uchaguzi.

  • @hajihassan5433

    @hajihassan5433

    9 ай бұрын

    HAIWEZEKANI, WAZANZIBAR AMBAO NI 50% SHAREHOLDER HATUTAKI MUUNGANO.

  • @jamesbaisy8068
    @jamesbaisy80689 ай бұрын

    Odemba professional ulitakiwa wewe uface camera inayokurekod na sio kuangalia laptop uliyotumia kuwasiliana.angalia media kubwa zinapofanya mahojiano kama hayo.mahojiano mazuri mno

  • @user-gr9wc7bc2m
    @user-gr9wc7bc2m9 ай бұрын

    Huyu ngurumo yupo vizuri sana anajenga hoja

  • @ndilibangokaruhawe9335
    @ndilibangokaruhawe93359 ай бұрын

    Wewe unatumika vibaya kumuchafua jiwe wetu unajisumbua

  • @kisangageorgethomasi2830

    @kisangageorgethomasi2830

    9 ай бұрын

    Fuata ilo jiwe maana we ni dongo

  • @wazolangu6987
    @wazolangu69879 ай бұрын

    Wewe mwandishi si uonge kawaida! Unaongra kama unamafua na kwa mbwembwe.

  • @DonMooSTUDIO_Express

    @DonMooSTUDIO_Express

    9 ай бұрын

    😂😂😂😂

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel71499 ай бұрын

    Kwa katiba hii hii inayompa Rais yeyote ajaye nafasi ya kuamua atakavyo,na kugeuza kuwa sheria. Magufuli kwa hulka yake tangu akiwa waziri alikuja na mtindo tofauti wa pekee wa uongozi na kuiweka Tanzania kwenye chupa kiasi cha kutokwenda nchi yoyote ya kimataifa kudumisha mahusiano na kukopa fedha zao kupitia bank za biashara, kutisha, kuumiza,au hata kuamuru dola kupoteza watu waliotofautiana naye!. Rais wa sasa anafanya kazi kubwa ya kufungua nchi kimataifa,kulipa madeni,na kurejesha utawala wa sheria alivyoviharibu mtangulizi wake ingawa sio kwa kasi ya kuridhisha. Mwandishi Ansbert Gurumo hakukurupuka, aliona hatari mbele yake,ambayo wananchi tulikua tunaiona,na tumepoteza wenzetu wengi k.m Azori Gwanda nk!

  • @TM.Sullusi

    @TM.Sullusi

    9 ай бұрын

    Mind you, Deni la Taifa limeongezeka.

  • @mamboshepea8888

    @mamboshepea8888

    9 ай бұрын

    @@TM.Sullusi huyo ni chawa...hana habari ya deni la taifa...acheni uongo muogopeni Mungu jamani😓😓

  • @rogersiddy
    @rogersiddy7 ай бұрын

    Asiemuelewa huyu Gurumo atakuwa anashida kdg au kama ana elim basi haina faida kwenye kulijenga Taifa lake 🤔

  • @hajihassan5433
    @hajihassan54339 ай бұрын

    Sababu kubwa ya upinzani kuwa dhaifu ni kwamba idadi ya wanaohitaji vyama ni ndogo sana. Watanzania wanataka tu mkate wa kila siku.

  • @athumanmapunda
    @athumanmapunda9 ай бұрын

    Weeeeeeeee njoooooo tukufunge mbwa kokooo

  • @ezekielkiduge8730

    @ezekielkiduge8730

    3 ай бұрын

    Chawa wewe Huna jipya!!!!!!

  • @ezekielkiduge8730

    @ezekielkiduge8730

    3 ай бұрын

    Mtoto wa panya ni panya

  • @user-jk6yy6uy1t
    @user-jk6yy6uy1t9 ай бұрын

    Nakukubari Ila maswali magungu yako kwa maswali ya mwandishi wewe unatia maswali magungu kuhusu chadema

  • @user-jk6yy6uy1t
    @user-jk6yy6uy1t9 ай бұрын

    Nakukubari Ila maswali magungu yako kwa maswali ya mwandishi wewe unatia maswali magungu kuhusu chadema

Келесі